UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI

  Рет қаралды 35,436

DTV

DTV

Ай бұрын

Пікірлер: 156
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Ай бұрын
Fabi na wenzako na wanayechangia Mwenyezi mungu awazidishie
@user-ko6lg9tw6w
@user-ko6lg9tw6w 2 күн бұрын
Mashallah BB bwana unafurahisha Sana Mungu akupe umferu wenyeher na Baraka ❤😂
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Ай бұрын
Fabi Allah akujalie Kila lakher yarab Amin Akupe unacho Taman Chenye kher na ww tunakupenda mwana wetu kwa KAZI unayo Fanya Mungu akuhifadhi
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Ай бұрын
Bibi na mpenda huyu jamani mchangamvu sana ata kama ana kitu yupo mchangamvu sana mungu ijalie hii familia na wote wanaojitolea ktka hii familia na pia mungu awajalie kaka fabi na kaka adamu kwa kujituma yarabi
@hannymasu732
@hannymasu732 22 күн бұрын
Allahuma Aamiin.🤲🏽
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤ Mungu awabariki wote waliomsaidia Bibi
@safiyaalmaamari4991
@safiyaalmaamari4991 Ай бұрын
Bibi na mpenda saaana
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
Ninacho mmpendea huu bibi manshallaah mcheshi sana
@attyambaraka3756
@attyambaraka3756 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu amfurahishe aliyetoa hela kumpa bibi yetu huyu mcheshi, na awalipe wote waliotoa kumsaidia
@ashasaidy5769
@ashasaidy5769 Ай бұрын
Mashallah bibi angejengewa hata banda la vyumba viwili atafutiwe kaeneo kake ingependeza Sana
@FATMA.NOTICYMANZU
@FATMA.NOTICYMANZU Ай бұрын
Wee fabi na bibi aki mwatuvunja mbavu na kucheka🤣🤣🤣🤣
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Ай бұрын
Menyezi Mungu awazidishe uyu kk ana moyo
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 Ай бұрын
Mke wa fabi mchangamshi kweli
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Ай бұрын
Ongereni nyote mlochangia. Mungu awape wepesi
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c Ай бұрын
Mashallaahh kk fabii na Adamu mungu awajalie kila la kheriii 🤲
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Allah bariki kila alie weka mkono wake amiiiiiin
@lastborn7810
@lastborn7810 Ай бұрын
Allah ajaalie malipo yenu yawe pepo ya firdaus 🙏🏻❤️ nyote mlochangia
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k Ай бұрын
Mashallah nimempenda bibi mpaka basi Allah amzidishie furaha amjalie afya njema yeye na Sisi ameen
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani Ай бұрын
Amiin 🤲
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ manshallaah tabarakallaah mungu awajalie wote walie jitolea kwa kumsaidia bibi na fabie na team yako allaah awalipe kila la kheri inshallaah
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
❤❤❤ mashallah kwa wanaotoa misaada mola awazidishie mlipo mtoa awaongezee inshallah shukuran mwendeleze kutia furaha kwa wote wanaosaidiwa kutoa ni moyo sio utajir
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 25 күн бұрын
Wanadamu ndivyo tunavyo takiwa kuishi, Walio barikiwa watoe kwa wale wasionacho nakuwapatia furaha wasionacho.Hongera napongenźi kwa wale wote walio msaaidia mama huyu Mungu awazidishie pale walipo punguza.Inshallah.
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z Ай бұрын
Mungu awabariki wt wanaochangia🙏
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Ай бұрын
Ajengewe nyumb yake wasilekebishe apo. Utakua utata
@MarianaDonarld
@MarianaDonarld Күн бұрын
Mwanamke kungwa ndy Huku, uaiende😂😂😂Bibi wewe mcheshi sn, Mungu awasaidie wote wenye uhitaji km huu
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj Ай бұрын
Mashallah congratulations kazi nzuri mungu awabariki nyote
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry Ай бұрын
Bibi nakupenda sana jamani awe amepata awe amekosa yeye anayo happy ❤❤❤❤
@user-uc1fj9wg6n
@user-uc1fj9wg6n Ай бұрын
Mungu awabariki sana
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Nyumba ya family kuja kuijenga munatafuta ugomvi bora hata angekuwa na kiwanja chake na mwanawe Omry
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d Ай бұрын
Bibi ❤❤❤😂😂😂😂
@ChristinaBukholt
@ChristinaBukholt 20 күн бұрын
Kutoa ni moyo kwa kweli si lazima Uwe nazo kiasi gani kijana Mwenyezi Mungu akuzidishie pale ulipotoa❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Fab ongera sana.Bibi apate mbomba kule anakochota maji mbali sana kwa mtu asiyeona❤❤❤
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Ай бұрын
Mungu anamuonyesh 🎉🎉 naanaenda pekeyako
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k Ай бұрын
Mashaallah Allah anifanyie wepesi Na bibi zangu uwa nawapenda sana mda wt ni watu wa furaha ht km awana kitu ndo uyu bibi yy mda wote mtu wa furaha nikjaaliwa kurudi nilichokipata nitawakiiisha kwa Fabi na Adamu wampelekee bibi hata kwenda kumuona nitaenda nikijaaliwa
@safiyaalmaamari4991
@safiyaalmaamari4991 Ай бұрын
Bibi umepata ya laidi ...Mingus amjalie wowote amemjagia Bibi yatu .
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Ай бұрын
Inshaallah mungu ajaalie bibi apate nyumba yake 🤲🤲 na upande wako/wenu Fabi mungu awabariki. Amin.
@mwantumswalehe2300
@mwantumswalehe2300 Ай бұрын
Fabi na bibi yakomnanifurahisha sana😂😂😂
@bibahhadith
@bibahhadith Ай бұрын
Ni wewe au
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Ай бұрын
🎉🎉🎉 mashaallah
@janemusumba820
@janemusumba820 Ай бұрын
Napenda sana bb vipi naweza tuma pesa kwa ule kijana yuko Kenya mm ni mkenya tuna tumia mpesa ni saidiye number yake
@asiasalim9323
@asiasalim9323 Ай бұрын
Masha ALLAH, Alhamdulillah
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Mashallah Tabaraq Rahman ❤❤❤🎉🎉
@user-rx2oq8hw3f
@user-rx2oq8hw3f 15 күн бұрын
Fabie M.mungu akusaidie unajua kuliwaza wanyonge
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
Kaka fabie samahani hio net haina dawa ni bora wangemfulia ndo mmkifunge samani kwahilo kama linadawa huwa linaleta madhara wamfulie nalo ndo mlifunge
@AishaSaid-yg1ou
@AishaSaid-yg1ou 20 күн бұрын
Bibi mcheshi Allah amzidishie Afya...Mash Allah..❤
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Ай бұрын
Ukute bibi apo hajui kama anayetoa neti amepanda kitandani angemtoa anaogopa atavunja kitanda 😂😂❤
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kbs
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Ай бұрын
@@rahimaaaaa5682 😂
@user-bw7ve8ce3q
@user-bw7ve8ce3q Ай бұрын
Allah awazidishie wote wsliojitolea na term fab
@allyawadh148
@allyawadh148 7 күн бұрын
Bibi nampenda sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
❤❤❤fab mungu akubaliki sana kwa vifaa na Juba hilo
@tawasirihamisi126
@tawasirihamisi126 Ай бұрын
Alhamdulillah
@user-ll7np8td7x
@user-ll7np8td7x 23 күн бұрын
Mungu mkubwa alihamdulila mungu . Akubariki kaka fabi nawote mlochangia
@NoorNoor-ld8po
@NoorNoor-ld8po Ай бұрын
Mash'allah mungu awazidishie waliotoa tunaenjoy kwakweli tukimuona bibi
@FATMA.NOTICYMANZU
@FATMA.NOTICYMANZU Ай бұрын
Mashaallah Allah awabariki na awaifadhin dunian na kesho akhera
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc Ай бұрын
Mashallah..nikirudi nitakutafuta fabi na adam .munipeleke kwa bibi .
@user-xe4fj3ss1v
@user-xe4fj3ss1v 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂ila bibi amekubali hali yake Mungu awabariki
@tato8979
@tato8979 Ай бұрын
Bibi mcheshi sana😂😂
@user-be7ql8lh2f
@user-be7ql8lh2f Ай бұрын
Jamani mungu awajaalie hero nabaraka nyie vijana
@asilahassan9965
@asilahassan9965 Ай бұрын
Bibi ananifrahisha mashallah allah azidi kumtunza na kumuhifadhi pia kwa sote na wote wenye kujitolea
@khamisjina8833
@khamisjina8833 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣Fabi ww acha tu❤❤❤ eti shaga yanguuu🤩🤩🤩🤩 Allah akulipe Kila la kheiri
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Ай бұрын
Apewe mtaji huyo kijana ili nae apambamnane na maisha
@Rebeca98Gabriel
@Rebeca98Gabriel Ай бұрын
Et ndo unuse shoga angu 😂😂😂 ila nmefrah San kazi nzuri mungu atawalipa
@khudhaimaalmazroui3952
@khudhaimaalmazroui3952 29 күн бұрын
Mashallah kafurahi bibi kama namuona mambo kidogo kidogo
@user-cq9wl3kl5o
@user-cq9wl3kl5o Ай бұрын
Mansha Allah she's so happy and beautiful Allah is great Allahamdulla ❤❤❤❤f 🇺🇸💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
@user-ks6wj1uf9k
@user-ks6wj1uf9k Ай бұрын
😂mashallh bibi michambo 😂😂😂😊
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 23 күн бұрын
Babu shalila uttanitoa hila kwa mchuz wa amira 😂😂😂😂 bibi love u
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie Ай бұрын
Maashaallah Fab ww mdg wangu Allah akulipe na awalipe wale waliojitolea kutoa
@user-ju1dg4xt4l
@user-ju1dg4xt4l Ай бұрын
Wee brother mashaala allah 🙏 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-nn8pg3ug6v
@user-nn8pg3ug6v Ай бұрын
Masha Allah bibi mungu akupe maisha marefu
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Ай бұрын
Mashallah ❤ chumba kimetaradadi
@MasouHusein
@MasouHusein Ай бұрын
Mashaallah Allah awape afya njema waliompa furaha Bibi huyu
@AishaSaid-yg1ou
@AishaSaid-yg1ou 20 күн бұрын
Anapatikana wapi?
@shamilashabani4288
@shamilashabani4288 24 күн бұрын
Bibi ananivunja mbavu mimi na ugonjwa wangu wa kichwa,nampenda hadi nampenda tena❤❤
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d Ай бұрын
Mungu akuzidishie kwakweli watu km hao ndo wakuwasaidia
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 20 күн бұрын
Mashaallah ❤
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 Ай бұрын
mashaAllah mungu akunyimi vyote upofu anao lkn nisaw namwenyekuonakwaucheshi
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Ай бұрын
Maa shaa Allah ❤❤❤❤
@user-qb3nr6gl1z
@user-qb3nr6gl1z 21 күн бұрын
Allah awazindishie muliyo towa wote
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h Ай бұрын
Mashaallah jaman mung awabarik nyot mlo msaidia uyu bibi
@halimaa9367
@halimaa9367 24 күн бұрын
Jaman nimempenda bibi ❤
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Fabi unajuwa kuchagua nimependa shuka na mapazia
@SitiAbdalla-df4hg
@SitiAbdalla-df4hg Ай бұрын
Maashaalla bibi uzidi kubarikiwa
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Bibi nampenda bure😂😂😂
@salomekense525
@salomekense525 24 күн бұрын
Fabi bwana mnanifurahisha na mchunba wako huyo😂 kabibi kasani kweli
@user-qt3sw3iw3y
@user-qt3sw3iw3y 23 күн бұрын
Bibi nampenda jamani
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 Ай бұрын
Bibi hata km familia ina mtatizo lakini wacha uzibiwe Matobo ht mlange uwekewe
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Ай бұрын
Mashaallah
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Ай бұрын
Bibi nakupenda Sana jaman Akupe umri mrefu mrefu wenye kher na ww
@munaomar9532
@munaomar9532 25 күн бұрын
Mashaaallah
@salamabakari8384
@salamabakari8384 Ай бұрын
❤❤
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Mashallah wanyumbani uyo ❤❤❤ mchangamfu hatari 😂😂
@FatmaAbdulkadir-in2zx
@FatmaAbdulkadir-in2zx 21 күн бұрын
Asalam aleykum jee nawrza kujua stori ya huyu bibi pk hapo alipo fikia
@user-ef1zl5gi1k
@user-ef1zl5gi1k Ай бұрын
❤❤❤🎉
@aziza9093
@aziza9093 Ай бұрын
Kazizr
@user-dn5mq3fw5s
@user-dn5mq3fw5s Ай бұрын
mashalalh
@Namaize-lc8sh
@Namaize-lc8sh 25 күн бұрын
😂😂😂hongera.jamani shogake bibi
@NiyomdikoSavera
@NiyomdikoSavera Ай бұрын
Bibi jaman ❤❤❤😊😂
@user-fh8gh5ws5g
@user-fh8gh5ws5g 23 күн бұрын
Jamani utaniua mm 😂😂😂
@omanmct135
@omanmct135 Ай бұрын
Bibi😂😂❤
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j Ай бұрын
Bibi harusi kadamshi jmb😂😂 ila kk fabi sijui utamueza mana kingereza kimelala
@halimaa9367
@halimaa9367 24 күн бұрын
❤😂😂
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Ай бұрын
Wsws wangu wasije wakajamuibia
@mrsab303
@mrsab303 Ай бұрын
We love you grandma ❤❤❤❤❤
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Ай бұрын
Adam umepata Dem lakimatumbi hahahahahaaaaa
@azizaal-amri3577
@azizaal-amri3577 Ай бұрын
Fabi leo mpaka nimeliya😂
@janethhendry6734
@janethhendry6734 Ай бұрын
Nakupenda fabi na bibi
@duasufiani2782
@duasufiani2782 20 күн бұрын
Ao awamtaki shakila wamekuja kuchunguza
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 16 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
UTACHEKA MANENO YA BIBI BAADA YA KUPATA GODORO
30:04
DTV
Рет қаралды 4,3 М.
Makosa yakuepuka wakati wa kuoka keki
8:07
Eva Kasabila
Рет қаралды 14 М.
MWALIMU WA MASE
7:32
Joti TV
Рет қаралды 331 М.
NILIKUA NAMTAFUTIA SABABU, SIMTAKI TENA
10:10
KIREDIO
Рет қаралды 54 М.
UTACHEKA MANEO YA BIBI AKIPOKEA MKONO WA IDI
11:16
DTV
Рет қаралды 8 М.
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 16 МЛН