CHADEMA KIMEUMANA: MSIGWA NA WENZAKE WAFUTA UONGOZI WOTE MBEYA MJINI...

  Рет қаралды 20,934

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

CHADEMA KIMEUMANA: MSIGWA NA WENZAKE WAFUTA UONGOZI WOTE MBEYA MJINI...
MWENYEKITI wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mch. Peter Msigwa, ameeleza kuwa uongozi wote wa jimbo la Mbeya Mjini umefutwa kwa sababu za utovu wa nidhamu.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 28
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa hakuna kubembereza mtu
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Lema atoe utabili 😂😂😂😂yeye ni mwenyezi mungu makubwa jamani
@mathewmathayo212
@mathewmathayo212 2 жыл бұрын
Shida ya nchi hii ukisema ukweli lazima uonekane hauna nizamu nina wasiwasi sana yawezekana ni yaleyale kama ya ccm ok ndiyo vyama vyetu kwa lema atoe utabiri siyo utabiri kwa kwa viongozi wa ccm tu
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 2 жыл бұрын
Msigwa msigwa! tulishakujua kivuluge mzoefu acha acha kuvuluga chama
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 2 жыл бұрын
Saf Sana maamuzi sahihi kuondoa mapandikizi ya fisiemu
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Tatizo la baadhi ya viongozi wa Chadema mkitofautiana mawazo ni tatizo, ukimsikikiliza aliefukuzwa anasema katiba haikufuatwa. Mnaua chama kwa ubinafsi
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Chadema haifi na haivurugiki ,alifukuzwa Halima na chama kikopalepake
@ojasoojaso9479
@ojasoojaso9479 2 жыл бұрын
Ni njia nzuri Kwani kuna nafasi ya rufaa ,na hasa akina mama wanaongeza japo nao ni miongoni mwa viongozi wanaotoka madarakani. Naona kidonda kimepata dawa halisia nayo ni uchaguzi ndani ya siku 60
@christopherngereri76
@christopherngereri76 2 жыл бұрын
Faridi faridiioooo
@christinamsigwa5942
@christinamsigwa5942 2 жыл бұрын
Msigwa fukuza wote: wote wanaofanana na mimea au mmea unokaribia kufa fukuza woteeee mzeee ila hauna uwezo wa kuweka ndani! 🤣🤣🤣🤣🤣
@dennismwakilembe5800
@dennismwakilembe5800 2 жыл бұрын
Wanachama wa Chadema wamechakaa Wamebomoka Meno utazani bunzi lililo kosa maindi😄😄😄
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
Is
@jumamaswe4963
@jumamaswe4963 2 жыл бұрын
Mhhh
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 жыл бұрын
Mwambigija katolea nje
@devidmwakipunda1697
@devidmwakipunda1697 2 жыл бұрын
Wapigadiri mnagombania vyeo
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 жыл бұрын
Anatumika huyo achana nae Mwambigija
@allyhassan2973
@allyhassan2973 2 жыл бұрын
Hiyo ni kuua chama. Mnapo fukuza wanachama mjue kua mnapunguza nguvu ya chama na wapiga kura kwa ujumla. Ushaura fanyeni uchunguzi wa kina kwani haiwezeka wote wasife. Hapo.
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@omarymkungwa7657
@omarymkungwa7657 2 жыл бұрын
Mzee wa mjini kashasema atoki na ukienda utapigwa na mayai viza
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Hakuna kitu icho atakwenda tu
@christopheranna9412
@christopheranna9412 2 жыл бұрын
Huyu jamaa nahisi alikuwa pandikizi
@kelvinmwakyusah7311
@kelvinmwakyusah7311 2 жыл бұрын
Hao mamluki. Ndio hawatakiwi kabisa
@alimohd9492
@alimohd9492 2 жыл бұрын
Msigwa rudi kanisan ule sadaka
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 жыл бұрын
Huyo siasa zilishafeli na uongonwake sijui kanisa itakuwaje sasa
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 жыл бұрын
Hawa mbuzi bado wako hai tu.
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 жыл бұрын
😂😂😂 wapo
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 13 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 22 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 52 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН
ALICHOKISEMA 'SUGU' BAADA ya KURUDISHA FOMU ya UBUNGE MBEYA MJINI.....
1:51
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 13 МЛН