ALLIAH COOL: Muigizaji MREMBO wa RWANDA afunguka alivyojenga JUMBA lake la KIFAHARI la TZS Bil. 1.3

  Рет қаралды 16,324

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 107
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 4 ай бұрын
Kazi nzuri..🇹🇿+🇷🇼 kiswahili. Dada amependeza karibu Sana Tz.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 ай бұрын
Anaongea kiswahili kizuri sana hongera sist.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 4 ай бұрын
Mashallah, Nimependa uyu Dada anavyoongea kiswahili, anaongea vizuri sana, maana hatujachoshwa na English Leo,jiamini Mrembo uko vizuri kwenye kiswahili 😘😍
@user-bq8ny7tt5z
@user-bq8ny7tt5z 4 ай бұрын
Dada zutu wa Bongo wajifunze kutoka kwake yani Dada anajielewa hana mbwembwe na kuongea kwake kuna umakini sanaaa 👌👌👌
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 4 ай бұрын
Ukweli
@suleydamour4059
@suleydamour4059 4 ай бұрын
Nafulahi sana kuwaona badhii ya watu maarufu rwanda kutembelea Chanel hii yetu Pendwa
@judithjulius5993
@judithjulius5993 4 ай бұрын
Dada nimekupenda Mimi ni muhaya nimeishi na wanyarwanda nakuelewa Tena nimeishi nao kwenye vile vinyumba vya nyasi na udongo I' like you
@bamurangepeace9567
@bamurangepeace9567 4 ай бұрын
Wakola mno kutwenda owatata❤❤
@uwimana6533
@uwimana6533 4 ай бұрын
Muha nimrundi alopotea Tanzania nyote nindugu 😂
@robertphilip385
@robertphilip385 4 ай бұрын
Mugambire stop
@antostyles
@antostyles 4 ай бұрын
Congrs Alliah wagerageje pe igiswahili cyawe ni kiza!
@rachelpease7302
@rachelpease7302 4 ай бұрын
Respect 🙏 I just love her❤ Watching from USA 🇺🇸 but from congo
@musabyeyezujoseline9048
@musabyeyezujoseline9048 4 ай бұрын
Waaawoo cool kama jina lako umeweza dada angu na kiswahili chako kizuli tuu na unawashinda wengii huku Rwanda I love you ❤❤❤❤❤❤
@sallammuslimah
@sallammuslimah 4 ай бұрын
Hohoooo!! ❤❤ Cyaaze komeza utwike mukobwa Wacu 😜
@user-bq8ny7tt5z
@user-bq8ny7tt5z 4 ай бұрын
Wow!!!!! SKY huyu Dada anaongea kiswahili vizuli sanaaa yani tumuelewa kbs 👌
@sabrinaraphael3474
@sabrinaraphael3474 4 ай бұрын
I like her she’s such a hardworking lady and very open❤
@mossaalbusaidi2292
@mossaalbusaidi2292 4 ай бұрын
I really like this girl keep up Alia We love u from Oman....
@user-pi9od4hs3u
@user-pi9od4hs3u 4 ай бұрын
Kumbe wasanii wa Rwanda wapo hvyo Wana heshima hongera Dada mrembo she's so humble jamani Kuna wenzangu na mm sijui tungeringajee
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 ай бұрын
Alliah !? Wow sky ipo vizuri sana
@3erffeoui86
@3erffeoui86 4 ай бұрын
working hard bring soft life kufanya kazi kwa bidii kupambana matekeo yako ni maisha nyororo
@jasminedada-mn4ib
@jasminedada-mn4ib 4 ай бұрын
Alliah cool wahatwitse mwana wiwacu hongera Sana
@user-cj1ft4mw2l
@user-cj1ft4mw2l 4 ай бұрын
SHE IS GOOD , AND SHE LOOKS SO TANZANIAN
@nailaniyonkuru2560
@nailaniyonkuru2560 4 ай бұрын
Wavuze igiswahili cyiza pee bravo
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 4 ай бұрын
Wow I like rwandise❤
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 4 ай бұрын
Dada yuko safi sana hana majidai kanipa moyo katika maisha ya kila siku tunatakiwa kujiamin
@erycah
@erycah 4 ай бұрын
she's so humble yani. Bless her.
@goodmanclassic1385
@goodmanclassic1385 4 ай бұрын
Dada yetu Toka Rwanda she's beautiful 😍🎉🎉🎉 #goodmanclassic
@target16008
@target16008 4 ай бұрын
Nakupenda sana alliah😊 unajiamini na unajitahidi sana😊 Waite mama slay wakuje uwafundishe namna ya kutumia fursa
@DurratMisfah
@DurratMisfah 4 ай бұрын
Big up Aliya wacu mashallah ❤❤❤❤We love you from oman
@alphonsegahongayire9450
@alphonsegahongayire9450 4 ай бұрын
Hongera sana Cool’ umejitahidi sana kwa kiswahili,, Jifunze pia kunyenyekea ukiwa Bongo’ Maana hao watu ni culture yao…..
@henriettenkuba3240
@henriettenkuba3240 4 ай бұрын
Namimi nikija kutembea TZ naomba unipokee sns.mimi ni fan wenu
@user-mt8pb3hf7j
@user-mt8pb3hf7j 4 ай бұрын
Nimempenda huyu dada yupo vizuri
@musason1680
@musason1680 4 ай бұрын
Binti mzr sana na anaonekana amelelewa vzr na kichwani Kuna akili sio hawa wa huku kwetu
@user-xp6rg6vj6g
@user-xp6rg6vj6g 4 ай бұрын
Beauty with brain. Hongera.
@MaryamSaid-id6yh
@MaryamSaid-id6yh 4 ай бұрын
That’s what you called, “a woman of substance “
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 4 ай бұрын
NDAGUKUNDA CHÉRIE ❤
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 4 ай бұрын
bivuge mugiswahili nakupenda chr
@prettynayally2177
@prettynayally2177 4 ай бұрын
Ni kweli rwanda hawatumii majina ya baba
@m___ck799
@m___ck799 4 ай бұрын
Very good interview Sky 🫡 this lady anajielewa sana hongera kwake👌
@user-tt3lx7ly2m
@user-tt3lx7ly2m 4 ай бұрын
Ma Shaa Allah
@vincentmbaire2666
@vincentmbaire2666 4 ай бұрын
Anajieleza vizuri dada yetu ule kwa swahili yake lakini kwa wandugu zetu kule wakumusikiliya wivu utakuta wana muponda kwetu kule kigali courage mtoto wetu wengine wenye akili wanaweza kuiga kitu kwako hongera sana utafika mbali saana
@josepha-yp5cw
@josepha-yp5cw 4 ай бұрын
😂😂😂
@luciamsani
@luciamsani 4 ай бұрын
Interview nzuri yenye mafunzo mrembo na mchapakazi safi sana congrats to her
@upendomsuya8961
@upendomsuya8961 4 ай бұрын
Kabisa amenivutia sana 😍😍🤗🤗✍️✍️✍️
@Mohaa4309
@Mohaa4309 4 ай бұрын
Roho nzuri mcheshi❤❤❤❤❤❤
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 4 ай бұрын
Sema Bundala wacheka wacheka2, vp ushapagawa na zigo🤣. Busara itawale bc chombo kisitoke bure bure chuma ulale ndani ya parking.
@kamikazineema1957
@kamikazineema1957 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 4 ай бұрын
Nimekupenda❤❤
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 4 ай бұрын
So humble and gorgeous 😍 ukomere cane 😊
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 4 ай бұрын
So beautiful
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 3 ай бұрын
Hongera sana mpambanaji
@ayubumbaras776
@ayubumbaras776 3 ай бұрын
Huyu dada anaongea vizuri
@scollantandu2350
@scollantandu2350 4 ай бұрын
Jamani mpolee nakupenda bureee kwanza mkweli ❤
@zahhstarboymk5427
@zahhstarboymk5427 4 ай бұрын
Dada yetu Li🥰🥰
@galileemsangwa9311
@galileemsangwa9311 4 ай бұрын
WOW INTERVIEW KALI SANA 🎉
@ManirampaRodrigue-pl6mx
@ManirampaRodrigue-pl6mx 4 ай бұрын
Kunabaki wa burundi ❤
@elishahenry9257
@elishahenry9257 4 ай бұрын
Sky walker tunaomba historia ya AYATI EDWARD LOWASA
@dannysengata2298
@dannysengata2298 4 ай бұрын
For sure I like this girl she's so funny 😍😅
@RealG-ie7sv
@RealG-ie7sv 4 ай бұрын
Such A Cool Spirit.. ❤
@OmanOman-pf9ut
@OmanOman-pf9ut 4 ай бұрын
❤❤
@Eng2460
@Eng2460 4 ай бұрын
sns🙌🙌
@emmanuelcuthbert2666
@emmanuelcuthbert2666 4 ай бұрын
Nadhani ulienjoy sana hii interview
@barakakusa7606
@barakakusa7606 4 ай бұрын
Kuna warembo na hawaringi
@mwaminindayishimiye3149
@mwaminindayishimiye3149 4 ай бұрын
Mzuri ❤❤❤❤ kisha mpole
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 4 ай бұрын
Mnyarwanda mzuri mstarabu
@user-yh2gy1lp7w
@user-yh2gy1lp7w 4 ай бұрын
Iyo story inanitowa majonzi ❤❤❤
@yunusutuyisenge8698
@yunusutuyisenge8698 4 ай бұрын
Dada yetu kajitahiti kweli ni vigumu kuona mu nyarwanda anaezungumza kiswahili namna hivyo komerezaho
@Boralifesyle
@Boralifesyle 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@emmyndisabiye9602
@emmyndisabiye9602 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@sallammuslimah
@sallammuslimah 4 ай бұрын
Yeet 😝🇷🇼🇷🇼🔥
@3erffeoui86
@3erffeoui86 4 ай бұрын
sky apo kwa 59:14 kuna mtu inaweza kua kaa ....
@MyAryana1
@MyAryana1 4 ай бұрын
Wangekuwa wetu vingereza vingi
@user-yh2gy1lp7w
@user-yh2gy1lp7w 4 ай бұрын
Maybe 30 years
@user-uz3hr3jw4b
@user-uz3hr3jw4b 4 ай бұрын
Ninde wumvishe nukuri😂 tera imbere mama
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 4 ай бұрын
unaongeakiswahilikizuli hata zaidi yangu kwasababu cangu nica buja
@itNeza
@itNeza 4 ай бұрын
Eti Mjasilia Mali / Mfanya Biashara Niacheni nicheke 😂😂😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 ай бұрын
Kina madebe wamesha jipanga
@georgekabaka377
@georgekabaka377 4 ай бұрын
Na miaka 33 kodi ya chumba kimoja sh elf 40 naitafuta mpaka napagawa😂😂😂
@user-mo9nm2vv8l
@user-mo9nm2vv8l 4 ай бұрын
🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@asadiagilly4237
@asadiagilly4237 4 ай бұрын
Pic kali
@opioandrew1624
@opioandrew1624 4 ай бұрын
Beauty with no brain
@user-el7om5su2h
@user-el7om5su2h 4 ай бұрын
Wanya rwanda 🇷🇼 huwa hawapendi kutaja umbri 😂
@henriettenkuba3240
@henriettenkuba3240 4 ай бұрын
Barakubaza ngo Ommy mwamenyanye gute ukisetsa Kandi Ari kibazo normal ? Kutamenya wee ngo he jamani.yagutangaye sky kuko yabonye wikanze😂😂😂😂😂
@sallammuslimah
@sallammuslimah 4 ай бұрын
C'mon she's good 😢😂
@daduha8771
@daduha8771 4 ай бұрын
Ariko yabivuze ko bahujwe na The Ben ntimugakunde kureba utuntu tubi gusa mujye Muba positive murahe courage umuntu
@simmbaaima215
@simmbaaima215 4 ай бұрын
Ako abantu nkamwe kweli mwaja murajira positive mind
@user-gk9dq3iw8u
@user-gk9dq3iw8u 2 ай бұрын
Henriette we urashyanutse pe uvuze ubusa
@nshimirimanablaise2763
@nshimirimanablaise2763 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@ZaiBin.
@ZaiBin. 4 ай бұрын
Free Congo #GOMA
@zahhstarboymk5427
@zahhstarboymk5427 4 ай бұрын
Free yourself first (wabaguzi )
@satiespoir1993
@satiespoir1993 4 ай бұрын
Mbaguzi mwenyew, unajuw mangapi wanayo pitia watu hao unao waita wabaguzi? Unajuwa wamesha zika watu wangapi? Ww subir mda utawajiy utakuj kujuw kam kweli wabaguz au la..
@sallammuslimah
@sallammuslimah 4 ай бұрын
​@@satiespoir1993 Rwanda is on the move 🇷🇼😜 just keep talking and we're moving on! No time for this shit. We suffered enough and now it's time to focus on our main target
@sallammuslimah
@sallammuslimah 4 ай бұрын
@@Elize391 we're not responsible for their freedom. They should fight and sustain it. And they have too! We do not lead them, we do not control them and especially we've no authority over them. So what is free congo. They should and you should free yourselves from poor mentality and stand up for what is right! That's a fact!
@Elize391
@Elize391 4 ай бұрын
@@zahhstarboymk5427 Bandoki 🇷🇼
@bosschick2417
@bosschick2417 4 ай бұрын
YES WANYWARWANDA NI SHAMBA SANA AND WAME POA SANA 😂😮
@NasmaHamis-qk3ft
@NasmaHamis-qk3ft 4 ай бұрын
Bana mnaniboa nahao wachaga kwasababu mnafanya makabila mengine yawe inferior na wanapambana pia kila siku wachaga wachaga akat weng pesa si za halal aaah
@nestorassani5461
@nestorassani5461 4 ай бұрын
mda sio mrefu tuta muona kond village 😂😂😂
@barakakusa7606
@barakakusa7606 4 ай бұрын
Kweli Konde hapitwi na kitu
@user-fh1kj2rr8t
@user-fh1kj2rr8t 4 ай бұрын
Yani kaja uku kututambia kwamba ana mjengo
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 ай бұрын
Amekuja kutupa hamasa kwamba inawezekana kwa uongozi wa Mwenyezi Mungu
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 4 ай бұрын
sasa amekuja kufanya intewiew ama amekuja kutwambia kama ananyumba😂😂
@sallammuslimah
@sallammuslimah 4 ай бұрын
Negativity in the air 😂😂😂😂
@NepporSabith
@NepporSabith 4 ай бұрын
Bilashaka unakitu kinakunyoa moyoni mwako
@itNeza
@itNeza 4 ай бұрын
Eti Mjasilia Mali / Mfanya Biashara Niacheni nicheke 😂😂😂
@sundayjohn1285
@sundayjohn1285 4 ай бұрын
Yuko sahihi ni mjasiriamali pia ni mfanyabiashara labda uombe usaidiwe kutofautisha kati hao lakini mtu yoyote anaweza kuwa mjasiriamali pia ni mfanyabiashara
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,6 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 46 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
#Kritikachannel#Shorts video 🙏🙏🙏
1:00
Kritika Channel
Рет қаралды 55 МЛН
Incredible magic 🤯✨
0:53
America's Got Talent
Рет қаралды 33 МЛН
One Two Buckle My Shoes ! #spongebobexe #shorts
0:17
ANA Craft
Рет қаралды 28 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
0:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН