AFUNGUA BIASHARA YA GENGE|NATAMANI KUA NA BIASHARA NYINGI

  Рет қаралды 3,265

DTV

DTV

Ай бұрын

Пікірлер: 59
@amina3925
@amina3925 Ай бұрын
Mungu hakupiganie na kazi ya mikonoyako
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Aamin
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Huyu ndo ana uchungu na maisha mungu amsaidie amfanyie wepes biashara yake idume
@FatumaMuya
@FatumaMuya Ай бұрын
Amiin
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
@@FatumaMuya inshaallah
@SitiAbdalla-df4hg
@SitiAbdalla-df4hg Ай бұрын
Hongera dada pambana mungu atakusaidia unaakili sana maashaallah
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Ай бұрын
Hawa ndio watu wa kuwasapoti , SiO wale Kina changudoa Munira
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Ushauri awe anakunywa maziwa siku moja moja sio mbaya
@user-zv7qq9ew4u
@user-zv7qq9ew4u Ай бұрын
Fabi Kuna yule mama alie fungua genge.nae yule aliekuana nachanga moto yakusikia siku nyingi hatuji maendeleo yake na mume wake alikua mgonjwa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Ehee wale wakiokota makopo watt wake saa hii ana genge
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Mashaallah mdogo angu anajitahidi wallah na allah atazidi kukuinua inshallah 🤲🤲penye nia pana njia kwa kweli
@user-tt6ty7st2m
@user-tt6ty7st2m Ай бұрын
Mashaallah
@ashashaban6484
@ashashaban6484 Ай бұрын
MUNGU AWABALIIKI SANA MNAOJITOLEA KUSAIDIA WATU NA KAKA FABI MUNGU AWABARIKI INSHALLAH
@FatumaMuya
@FatumaMuya Ай бұрын
Amiin
@user-tt6ty7st2m
@user-tt6ty7st2m Ай бұрын
Mashallah
@tato8979
@tato8979 Ай бұрын
Mungu akutangulia katika upambanaji wako
@user-fe9jc5di9f
@user-fe9jc5di9f Ай бұрын
Mashallah Allah akusimamie katika utafutaji wako
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni Ай бұрын
Ana fanikiwa kwa sababu ni mkweli ongera sana kwake, chapa kazi mama wawili ,
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Ай бұрын
MashaAllah ❤ Mungu aibariki kazi yako
@asiasalim9323
@asiasalim9323 Ай бұрын
Masha ALLAH ❤❤
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Faby mwambie awe anakunywa maziwa ck moja moja vumbi la mkaa huo
@user-tt6ty7st2m
@user-tt6ty7st2m Ай бұрын
Weka na sabuni ya unga hapo
@AminaAminjay-dv8tr
@AminaAminjay-dv8tr Ай бұрын
Kwakweli
@KadeejaKadeeja-ej4bu
@KadeejaKadeeja-ej4bu Ай бұрын
Mashallah ❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Ongera zake dada huyo👍👍👍🎉🎉
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Wewe kaanga chipsi jioni funga karanga ubuyu mdogo wangu weka apo
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc Ай бұрын
Mtu wa maana kabisa😂😂😂.mashallah
@RamaHarbi-xp3qb
@RamaHarbi-xp3qb Ай бұрын
Sana 🔥🤣
@munirasallim6450
@munirasallim6450 Ай бұрын
Fabi vp kuhusu mmke yassir
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Wanangu wakianza kuongea iyo momoo mpaka uta sichoka😂😂😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Barikiwa baraka nyingi dada mungu akubariki sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Wtoto wa sikuhizi hawaamukii jaman
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Ай бұрын
Mashaallah ❤
@user-zq9jc5sw7t
@user-zq9jc5sw7t Ай бұрын
Kaka.fabi.umbie.hao.watoto.wawe.wanasalimia
@munirasallim6450
@munirasallim6450 Ай бұрын
Hata nilikua nataka kusema hivo hivo kumbe umeona
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d Ай бұрын
Hawajui kuamkia hao watoto malezi mabaya
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Wangekuwa wako tabora hao ni shikamoo mpaka goti chin 😂
@raghida4560
@raghida4560 Ай бұрын
Wow😊 mashallaw
@ashaseif9996
@ashaseif9996 Ай бұрын
Fabi yule mama mwenye mume mgojwa wa ini mbona hatuna taarifa zake siku nyingi
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano Ай бұрын
Mama dozedoze Baki na mkaa tu kuwa na biashara nying sio kupata uswahilin uko utarogwa
@faridahalil4456
@faridahalil4456 Ай бұрын
Sasa huu ni mfano mzuri kwa MUNIRA kufuata, kila kitu ni kupambana
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Biashara ni kipaji na ukiwa muda wako wa kujipamba zaidi huna muda wa biashara
@Salma-kb1xr
@Salma-kb1xr Ай бұрын
Fabi nime miss mama yassir siku nyingi pamoja na zabibu
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 Ай бұрын
Hapo pana biashara mpeleke na munira na yy akafanye biashara asikae tuu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Ай бұрын
Vp Munira Yuko wapi?
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
Nawaona mulisema aende Oman sula zimewalumbuka km uji wa karimati pyeeeee😂😂😂
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-dg4zc2un1y
@user-dg4zc2un1y Ай бұрын
Mie wananikera mtu akiomba msada wanashika aende Oman sipend mie mtu kama huwez kusaidia s bs usimlazimishe mtu aende nchi za kiarabu
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Mashallah ila uyu dada anashindwa kuwaambia watoto wake kusalimia
@FatumaMuya
@FatumaMuya Ай бұрын
Labda anasahau na watoto nao wakubwa sijui wanashindwaje kusalimia
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho ndo malezi alivyo walea na.fabi yamemtoka sikuizi maana hachelewi kusema niamkie sasa nashangaa ao
@FatumaMuya
@FatumaMuya Ай бұрын
@@AminaLibisa mimi watoto wangu wanavyopenda kusalimia .hasa huyu mdogo wa mwaka mmoja na mwezi muda wote anakupatia mkono hadi unachoka nawaambia ndugu zake muwekeeni maziwa kwenye Chupa yake ili mgeni apumzike kusalimiwa .
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
@@FatumaMuya hongera malezi ndugu yangu mimi wa kwangu asione mtu anapita iyo mooo utakoma tena ata akipita mbali watu wanacheka mpaka basi na mpaka wakikua wanakua ivyo asalaam aleykum na shikamoo wameweka mbele
@FatumaMuya
@FatumaMuya Ай бұрын
@@AminaLibisa mashaa Allah Mungu awakuze salama watoto wetu
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d Ай бұрын
Huyu dada ni mtu na nusu
@omanmct135
@omanmct135 Ай бұрын
Mashallah
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j Ай бұрын
Mashallah
MJUKUU WA BIBI ANZA SHULE
13:24
DTV
Рет қаралды 1,5 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 538 М.
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
ELIMU KWA WANANCHI JUU YA KUJIKINGA NA UHARO MKALI
3:52
AFYA ONLINE TV
Рет қаралды 354
TABASAMU YAREJEA KWENYE FAMILIA HII
10:51
DTV
Рет қаралды 3 М.
WATOTO WAPATA NGUO ZA SHULE |FURAHA YAONGEZEKA
12:05
DTV
Рет қаралды 2,4 М.
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 10 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 538 М.