ALLAH ANAFICHUA MAMBO KUPITIA YANAYOTOKEA KATIKA VITA ||NCHI HIZI ZITAKUJA KULIPA HAZIPO KATIKA HAKI

  Рет қаралды 4,831

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

2 ай бұрын

#zvponlinetv #daressalaam #mawaidha

Пікірлер: 7
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 2 ай бұрын
Hapo katika idadi kuna sura katika quran nimepikiwa ila Allah s.w.ametupa waislamu uwezo wa kuwaathir makafiri katika tabia ,naimani pia katika vita huenda ile aya siku ielewa vizuri lakini katika nilivyoielewa ni kwamba Allah sw katupa neema ya muislamu mmoja kuwashinda makafiri kumi lakini awali alitupa uwezo wa muislamu mmoja kuwapiga makafiri miamoja kitu kama hiko i think lakin yote ya yote makafiri wanawaogopa majeshi ya kiislamu kuliko mwenyezimungu ndio maana wanauwa bila kuhofia dhambi lakin wanaogopa wanajeshi wa kiislamu sana
@user-rt9qr3ie9g
@user-rt9qr3ie9g 2 ай бұрын
Kiufipi tunajitajia Khillafah kuwakomboa waislam hasa mashaeiki ya kati
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 2 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Ай бұрын
Acha unafiki sudani damu inamwagika hamuongelei kutwa kuchwa ni Palestine waafrika bwana
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Ай бұрын
Taarifa ya Sudan toa ww ikiwa na mashiko watu watakuskiliza
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v 2 ай бұрын
Shekh tumeiga mila za mahudi na manaswa kama mibunduki mibomu midege mikombor badala ya kadari hakika mwezimungu ni qawiyu l'azizi mwenye kushinda
@saidhamisisetembosetembo9039
@saidhamisisetembosetembo9039 2 ай бұрын
Nabii musa alitumia fimbo Kama silaha ,mtume Muhammad s.a.w alipigwa mawe Kama silaha na parestina walianza kutumia mawe Kama silaha nenda na uislamu daima uko na Kasi ya ajabu acha kujirudisha nyuma je ukitaka kwenda kuhiji maka kutoka hapo u lipo utatumia usafili gani? Mugu ndio mwenye elimu katupa binadamu kiduchu we ukigongwa na gari kkoo mungu anajalia unakufa wenzako walio kupiga picha video KZfaq magazeti simu hospital kuibeba maiti yako na kuisafilisha watapata maokoto hii jifunze Allah ndio mwenye elimu juu ya yote wao wametengeneza mungu hashindwi kuigeuza siraha uliyounda ikuuwe jifunze kisa cha firauni na nabii musa kinatosha
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 85 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
JESHI LA WAISLAMU LITASHINDA VITA HIVI HII NDIO DOLA YENYE NGUVU DUNIANI KOTE
31:02
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.
Ngugi wa Karanja MCee kuhe mami wa nyumba kirorerwa
1:19:29
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 6 М.
HIZI NI DALILI KUBWA ZA KIAMA //SHEIKH OTHMAN MAaLIM
42:20
arkas online tv
Рет қаралды 60 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Mitihani katika Dunia
39:12
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 31 М.
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 55 М.
KISA CHA ASWAHABUL-UHDUDU ( WATU WA HADAKI ).  SHEIKH KISHK
40:40
Kishki Online TV
Рет қаралды 10 М.