Miaka 33 Nimemaliza Makanisa | Baba Mtoto Alinipokonya | Pendo na Mama Yake Wamekutana Leo

  Рет қаралды 49,654

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

clouds digital ipo mubashara kwenye kipindi cha LeoTena

Пікірлер: 50
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Wallah wa mam mnaharibu san rangi zen had naon haya mwijaku anamuangalia duuh
@beatricedavie1827
@beatricedavie1827 Жыл бұрын
Jamani mtukutanishe na baba zetu pia,Mimi nahitaji kukutana na baba yangu,pia Mungu awabariki kwa kazi nzuri
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Hongeren sana clouds mnafanya ktu cha peke tunawapenda sana
@ProtasBalibabaza-ip1oy
@ProtasBalibabaza-ip1oy Жыл бұрын
Mnafanya vitu vikubwana sana clouds #leo tena hongereni Mwenyezi Mungu awabairiki
@rosemaryjoseph768
@rosemaryjoseph768 Жыл бұрын
Hongera sana Leo Tena haya mambo yapo na ustawi hawana msaada kwa wamanisha kesi nyingi nimekutana nazo
@user-xc4or2vp6l
@user-xc4or2vp6l Ай бұрын
Mko vizuri kwenye listening skills hongereni.
@ahlamkilema1787
@ahlamkilema1787 Жыл бұрын
Yani hichi mnachofanya... clouds....mungu hatawalipa Yani mm Bibi yangu..watoto wake watatu..paka Leo na nimzee natamani hawajue wanawe
@nyassorajabu628
@nyassorajabu628 Жыл бұрын
Hongera ma mdogo Kwa kumpata binti yako
@angellambonika3002
@angellambonika3002 29 күн бұрын
Wanaume wengi wanajua kupata starehe tuuuu lakini uchungu juu ya watoto hawana !!!! Mungu anawaona.
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 21 күн бұрын
Mwenxangu hata Mimi yamenikuta ustawi wa jamii ni balaa
@RachelJoseph-du5gs
@RachelJoseph-du5gs Ай бұрын
Jmn Kwan huyo baba alipatwa na jini gan kha!
@user-qw2kg3dh4k
@user-qw2kg3dh4k 21 күн бұрын
Hongern sana ila tunaomba kipindi cha kutafuta kina baba
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 Ай бұрын
Mungu mkubwa ❤
@happymwashimaha5134
@happymwashimaha5134 Жыл бұрын
Hongera sana Pendo rafiki yangu. Wakati wa Mungu Ni wakati sahihi
@ElizaMwambudzi-fe8dp
@ElizaMwambudzi-fe8dp Жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri Mungu awabariki sana
@salmangwila8062
@salmangwila8062 Жыл бұрын
Nyie leo tena hongeren
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Ni furaha na huzuni pia miaka mingi bila mama ni Mungu tu
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
Kwa hapa clouds hongereni sana
@PaschalPaulMandegeshi
@PaschalPaulMandegeshi Жыл бұрын
mnachokifanya ni jambo jema pongezi kwenu #clouds
@lizybabymgaywa8035
@lizybabymgaywa8035 Жыл бұрын
Pole sana Mama
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Hongereni sana Clouds
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Pole sna mama
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 28 күн бұрын
Pole san mam
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 Жыл бұрын
Jmn ikifikia kipindi cha kukutanishwa watoto nawazazi wao wakiume mnistue jmn
@felisternselu6287
@felisternselu6287 Жыл бұрын
Mwakani ni baba na watot
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Dah! Inauma sana kwakweli
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mtihani Pole sana Mama dah😭😭
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Dahuu umependeza Sana
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Жыл бұрын
😢huzun sana
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 Жыл бұрын
Kaka zangu wanatamani kuonana na baba yao
@jamilamwangoka1055
@jamilamwangoka1055 Жыл бұрын
Yaani mngekuwa mnatuandalia na kwenye TV nduguzangu tuwetanaangalia Yani pongezi Sana kwenu
@JanethMgoly
@JanethMgoly Ай бұрын
Clouz tv
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 Жыл бұрын
Wanaume mlaaniwe sana
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺💃Wababaaaa jmaaaaani
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Kuna muda mtu unatamani tu kungèkuwa na mbegu zinauzwa sehemu tununuwe ili mtoto asiwe na baba wa aina hii
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Mbona zipo? Pesa yako tu
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
Mbegu zinauzwa twna unachagua mwenyewe na una uamuzi wa kuto kujua aliyetoa mbegu hela yako tu mama
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Zinauzwa mbona,ni pesa yako tu
@aggreynsemwa1380
@aggreynsemwa1380 Жыл бұрын
@@theafricaiknow6615 à
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Ай бұрын
Hujasikua upande wa pili huna ruhusa ya kuhukumu Mimi naona Dunia inawatukana wababa sana inawasemea unyanyasaji ukija kufatilia kesi unakuta udangaji upuzi mwingi wa wanawake enzi za ujana wababa wanamua kubeba watt wake
@user-pf1tb5ic2h
@user-pf1tb5ic2h Ай бұрын
Walipewa rushwa hao washenzi wa tabia wananyima watu haki zao
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Жыл бұрын
Wanaume wanaume mngekuwa nyie mnasikiaga uchungu wa kuzaa sijui mngefanyaje kuhusu watoto
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😢💔
@user-ve1dv1ry2v
@user-ve1dv1ry2v Жыл бұрын
Du mateso haya nahisi wanangu ndo wanayopitia
@rezegerezege691
@rezegerezege691 Жыл бұрын
Pole sana Dada yangu kipenz Mungu Awalinde nakuwatunza
@user-on6fr5cp1f
@user-on6fr5cp1f Жыл бұрын
Amin inshallah ❤
Waliniambia Mama Amefariki | nimefurahi Kumuona Mwanangu
8:08
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 28 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 51 МЛН
Miaka 32 Hatujaonana | Baba wa Mtoto Kumbe Amefariki
9:24
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 9 М.
Всегда проверяйте зеркала
0:19
Up Your Brains
Рет қаралды 1,7 МЛН
Обезьяне пересадили голову??? #факты
0:31
Время знаний
Рет қаралды 2,1 МЛН
Всегда проверяйте зеркала
0:19
Up Your Brains
Рет қаралды 1,7 МЛН
Простой дворник с большим сердцем 🫶
0:25