Al-Hady v/s Kishki ... Je Mtume Muhammad SAW hanufaishi wala hadhuru?

  Рет қаралды 23,207

Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh

Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh

8 жыл бұрын

Al-Hady v/s Kishki ... Je Mtume Muhammad SAW hanufaishi wala hadhuru?

Пікірлер: 98
@tigersterling5417
@tigersterling5417 8 жыл бұрын
Waislam sote ni ndugu, tupendane kwa ajli ya Allah. tuwache malumbano kama kweli niya yetu ni moja.
@saidsalim2386
@saidsalim2386 8 жыл бұрын
Kazi nzuri Sheikh na zidi kuwafunza hawa....Na sio kuekana sawa kwa ilmu ni kukoseana la...ilmu ni bahari na haina mwisho. Na kulingana na lugha za ustadh wetu wa Tz hata ww ukiziangalia yuwamponda Mtume Swalla Llahu alayhi Wassalam... Na vile vile aingilia mambo ambayo bado hayajayajua kwa kina jambo hili lawa vip na laenda vip....mm pia nikirekebishwa ndio najifunza na najua kuwa mahali flani nimekosea yapasa nirudie vitabu na nijue kosa lngu liwapi. shukraan
@HababahappynewyearNuru
@HababahappynewyearNuru 7 жыл бұрын
Said Salim Mungu atuongoze njia ya haqi & atutie peponi kwa rehma zake
@HababahappynewyearNuru
@HababahappynewyearNuru 7 жыл бұрын
ndugu said salim umeongea vzr sana...Mungu atukubalie sote...
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
Said Salim usipende kupost kitu ambacho hujakijua huyu ni filauni unataka tu umaalufu mnafiki mkubwa huyu
@omarhussein9612
@omarhussein9612 8 жыл бұрын
Mashalah wafanya kazi nzuri
@ramadhanisaad6613
@ramadhanisaad6613 7 жыл бұрын
mfundishe huyo.
@abdullatifabdalla1843
@abdullatifabdalla1843 7 жыл бұрын
Allah akuongoze mtoto wa watamu. ...acha kufata HAWAA Za nafsi yako
@alliabdallah9355
@alliabdallah9355 7 жыл бұрын
Abdullatif wee mwenyeo hawa za nafsi yako zinakushinda
@abdulhalimmohamed3643
@abdulhalimmohamed3643 6 жыл бұрын
Vipi Al Hatimy anakuwa na Roho mbaya kwa sababu ya kumrekebisha Kishki anapodai kuwa Mtume Sallallahualeyhi wa sallam kuwa hanufaishi?
@rashidmohammed9128
@rashidmohammed9128 4 жыл бұрын
Mashaa Allah msomeshe ..kishki soma mjuwe MTUME (swa)wako kabla kuongea kwenye miskiti...kwa kweli kishik unahitaji kusoma kabla kupoteza watu
@somosomo4860
@somosomo4860 4 ай бұрын
Kwa loe nadani amejifunza kuliko zamani .miaka saba 2023 years ago....
@abuufaadhil1229
@abuufaadhil1229 8 жыл бұрын
Asalam Aleykum Warahmatullahi Wabaraktu ndugzangu. kuekana sawa na kupatiyana ilimu ni sawa kwene uislamu. lakini jee, dini yatuelezeya vipi masala ya KUKOSEYANA na Kuvundiyana daraja sisi kwa sisi? Hatufikirii madhara ambazo yatatokea beyna waislamu na hatufikiri mapenzi ambao itapunguwa. ziko ndia nyingi zakumelezya mwenzako lakini kumfedhehesha mwenzako na kumkosea mbele za millioni ya watu kila tafautu haytajenga uislamu wala hayvutii kwa wale wataka kuingia kwene uislamu. Uislamu ni ni dini ya Salama na mapenzi. TUPENDANENI.
@khalfankhamis9083
@khalfankhamis9083 5 жыл бұрын
Kishki kwa huyu haoni ndani uyu jamaa ana elimu safi sana Hatim
@swalehbadawi4496
@swalehbadawi4496 2 жыл бұрын
sure we really need corrections, thank you yabib
@maryamali6144
@maryamali6144 8 жыл бұрын
sheikh mrekebishe Huyo ndugu yetu mwislamu kapotea hakika
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
Maryam Ali hakupotea ila huyu ni mnafiki tu anaetaka umaalufu
@mahdsalim
@mahdsalim 5 жыл бұрын
Allah akuongoe maana chuki zako zinaondosha haya usoni mwako. ALLAH akuepusha kuja kuishia mchawi maana hasad inapelekea uchawi
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 10 ай бұрын
Umeeleza sna ustadh al.hatimy umebobea luqya na elimu ya kutosha
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 8 жыл бұрын
Naende akasome akutia dhiki tu kishki hana elimu
@bintsalim759
@bintsalim759 8 жыл бұрын
muogope Allah ndungu muislamu n.a. vilevile fikiria Kabla ya kukufuru
@mannuhussein1601
@mannuhussein1601 8 жыл бұрын
sio yey Pekee hata Wew ukasome
@abujasimabujasim4173
@abujasimabujasim4173 6 жыл бұрын
Ndugu zanguni mashekhe wote wa kimadhehebu hao wote washirikina mnatakiwa mrudi kwenye kitabu cha mungu pekee nacho ni Quran
@tumao970
@tumao970 7 жыл бұрын
subhanallah ' m.mungu akusamehe maana unaonekana unachuki na roho mbaya juu ya kishki
@alliabdallah9355
@alliabdallah9355 7 жыл бұрын
Na wee Tuma mungu akuongoze tena ukasome maana kama unakubali ni haki anasema kishki jiandae na la kumjibu Allah labda ulete toba
@minaminaa1669
@minaminaa1669 6 жыл бұрын
sheikh wetu hana wivu yuwamrekebisha kishki na pia ndio wasa kidini..
@minaminaa1669
@minaminaa1669 6 жыл бұрын
mbona kakufuru mbele za watu alikuwa kakosa mawaidha????
@minaminaa1669
@minaminaa1669 6 жыл бұрын
je kishki waeza simamisha wanaoimba taarabu zanzibar ayo ndio makosa makubwa ???
@alishariff8657
@alishariff8657 6 жыл бұрын
tuma o9 kishki ni kimbelele kama short ya kwanda ukilala na mkeo
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 4 жыл бұрын
Msomeshe atajua tu inshaallah, pmj kwamba maamuma wake wanamtaka asisome awe mjinga km wao
@maryammohammed3516
@maryammohammed3516 3 жыл бұрын
Ukweli
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Subhanallah mbona hivi jamani waislamu wote ni ndugu tusichukiane
@098890786
@098890786 8 жыл бұрын
ما هي القصيدة في المقدمة؟!
@mansoorsadiq5721
@mansoorsadiq5721 6 жыл бұрын
Allah pekee ndoanae dhuru na nfoanaenufaisha
@abdisheikh6175
@abdisheikh6175 5 жыл бұрын
kishki ana kideefu , haja soma dini. pole sana wale watu waa najdi ya petro dolar wame potesha kishki
@hawraymuncw9893
@hawraymuncw9893 4 жыл бұрын
Hawa mawahabi ni wapotevu walojawa na shubuhati nyingi
@abdulrahmanhaji1348
@abdulrahmanhaji1348 7 жыл бұрын
mungu awaongoze baba
@choloboy9354
@choloboy9354 6 жыл бұрын
Al hady bora uifute hii video cuz hii aibu kubwa kwa uislamu yani bado unawapa wakiristo kecheko kwa kuona hii video manake haina manufa kwa mtu yeyote ila kwa watu watu wenye kupenda maulidi watu wenye kupenda kuchezacheza na kutikisa mabega na mili kuitikisa maulidi hayafai dini imesimamishwa kwa upanga sio kwa dufu oyaaaah fungueni masikio
@shikandamunyasia6950
@shikandamunyasia6950 7 жыл бұрын
al istidhwaa ya kunufaisha na kudhuru mtu huwa nayo akiwa hai ama akiwa hata amekufa naomba kufahamu zaidi
@aminaally1248
@aminaally1248 6 жыл бұрын
Kumfuata kwake mm nazan. si vizur zaidi kuliko alivo fanya hivo shekh AL Hadii. ukiwa NDUGU YETU KISHIK ALITOA SIDII HIO NA IKAFAHAMIK KWA MAMILION YA WATU. BAS NAE ALHADII ANAHAKI YA KUONESHA NI WAPI ALIPOTELEZA. KWAN ANGELIMFUATA. ASINGELITOA MADA YA KUSEMA NILITELEZA MAHALA FULAN HIVO NAWAWEKA SAWA WAISLAMU. KATU HATOTOA SIDII YA NAMNA HIO. PIA WENZETU ZAMA HIZO HAPAKUWA NA MEDIA, SASA LEO HII HIZ MEDIA ZAWEZA TULETEA FITNA
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Shekhe.msomeshe Mwalimu.wangu Kishiki.mana.hajajua.kusoma.ilakuripokwa.anjua.kuliko.hamza
@abdulghanizubeir5512
@abdulghanizubeir5512 6 жыл бұрын
Anpata faida gn huyu? Maana ukiangalia hii video unachoona ni mipasho, chuki na kibri. Mtoto wa kiume una mipasho na kidoleee juuu 👌
@adamjutto7893
@adamjutto7893 5 жыл бұрын
We sheikh unaempiga raddi kishki kama we mwanaume mpige raddi sheikh qaasim kama hujaongea upuuzi,huyo kishki ni mchovu katka elimu,mtafute sheikh wowote wa kisalafy
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Kishiki.kwanza.iyarabu.ndio.anachofanya niaya
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Mwambie.kweli.wewe.shekhe Kishiki.hunalolote.ila.mavazi Yaurembo.basi.
@boi8986
@boi8986 4 жыл бұрын
We sheikh, kazi yako imekuwa kufatiliya kishiki alichosema, huna kazi nyingine? Ni kweli m/mungu ndiye anaye dhulu na ndio wenye uwezo wa kila kitu, stop hating!
@al-habibmuhammadrafiqal-ka3807
@al-habibmuhammadrafiqal-ka3807 8 жыл бұрын
السلام عليکم ياأخي محمد الهادي ولوانا لا نفهم لغتكم تحن نفهم ان رجل اخرفي الفيديو انه من الواهابيون تقدم وادم وقم! نحن في اندونيسي معكم هل انت من "الهادي" من ال باعلوي؟ Salam,ifen we dont understand you r language,we know NURDIN KISHKI is wahabism. Just do it ya akhiy,we are from indonesia with you. Never Let wahabi said about bid'ah,because their aqidah is mujassimah,different aqidah with us,different aqidah with 4 mazhab ahlus sunnah wal jama'ah. Allah bless u ya Ahmad alhadi
@yahasalel-sheibany5403
@yahasalel-sheibany5403 7 жыл бұрын
AL-HABIB MUHAMMAD RAFIQ AL-KAFF-official Aamin
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
AL-HABIB MUHAMMAD RAFIQ AL-KAFF-official Maa shaa Allaah
@maxamedcabdiraxmaan6391
@maxamedcabdiraxmaan6391 5 жыл бұрын
نعم. هو من سادة الهادي ال باعلوي❤
@adamjutto7893
@adamjutto7893 5 жыл бұрын
Kama ye mwanaume ampige raddi sheikh yoyte wa manhaji ya salaf
@abdulrahmanhaji1348
@abdulrahmanhaji1348 7 жыл бұрын
lakini wansifu alikwambia usimsifu namna he maulidi wacha urongo unampenda mtume zaidi he mashaba usiongeze kitu katika fini he walad
@alliabdallah9355
@alliabdallah9355 7 жыл бұрын
Abdurrahman huna kitu kichwani bufuru huna ujualo salafi wee
@bultumstudio6871
@bultumstudio6871 8 жыл бұрын
We monyewe ujamuelewa mada yakoni kutafuta ayibi yamasheke
@nicemunacute5772
@nicemunacute5772 7 жыл бұрын
Hata sikubaliani nawewe shk sasa tujifunze nn ss
@rajabkapopo630
@rajabkapopo630 7 жыл бұрын
sio salafi mawahabi n majaahili tyu ktk dini hawan walijualo waachen n vijkanzu vyao n videfu vya uwazimu....mjinga lazm akushnde tyu kwa mujibu wa imam shaafi r.a
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
unaloho mbaya hadi sula mtazame huon haya ivyo umekosa kazi yakufanya mpaka unatengeneza kirpu ilitu umdhalilishe shekh wetu kishky
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
shekh wetu kishky nakuombea kwa ALLAH akuepushe na mahasidi kama hawa maana amekuandama mno shekh wetu kishky nikama mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe kwani hata mtume muhammad alisingiziwa vitu vingi mno kwaiyo usife moyo hii nimitihani ya mwenyenzi mungu
@somosomo4860
@somosomo4860 4 ай бұрын
Kama akutoa pinga atungeli jifunza .
@yahyaslim1938
@yahyaslim1938 7 жыл бұрын
Kishki ni mtupu kabisa kama tissue paper ilmu yake ndogo sana, cha ajabu Kuna watu wanamuona msomi kumbe ni mtupu. Kingine ni kwamba mawahabi Wanafanya ugomvi na bwana Mtume SAWW huku wakimvunjia heshima kwa mafunzo ya viongozi wao wapotevu akina Muhammad bin Abdulwahhab na Ibn Taymiyya
@bintramadhani4018
@bintramadhani4018 7 жыл бұрын
Yahya Slim Ww huenda hata Sura fatiha huijui humfikii hata shekhe kishki hata robo yake tengua kauli yako ndio wenyewe watu wabidaa
@alishariff8657
@alishariff8657 6 жыл бұрын
Yahya Slim kweli yako bro
@zuweenanabhani7096
@zuweenanabhani7096 6 жыл бұрын
Yahya Slim €
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 4 жыл бұрын
Swadakta shekh Yahya Salim
@mansoorsadiq5721
@mansoorsadiq5721 6 жыл бұрын
Wewe achakumhusudu kishki
@hassandabaso3278
@hassandabaso3278 6 жыл бұрын
Wacha kumpiga vita kishki
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 жыл бұрын
tumesha kujua baba unatafuta kiki
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
Bint Alhwamer Acha unaafiq
@alkashaaiy9722
@alkashaaiy9722 7 жыл бұрын
huyu ni mjinga na AHLUL BID'AA NA KAMA ASIPOTUBU NI AHLU NNAAR
@rukiaomar1292
@rukiaomar1292 7 жыл бұрын
hii yake sasa n chuki hata km hana elmu n ww pia hujakamilika
@greenflower2078
@greenflower2078 6 жыл бұрын
Sote tunakupenda sheikh kishki hongera big up usihofu huyo ni fitna tu
@munohassan8498
@munohassan8498 8 жыл бұрын
Wewe mwenyewe ni mjinga una tambua bidah
@fuadabubakar576
@fuadabubakar576 8 жыл бұрын
wewe ulo soma mbona huji rekebishi
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Jiji.ladarisalama.nijiji.lalawama kma.huwamini.kamulize mama.wakula.wali.namaharage.kula.harama.nawtuwooooooooooooteeee.wadarisama.wanalaana
@bintramadhani4018
@bintramadhani4018 7 жыл бұрын
shekhe ww Punguza Husda juu ya shekhe Kishki kwasababu Allah ndiyo mwenye kudhuru na Kunufaisha hapo ukisema kwamba Nabii mohammad anadhuru na ananinufaisha na wakrsto wanavomuabudu Nabii Issa wapo sasa? ?jiulize Nabii mohammad Anaweza kukupa Riziki au anaweza kukukadiria Riziki ?au anaweza kukuletea maradhi? Usituchanganye Ukisema Nabii Mohammad Anadhuru na ananufaisha wataka Tumuabudu kama wakrsto wanavyomuuabudu Nabii Issa? shekhe ww utakufa kwa husda zako Shekhe Kishik yupo swahihi kwasababu Mtume swala Allah Alayih wasalam hawezi kukukadiria Riziki wala maradhi hiyo ni kazi ya Allah MAUULIDI NI BIDAAA NA WW WA SHEKHE NI WABIDAA NA ELIMU YAKO ULIPOITOA NI KWENYE BIDAA WW NDIO UFUNDISHWE NA SHEKHE KISHKI SIYO WW UMUFUNDISHE SHEKHE KISHKI USIOGOPE MTU NA USIRUDI NYUMA KWA HUSDA ZA WATU WABIDAAA
@mannuhussein1601
@mannuhussein1601 8 жыл бұрын
wapoteza mda kufanya kazi isiyo ya msingi... je kuna ajr Hapo??? sio tabia ya muislam kufanya kazi hii...ungemfata personal
@queenmaya8022
@queenmaya8022 6 жыл бұрын
Mannu Hussein Mashallah bola ata ww ulivyosema xx anawadaidisha. Watu kumfedhehesha mwnzak
@alishariff8657
@alishariff8657 6 жыл бұрын
Mannu Hussein hatafutwe na ilahali ameponda waumini kwa KZfaq
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 3 жыл бұрын
Kishki ni jahil alievaa kilemba
@mustayoo
@mustayoo 6 жыл бұрын
Watu wa huzushi wana taabu.uzushi ni uzushi vyote motoni
@husseinsuleiman2013
@husseinsuleiman2013 4 жыл бұрын
Acha bidaa.. rudi katika manhaji salaf
@salaahmuswlih4378
@salaahmuswlih4378 6 жыл бұрын
ewe sufi ! mtume wa allaah ametufundisha namna ya kumuita yeye ktk hadith mashuhuri لاتطروني كما أمرت النصارى ابن مريم إنما أنا عبد فقولوا أنا عبد الله ورسوله ametamrisha tuseme yeye ni mja wa allaah na mtume wake. EWE SUFI ! mche allaah tumuite mtume kama alivyoitwa na allaah na kwa mujibu ya mafundisho yake. EWE SUFI ! Mtume mwenye anataka baraka kutoka kwa allaah , nashangaa ww wataka baraka kutoka kwake ukamsahau muumba wako !. MCHE ALLAAH يقول الله ليحملوا أوزارهم كاملة يوم القيامة ومن أوزار الذين يضلونهم بغير علم ...... الأية بغير علم أي بغير علم شرعي .
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 6 жыл бұрын
salaah muswlih Huna ulijualo kijana
@ashaali5773
@ashaali5773 6 жыл бұрын
😂😂😂nikewel kabisamsimukosowe shekhk wetukishki hakunananaejuw niyupianaewakilish umaawakislm shekhnrdin wanawaduhawaisiw vitina tumiaelim wakokakuelimish wakisilm ishallmungu akuepushesar
@aminaally1248
@aminaally1248 6 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركته. HATUNA BUDI YA KUMSHUKURU ALLAAH kutujalia Sote kuwa waislamu .Ndugu zangu KATIKA IMAN. SHEKH NURUDIN KISHK YUKO SAHIHI PIA SHEKH AL HADII NAE YUKO SAHII. KWAN WOTE WAPO KTK KUITAFUTA HAKI. HAYA HATA ENZI ZA MASWAHABA YALITOKEA by Dr Faraji Ally juma. from singida central Tanzania
@khalfankhamis9083
@khalfankhamis9083 5 жыл бұрын
Hajuwi mbona Othman maalim hakosolewi kishki hana elimu upo swa Hatim
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 4 жыл бұрын
Wewe sheikh nizuzu washindana na nurdin mbona hatujakusikia ukimradi mtume feki hamsa issa washindana namtu amekwambia ukweli.jinaga wewe kasome huna elmu yoyote sisi hatukutambuwi kama nisheikh nakutambuwa kama msani
@fuadabubakar576
@fuadabubakar576 8 жыл бұрын
wewe hurekebishi ni ufidhuli tu
@nicemunacute5772
@nicemunacute5772 7 жыл бұрын
Umeonae badala kulingania waso waislamu nyie mwakosoana live ukiona mada akosea mfate private unatufunza nn shk
Khatibu Wa Vetenari (Kishki) ....... Amkufurisha Sheikh Nabahany
1:50:51
Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh
Рет қаралды 83 М.
SHARUTI ZA KUIPATA TOBA
19:10
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 54 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН
STREET DAAWA :     NABII GANI HAKUZALIWA LAKINI AMEKUFA
5:39
Kishki Online TV
Рет қаралды 5 М.
2. Why did the Prophet Muhammad (pbuh) marry Aisha? | Dr. Sayed Ammar Nakshawani | Muharram 2024
1:05:56
LIVE: SHEIKH OTHMAN MAALIM - ADUI YETU NI UFUKARA
1:51:04
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 89 М.
NAMNA YAKUONDOSHA MATATIZO
1:09:56
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 21 М.
Sheikh Mohammed iddi amjibu MPOTOSHAJI WA VETENARY (PART I)
31:02
BABDEO MILADU
Рет қаралды 42 М.
HITIMISHO LA SURAT BAQARA SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:25:57
J TV ZNZ
Рет қаралды 3,7 М.
Sheikh Nurdin KISHKI - VIJUE VIKAO VISIVYOKUWA VYAKHERIRI
1:25:10
shining noor
Рет қаралды 88 М.
Is Jesus God? Ahmed Deedat v/s Dr. Anis Shorrosh IPCI 03/03
28:37
What Quran Says About
Рет қаралды 2,7 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН