MUSUKUMA AMLIPUA MCHUNGAJI PETER MSIGWA IRINGA - "NITAKUWA NAMPIGIA BUNGENI"...

  Рет қаралды 13,207

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MUSUKUMA AMLIPUA MCHUNGAJI PETER MSIGWA IRINGA - "NITAKUWA NAMPIGIA BUNGENI"...
Mbungu wa chama cha mapinduzi Joseph Musukuma amezungumza na wananchi wa iringa katika ziara ya katibu mkuu wa chama hicho...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 17
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@jumamsechu
@jumamsechu 7 күн бұрын
Wezi kazini
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Msukuma Hana elimu ya kuelewa mambo. Anajipa udaktari bila elimu. Ni mbwembwe tupu. Hawa ndio wanaoliangusha Taifa. Elimu, elimu, elimu
@OmaryKikambaa
@OmaryKikambaa 4 күн бұрын
Mara pa msigwa yupo chichiem,,,, kumbe msukuma alikuwa anamaanisha
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 2 күн бұрын
Heti humewapa uhuru sawa mkoroni sijui mwarabu au mzugu
@victorsanga2229
@victorsanga2229 4 күн бұрын
Siasa za CCM hazina lengo la kumkomboa mnyonge
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Жыл бұрын
Nchi iko kwenye pandemic mbaya sana, kichaa, viongozi wote vichaa, mbwa koko wewe Musukuma. Hela hizo ni za watanzania siyo za mpemba Samia!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 күн бұрын
Kumbe Mchungaji Pita Msigwa alikuwa anapewa pesa na ccm .
@anordgerison8639
@anordgerison8639 Жыл бұрын
Wewe mbunge msukuma una ongea nini ...? Ety pesa inatoka kwenu una pesa gani ya kutoa kwa CHADEMA wewe , Pesa n za walipa Kodi wa kitanzania na Maliasiri za Tanzania 🇹🇿 , ko usijifanye wewe ndio unajua Sana wadanganye hao hao ..... ! Ambao hata darasa la 7 hawajafika
@kizitoleons6291
@kizitoleons6291 11 ай бұрын
Huyu ufahamu wake mdogo sana badala anadi sera za chama chake anamuongelea mpinzani
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 күн бұрын
Mpumbavu ndiye aliwae. Hana lo lote anafanya siasa za kipimbavu tu
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 2 күн бұрын
Akili mbovu
@shetanoathumani2904
@shetanoathumani2904 Жыл бұрын
Mkulima Nani wa nyanya amepelekewa mamilioni ya hela?
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 күн бұрын
Huyu anayejiita msukuma kwa nini asiende shule kwanza ili awe anaongea facts bungeni maana michango yake yote huwa madudu tupu yaani uchafu na kuchafua watu.
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Күн бұрын
Mhuza nyanya kaperekewa pesa na kachukuwa
@patrickKitambo
@patrickKitambo 8 ай бұрын
Watu wajinga wapo kwenye mfumo, wenye akili wanaogopa kuingia fursa za uongozi
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН