BALAA BARAZANI UPINZANI HAPATOSHI VIONGOZI WABAGUANA"WEWE PROFESA ACT WAZALENDO"ISHI KISIASA

  Рет қаралды 6,233

Tifu Tv

Tifu Tv

16 күн бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 49
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 15 күн бұрын
Ana ushawishi mzuri wa kitapeli wa kibara hasaaa!
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 15 күн бұрын
Jamanii njaaaaaaa ni kitu hatar
@buku181
@buku181 15 күн бұрын
Ndio maana mpka Sasa nikipofu haoni kwa dhulma
@komar9396
@komar9396 15 күн бұрын
Tatizo huyu Tadea Hana uwezo WA kuwa mwenyekiti WA PAC akiambiwa asikasirike akubali kawekwa hapo kwa maslahi ya ccm. Tuu Hana jipya zaidi ya kujipendekeza kwa ccm Kwa maslahi ya tumbo lake
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 6 күн бұрын
Ni kweli kabisa chama cha TADEA hata kibanda hawana ,hata mikutano hawafamyi,kama kura ATAPIGIWA NA MKEWE TU ,sasa Ana MENDIT AU ANA HAKI GANI KUWA KIONGOZI WA JUU? Anabebwa na IKULU YA CCM ,HALAFU ANAJIONA KAWAHI KUMBE SISI WANANCHI TUNAMUONA NI KIBARAKA NA LICHAWA LA CCM
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 14 күн бұрын
Yaaan hili baraza kusifiana tu ndio nilichokiona mimi
@jombadulla
@jombadulla 15 күн бұрын
ttzo hujasoma,form two,hujui pia kuzungumza,hujazungumza point, mwanzo na mwisho ni porojo tu,kasome keanza,huyo hana hoja
@alibakari903
@alibakari903 11 күн бұрын
Hana cha maana hata kimoja alichokisema
@Ablahisaid
@Ablahisaid 14 күн бұрын
Sisi tunataka mututeteni makodi mkubwa maisha magumu sio sikusifiana tu
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 15 күн бұрын
Juma ali hatibu m/ mungu hakukujaalia kuwepo hapo mana mungu ktk siasa hayumo kabisa sasa kakujaalia vp wewe kuwepo hapo.. uwongo mtupu kila mmoja kwafungwa pingu za mdomo...
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 6 күн бұрын
Huyu jamaa sie mpinzani ni kibaraka wa ccm,,hana haki za kuwakilisha wapinzani chama chake hata mikutano hakiwezi kufanya si jaki yake kuitwa moinzani ni kibaraka wa ccm,,hongera muwakilishi wetu wa act umesema ukweli jamaa linakula pesa za bure
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 15 күн бұрын
Huyu jamaa anatumia mda mwingi kulalamika na kujisifia, kuponda na kusifia watu wengine, ina mchango gani kwa taifa na kwa wananchi walowapa dhamana??? Uchawa umekua ni hasara kubwa Kwa Taifa na vijana wa Taifa hili
@jombadulla
@jombadulla 14 күн бұрын
mim ndo namjua elimu yake ni datasa la kum,chawa mkubwa sana,hana point sawa na yule muhindi
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 14 күн бұрын
@@jombadulla dakika zote alizopewa ni wastage, Hana Cha maana alichokiongea.. mazungumzo yake inaonesha dhahir ni mtu anaepigania kiti chake Kwa mdomo na sio vitendo, ni mtu anaepigania tonge yake Kwa garama ya ya kuwasili na kuwauza wananchi... Ifike Mahala hizi takataka zisafishwe
@amohammed3390
@amohammed3390 7 күн бұрын
Huyu amekasirika huyu Ali Khatibu ajitukana mwenyewe. Prof. Gogo wa Dhihaka na Prof. Omar Fakih (DEGREE IN ELECTRONIC, Masters Computer Engineering, PhD Computer….). Ajinusa mwenyewe huyu Hana hoja ovyooo
@AliBanly
@AliBanly 15 күн бұрын
Sisi hatuoni Faida zawakilishi nyinyi mupo kimasilahi lkn sio wadilifu
@saidmc8206
@saidmc8206 15 күн бұрын
Yeye ndio karambishwa asali sasa anataka kuchonga mzinga, foolish 😮
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 күн бұрын
Siasa= Si ha sa
@saidmc8206
@saidmc8206 15 күн бұрын
Njaa bwana Huyu alikua hatoki makao makuu ya (CUF zamani ) kila kitu akisaidiwa mpaka mabomba ya mikutano yake, njaa sasa anajua kuvaa suti, kahama jitini magomeni eti kawa muheshimiwa😅😮
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 15 күн бұрын
Tokeni hapa uumbavu tu
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 6 күн бұрын
Ni kweli kabisa ccm imempa ulaji tokea kipindi cha sheni mpaka Leo anaendelea kula pesa zetu bure LENGO LA CCM NI KUMTUMIA KIBABARAKA WAO NA NI MNAFIKI KUMTUMIA KWA KUWASIFIA MA CCM ,HILO CHAMA LA TADEA HATA WANACHAMA HALINA ,HALIJAWAHI KUFANYA MKUTANO WA HADHARA TOKEA KIANZISHWE ,,HATA HAYA HANA
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 14 күн бұрын
Kwenda me cjakuelew ata moja maana kuongea hujui
@amanmohd9435
@amanmohd9435 14 күн бұрын
Juma Ali Khatib ni tapeli tu...
@SleimanMsellem
@SleimanMsellem 15 күн бұрын
Kashasahau kam chamabchake kinagombea uraisi uyoo
@DuuSaid
@DuuSaid 15 күн бұрын
Sisi wapiga kura wako unatusaliti ivi ivi daa hazarani 😂😂😂
@aaahadventures4214
@aaahadventures4214 14 күн бұрын
Kiukweli huyu jamaa ni Mbumbumbu. Yaani Jichwa kavu..😅😅
@jombadulla
@jombadulla 15 күн бұрын
elimu yake ni form two ndo tatizo,nenda kweny hoja,usimlenge mtu
@jombadulla
@jombadulla 14 күн бұрын
hana point Yule, ndo mana akaambiwa ingia kweny hoja,ata alipoambiwa hvo akaendelea kusifia tu,nampongeza nampongeza nampongeza,
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 15 күн бұрын
baraza la mipasho na ujinga, hoja za kipumbavu anaweza kuzisikiliza ni mjinga tu, mfano kama hao wanapiga makofi na kushangilia. Mchango na hoja za Prof Omar ni za kisomi na kitaalam sio hizo kauli za dubu na ngumbaro na mipasho yake.
@alinassor391
@alinassor391 15 күн бұрын
Unajulikana ww ni wa kimjini mjini
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 14 күн бұрын
Rudi darasan
@feiz3180
@feiz3180 14 күн бұрын
Utoto mwingi,,,,
@lusakaone7782
@lusakaone7782 15 күн бұрын
Acha kelele toa hoja
@YahyaOthman-et2ki
@YahyaOthman-et2ki 15 күн бұрын
Jibu unalo mbona Akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 15 күн бұрын
Jina lake ni Juma tapeli!
@ummuhammad7571
@ummuhammad7571 15 күн бұрын
Kampeni ndani ya baraza
@Nassor2377
@Nassor2377 15 күн бұрын
Zulma tuuu mnamjua Allah nyinyi
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 15 күн бұрын
We ushakua Mungu sasa kusema nani anamjua Mungu na nani hamjui Mungu acheni kufika mahala mkaona Mungu ni wenu nyie na wengine hawamjui usilete hisia zako za kibindamu
@islambinomar8716
@islambinomar8716 15 күн бұрын
Huna chama balahau na umetumia mda mwingi kulalamika kuliko kujenga hoja
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 15 күн бұрын
Upuuzi mtupu,kaleni urojo huko,watu wana njaa nyinyi munatuletea ujinga
@user-wu8yy4mw5p
@user-wu8yy4mw5p 15 күн бұрын
Ww mbona unaongea pumba umefika latatu c Nini porojoti
@DuuSaid
@DuuSaid 15 күн бұрын
Tuongezee basi kura yako ccm utapata cheo hicho hicho tena😂😂😂
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 14 күн бұрын
Anapiga kelele tu
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 15 күн бұрын
Ww mbwa baadae pitia coment uone mcivyo usivyo pendwa naccm wanzako,umevaa ngozi ya kondoo muhuni ww ila kumbuka mauti pia
@alinassor391
@alinassor391 15 күн бұрын
Atakuchagua tena wewe ni chawa wa ccm unajulikana
@salyali7807
@salyali7807 15 күн бұрын
Hili kweli baraza la wakilishi zanzibar? Aibu mkubwa ... nani kamchagua huyu jamaa
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 14 күн бұрын
Jussa kasema sio baraza hilo ni barza 😂
@salyali7807
@salyali7807 14 күн бұрын
@@OmerSuley-gl7go 🤣🤣🤣🤣
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 15 күн бұрын
Hamna lolote hoja za kijinga tu ovyoo
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 37 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 53 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН