Рет қаралды 425
Sehemu ya mwisho ya mazungumzo yetu na Bizman. Amezungumzia rushwa na changamoto kwenye muziki wa Bongo. Amezungumzia safari za Ulaya za Inafrika Band na mengine mengi. Usikose!
#bizman #bongoproject #bongofleva #tanzania #inafrika
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org