Niseme nini Ee Bwana- Ntungamo Seminary...

  Рет қаралды 64,508

Radio Mbiu

Radio Mbiu

4 жыл бұрын

Ni tafakari ya wimbo wa Shukrani ulioimbwa na Seminary Kuu ya Mt. Anthony wa Padua Jimbo Katoliki la Bukoba, baada ya misa Takatifu katika Seminary hiyo. Fuarhi pamoja nao.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Пікірлер: 50
@irenemashallo2311
@irenemashallo2311 3 жыл бұрын
Nimefurahia walivyoimba kwa kweli natamani siku moja nami niwe mtumishi katika shamba la bwana kama Sister
@Manchory
@Manchory 4 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa na Mafratel .. Mungu awajalie mfikie Altare ya Bwana..
@radiombiu372
@radiombiu372 4 жыл бұрын
Amina tuzidi kuwaombea
@evelinemodest4618
@evelinemodest4618 4 жыл бұрын
Nabarkiwa Sana na uimbaji wa mafrater wetu,,,ukistu Raha sana
@erickangwana1101
@erickangwana1101 Жыл бұрын
Happiness and peace flows inside me when I listen this song.....
@myllesstyllermyllesstyller9071
@myllesstyllermyllesstyller9071 3 жыл бұрын
Asante kwa kutuburudisha
@dioclesbuberwa5943
@dioclesbuberwa5943 4 жыл бұрын
Hakika sijui niseme nini ebwana au nitamke maneno gani kinywani mapito niliyopita hakika yupo mungu nakushukuru Sana
@radiombiu372
@radiombiu372 4 жыл бұрын
Barikiwa sana mpendwa
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@radiombiu372
@radiombiu372 4 жыл бұрын
Amina mpendwa
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
@@radiombiu372 🙏🙏🙏
@nchanjalaar5246
@nchanjalaar5246 3 жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana! Asanteni waseminari wetu
@mariajoseph3743
@mariajoseph3743 Жыл бұрын
Jamani muimba vizuri Sana mungu awasaidie wadogo zetu
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Jaman mnaimba vzr sana
@renatusmatungwa6506
@renatusmatungwa6506 2 жыл бұрын
Yeah kweli wabarikiwe
@anselimianthony6412
@anselimianthony6412 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@salvatorymogesi6476
@salvatorymogesi6476 3 жыл бұрын
Mungu wetu aendelee kuwa nanyi mfike salama wote kwenye Hitima ya Safari yenu ya Wito.
@pattiemambosasa5420
@pattiemambosasa5420 11 ай бұрын
Ahsante Nakushukuru BABA
@niceforusmgaya8109
@niceforusmgaya8109 2 жыл бұрын
Kumsifu Mungu yawapasa wanyoofu wa Moyo! Napata faraja sana kila napoangalia hii!
@williammtwazi2220
@williammtwazi2220 3 жыл бұрын
Hakika ni wimbo wenye kutafakarisha juu ya ukuu wa MUNGU. Barikiweni sana.
@emmystanley9911
@emmystanley9911 2 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa na wimbo huu... asanteeee Mungu wangu🙏
@sopy3055
@sopy3055 3 жыл бұрын
Asante bwana nakushukuru. Mmeimba vizuri saaaan🤗
@happymsaki1720
@happymsaki1720 6 ай бұрын
Amina
@blandinakimbe4019
@blandinakimbe4019 3 жыл бұрын
Thank you very much
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 Жыл бұрын
Aminaa
@juniormallya3391
@juniormallya3391 4 жыл бұрын
Thanks Alot Jewes Society.!!💋🙌🏻🙌🏻
@radiombiu372
@radiombiu372 4 жыл бұрын
Thanks for watching...
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 3 жыл бұрын
Wow 👏 congratulations to all seminal
@michaelleonard5063
@michaelleonard5063 4 жыл бұрын
mungu nimwema 2zidishe upendo kwa makuhani we2
@radiombiu372
@radiombiu372 4 жыл бұрын
Amina..
@athanasiaanney5839
@athanasiaanney5839 3 жыл бұрын
Huu wimbo Mimi huwa unanifariji sana
@faustamumbee9160
@faustamumbee9160 4 жыл бұрын
Asantee Mungu nakushukuru🙏🙏🙏
@radiombiu372
@radiombiu372 4 жыл бұрын
Amina.
@victorchaungwe4348
@victorchaungwe4348 3 жыл бұрын
We thank God for this Seminary, and may the Lord's grace be upon these brothers who are seeking God's will. Asante
@bentonmaxton7812
@bentonmaxton7812 3 жыл бұрын
I know I'm quite randomly asking but do anyone know of a good site to stream new movies online?
@bensonjensen2623
@bensonjensen2623 3 жыл бұрын
@Benton Maxton Flixportal :P
@bentonmaxton7812
@bentonmaxton7812 3 жыл бұрын
@Benson Jensen Thanks, signed up and it seems like a nice service =) I appreciate it!
@bensonjensen2623
@bensonjensen2623 3 жыл бұрын
@Benton Maxton happy to help :)
@honestpaschal1568
@honestpaschal1568 4 жыл бұрын
Hakika ni Mungu pekee
@madumelandes
@madumelandes 3 жыл бұрын
💖🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💖🙏
@philipmukami5406
@philipmukami5406 Жыл бұрын
Wow! Beautiful one brother seminarians
@cypriankimutai752
@cypriankimutai752 Жыл бұрын
May God bless you my brothers
@okongostephenv5421
@okongostephenv5421 3 жыл бұрын
Nice work
@alfonsimwalongo942
@alfonsimwalongo942 10 ай бұрын
Nakumbuka nikiwa seminary
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Huu wimbo mzr sana
@levinakway1158
@levinakway1158 3 жыл бұрын
Waooh MUNGU wa mbinguni awaongoze vyemaa
@lilianngwege8425
@lilianngwege8425 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 3 жыл бұрын
AMINA
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Waooooo
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 10 ай бұрын
Amina
Ninashangazwa na wema wa Mungu; Ntungamo Seminari Bukoba
3:45
Radio Mbiu
Рет қаралды 25 М.
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 21 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
#WANAIMBA HAO TAZAMA UTAPENDA KUTOKA SEMINARI KUU NTUNGAMO JIMBO KATOLIKI BUKOBA
4:52
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
Tupeleke vipaji by Mgandu Vs Ee Mungu Baba by Kauki
4:21
Joseph Kinsi
Рет қаралды 21 М.
Jicho la Tatu -  Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:54
Ukombozi Choir
Рет қаралды 1,1 МЛН
AHSANTE KWA WEMA (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
5:06
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
Nijaposema Kwa Lugha
8:01
Ishmael Oneya
Рет қаралды 92 М.
Bernard Mukasa - Niseme Nini (Official Video)
6:54
Bernard Mukasa
Рет қаралды 1,4 МЛН
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 21 МЛН