Azam FC 0-0 Mashujaa FC | Highlights | NBC Premier League 17/04/2024

  Рет қаралды 27,158

Azam TV

Azam TV

Ай бұрын

Azam FC imebanwa mbavu na kulazimishwa suluhu na mashujaa FC kwenye dimba la nyumbani, Azam Complex, Chamazi, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa leo...
Ilikuwa ni mechi ngumu kwa kila upande, iliyosheheni mashambulizi makali ya kila aina....
Tazama Highlights...

Пікірлер: 31
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 Ай бұрын
Mashujaa walistaili point tatu wamecheza vzr aki kipa wa mashujaa wote wanajitaid aki 👌
@AngelAbbah-wc5un
@AngelAbbah-wc5un Ай бұрын
Saf sana mashujaaa
@HassanHassan-vh6pc
@HassanHassan-vh6pc Ай бұрын
Lea kweli wamechinjiwa baharini
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Ай бұрын
Mchezo mzuri ulikua na mipango na juhudi za wachezaji zimeonekana wamejituma...kipa wa mashujaa alikua makini.sometime total game kama refa anazingua ,kama mbape na wachezaji wengine ,mpaka marefa wataelewa.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Ай бұрын
Safi sana chama langu Mapgo na mwendo
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN Ай бұрын
Azam wako vizuri ila hawan ushirikiano mzuri kwenye umaliziaji maana mchezo mzuri
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 Ай бұрын
Hawa azam wanabebwa sana, ile ya Lusajo ilikua kadi nyekundu kwa beki wa azam aliemgonga Lusajo, ila kwakua refa alikua na kampeni yake, hakuwapa mashujaa kilichostahili
@isihakambalawa
@isihakambalawa Ай бұрын
Team Haina mashabiki kabisa
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
Awa azam walikuwa tishio kwenye ubingwa kuliko makolo, bora kwanza wamedraw,kipre ilibidi amalize mechi mapema😅
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Ай бұрын
Watani si walisema tunanua mechi,wamejisahau huko pia kuna wananchi wanalinda mipaka,tuache mpira uchezwe na vipaji...
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Nimefurahi saaana,mlituumizia wachezsji wetu hayo ndo malipo yenuu hayooo
@gregorysixmund2020
@gregorysixmund2020 Ай бұрын
Penalty ile kanyimwa lusajo
@DAUDIMAHIMBO-hb4sc
@DAUDIMAHIMBO-hb4sc Ай бұрын
Azam vipi tena?
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Semeni simba mlisema mbovu
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Ай бұрын
Azamu mnafungaga magori ya kuotea sana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Mwamuz aliikataa ile penalt,😢
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
Mashuja safisana ilakazeni bado🎉🎉🎉🎉🎉
@AliAli-uv5gw
@AliAli-uv5gw Ай бұрын
Hawa ni wanachama wa kudumu wa nafasi ya tatu
@user-vd8oq7it6v
@user-vd8oq7it6v Ай бұрын
Mapigo na mwendo😂
@ustawiwetu
@ustawiwetu Ай бұрын
Samson madeleke ni bonge la beki
@timcee2670
@timcee2670 Ай бұрын
Vita ya nafasi ya pili imekuwa ngumu sana, Azam kazeni mwakani mcheze caf ligi ya mabingwa, mwakani hakuna kombe la caf shirikisho kwa wataopata nafasi ya tatu na ya nne.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Ай бұрын
Hawawezi
@hajially4527
@hajially4527 Ай бұрын
Hapo bado hamjasare😂😂
@msaefuofficial3196
@msaefuofficial3196 Ай бұрын
Maahujaa wanga tu hawa
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc Ай бұрын
Wamewaonea hiyo ya lusajo
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
ilikuwa faulo ile
@patrickimran2645
@patrickimran2645 Ай бұрын
ukicheza ns yanga ukakamia ni lazima ufunngwe 3 mfuluruzo na badooo
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Malipo ni hapa hapa tuu,walicheza kwa fujooo na kukamiaaa
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
Wakatuumizia wachezaji wetu muhimu mpaka leo, vichwa vyao azam😅😅
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
@@husseinmassawa7186 na bado huoo ni mwanzo ni mwendo wakufungwa na droo tuu
GPS: HAMAS yaushambulia mji wa TEL AVIV wa Israel kwa ROKETI!
14:53
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 3,2 М.
¡Puaj! No comas piruleta sucia, usa un gadget 😱 #herramienta
00:30
JOON Spanish
Рет қаралды 22 МЛН
Do you have a friend like this? 🤣#shorts
00:12
dednahype
Рет қаралды 32 МЛН
ELE QUEBROU A TAÇA DE FUTEBOL
00:45
Matheus Kriwat
Рет қаралды 7 МЛН
Yoro Diaby - Best Moments (Mali National Team)
3:06
VM Sports Branding
Рет қаралды 9 М.
He Really Ran a 4.21...
0:19
NFL City
Рет қаралды 11 МЛН
Ronaldo Vs Other Players ☠️
0:42
Venix
Рет қаралды 20 МЛН