Рет қаралды 236
MEJA SEMUNYU Afunguka - "HII FIGHT BORA kutokea 2024 HUU MWANZO, 2025 TUTAFANYA kingine KIKUBWA?.."
MABONDIA wote watakaopigana kesho kwenye pambano la 'DAR BOXING DERBY' wamepima uzito na afya leo.
Pambano litachezwa kwenye uwanja wa Posta jijini Dar.