CHERRY MREMBO ALIYEPATA UKIMWI KWA KUBAKWA ASIMULIA MAZITO "NILICHANGANYIKIWA"

  Рет қаралды 186,111

Wasafi Media

Wasafi Media

8 ай бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 464
@user-pm7pj6zi6q
@user-pm7pj6zi6q 8 ай бұрын
Pole sana Dada Mungu yupo na hao wote walikufanyia Unyama huo Razima watapata Asabu Yao Malipo ni hapa hapa Duniani 😢 ila Mungu awasimamie katika Maisha yenu ww Pamoja na watoto wako wote na Shemeji yetu🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@rinasmart5123
@rinasmart5123 8 ай бұрын
Tony!! You are more than a man. You have a big heart and a powerful spirit. You made a decision not many men can dare to. Coming out to speak openly about your relationship with Cherry has lifted many spirit. I just like you!! Wishing you the best in life. You are great!! Ahsante sana kum-support huyo mrembo.
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 8 ай бұрын
Ukweli unamueeka mtu huru nimempenda kwa hilo na anaonekana ni mdada mwenye roho safi mashallah so pretty ❤
@charleslugemalila1168
@charleslugemalila1168 8 ай бұрын
Hongera sana Chery na mume wako mlichokifanya ni muhimu sana kwa jamii. Huu ugonjwa inabidi tuupokee kama magonjwa mengine siyo kama ilivyosasa mgonjea kuonekana mdhambi au kunyanyapaliwa. Yeyote anaweza kuupata bila kutarajia. Kuishi kwa kutumia dawa ni sawa kama magonjwa mengine tu. Nina uhakika mtu akiulizwa leo achague ugonjwa mmoja wapo kati ya figo na ukimwi atachagua ukimwi
@naomichuri7983
@naomichuri7983 8 ай бұрын
Kweli japo ukimwi unaweza athiri figo
@musasabuu2808
@musasabuu2808 7 ай бұрын
Ukimwi source yake kubwa ni zinaa tu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
​@@musasabuu2808kweli uzinifu haswa ndio chanzo cha matatizo haya kwa vijana
@BernadetteKiwelu-kg6fv
@BernadetteKiwelu-kg6fv 5 ай бұрын
ni kweli dada mimi natumia dawa kwa miaka 24 mungu ni mwema hongera sana Cherry
@halimaphiniasibwire9688
@halimaphiniasibwire9688 7 ай бұрын
Pole dada cherry.nakutia.moyo Hongera kwa kujikubali
@latifaroro877
@latifaroro877 8 ай бұрын
Me najiuliza ktu kmoja Chery walikua wawil na rfk zke kwann abakwe yeye peke ake na vjana wote ao af rfk ake aachwe??
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Pole sana chery,mungu atakupa maisha mrefu,pia usiache kumeza dawa mashani kote.
@AniphaMohamed-dh6sn
@AniphaMohamed-dh6sn 8 ай бұрын
Nakupenda sana dada mungu akulinde
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 8 ай бұрын
Asantee cherry ❤
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 7 ай бұрын
Mashallah Jah May bless you.
@bintysele6999
@bintysele6999 8 ай бұрын
Pole sana dada Cherry 😢 jaman iyo miaka vijana walikuwa waovyo sana, kulikuwa natabia kama kunamtu amekutongoza ukamkataa anakufanyia kitu cha ajabu wallah 😢kuna jirani yetu alichukuliwa mbele ya wazazi wake nahuyo mtu alikuwa amehasilika kwaiy alikuwa anabaka watu kuwaambukia jaman yule kaka Mungu amuukumu nyau yule yule dada alikuwa anajichukia kwa kile kitendo alichokuwa anafanyiwa nayule mtu 😢 pole sana dada Cherry
@gloriaomari2187
@gloriaomari2187 5 ай бұрын
Mungu wetu wa sirini ataendelea kukutunza. Huyo kijana pongezi sana. Ninamshukuru Mungu kwa ajili yako kwakuwa ummfanya binti yetu kuwa na amani zaidi
@queenpeter2013
@queenpeter2013 8 ай бұрын
Cherry mungu akutunze hawakuelewi ila ipo cku watakuelewa kipenzi nakupenda
@jomiAfrica
@jomiAfrica 8 ай бұрын
Lakini madakitari walikosea ungepewa prophylaxis usingepata pole
@husseinmaconcept9223
@husseinmaconcept9223 5 ай бұрын
Huelewi kuhusu prophylaxis
@sailathsaidi
@sailathsaidi 2 ай бұрын
pia kumbuka n elf 2011
@AnethPeter-qz9zq
@AnethPeter-qz9zq 7 ай бұрын
Pole mdg wangu mungu yupo atakusaindia
@user-hr8fz8tz5t
@user-hr8fz8tz5t 8 ай бұрын
Nimependa Sana cherry 🍒❤❤❤ kitendo poah Sana ulicho fanya
@AffectionateGuitarAmp-vr5ub
@AffectionateGuitarAmp-vr5ub 6 ай бұрын
Pole sana dada mungu yu pamoja nawe
@user-xe1jb5sv3x
@user-xe1jb5sv3x 8 ай бұрын
Mungu akutienguvu
@jomsafirikajinaki8820
@jomsafirikajinaki8820 3 ай бұрын
Tony e a Cherry vocês são uma benção, Deus vós abençoe pela um belo história, nenhum Homem pode tomar essa decisão.
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 8 ай бұрын
Pole
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 8 ай бұрын
Maa Shaa Allah nimewapenda sana mko wazi sana na mmeongea vizur Mungu awajaalie mfunge ndoa Aamiyn
@ElizabethMgimba-lq9iw
@ElizabethMgimba-lq9iw 8 ай бұрын
Shemeji mungu akutunze
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 8 ай бұрын
Daah 😢 pole sana
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 6 ай бұрын
MUNGU hajawahi shindwa hakuna gumu kwake mtegemee MUNGU na utapona download app inayo itwa kanguka utasikiya ushuuda wa wengine walio poa pole sana dada ❤️❤️❤️❤️❤️
@adbellar338
@adbellar338 8 ай бұрын
Kwa takwimu za nchi sasahivi huyu Dada aendelee kutoa shuhuda kwakweli. Mambo ni mengi.
@Lawrenciamuhode
@Lawrenciamuhode 6 ай бұрын
Big up sana tony
@MargarethKisse
@MargarethKisse 7 ай бұрын
Pole sana cherry
@elihaikamrema1693
@elihaikamrema1693 5 ай бұрын
Pole sana na Hongera kwa kuwa muwazi kiasi hicho. Mungu anawaponya kabisa wenye haki. Wewe ulitumika ili wengine wanjue Mungu kwamba yeye ni mponyaji wa kweli.
@Abuuabdrasuli772Abuuabdrasuli7
@Abuuabdrasuli772Abuuabdrasuli7 8 ай бұрын
Daaah polee San
@user-ie5xq6xb2v
@user-ie5xq6xb2v 7 ай бұрын
Shukran!! Dada ww ni mfano wa kuigwa ktk jamii
@aishatest4451
@aishatest4451 8 ай бұрын
pole sana dada
@nicolinahgalgalo426
@nicolinahgalgalo426 8 ай бұрын
Kwa kweli nimemuonea huruma sana huyu dada,ila pia niko na furaha kwa jinsi alivyojikubali kwa kweli anatia vijana wengi moyo
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 8 ай бұрын
Tutaaminije km kabakwa. Ah .....mauza uza mengi
@hora8707
@hora8707 8 ай бұрын
😊😊😮 11:23 11:24 😅😅😅 11:25 😢😅😮😅😅😅😅😮😊
@ndayishimiye745
@ndayishimiye745 8 ай бұрын
​@@tahiyasaidi6532😊q
@ndayishimiye745
@ndayishimiye745 8 ай бұрын
​@@tahiyasaidi6532❤
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 8 ай бұрын
​@@tahiyasaidi6532ongea kwa kituo ndugu yangu Hata wewe unaweza kukumbwa pasipo kubakwa Hujamaliza safari ndugu
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 5 ай бұрын
Pole sanaa
@user-vj8pi2wc3z
@user-vj8pi2wc3z 6 ай бұрын
Story ina maswali mengi sana!! All in all pole sana na Mungu akutie nguvu.
@ericamasha9789
@ericamasha9789 6 ай бұрын
I'm so glad wewe umeona hili!
@badifundi6089
@badifundi6089 5 ай бұрын
In shot Mambo ya MUNGU tuachie MUNGU.. sababu ni kitu hakufanya maksudi ndo maana waona anaishi na mzima wa afya kbsa ..uskute ata virusi vimeisha nguvu mipango ya MUNGU si ya kuingiliwa kbsa
@user-ks7zc6kd7u
@user-ks7zc6kd7u 5 ай бұрын
Hasa huyu mwanamke Diva anaboa sana
@hashimvilla7089
@hashimvilla7089 3 ай бұрын
Pole sana dd
@user-cf5zt6ky9m
@user-cf5zt6ky9m 8 ай бұрын
Mungu ni mwema jamani dada
@editamutayabalwa4907
@editamutayabalwa4907 8 ай бұрын
Chelly Mw/ Mungu Akutunze Akubaliki
@emelynensabimbona4499
@emelynensabimbona4499 8 ай бұрын
Hiii story sio iyo vvu kama yuko nayo alitowa sehemu sababu ukienda hospital kitu chakwanza kama umebakwa wanakukinga ukimwi na mimba
@user-uh4tx8st3d
@user-uh4tx8st3d 8 ай бұрын
N kweli aseee Sasa nashangaa kwann hakupewa hii uwongo
@ElishamMsikola
@ElishamMsikola 8 ай бұрын
Yes
@Planet_Zong
@Planet_Zong 5 ай бұрын
Au tunataka kuhukumu kimtindo?
@DeusMsumule
@DeusMsumule 3 ай бұрын
Mzee alompa kaz au ugumu wa maisha ulimfanya kudate na watu wenyeukimwi
@sailathsaidi
@sailathsaidi 2 ай бұрын
jamn 2011 sio 2024 zingatien ilo
@user-qv7qv5rt7k
@user-qv7qv5rt7k 5 ай бұрын
Pole sana dada mungu akuponye siku zote🙏🙏🙏😭
@syliviamwembe8745
@syliviamwembe8745 8 ай бұрын
Daaaah pole sana 😢😢
@user-uv8uc2dv5u
@user-uv8uc2dv5u 8 ай бұрын
Dada pole sana😢
@user-bs9hp5pe2i
@user-bs9hp5pe2i 7 ай бұрын
Pole sana dad akeee😢😢😢
@user-vp1qs6jn9q
@user-vp1qs6jn9q 8 ай бұрын
May God Grant you with unspeakable joy siz😢😢
@user-ku1ih1kp6q
@user-ku1ih1kp6q 5 ай бұрын
Pole sana by kwnn rafiki yk hakubakwa?
@benedictonesmo6857
@benedictonesmo6857 8 ай бұрын
Dida tulia kidogo acha kuwa na mbwembwe unaongea kama unakimbizwa alafu kuna maswali unauliza ilhali tayr ameshaelezea.....
@Byme6434
@Byme6434 8 ай бұрын
Ila Huyu Dida Asaivi Anaongea Vibaya Sijui Anaongeaje😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Mwacheni dida wangu😅😅
@MmHh-rz8kz
@MmHh-rz8kz 7 ай бұрын
stori na uhalisia mbonaa haviendani jaribu kuweka waz taarifa miez 3 mara mwaka uhalisia ukojee hapo?
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 5 ай бұрын
Mtu hawezi kutafuta kiki kwa maradhi" elewa tu hivyo alivyoeleza ndugu yangu," tuzidi kumwombea Dua azidi kumpa uzima aleee watoto wake.
@MILK52899
@MILK52899 8 ай бұрын
Hatari alifanyiwa unyama kweli uzuli wake umeenda hivo Allah atawalani hawo watu ila na hao watu walimfanyia wote wamesha ambukiza maana walimuingilia wote malipo ni hapa dunia
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 7 ай бұрын
Naombeni namba zake alaka 🙏🙏🙏
@user-dv8dc3tm2u
@user-dv8dc3tm2u 5 ай бұрын
Pole sana dadaang Mungu aendelee kukutia nguvu
@hannsmanuma4532
@hannsmanuma4532 6 ай бұрын
Chery, Mungu ni mwema.mno, halipo.jambo kubwa kwake, hata yeye anajua jinsi atakavyokufanya juu yako katika maisha yako
@rebekamwimi1394
@rebekamwimi1394 8 ай бұрын
Dada mzuri ukimkubali Yesu anaponya uachane na hizo dawa
@ummyayman9449
@ummyayman9449 7 ай бұрын
Humtakii mema mwenzako kumkubali yesu na kuacha dawa kunahusiana nini
@Salma_malkia
@Salma_malkia 7 ай бұрын
​@@ummyayman9449😅😂😂😂
@rehemadaudi550
@rehemadaudi550 7 ай бұрын
good advice
@user-ps8zs9fc5g
@user-ps8zs9fc5g 7 ай бұрын
Acha uongo wewe mambo ya uongo toka hapa
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 7 ай бұрын
Acha kumtia ujinga wewe ..!
@amaningonyani2775
@amaningonyani2775 8 ай бұрын
Hii story kidogo inaukakas
@user-tz3vm5ex5y
@user-tz3vm5ex5y 5 ай бұрын
Hongera sana cherry ❤
@henribwema2778
@henribwema2778 8 ай бұрын
Kwa namna storyteller anavyo sema, kuko contradictions kwenye habari hiyo, ila la msingi ni kwamba anasaidia kuwapa wengine ujasiri wapimwe wachukue dawa endapo watakutwa ni waasirika. Jambo lingne ni pale wanasema kuwa ukinywa dawa vizuri utafikia stage ya kusipo waambukiza wengine hata bila condom. Congo Kinshasa my home.
@tungaraza7794
@tungaraza7794 8 ай бұрын
sure,hasa baada ya kutoka hospital siku ya kwanza
@Mjomba_Side
@Mjomba_Side 7 ай бұрын
anadanganya story yake, alafu nikosa kisheria kujua unamaambukizi na kujaribu kumuambia mtu....hawezekani mtu akabakwa na madaktari wakazuia maambukizi kwa kutumia dawa ambazo zipo
@neemamajana3078
@neemamajana3078 6 ай бұрын
Huyu ni muongo, mtu akibakwa akienda hosp lazima apewe ARV dose ili kuuwa virusi. Huyu kwanza hana akili nzr, kitendo cha kujinanga mtandaoni.
@Eliya-vv1jp
@Eliya-vv1jp 8 ай бұрын
Duu kumbe ulitaka umuambukize kaka wa watu, na story simalizii tena ushanichangany kwanz walokubaka we ndo uliwaambukiza
@user-lq4op1bv5c
@user-lq4op1bv5c 8 ай бұрын
Duuh we mwanaume huna huruma wala akili yan ujamaliza jambo unatukan na ww watoto wako watafanyiw iv iv baba mpumbavu kabxa ww
@Eliya-vv1jp
@Eliya-vv1jp 8 ай бұрын
Au wew ndo mpumbavu, husikii Kama alitaka amuambikize alaf mipango yake ikagonga mwamba
@badifundi6089
@badifundi6089 5 ай бұрын
Bro hebu maliza period maana naona we ni lile kundi la pop la LGBT msenge ww
@mosesbarnabas3379
@mosesbarnabas3379 8 ай бұрын
Huyu ni Yule dada wa tik tok nilijua anazingua anavyosimulia kuhusu kuishi na vvu
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 5 ай бұрын
Pole sana walikuwa wengi ila mm nimekupenda kuishi na virusi vya ukimwi sio mwisho wa fursa wala kuishi
@user-lq4op1bv5c
@user-lq4op1bv5c 8 ай бұрын
daah cherry nimfano wa kuigwa she is super women ww jmn mmmmmmmmwaaaaaaaaaa
@kisinza6077
@kisinza6077 8 ай бұрын
Sema wewe mwandishi wa kike jitahidi kuendana na maudhui ya story! Yaani simulizi ya kusikitisha wewe unalipuka kanakwamba upo na Juma lokole mnachamba, khaaaaa? 😮
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 8 ай бұрын
Siyo kwamba madaktari walikosea,dada anasema kipindi iko anabakwa huduma ya PEP ilikua haipo Tanzania...!!
@ashleyharuna8944
@ashleyharuna8944 8 ай бұрын
Hata mimi nimejiuliza😢😢
@josephmgasi4973
@josephmgasi4973 8 ай бұрын
Huduma ya PEP kipindi iko ilikuwepo
@walburgammassy2050
@walburgammassy2050 8 ай бұрын
Kwa nilivyosikiliza hii story huyu Chery alitembea na yule mzee wa kwenye hyo hoteli ya dodoma.
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 8 ай бұрын
hapo nikweli. kwa kubakwa amedanganya Aliambukizwa na yule mzee
@vickydan2869
@vickydan2869 8 ай бұрын
@@nappekiliakiliasalimu346 Yes yule mzee alimwambukiza ila alipobakwa akajua ameambukizwa na wale wabakaji yawezekana tena yule mzee aliwatuma ili amchanganye binti!hebu fikiria kwann hawakumbaka yule mwenzie?
@stellasimon8306
@stellasimon8306 8 ай бұрын
Wewe unaye bishi nakushangaa sana, kwaani watu hawabakwi? Mungu anakuona
@stellafurael2925
@stellafurael2925 8 ай бұрын
Stupid mind
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 8 ай бұрын
Nami nawaza itakuwa yule mzee
@Lawrenciamuhode
@Lawrenciamuhode 6 ай бұрын
Pole Dada cherry 😢nakupendaga
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 8 ай бұрын
Duuh 29yrs 😢😢😢
@salmarajabu4890
@salmarajabu4890 8 ай бұрын
Uyo mingi Sana mm 24 yrs
@rehemabenson3311
@rehemabenson3311 3 ай бұрын
Unao??😢​@@salmarajabu4890
@magnusbugingo3684
@magnusbugingo3684 8 ай бұрын
Mwandishi unaongea sana kuliko kusikiliza
@FatumaHassan-gv4bi
@FatumaHassan-gv4bi 6 ай бұрын
nywele za juma ukiziangalia vibaya kwajuu zimekaa kama karanga 😂😂
@user-mk8tp4md6r
@user-mk8tp4md6r 6 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti daaa😂😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@acobisrem2project360
@acobisrem2project360 8 ай бұрын
Ukibakwa na madaktari wakathibitisha umebakwa kweli, kabla masaa 72 kupita unapewa kinga tiba dhidi ya ukimwi na mimba, ss yy hospitali walipoenda walimpa dawa gani, bhana uyu katudanganya story ila hongera kwakuweka wazi afya yako ila kwenye stori ni uongo mtupu
@faidhamakubi9283
@faidhamakubi9283 8 ай бұрын
Unaosema ni kweli kun dawa zakuzuia maambukizi ya hyo hpo kun kitu nyuma but mungu amsamehe
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 8 ай бұрын
ndio vvu anayo lakini story fake
@_bonfaceadera
@_bonfaceadera 7 ай бұрын
Yeah,the story is not adding up.
@WinfridaJohn-rm6gc
@WinfridaJohn-rm6gc 8 ай бұрын
Daktari kwanini hukumpa cherry PEP
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 8 ай бұрын
Pep kwa miaka 10 iliyoipita haikuwepo
@ashleyharuna8944
@ashleyharuna8944 8 ай бұрын
Maskini 😢
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 7 ай бұрын
polesana dada asee
@majidisalumu3260
@majidisalumu3260 5 ай бұрын
Chely Ni Mzuri Sanaa, Tena Kwa Wazuri Wenzio Wenye Maambukizi Kama Wewe Mbona Hata Kama Wana Maambukizi Mapya Mbona Binafsi Naingia Mazima Kabisaa, Nimuulizie Vyeti Vyake Mimi Vinanihusu Nini??!
@mossisilima452
@mossisilima452 8 ай бұрын
Jaman naomben kujua ratiba ya iki kipindi napendaga sn iki kipindi kinaoneshwa tv gan na mda gan
@happynessmachota7278
@happynessmachota7278 8 ай бұрын
I love you sis cherry❤
@MunaSaid-sp9fj
@MunaSaid-sp9fj 2 ай бұрын
Polesan dada mungu nimwema kilawakati
@ummukulthum1268
@ummukulthum1268 7 ай бұрын
Wote wanatiktok hawa nilisikia cherry akisema mwanaume wake anaish nae mwaka wa9 sasa na kazaa nae watoto wawili how comes inakua miaka mi3 ghafla😢😢
@jeremiahchristophermollelmolle
@jeremiahchristophermollelmolle 8 ай бұрын
Pole San mdogo wangu Ucjali utapona iko cku
@msafiriomary893
@msafiriomary893 7 ай бұрын
Jamani nani huyo ariye mbaka mtoto mrembo hvi katuaribia utamu jaman
@paulanelson5394
@paulanelson5394 8 ай бұрын
Kuna mijitu kama haina akili vile Eti hukubakwa sasa sawa hajabakwa inakuhusu nn? Usikute ww unao uku umejichimbia uko ila yeye kakabal kujitangaza na kuelimisha jamii ila ata pongezi Amna daah Watanzania bhana
@nelliegodfrey-zq5vz
@nelliegodfrey-zq5vz 8 ай бұрын
Yaani wnataka aseme wanavyotaka wao, yaani binadamu kwa nini tusioneane huruma
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 8 ай бұрын
Nyie wajinga kweli mmeona wapi akili zikafanna???
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 8 ай бұрын
Story hii very bad inaumiza SN hii taarifa dada pole sn.
@jj-iv1wm
@jj-iv1wm 8 ай бұрын
Tony una moyo mgumu ila dem mkali hongeleni
@jacksonmakarck9536
@jacksonmakarck9536 8 ай бұрын
Pis kaliii na
@dianerditto
@dianerditto 8 ай бұрын
Juma haulizi vingi jamn au nae muathirika😂...nakupongeza sana dada una ujasiri Mungu akusaidie katika mapambano yako
@florahmushi748
@florahmushi748 8 ай бұрын
Ndugu Chunga kauli Yako kama bado unaishi Duniani lkn kama unaishi mwezini nyoosha kidole hata vyote nyoosha
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 8 ай бұрын
Haka kastory kanakasoro lkn
@editarwaetson4475
@editarwaetson4475 5 ай бұрын
Pole san dada jmn😓😓😓😓😓
@EdgaralbetoEdgr
@EdgaralbetoEdgr 16 күн бұрын
Ningekuowa ila jamaa kasha niwai sio mbaya safi
@user-us9ym8ex9f
@user-us9ym8ex9f 6 ай бұрын
Pole sana kipenz hayo nimapito tu ya hapa duniani
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 8 ай бұрын
Huu ugonjwa wa ukimwi😮😮 siku hizi unajitangaza mwenyewe
@sefumagota1351
@sefumagota1351 8 ай бұрын
Mm SIWEZ KUSEMA kabisaaa
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 7 ай бұрын
Hii move tu wsmeitengenez wasafiii,dada kaamua kujicholesha kwa ajil ya kulipwa tu hakuna lolote hapo
@GodfreyArtist-pz3ol
@GodfreyArtist-pz3ol 7 ай бұрын
16:47 16:48 16:48
@Mjomba_Side
@Mjomba_Side 7 ай бұрын
anadanganya dogo huyu, katengeneza script kichwani anawaaminisha watu hamna madaktari au manesi wasiojua kwamba kuna dawa unaweza tumia kama unahisi umepata maambukizi ili kuzuia mapema kwa masaa kadhaa so navyoona huyu kauza mwili wake kwa faida na kwenye hiyo akapata ngoma
@jumamustafa1328
@jumamustafa1328 8 ай бұрын
Inamaana hao madaktar walishindwa kukupa PEP wewe ........mbona kama unaongopa jaman ....mana PEP lazma upewe aisee
@gracegeorge128
@gracegeorge128 8 ай бұрын
Pep haikuwepo kwa mwaka huo
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 5 ай бұрын
Haijalishi yupo na ukimwi mi nimemkubali pic kali sana ila mm nipo salama kiafya mrembo upo tyr ❤🎉
@KOBABoy-xt6ug
@KOBABoy-xt6ug 8 ай бұрын
Hii story tamu ila ni ya uongo 😅😅😅
@SakinaAndrew
@SakinaAndrew 8 ай бұрын
Tuambie ukweli bac
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 8 ай бұрын
ndio nahisi ni ya kutunga
@user-te9go8bw7c
@user-te9go8bw7c 8 ай бұрын
Wasiomfatilia ndio hawatamuelewa lkn kama unamfuatilia vizur unamuelewa pole dada .nakuelewa sana nakufuatia sana mungu akupe wepesi mana yeye ndie mwenye kuleta uzima na ugonjwa
@user-qr3sr6cw5k
@user-qr3sr6cw5k 7 ай бұрын
inauma kinoma, binadam ndo wanafanya binadam wezao kuwa wanyama, pole dada ,Ila kwa nn Sasa na ww ulitafta mtu umwambukize asee😢😢😢
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 ай бұрын
Mm namtaka huyo ukimwi sio ugonjwa ogopa kansa na magonjwa mengne sio ukimwi alaf shamba lina mikorosho 2 shamba lina faida
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 5 ай бұрын
Duuh😢😮😊
@rynesawaya7043
@rynesawaya7043 8 ай бұрын
Kumbe iz ni nywele nlijua ndiz kisukar chaaaaa 😂😂😂😂
@zaynabmwanjovu8277
@zaynabmwanjovu8277 8 ай бұрын
Kuma huyo😂😂😂
@getrudeshirima9524
@getrudeshirima9524 6 ай бұрын
Hata mimi
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 7 ай бұрын
Mungu atamponya yeye anitafute ntamuelekeza cha kufanya na Mungu ataingilia kati na atamponyaasiogope awe na matumaini anitafute tu mimi ni mtu wa Mungu na msaada ataupata na atatoa ushuhuda wa uponyaji wa Kiungu
@mankahosea7400
@mankahosea7400 7 ай бұрын
HIV si Haina dawa jamani Mimi na rafiki yangu kashajikatia tamaa anakunywaga pombe tu kila siku anasubir kufa😓
@alainbouba5164
@alainbouba5164 7 ай бұрын
Daaa! Mpaka naogopa kuparamia hata mke wangu. Wewe unao? Ebu njoo unieleweshe
@user-ks8ou5vt1r
@user-ks8ou5vt1r 8 ай бұрын
Dida mpe nafasi bwana stori haishii unaingilia heeee😮 unatuchosha
@walburgammassy2050
@walburgammassy2050 8 ай бұрын
Dida anaongea kuliko mgeni yaani waswahili bwanaa!!!
@mayramayra7945
@mayramayra7945 8 ай бұрын
Yaani kama kasukuu
@edwintouches
@edwintouches 7 ай бұрын
Nawaza tu, wangemuanzishia PEP siku hiyohiyo baada ya kufika Hospitali pengine asingepata HIV. Kwanini walimruhusu aende akae siku kadhaa ndo arudi tena kupima? Hapo kuna hesabu ilikosewa.
@lamecksebyiga1630
@lamecksebyiga1630 8 ай бұрын
HII STORY YA UONGO UKIONGANISHA DOTI ETI RAFIKI KAPIGA KELELE NA WAMEMUINGILIA WATU WENGI, HAILETI SENSE SEMA UKWELI TU ULIPOPATA HUO UGONJWA
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 8 ай бұрын
Mi nahisi aliupata Kwa boss wake wa hotel' anaficha tu
@praisesteven7774
@praisesteven7774 8 ай бұрын
ina maan rafk ake hawakumbakaaaaa walikamkataaa tu how yaan 😂😂😂yaan muongo uyu jmn duuu
@negrokalinga9025
@negrokalinga9025 8 ай бұрын
alikuwa mjamzito
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 8 ай бұрын
hajabakwa huyu alipewa na bwana wake hataki kusema ukweli
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 8 ай бұрын
​@@praisesteven7774muongo hafaiii bora kusema ukweli kama ana ukimwi kuliko kuficha kuja kuuwa wenziwe
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
MAGIC DRINK TRICK TUTORIAL 😱😳
0:20
Milaad K
Рет қаралды 22 МЛН
Rang Pi Liya Mama 😂 #shorts #tiktokvideo #funnyshorts #comedy #ytshorts
0:46
Sukhasan Ka Rahman Bhai
Рет қаралды 35 МЛН
Этот парень написал картину... 😎
0:29
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 7 МЛН