Hali ya kisiasa si nzuri kwa Rais Hussein Mwinyi. Hii ni sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa hali hiyo. Sikiliza.
Пікірлер: 266
@fahmisaid67585 ай бұрын
Shukran Ansbert kwa kutuelimisha, Zanzibar kuna mengi na mazito endelea kutufahamisha.
@kenedyrocky46415 ай бұрын
KAKA YANGU A NGURUMO, HUU UKURASA WAKO HUU UNANIPA ELIMU NZURI SANA YA KISIASA. SINA NENO ZURI ZAIDI YA NENO "ASANTE" MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE AFYA NJEMA NA QWARESMA NJEMA MPENDWA WA MUNGU.🙏🙏🙏
@R10_RajabАй бұрын
@@kenedyrocky4641 Maneno ya kuambiwa ....
@elibarikimollel71495 ай бұрын
Asante mzalendo Ansbert kwa uandishi wako mahiri, wananchi tunabahati kupata habari ingawa ni mtandaoni tutaambiana tulipofika. Huyu wa Zanzibar ameonyesha uthubutu, kama ni kwa manufaa ya wananchi iwe rahisi tu na wengine waige ili wenye mazoea wabaki wenyewe ndio demokrasia, lakini huku Tz.bara sidhani patatokea uthubutu huo zaidi ya kulindana kwa maslahi yao binafsi!.
@machoguhameri77575 ай бұрын
Sio Zanzibar tu pasipo salaama.Hata nyumbani kwako wewe mwenyewe si shwari baina yako na mkeo na wanao.Wewe endelea kuchimba ya wengine kwako kunaporomoka
@stanslausmchonde78925 ай бұрын
Jasusi @Evarist Chahali alisema haya bila ufafanuzi sana alisema TU Ufisadi wa mheshimiwa kuwapa watu wake kazi kujinufaisha lakini Leo Ngurumo SK MEDIA ama Maswali Magumu umeibua kile kilichojificha. Ahsante sana.
@batrumbeziks59464 ай бұрын
Huyo aliyejifanya "Mzanzibari" uliyempa kizungumza sio Mzanzibari. Sie Wazanzibari hatuna Kiswahili kibovu kama hicho.
@user-zx9mk6pr1c5 ай бұрын
Wazanzibar wakaze ngoma siku zote maisha Yana maumivu!
@KijukuuMtemi5 ай бұрын
Bora ujiuzulu fadher mungu atakupa riziki ako kesho kiama upate pepo kazi mbaya sana
@MathewNathan-yb2bz5 ай бұрын
Afrika tuna uhaba wa viongozi bora.Tunaongozwa na watawala wasio na uwezo,bora liende.
@naimaabdu80125 ай бұрын
Huo muziki unatuchanganya. Unatutoa katika kusikiliza na kutafakari linaloongelewa
Zanzibar leo hii Inatangaza Kuishiwa Pombe basi ujue Utalii umeleta Majanga! na Msisahau Mashoga na Ushoga! Nchi itanuka Mavi mkikaa Kimya!😊
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Sijui nyie mnao wapigia makofi Hawa na kuwafumbia midomo
@DavidDanken-uf7kp5 ай бұрын
Dah tutatapakaa mav aisee!
@meekman18055 ай бұрын
😁😁😁
@mwanaishaabubakar50135 ай бұрын
Nchi inanuka mavi ivooo kweli kweli kabisa.
@josephmwita60125 ай бұрын
my prophetic mzee ngurumo
@amesalum36365 ай бұрын
Well done My SIR ❤
@yudamtewele20065 ай бұрын
Nakuelewa Sana mkuu I wish one day uje kugombea hata uenyekiti wa Kijiji . Example
@rasheedabby28715 ай бұрын
Tunakuza sana mambo madogo
@frankminga93075 ай бұрын
Mchambuzi makini, aksante
@machaliakulima765 ай бұрын
Mchochezi makini yeye Ngurumo yuko Ulaya likitokea varangati hayumo atafuhia sababu yuko Ughaibuni
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Atakama yuko wapi watawala wanao watu wao ukouko
@jafarindande55745 ай бұрын
Urais 2030 kazi ipo, naona Dr Mwinyi anawanyima usingizi.
@felixmsale92445 ай бұрын
Big up mkuuu .Zanzibar na Tanganyika haiwezi kua salama kabisa kwa ķosa moja kubwa .HAINA KATIBA NZURI .VIONGOZI WANAITAWALA NCHINKAMA WAFALME WANARIDHIANA MADARAKA. HATUWEZI KUA SALAMA HATA SIKU MOJA BILA KATIBA THABITI.
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Ndio ila ilo ni Moja Kati ya mambo muhimu lakini tungelimpata Mt mzalendo engerekebisha yote ayo
@hajihassan54335 ай бұрын
@@user-et9vf2ro2k Tanzania hakuna tatizo la Katiba tatizo ni kutokuheshimiwa na kutekelezwa. Kuna ibara kadhaa mfano 133 - 144 (Akaunti ya pamoja nk). Kubwa kuliko yote kizazi kilichopo sasa wa kila upande hawana imani tena na Muungano na kama ni hivyo Katiba haiwezi kupatikana.
@user-qo8uj1ym4m5 ай бұрын
❤mchambuzi makini sana yajayo yanatisha 😢 wazanzibar hawatokubali tena kuibiwa kura na itaeleweka tu tupo tyr sote kuuwawa ikisha ccm itawale mikarafuuu😮
@giovannir.restone1825 ай бұрын
Kwa mwendendo huu wa uongozi.. Naiona Zanzibar ikipoteza hadhi yake ambayo kwa miaka mingi inajulikana na kuwa kivutio kikubwa sana kwa watalii wengi duniani. Huyu jamaa hafai kuiongoza Zanzibar
@omarkapula5885 ай бұрын
Sio kweli hilo ni jambo dogo msipotoshe watu zanzibar inazidi kuwa maarufu duniani
@RioIpo5 ай бұрын
Hufai weye
@giovannir.restone1825 ай бұрын
@@RioIpo I don't have to !
@mwanaishaabubakar50135 ай бұрын
Zanzibar imekwisha na ishazama waliobaki majeruhi.
@evansmtalo94065 ай бұрын
Muda utasema! Tusubiri.
@ProsperMwakasungura4 ай бұрын
Una weledi mkubwa sana Ngurumo.
@KijukuuMtemi5 ай бұрын
Jamaa kaangalia mbali Sana utalii unamambo mengi kwa Imani yake ameona kazi haifai
@hajihassan54335 ай бұрын
Ni vita tu ya maslahi. Waziri yule alikuwa ndie anaeuza pombe yote Zanzibar kama alivyosema Rais.
@user-hx8yd9gp2q4 ай бұрын
Kwahuu uliowepo zbar ndio haufai kwasababu umebeba kila aina ya maasia
@dn.n49835 ай бұрын
Huyu baba kweli tunakulenda sana
@KijukuuMtemi5 ай бұрын
Raisi mwiny umeongea point kubwa kwel kama angekufuata kwanza angetenda kitendo cha kiungwana si vizur kutangaza mtandaon kwanza bila kukufata
@johnambrose72235 ай бұрын
Ndo wale wale
@TM-zs3rm5 ай бұрын
Ya Kikwwte na Lowassa . Ni haya tena .
@user-pj8cj7ps5b5 ай бұрын
Safi sana
@user-ev3pw5me1w5 ай бұрын
Huyu sio rais huyu ni gavana wa Zanzibar
@zapauzapau-ts7se5 ай бұрын
Sahihi usemayo
@ChabAlly-jq6oo4 ай бұрын
Fitna tupu. Hakuna chochote hapo.Udini pia umetiwa ki namna.Na kumfanya Mwinyi si Mzanzibari. Matatizo kuyapeleka kwenye pombe ili kunyanyua hisia za wazanzbari. Mwinyi anafanya vizuri sana Zbar.
@user-qv7nx2tx6t5 ай бұрын
Uyo raix wa zanzibar anakula hela tuu alafu aondoke mchezo uishe
@froma37325 ай бұрын
Ukiwa unaongea hizo nyimbo hazihitajiki inakuwa unatuchanganya
@issayahya16405 ай бұрын
Mwinyi watu wengi hawamjui ila ni fisadi sana na ana ujamaa sana. Ulizia kampujimya Tronic ni ya nani
@farisomar18895 ай бұрын
Ni vibarak wa ccm kuiangamiza Zanzibar tu
@patrickmarwa95875 ай бұрын
History of Gaddafi of Libya
@DrFatmaKhanPanAfrikan5 ай бұрын
😒 Muziki sauti punguza please
@AbdallaJuma-tx5ckАй бұрын
Asante sana.
@rafaelmarquez93963 ай бұрын
Urais wa kumwaga damu za wasio na hatia ili awe rais dhulma haidumu na ikidumu inadamirisha
@msabahaali7585 ай бұрын
ngurumo nimekukubali kuichambua Zanzibar ni ombi langu kwa muda mrefu huku ni shamba la bibi mwinyi anakipakulia minyama tu
@humuodkindi49265 ай бұрын
Zanzibar kuko shuwari kabisa. Haya maneno ni kawaida upande wapili wakiona shuwari hawapati usingizi
@halimamasai22345 ай бұрын
Tena shwara kweli kweli We acha unafiki na kutia watu wasiwasi
@margarethpolepole74385 ай бұрын
Hayo ni ya kawaida mbona Lowasa slijiudhuru Mungu amlaze mahali pema peponi
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
Lowasa amekujaje hapa 2naongelea kuhusu Znz
@abdifaraji28835 ай бұрын
Kwa sababu Luwasa ni Mtanzania wa kupigiwa mfano.
@janethpallangyo38555 ай бұрын
❤❤❤
@King_Of_Everything5 ай бұрын
👊✌👍.
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Chadema au ccm
@elibarikikweka57125 ай бұрын
There must be a very crucial issue,so huwezi kusema eti Zanzibar si shwari. Lazima KUNA sababu
@shahabdallah94075 ай бұрын
Kumbe kisa ulevi?
@evansmtalo94065 ай бұрын
Hii familia ya mzee mwinyi inajua faida ya biashara ya pombe.ndo maana tangu zamani wanaipenda hii biashara
@jumakiduka46255 ай бұрын
huo muziki kstska tsarifa zako unakera
@muhammedbakari28675 ай бұрын
Zanzibar tunatawaliwa na mtanganyika kwa maagizo ya uengereza na marekan ..hatu mumunyi maneno..
@josephlorri4315 ай бұрын
Tanganyika kutawala visiwa vya Zanzibar ndo salama ya visiwa hivo... vinginevyo wangechinjana na kupinduana... Mzee Karume ni kiongozi hasa,aliona mbali,alichoka haraka baada ya mapinduzi na hakuachwa salama
@myself41285 ай бұрын
sisi wote ni Nchi moja acheni ujinga
@user-gd2xj3xd1b5 ай бұрын
@@myself4128Tanzania ni nchi 2 zenye geographia tofauti,historia tofaut ,mipaka tofaut ni utashi TU wachama tawala ila sio wananchi Zanzibar muungano tumeukataa zaman sana
@afropatriot77695 ай бұрын
Na tanganyika tunatawaliwa na mzanzibar kwa mamlaka ya nani
@barakanyamafu59375 ай бұрын
Wewe ni mwongo
@KhaleedHamad-vl7lz5 ай бұрын
Hahaha serikali ya kifalme baba mwana
@abdulrahmansalim97735 ай бұрын
😮
@MohammedAwadh-gq9si5 ай бұрын
Huyu Mzee SAA ingine kama hazimtoshi kabisaa! Yeye ni mwandishi wa kizamaani ! Sasa hapa znz huwa hatubahatishi!
@mchagagaspar66495 ай бұрын
WAHAKIKISHA WEWE NDIE ULIWAFUNGA MSHEIKH WA ZANZIBA KUUNGWA MYAKA 9 HADI WENGINE KUWA WALEMAVU UKIMTIIKIKWEE BADALA YA MUNGU WAKO ,ILI UPWE URAISI ,HATA IDDI AMIN GADAFI NA ....WALIKUTANA NA MUNKARI NA NAKIR ....
@lucylyuki48525 ай бұрын
Eeeheee
@alvinbernad65495 ай бұрын
Kimeumana😂😂
@user-ly7yx2be1p5 ай бұрын
Wewe ngurumo unapandiwa kumbeee
@ismaeldiwani15955 ай бұрын
Fanyia utafiti mambo mengine unayoyawasilisha. Ukiendelea hivi utajivunjia heshima ya umakini
@halimamasai22345 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rashidkihunga29385 ай бұрын
usiyo yajua kaa kimya uyajue
@muuminsaid-bd6cm5 ай бұрын
Mm namkubali raisi wangu mwinyi pija kazi
@alialamoudi97295 ай бұрын
Historia ya zanzibari kwa elimu ya dini ya mungu nchi iliyo jaa misikiti kila pahala haifai kutenda mambo enayo katazwa katika dini ya kiislaam hapo braka la mungu haitaendelea kwa uasi pombe utali ushoga pesa sio kila kitu masahaba hawakuwa hivyo bora ritha mungu NA kusoma gruani NA maana yake baraka itajaa tele kwa watoto na vizazi NA kwa nchi
@AnsbertNgurumo5 ай бұрын
Zanzibar ni nchi inayotegemea sana UTALII. Ule si utalii wa kidini. Eleweni.
@leotvke.5 ай бұрын
Bila shaka unayoyasema yanauzito mkubwa na mimi kama mchambuzi chipukizi wa siasa za kimataifa naunga a na wewe Mia fili Mia, 2022 ni litembelea taifa hilo na nikaona hata kampuni zinazopewa tenda za ujenzi ni kupitia jina lake kama vile Mwinyi contraction engineering hilo lilinishangaza na vyombo vya habari na mashirika ya haki za uma yamekaa kimya juu ya huo unyama
@elibarikikweka57125 ай бұрын
Duuh! Kama ni HIVYO basi ni balaa. LAKINI hii haitoshi kusema Zanzibar si shwari
@kabwangaselemani52285 ай бұрын
Hivi ni kweli channel hii haijaona mema kwenye Serikali hizi mbili?
@namsifubwana21525 ай бұрын
Kwani serekali ni nani si pamoja na huyo aliyejiuzulu?? Kama ana mawazo tofauti ndo ajiuzulu😢😢
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
Serekali si ndo baraza la mawaziri au anaongelea nn Mwinyi wa mkulanga
@mwanalelee65 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-jx7ot4ru7l5 ай бұрын
Bora ujiuzulu zanzibar sinchi hii mkoa tu huu wewe waziri unaweza kwenda tia saini Kenya waje Kenya waje aekeze watu
@user-gd2xj3xd1b5 ай бұрын
Zanzibar ni mkowa wenye tarehe yake ya uhuru,katiba yake,Sheria zake,mipaka yake ni tofaut na mikoa ya Tanganyika kama vile Tanga,Daresalam,Dodoma nk
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Kweli tumshauri huyu Mt kwa Hali ilivo bora a hie t akafanye mwengine yabinafsi
@hajihassan54335 ай бұрын
@@Sheba4651 Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo ndani ya Muungano nje ya mataifa mengine Zanzibar sio nchi hata Ireland, Scotland, England na Wales zinafanya United Kingdom (Uingereza) passport yao ni moja hivyo nje ya nchi nyingine zote hizo sio nchi, nchi ni United Kingdom (Uingereza) na Tanzania ipo kama hivyo Zanzibar na Tanganyika zote sio nchi, nchi ni Tanzania.
@muhammedbakari28675 ай бұрын
Manyan yakipigana nyas ndio zinaumia
@HhhTt-vl9ct5 ай бұрын
Sami ni waziri wa utalii na utalii unataka anasa Moja wapo ni pombe Sasa serikali imezuiya kuingiza pombe Zanzibar na yeye simai ana bar kubwa pale Zanzibar na ni kitovu Cha watalui wanao tumia vileo kwa ufupi hiyo ndio story.
@RioIpo5 ай бұрын
Mercury na 6 degrees zote zake
@ameirzapy13185 ай бұрын
Sisi wanzanzibar tupo shwar saana kwa sasa, hakuna shida YOYOTE wala vurugu, habar ya viongozi tunawaachia wenyewe hadi 2025 😅 vurugu kwetu uchaguzi tu basi
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Sawa ila isimaanishe kwa mba2025 ndo tufanye vurugu ama tufanyiwe hapana bali ni historian t kua kila uchaguzi tunafanyiwa fujo Mara hii bass ujinga ujinga huu
@mbelechimakobola88355 ай бұрын
Kila mtu na kipaji chake kweli, kwa upande wa chaneli hii, uchambuzi yakinifu wa kisiasa ndio mahali pake, safi kabisa ndugu, barikiwa, tunainjoi.
@pherdsonmasansi30685 ай бұрын
Biashara ya Bia
@edesaron90705 ай бұрын
Duuu urafi wa madaraka
@gilbertshirima26845 ай бұрын
Naona nikiendelea kufurahia bando langu
@user-nr3uw7bq1r5 ай бұрын
Eti anataka kugombea urais Bara na siumesema Bara ndiokwao kwani akigombea anaizuia chadema kushinda, jinga Sana wewe
@abdulrahmansalim97735 ай бұрын
😮😮Kaja bila ya WAZANZIBARI kujuwa nani raisi na yeye katumia kupiga watu na kuuwa alikuwa zaidi ya kujiuzuzu lakini kaganda na damu za watu 😮😮😢😢😢😮
@lucylyuki48525 ай бұрын
Kumbeeerr
@hajimnubi45815 ай бұрын
Kagame anaivamia nchi moja ya Africa mashariki Ndani ya wiki mbili hizi...fuatilia hii...it is serious
@user-mn7zq7cd5t5 ай бұрын
Inchi gani
@freduallughano23015 ай бұрын
Mmmh Kagame anajua madhara ya vita labda apigane na Burundi lkn kwa tz au kenya hawezi labda alazimike kupigana.
@jonathanakhabuhaya16935 ай бұрын
kama ni kweli Rais Mwinyi amegawa tenda za pombe kwa upendeleo kwa ndugu zake, basi huyu ni Rais bomu na Z'bar inaelekea kuzimu.
@josephlorri4315 ай бұрын
Shabib.... mzigo uliwekwa
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Una Dhani nini wewe
@w40585 ай бұрын
Majambazi tu hao CCM wakosefu wa utu imani hawana jengine washenzi wakubwa
@w40585 ай бұрын
Allah atuhifadhi Ansberten kipenzi chetu wapenda haki
@SalamaKhamis-un8vn5 ай бұрын
Huu mziki unakeraaa
@KassimAlly-xp4dz5 ай бұрын
2lia ww ndo unaleta stim ya kusikiliza vizuri kinacho ongewa
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Ndio ila kwa wengine unafurahisha maana kwaya wanazipenda Sana hawa
@godsson59545 ай бұрын
bora umeongea ni heri awe anaongea bila mziki au bora waweke beat tu
@stanslausmchonde78925 ай бұрын
Huo mziki ndio kitambulisho Cha chanel hii ya SK MEDIA
@benedictmichael24255 ай бұрын
Kimya kingi kina mshindo mkubwa. Tunausubiri huo mshindo....
@makibadatela78655 ай бұрын
Kujiuzulu sio kwenda kumwomba Bosi wako kuwa mie naacha kazi au la, Bali ni uamuzi wako kuwa una acha kazi na hutoendelea nayo akubali au akatae, kumwarifu ni utaratibu tu haubadili umuzi uamuzi wako na ungwana, Hilo la kutaka kujizulu halafu bosi akakataa !!!!!
@abdulrahmansalim97735 ай бұрын
😮WAZANZIBARI HATUTAKI MUUNGANO HARAMU USIO NA MSINGI WA KIMAADILI WAZANZIBARI NA NCHI YAO 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@begukulemosobe96855 ай бұрын
Maadili yapi? Wakati kumechafuka hatari
@ZaitunAbdallah-ol1bb5 ай бұрын
Muongo hukutaka kujiuzulu muongo
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Eeee we Nani unaejiamini ili na sisi tupate ujasiri
@user-tk8nn2tu3u5 ай бұрын
Iko wapi Zanzibar tunayoijuwa?
@user-jq7cf9qe8o5 ай бұрын
😂😂😂ipo subiria inaandaliwa vizury maanake ushoga unaenea kila kona usagaji usiseme dhulma n.k still kunawajinga wa unguja wanaipenda CCM ila tuendeleee😂😂
@josephbundala14755 ай бұрын
Huyu si mchambuzi. Ni mzushi tu.
@AnsbertNgurumo5 ай бұрын
Hongera!
@aediayumgo85465 ай бұрын
Acha uchonganishi Mzee miyeyusho
@godsson59545 ай бұрын
UCHAMBUZI UFANYIKE BILA HUO WIMBO(BACKGROUND MUSICS SUCKS)
@machaliakulima765 ай бұрын
Rais Hussein si mlevi wala mnywaji wa vilevi
@rashidkihunga29385 ай бұрын
kama haukili wache wakile.kama hanywi ache wanywe
@barakanyamafu59375 ай бұрын
MIMI SIONI TATIZO HAPO RAISI YUKO VIZURI TU
@omarmohammed51575 ай бұрын
HHHHHHHH IMEFIKA ZAMA WATU NI WAZUR KUWASHAURI WENZA WAO ILA WAO NI NGUMU KUZIKUTA IZO TABIA KUWANAZO😂😂😂😂😂😂😂LAZIMA TUWE WA KWELI😂😂😂😂😂😂
@alijuju86975 ай бұрын
Kwani huyo seif hakuwa muislam? mbona...
@NoufelSalim5 ай бұрын
Uyo simai anauza pombe na mwinyi anaitk biashara ya pombe, kiufupi wote wanapigania matumbo Yao.
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Una uhakika gani tupe uhakika sasaiv ili tujiridhishe ili tuingie mzigoni
@abdulrahmansalim97735 ай бұрын
HUYU RAISI SI MUISLAMU HATOKI MISIKITI I MBONA ANAJIHUSISHA NA POMBE POMBE AU MLEVI KAMA KARUME HAWA WATU HAWANA IMANI YA UISLAMU PESA MBELE WAMEWEKA SIO WATU WAZURI 😮😮😮 .
@gilbertshirima26845 ай бұрын
Mtu mzima ukizungumza ukiwa umeegemea kitu kama hiyo pulpit ni dalili ya kuongea uongo
@Iptysamkihiyo5 ай бұрын
acheni unafki ni chuki tu
@aronmtui5975 ай бұрын
Viongozi wa Africa ni shida
@alexmachare64955 ай бұрын
Maswali magumu
@feliciarfrancis23885 ай бұрын
We mpumbavu huyu ni daktari unayemuongelea ,acha uchochezi unajifanya una akili sana sio, na unaipenda Zanzibar!!!???
@joojombi23415 ай бұрын
Wacheni kupotosha umma nyie na unafki wenu na chanel yako brth. Muogope mungu wako brth. Muongo mkubwa fatani mkubwa wee
@AnsbertNgurumo5 ай бұрын
Unajua maana ya unafiki au unalitumia kwa mazoea tu? Wanafiki ni wale wanaojipendekeza kwa Mwinyi mchana halafu usiku wanasema ukweli wake. Wapo pia wanaomwambia anaupiga mwingi huku wakijua fika kuwa anaboronga! Chunga sana!
@joojombi23415 ай бұрын
@@AnsbertNgurumo ningekua cjui nisinge sema njoo Zanzibar Mkwajuni upewe darsa wee na kutuletea habari za uongo mtupu na ufatani mtupu. Utamjubu nn mola wako cku ya hesabu zako
@AnsbertNgurumo5 ай бұрын
@@joojombi2341 Hata mlipomteka na kumpigia Bakari Shamte mlikanusha, na mkamtisha akusaidieni kukanusha. Asante kwa makaribisho.
@ameirzapy13185 ай бұрын
Ukitaka ujikute matatani basi ujadili suala la Zanzibar kwa akili yako,, utajikuta yule unae mtetea anakubadilikia ,, Sisi wazanzibar hatuna tabia ya chuki za kuendelea, soon utakuja kusikia kitu kuhusu Mwinyi na Wazir simai, ya ngoswe mwachie ngoswe
@mohdmohd84285 ай бұрын
Zanzibar ni shwari na amani
@machaliakulima765 ай бұрын
Ngurumo anachuki sana sana sana na Tanzania
@R10_Rajab5 ай бұрын
Huyu mzee ametumwa
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Alokwambia Nani au kimya cha njaa ndio tunagugumia acha masihara yako wewe
@machaliakulima765 ай бұрын
Hussein Ali Hassan Mwinyi yuko vizuri kiutendaji tunayaona maendeleo anayofanya na ari ya kuijenga Zanzibar kama vile kuboresha na kujenga miundo mbinu kama vile barabara, maskuli ya kisasa, vituo vya kisasa vya usafiri wa jamii kama vile pale Malindi nk. Lakini akina aina ya Ngurumo hawapendi kuona Zanzibar ikiwa na amani wanapenda kuona vurugu, misuguano nk. Zanzibar ni portpal ni visiwa vya watu mchanganyiko karibu ulimwengu wote, iweje akina ALI HASSAN MWINYI, Ngurumo awaseme si wazanzibar mbona huyu mwandishi anatumia kalamu kalamu yake kuibomoa Zanzibar?
@R10_Rajab5 ай бұрын
Ametumwa huyo
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Wewe hujui kitu tulia unacho kiona wewe ni mshahara wako t
@R10_Rajab5 ай бұрын
@@user-et9vf2ro2k Wewe pia unachokiona ni chuki roho mbaya na husda tu ya Kipemba ndio unayoiona ila hahaha Mitano Tena kwa Daktari Hussein Mwinyi kipenzi cha Wazanzibari wanaojielewa
@user-gd2xj3xd1b5 ай бұрын
Mkereketwa kanena hhhhh
@gangmore9091Ай бұрын
@@R10_Rajab jiseme nafsi yko wa zanzibar wanaojielew ni wale wanaotka mamlaka kamili hayo anayofanya mwinyi n lazima wafenye kama serekali barabara hospital nk hayo majukum yao