zitazame silaha za jeshi la tanzania hatari zaidi ukanda wa africa vifaru makombora ndege magari

  Рет қаралды 63,162

Jenafa TV

Jenafa TV

5 ай бұрын

tanzania millitary mighty , weapons hadware demonstration and millitary parade nguvu ya jeshi la tanzania

Пікірлер: 92
@user-tf9ez8zu6t
@user-tf9ez8zu6t 5 ай бұрын
jeshi ndo kila kitu, Mii naona muwekeze sana kwenye ulinzi . ongeleni sana but tunataka nchi iwe na nguvu za kijeshi. yaaan nyukilia
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 5 ай бұрын
Naipenda sana Tanzania!! Hakika naipenda Tanzania nchi yangu. Ni nzuri sana!!
@Dan13Speed
@Dan13Speed 5 ай бұрын
Great Job Tanzania. I see a lot of improvements especially from last years parade. There is no competition amongst the East African Community States. Instead we should have joint exercises, as these forces are not designed to fight neighbors, but instead to protect from external aggression.
@yussbreezy918
@yussbreezy918 4 ай бұрын
Agreed 👍
@nyirasabwafrancoise1567
@nyirasabwafrancoise1567 5 ай бұрын
Naona muko hatari kbs. Ata na sisi hapa Rwanda tunawatazama
@MwananzengoJegakijiji-yl4vt
@MwananzengoJegakijiji-yl4vt 4 ай бұрын
Yaani jeshi liko imara kweli kweli
@stonemukandjila842
@stonemukandjila842 17 күн бұрын
Mbosso Video
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 4 ай бұрын
Zakizamani hizo msionyeshe siku yakupigan wameshaziona watajuwa wawazuiye vipi nyie siraha za kizman san wengin wanatumikisha série A2021 au 2022 mpaka 2026
@coolruler6820
@coolruler6820 5 ай бұрын
Angalau,,,,ila wenzetu weupe bado sana kuwakaribia,,,,,hapo sidhani kama kuna s8laha hata moja made in Tanzania
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 5 ай бұрын
Zipo Kuna kifaru na ambulance na magari ya kuzima moto ambayo ni yanategenezwa na shirika la jeshi la NYUMBU
@user-ii3bn4en8e
@user-ii3bn4en8e 4 ай бұрын
Ayo maslaha yazaman yasha xpayaa hayapo tena asaa
@chacha-255
@chacha-255 5 ай бұрын
02:13 naziona BM 21 a.k.a sabasaba ambazo zinawasha moto huko Congo, waasi wa M23 wametoa mlio kukiri mziki wa JWTZ sio wa kitoto
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 4 ай бұрын
Wanapewa raha kisha wanatoa mlio 🙏🙏🙏🇹🇿Mungu ibariki Tanzania yetu Amina
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 5 ай бұрын
Siraha tunatakiwa jeshi letu tuanze kuunda wenyewe kama nchi ya Korea lran siyo kununua kila kitu tujifunze kuwa na chetu
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 5 ай бұрын
Bro wezenu wanazingatia Elimu leo bongo Elimu ya matabaka mtaunda kitu
@williamnathan4630
@williamnathan4630 4 ай бұрын
Kununua teknolojia sio kitu rahisi,Tena teknolojia za kijeshi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 5 ай бұрын
Hatuonyeshagi silaa tulizonazo ktk nchi zetu za kiafrica ni hatari mbali na hayo bado vyombo mnaotuonyesha jeshi letu linaitaji silaa za kisasa sio Kula manilion ya pesa badala kununua silaa mbali mbali za kijeshi za kisasa zaidi
@rizikivincent5255
@rizikivincent5255 5 ай бұрын
Kwani mnataka kuandaa vita?vita vita hivyo visikie kwa wenzenu ukifikiwa mkifikiwa navyo mnaona dunia yote kama choo kilichobomoka
@user-jq9km2tm2h
@user-jq9km2tm2h 5 ай бұрын
Mbona mnaanza kuzipokeya maiti za wanajeshi wenu kutoka eastern Congo kumradhi mupewe dhahabu ya congo
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 ай бұрын
Katika vita ye yote ile ni lazima upoteze askari kwa sababu nyingi.. suala ni kwamba kama JWTZ wamepoteza askari mmoja, waasi wamepoteza wangapi? Je wamekuambia?
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 4 ай бұрын
Wekeni mizinga yamana nyukria nzitonzito zakupiga hata mikoa 3 hadi 6
@jumannealfani9518
@jumannealfani9518 5 ай бұрын
God bless my mother land forever, my blood will be here in this soil forever
@user-ic4cg5fx2f
@user-ic4cg5fx2f 5 ай бұрын
Ukitaka kuona vifaru vya kila Aina njoo Mozambique.
@kudrasogoti3796
@kudrasogoti3796 5 ай бұрын
Tz inasili inatoa silaha za zamani
@khamisbwile4376
@khamisbwile4376 5 ай бұрын
TZ wanaakili sana hawawezi onyesha siraha zao za kisasa hizo ni zazaman kk mali hatar zimewekwa Chemba ili adui ajichanganye aone mziki wao mnene
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 5 ай бұрын
We Miso misondo umepigaje APO 😂😂😂 eti siraha nzito nyoo hamna haya 😂
@J4UPro
@J4UPro 5 ай бұрын
Huzijui siraha ndugu tulia hivyo hivyo tu.
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 5 ай бұрын
mikwara miiingiiii lkn au basi
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 5 ай бұрын
Dogo jiangalie sikuizi comment zina fuatiliwa 😂😂
@TheofridaJohn
@TheofridaJohn 5 ай бұрын
Yaani zinatidja
@user-rr3wu4gt1d
@user-rr3wu4gt1d 5 ай бұрын
Jeshi letu ni zuri lipo imara.
@user-uw1fs5mj9l
@user-uw1fs5mj9l 5 ай бұрын
Hizi zinafanya kazi kweli?mkajaribishane na hamas tuangalie moto
@shd12m55
@shd12m55 5 ай бұрын
😢
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 5 ай бұрын
Wapi silaha za Nyuklia,
@user-jq9km2tm2h
@user-jq9km2tm2h 5 ай бұрын
Silaha ni upuuzi mtupu mwawadanganya wa Congo!
@Missionary_work
@Missionary_work 5 ай бұрын
Kumbe ndo izo
@meekman1805
@meekman1805 4 ай бұрын
Jenafa kumbe bado upo hai! 😁
@ramygichero1016
@ramygichero1016 5 ай бұрын
Magari yamechoka jamani adi aibu
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 5 ай бұрын
Yamechoka wapi??
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 5 ай бұрын
izoza mipakani naonakopresa digaikowapi tukachoro nge. mngo dini tuombemngutu tu
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 4 ай бұрын
Bila shaka zote tumenunua :lini tutaunda zetu tuuze?
@EphraimWekesa-je7gy
@EphraimWekesa-je7gy 5 ай бұрын
The pictures showe india Weapon.
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 5 ай бұрын
Kuwa nahakili
@McGitty
@McGitty 5 ай бұрын
Uganda bako juu because they make some weapon in their country.so they're better than Tanzania,
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 ай бұрын
Unalijua shirika la mzinga wewe? Unafikiri wanatengeneza sufuria? Lmao! Lilitengeneza silaha zilizomtoa Idi Amin na lilalamikiwa hata na wacongo wakidai Tz inauzia waasi silaha!
@J4UPro
@J4UPro 5 ай бұрын
Mr kukurupuka, you know nothing.
@user-jq9km2tm2h
@user-jq9km2tm2h 5 ай бұрын
Mtapata chamtemakuni au kilicho towa kanga manyoya
@user-jq9km2tm2h
@user-jq9km2tm2h 5 ай бұрын
Metadata chamtemakuni au kilicho towa kanga manyoya!!!!
@godfreypaul251
@godfreypaul251 5 ай бұрын
Nunueni za kisasa
@kassimukombe-vv6uf
@kassimukombe-vv6uf 4 ай бұрын
Silaha tunafaa tujitengenezee wenyewe Kama Iran wala sio kununua😢
@stonemukandjila842
@stonemukandjila842 17 күн бұрын
Mbosso 24
@gasarabwepatrick659
@gasarabwepatrick659 5 ай бұрын
X❤️🇷🇼🇷🇼🇷🇼😊😮😮🤣🤣🤣 kwetu ni hari usijyaribu utapata cako kweri 😮😮
@J4UPro
@J4UPro 5 ай бұрын
Unasemaje?
@cricwambali1352
@cricwambali1352 5 ай бұрын
Zakwenu Zina pita wapi paka zisijulikane
@cornerbroscafe
@cornerbroscafe 5 ай бұрын
hahaaaa hii ni mishumaa bana haiuwi ata kuku
@J4UPro
@J4UPro 5 ай бұрын
Acha zalau
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 5 ай бұрын
Wapumbavu pekee husapot habar za kipumbav yan siraha silizotumika kupambana na nduli I'd amin had leo ni izo izo afu unawambia watu siraha za hatar
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 ай бұрын
Kama unabastola ndani utaambia majirani zako na wezi kuwa una silaha? Kama wanamchukua mkeo hawataiba hiyo bastola? Uwe na akili!
@wilsongafurero4284
@wilsongafurero4284 5 ай бұрын
Kagame aache ujinga wake, otherwise atapigwa sawa mtoto.
@ntarejohn1843
@ntarejohn1843 5 ай бұрын
Waca wewe pumbafu leave Kagame alone
@KarambiziMartin-xv8op
@KarambiziMartin-xv8op 4 ай бұрын
Nimekucheka hadi meno kudondoka chini yule mzee weka pembeni bro anajua kazi yule ni General wakikazi usifanye makosa nakumfananisha kwenye hili Bala la Africa 🌍
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 5 ай бұрын
Mazana law quality old & cheaper Nendeni kenya mkaone majesh na zannna za kisasa Na kubwa kuliko yote elimu
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 5 ай бұрын
Nani kakuambia 😂😂😂😂😂😂 Kenya ndio hamna kitu
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 5 ай бұрын
Old hebu tuoneshe za kwako hizo ambazo ni za miaka ya sasa na ni very high cost
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 5 ай бұрын
@@user-cn9br7en7wkwani we izo scraper za kwako mwamba Sio lazma ujibu ukweli wa ninoonqea km vp tuliza tu kipira
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 5 ай бұрын
@@user-cn9br7en7w Ata babako anajua kmuulize Nani east africa hii km kenya Weapon za kisasa,elimu ipo na uzoefu pia wa operation za kivita ndo usiseme Nyie bonqo Kipi zaid ya blaa blaa tu
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 5 ай бұрын
Mbona sioni siraha iitwayo HIMARS haop😂😂😂
@mimiraia2531
@mimiraia2531 5 ай бұрын
Imefichwa. Labda wametunza Solana nyingine kisiri
@pascalgashikanyi9429
@pascalgashikanyi9429 5 ай бұрын
Uongo ngo vifa kuzidisha East Africa yote nivifa.Inapigana ao niwana Jeshi Kinwa bure kusema ongo kama ba congoman RDC simbona M23 yiko inabakimbiza n'a Angola n'a South Africa n'a Burundi mucanginyiko mû gongwa wa kicka uko Masisi bunagana kupigwa kama batoto murudushiye Bugufi n'a Baha bakwetu bira ivo mutayireka kwa Damu ku anguka kabisa
@madsonmmbwanga3037
@madsonmmbwanga3037 5 ай бұрын
Mtoa post hujafatilia Vita ya Ukraine vifaa vingi vinafeli huko. Tunatakiwa ku upgrade zana za Vita kuendana na mifumo yakisasa ya kivita. Nchi za kisasa zinaenda na wakati.kuwekeza zaidi kwenye zana za vita.hapo bado tuna hatua kubwa sana kiukweli sio hatua tu Ila masafa marefu
@khamisbwile4376
@khamisbwile4376 5 ай бұрын
Unaongea ukweli, lkn kunasiraha nyingi na imara za kisasa ambazo haziwezi onyeshwa ni sir ya jeshi tu. Hongereni TZ
@emoalembe4790
@emoalembe4790 5 ай бұрын
Kenya ina majeshi n'a silaa balaa !
@martinisadru9899
@martinisadru9899 5 ай бұрын
Kawadanganye walevi wa gongo, tangu lini jeshi la Tanzania wameunda siraha hatali, sisi Africa ni 0, kazi kununua siraha kutoka Kwa wenzeti, tumeshindwa kusomesha vijana wetu jeshini kuunda siraha.
@user-qi8hy3ne9w
@user-qi8hy3ne9w 5 ай бұрын
Senge tuu wewe .
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 ай бұрын
majeshi huundwa kulingana na vita zinazopiganwa! Baada ya vita kuu ya kwanza frogmen wa jeshi la maji la marekani (NAVY) lilibomolewa na wahusika wakaenda kuwa raia.. wakati wa vita kuu ya pili likaundwa tena na kuboreshwa hadi hivi sasa linajulikana kam NAVY SEALS! Ambao hawategi na kutegua mabomu baharini peke yake bali hivi sasa hupigana baharini (SEA), hewani (AIR) na ardhini (LAND) = seal. Wakati wa amani hakuna sababu ya kujenga jeshi kubwa. na silaha hubadilika kulingana na matumizi.. hizo unazoziona ni kuonyesha maeneo ambayo JWTZ inauwezo wa kujilinda na kupambana! Lakini hawawezi kukuonyesha wanachokitegemea watakuwa wendawazimu!
@mutiojunior
@mutiojunior 3 ай бұрын
Kenya tunauda silaaa hatari
@Brienvironment
@Brienvironment 5 ай бұрын
Hii ni NYS HUKU KENYA😂😂😂 😂😂😂😂😂😂
@SanyengeAlex
@SanyengeAlex 5 ай бұрын
Usifikiri wameonyesha silaha zote
@antonyndege3278
@antonyndege3278 5 ай бұрын
Hamfikii kenya
@chacha-255
@chacha-255 5 ай бұрын
M23 wa Congo mmewashindwa lakini JWTZ ilipoenda kuwaonyesha how its done, ndani ya siku chache tu M23 wameanza kutoa mlio,, Keep calm and learn.
@robertphilip385
@robertphilip385 5 ай бұрын
Silaha za mwaka 47
@demandbamulumbye4990
@demandbamulumbye4990 5 ай бұрын
Kagame museven kisilan sana lewo napigwa sasa batalia lewo
@ramygichero1016
@ramygichero1016 5 ай бұрын
Hamna kitu apo. mkwara 😂😂😂
@abubakarbwika8397
@abubakarbwika8397 5 ай бұрын
Sasa Silaha hizi na RPGS za Hamas si zachomwa zote 😂😂😂😂😂
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 ай бұрын
nani aliyekuambia kuwa unapigana na materrorist kwa silaha nzito pekee? Kuna njia tofauti ya kupigana na materrorist na mara nyingi huhusisha special forces wenye mipango iliyoenda shule na silaha zinazobebeka! Silaha nzito zinakuwa za msaada na huwekwa mbali na front line kusaidia kuvunja mahandaki, majengo na maghala ya silaha ili kuwalinda askari wa mstari wa mbele! nenda jeshini ukajifunze na upunguze kula mihogo unakuongezea ubishi!
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 4 ай бұрын
😂🎉 hii ni maonyesho sio vitaa
Back to the Moon - Part 2
55:34
Voice of America
Рет қаралды 2,5 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
Armoured Vehicle-Launched Bridge "Biber"
5:33
HD1080ide
Рет қаралды 20 МЛН
GARI NYUMBA LILILO NA SEBULE, JIKO NA CHOO CHA NDANI ZANZIBAR
19:34