Kwhyo muungano upo kwa ajili ya campaign za siasia tu😢😢
@user-hu4sd7bg8nАй бұрын
Ndio baba. ❤❤❤❤❤
@SleimanMsellemАй бұрын
Upande mmoja tukae act upande mwengine wakae ccm
@labunaabouna6122Ай бұрын
Wazanxibar wanataka kula yani chakula sio story
@OTHMANEvraАй бұрын
Tunataka kongamano na ccm
@samiramawby125723 күн бұрын
MUUNGANO tutauvunja tu ili tabia za Zanzibar ziwafae huko huko na michezo yenu mcheze wenyewe pia viongozi wa Zanzibar wawatawale wazanzibar na Mali za Tanzania zilizoko Zanzibar ntakuwa mkizilipia hiyo mizizi saba itakatwa tu coz number 7 sharti ikatwe Kati Kati
@OTHMANEvraАй бұрын
Tutaka kongamano na ccm
@mafadhilahmada242029 күн бұрын
Tuelewavo wengi wape sio mwenye nguvu na kiburi ataka kupambana na mnee jee nafsi yake ameiweza tumpuuze kiburi chake atakufa jukwaani Kama wenzake😢ni firauni wa tatu wa Zanzibar ukianza na Rashid mamba na Babu wa kusini alie laniwa Kama yeye
@mafadhilahmada242029 күн бұрын
Nilazima yule mjinga wa ccm anayejifananiza na mamba wa enzi hizo tunamuelewa kwamba naye hana uzanzibari kanunuliwa Kama jon ukelo Zanzibar ya Sasa inawaelewa hajibiwi tukapoteza muda naomba mpuuzi tumpuuze
@Aisha-lj8buАй бұрын
Napia hawamtaki wanamtukana kukicha
@SleimanMsellemАй бұрын
Nawashauri act wazalendo ngome ya vijana tufanyeni midahalo na ccm katika hoja za maendeleo ya znz kuwepo n judge kuwepo n media kuwepo n vyomb vya usalam ili kutoa elimu y kweli kwa wananchi
@issahajjiira5411Ай бұрын
Nyote ccm
@w4058Ай бұрын
Hahaha mtu akiwa hana hoja hubaki na dhana zisizo na mashiko
@IsmailJuma-zb5niАй бұрын
Huyu mwenyewe ni ccm hana lolote
@alitwaqwa739Ай бұрын
Siasa haifai muda wote walikua wapi hakuna lolote litakalokua nilazima tuwache huhuu ujinga wa kuwanufausha watu walio tufanya sisi mitaji tusipotezeane muda miaka ishakua mingi hakuna lolote huyua anaesema yeye ni wazir
@user-bl1jq7hj9kАй бұрын
usione kama unadanganywa kutafuta haki ni process ndef wee chukulia mfano senega t wapinzani walipambana Kwan muda gani wafikiria lakin sas hivi siyo wapa madarakani kwahiyo ucivunjike moyo mungu anaweza kufanya lolote tunatakiwa kuwa na Subra t
@w4058Ай бұрын
Hakuna anaetukanwa acheni reputation zenu hebu kuweni na akili anaambiwa kweli na ndio kazi za upinzani