No video

Waliniambia Mama Amefariki | nimefurahi Kumuona Mwanangu

  Рет қаралды 29,926

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

clouds digital ipo mubashara kwenye kipindi cha LeoTena

Пікірлер: 80
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Mi nasemaga nyie Clauds ni watumishi wa Mungu, hiyo ni kazi ya baraka sana, mzidi kubarikiwa. Hongera mama kumpata mwanao...hongera Pendo.
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 2 ай бұрын
Kila nikiona kipindi munachokifanya wallah nalia hadi basi mwezi mungu awabaliki❤❤
@naimajuma647
@naimajuma647 Жыл бұрын
Daah huyu mama kaniliza sana 😢ila wanaume... Mna roho ngumu sana
@ismaelabubakarali
@ismaelabubakarali Жыл бұрын
Every story has two sides
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 ай бұрын
Ukisikiliza stori upande mmoja huwezi hukumu wababa tuna bahati mbaya sana tunatukanwa sana
@user-pf1tb5ic2h
@user-pf1tb5ic2h 2 ай бұрын
Kazi kuwaua mama wa wenzao tu Mungu amejibu maombi sijui waliomwambia hivyo mama ake amefariki sijui wanajisikiaje.
@maigamaiga4948
@maigamaiga4948 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana Leo tena
@cjafugekhasan7777
@cjafugekhasan7777 Жыл бұрын
Kumbe na mimi nikimtafuta baba yangu nitampata jamani
@user-qg7wx1ou5b
@user-qg7wx1ou5b 2 ай бұрын
Eheeeh chansi ndo iyo kipenzi mtafute mzazi ni mzazi aijalishi baba wala mama wote wanaumuhimu
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana wa leo tena
@mwanaishahamisi5262
@mwanaishahamisi5262 Жыл бұрын
Nimelia jaman utafikir ndo mm, jaman binadam unakuwa na roho ngumu kias hich looh , ila MUNGU hajawah shindwa na kitu
@roseodipo9868
@roseodipo9868 Жыл бұрын
Mmbarikiwe clouds….
@zubedaramadhani1289
@zubedaramadhani1289 Жыл бұрын
Kipindi kizuri mashaa allah,,mungu awajaze kheri
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
Jamani wazazi tusipoteze watoto
@omanoman2044
@omanoman2044 Жыл бұрын
Hujasikia huyo mam kasemaj alimfata mtt akakamatwa akawekwa ndan hakuw na jisi
@user-oq6hb9hh2b
@user-oq6hb9hh2b 2 ай бұрын
Mashangaz siyo wazuri kuchukua mtoto w mwanamke w kaka zake kuwalaa wakati mke wa kaka yke yupo nachukia
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo Жыл бұрын
Msiwe mnawapa watoto wanaume wakiwa wadogo Hilo ni funzo
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Жыл бұрын
Sio kumuachia Bali ameteseka sana
@arafawilliam2142
@arafawilliam2142 Жыл бұрын
Watu wengine bwana wewe hujasikia simulizi kwamba alinyanganywa mtoto na babake
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
@@arafawilliam2142 mpaka mahabusu amewekwa kisa mwanae Tena akiwa na miaka mitatu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Adi nimetaka kulia na mimi, Mashallah wajukuu wazuri.
@FrancisFoyah
@FrancisFoyah Жыл бұрын
Mungu awabariki sana #Leo_tena
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 8 ай бұрын
😢😢😢tulio pitia maisha haya tugonge lie .
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Жыл бұрын
Na amefanana sana na mama 😭
@Somorydady-yp2zp
@Somorydady-yp2zp Жыл бұрын
😢😢😢mungu sant kwakulelewa nawazaz wote inauma 😢
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 2 ай бұрын
Aminaa
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Жыл бұрын
Nimelia mimi jaman kama nimefiwa😭😭
@user-cp5fp8gx8c
@user-cp5fp8gx8c 2 ай бұрын
Hii kitu inauma sana basi tu 😢. Mzazi wako yupo alafu anaambiwa kashakufa na huwenda unaishi kwa mateso na muhusika yupo. Baada ya hapo sijui huyo baba aliuficha wapi uso wake kwa aibu
@user-ru1mj3tl5w
@user-ru1mj3tl5w 2 ай бұрын
Yaani nimeliaaaaa
@tato8979
@tato8979 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia😢😢
@elvisboniface9665
@elvisboniface9665 Жыл бұрын
Aloo nimeliaa 😭😭
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Жыл бұрын
Mashaallah beautiful ❤️
@user-ko6wq3xg7n
@user-ko6wq3xg7n Ай бұрын
Nimejikuta nimelia sana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Duu hongera sana leo tena
@latifamama4627
@latifamama4627 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua kwa kiwango kingine Clouds
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 Жыл бұрын
Wallah Leo nalia sana😢😢😢😢 mchozi watoka tu
@evaristmrope
@evaristmrope Жыл бұрын
Mmbarikiwe sana
@sanitablessed
@sanitablessed Жыл бұрын
😢😢😢auchhh
@anithamshana8925
@anithamshana8925 2 ай бұрын
Nimeumia sana jamani,nimelia sana😢😢😢
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Sasa dsi ufurahiee. Mbona unamchuliaa tenaa.
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Ungesikiliza ya mwanzo Nina Imani hata wewe ungelie
@SaniphaRamadhani-sr2qz
@SaniphaRamadhani-sr2qz 2 ай бұрын
Nimelia sana 😢😢
@Kidotii
@Kidotii Жыл бұрын
Nimelia na huyu mama jamaniii watu mbona mna roho mbayaaaa!
@mariasafari1004
@mariasafari1004 Жыл бұрын
😢😢😢inauma sana
@mevismlawa5185
@mevismlawa5185 Жыл бұрын
Mungu awabariki
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Жыл бұрын
Mungu awabaliki amen
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Kwenye Sauti mnafeli
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mungu mwema
@lulutweve3516
@lulutweve3516 Жыл бұрын
daar laha sana
@user-hd2vh9hg6v
@user-hd2vh9hg6v Жыл бұрын
Wamefanana pua
@salmahatibu2545
@salmahatibu2545 Жыл бұрын
Jamani nawapenda klaus fm ila nami ni kk yangu alipotea na mtoto wake ana mtafuta
@rahmaomaryswalehe3331
@rahmaomaryswalehe3331 Жыл бұрын
Yan hii ilimkuta dada angu ila baati yak anapajuwa kwako mwanaume ndio kawapata watt
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Siku ingine sautiiiiiiii
@user-rb2pd3op2p
@user-rb2pd3op2p Жыл бұрын
Usiombe yakukute
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Mtoto nae kauzu huyu kama yake anaonekana
@SARAHMSIGWA-ot6qn
@SARAHMSIGWA-ot6qn Жыл бұрын
Mh jmn hadi uchungu
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
So sad 😭
@user-hs8fu1ut8r
@user-hs8fu1ut8r Жыл бұрын
Hongereni sana team leo tena..ila dada geah na husna mmedabuka leo 😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Vijuso
@ashurajuma4837
@ashurajuma4837 2 ай бұрын
😭😭😭
@omanoman2044
@omanoman2044 Жыл бұрын
Mbon hakuna saut
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Жыл бұрын
Had kichwa kimeuma
@neemajohn6142
@neemajohn6142 Жыл бұрын
Hawa viumbe wanaitwa wanaume asilimia kubwaaaa ( sio wote) hawajali kabisa hisia za maumivu tunavyofanyiwa hasa suala na uaminifu wanaona wao wana haki ya kufanya hivyo au kulea watt mnapogombna kukukomoa ni kuchukua watt utafukir reba wanaijua !! Hao ndio viumbe wenzetu wanaumeee
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 Жыл бұрын
Life
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
HIKI KIPINDI MKIPATIE COPY RIGHT TV ZINGINE WASIIGE
@neema_mollel
@neema_mollel Жыл бұрын
😢😢
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Sautiiiiiiii
@patriciakalinga9176
@patriciakalinga9176 Жыл бұрын
Muuuuuu 😢
@ashumohd2192
@ashumohd2192 Жыл бұрын
😢
@nurumwangoka5924
@nurumwangoka5924 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Ilikuwaje alimuacha miaka yote hiyo
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 Жыл бұрын
Alinyag'anywa na mume na alivojaribu kumfatilia alipewa vikwazo na baba pendo
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 Жыл бұрын
Uwe unaskiliza hadi mwisho
@dorahhussein
@dorahhussein Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🤦🏿‍♀️😢
@ashumohd2192
@ashumohd2192 Жыл бұрын
😢
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo Жыл бұрын
😭😭😭
@BeatriceJohn-bk9cd
@BeatriceJohn-bk9cd Жыл бұрын
Mungu awabariki
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 4,7 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,2 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 47 МЛН
MWEZI MCHANGA (12) New Movie 2024
25:16
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 88
Miaka 15 Hajamuona Mama Yake | Naomba Unisamehe Mwanangu
7:41
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 31 М.
SAKATA LA NGORONGORO KABUDI ATIMBA,  ATAJA MAMBO MANNE
4:29
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,6 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН