CHUCHU HANS AMCHANA RAY KIGOSI/PLAYBOY/MATUKIO MENGI YA AJABU YAMETOKEA/SIJUI AMEMAANISHA NINI

  Рет қаралды 66,098

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

#wasafi #refresh

Пікірлер: 114
@wabaremasandiko1024
@wabaremasandiko1024 4 жыл бұрын
Chuchu umefanya jambo la hovyo sana kuna wkt utajutia!!
@danielhumble4292
@danielhumble4292 4 жыл бұрын
Quite frankly this woman is intelligent and knows the meaning of the interior should not be made public
@lindatogether
@lindatogether 3 жыл бұрын
Indeed
@dullykiftu6382
@dullykiftu6382 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂JOHARI WEWE 😂😂😂 MWANAMKE JASILI SANA MUNGU ATAKULIPA KWA WAKATI
@habibasallah8139
@habibasallah8139 4 жыл бұрын
Mashaallah
@samanthaali873
@samanthaali873 3 жыл бұрын
Atajua hajui😃😃
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Chuchu mwanamke ni uvumilivu, pia utulie sasa na Ray uzae naye watoto na husichange change watoto na wababa tofauti sio vizuri
@aishamussa7246
@aishamussa7246 3 жыл бұрын
So qute 😘
@mustaphahassan8407
@mustaphahassan8407 2 жыл бұрын
tatizo mnachanganya kazi namapenzi sasa mmebakikudhalilishana kwenyemitandao
@kherrymkopi8719
@kherrymkopi8719 4 жыл бұрын
Aiseeee ukifanya na ww utafanyiwa😂😂😂😂
@mzalendootv2939
@mzalendootv2939 4 жыл бұрын
Sio expecially.. ni especially
@somoeally9592
@somoeally9592 4 жыл бұрын
Kumbe na ww umemskia analipenda Sana ilo neno
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
😂😂😭😭😭 umenifanya ni focus Kweli 😂😂
@utamuwaleo1970
@utamuwaleo1970 3 жыл бұрын
wasafi, mmemwiga SHELAWADU kiasi flani
@IssaMRajab-su5lh
@IssaMRajab-su5lh 4 жыл бұрын
I need to have a word with your stylist😅😅😅
@hopechidera
@hopechidera 4 жыл бұрын
I think she is her own stylist🤣🤣🤣you can create your own style if you want so.
@IssaMRajab-su5lh
@IssaMRajab-su5lh 4 жыл бұрын
@@hopechidera definitely 😀
@millymajjy205
@millymajjy205 4 жыл бұрын
😂😂😂
@yusufufundi3490
@yusufufundi3490 4 жыл бұрын
pole sana dadaangu ila tatizo uliingilia mahusiano ya watu
@marymasanyiwa5738
@marymasanyiwa5738 4 жыл бұрын
Muosha huoshwa
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Tena aliwakimbia baba za wale watoto wake wawili huko Tanga
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Mmh
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 4 жыл бұрын
Kaz na hay mapenzi ndo kabisa
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Hahaaaaa
@lukasdaud8554
@lukasdaud8554 4 жыл бұрын
jinga xana ww
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Wewe ulivunja uhusiano wa mwenzako lakini wewe unatetereka kuona uhusiano wenu unavunjika.
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 жыл бұрын
Kwel vooo huyu dada acha akomeee
@jackjudy9182
@jackjudy9182 4 жыл бұрын
fact
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 3 жыл бұрын
@@zuwenaalamini4158 ndoa yangu na wewe lini ? umri unaenda my hero
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Kumbe ?
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
@@mathildemwangaza109 ndio Ray na Johari walikuwa wapenzi ila huyo chuchu Hans ndio alivuruga mahusiano yao.Leo hii na yeye analalamika..
@Iambabamusic
@Iambabamusic 4 жыл бұрын
Ni atar sana
@franknyello2873
@franknyello2873 3 жыл бұрын
Presenter ana sura ngumu uyu
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
mh
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 4 жыл бұрын
Huu Ni ujinga kwa wanawake mlitogozana wawili Leo mkigombana mnakimbilia kwenye mitandao ufala huo...
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Siopow kabisaa
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Tatizo hawa wenzetu tofauti na sisi hata asipo taka yy japo jirani yake atasema maana hao ni vioo vya jamii na mitandao ndio maisha yao,
@mwanaidimzeeonar3252
@mwanaidimzeeonar3252 4 жыл бұрын
Especially Tanzania ladies
@agathanyondo3192
@agathanyondo3192 4 жыл бұрын
Muosha huoshwa😅😅😅😅
@theprincejr1417
@theprincejr1417 4 жыл бұрын
Mbona wanawake mnapingan na Mungu, playboy na kuchelewa kurudi home iko damuni toka uumbaji wa adam kule edeni 🤗😆😃
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣😭😭😭😭
@beolinedaudi7923
@beolinedaudi7923 3 жыл бұрын
Jaman msitufanyie hivyo
@ishamuu4307
@ishamuu4307 4 жыл бұрын
Pole mami
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
nin
@a2comedy36
@a2comedy36 3 жыл бұрын
Lakini dada yetu chuchu umevumilia mangapi kwa mumeo sema kama ulivyo ww ni mtuu maluf ungevumilia tuu
@mulladomuller4487
@mulladomuller4487 4 жыл бұрын
kikiiiiiiiiiiii
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 4 жыл бұрын
Johariiiiii popote ulipo kunywa pepsi baridi ,aliesababisha ukaachwa naye ameachwa
@neemaalex728
@neemaalex728 4 жыл бұрын
😁😁😁
@wemaomarywema6852
@wemaomarywema6852 4 жыл бұрын
Muoshaa huoshwa yeye alisababisha ray najohari waachane naleo yeye kaachwa malipo hapahapa dunian
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 ndio ivo alizani kafika kish mwili wa twiga kisha mweupe HAHAHA
@sabringwal3079
@sabringwal3079 4 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 ndio kila mchimba kabur nayey huchimbiwa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hawasandale5595
@hawasandale5595 3 жыл бұрын
Wasanii bwana yani mkigombana tu mambo yoteee hazarani halafu mda kidogo wasikia wapo wote looh ..hebu mambo mengine mfanyage siri zenu bhana na kama mmechokana muachane kimyakimya
@innocentbugomola549
@innocentbugomola549 4 жыл бұрын
Et maarufu ko sisi tujifunze nn ikiwa ww mwnyw unaaribu aaah
@rahmahussen5433
@rahmahussen5433 3 жыл бұрын
Duu kaz munayo
@sarahogama9540
@sarahogama9540 3 жыл бұрын
Sasa Chuchu si ulimuaribia Johari so tulia hapohapo Na ww pia uumizwe kumbavu ww!!!!
@innocentbugomola549
@innocentbugomola549 4 жыл бұрын
Ww umeanza Kiki kama za shilole na uchebe eeeh wasanii wa bongo mna Kiki
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Yan ukafanyiwe cancel kwasababu ya dudu au nn🤣🤣🤣cjaelew mie
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 жыл бұрын
Tausi wewe mbavu zangu jmn
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
@@zuwenaalamini4158 anatuchosha nae ww umeelew alichongea🤣🤣🤣🤣🤣
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 4 жыл бұрын
Hizi zote kiki,wabongo bhana punguzeni.
@sostheckenas907
@sostheckenas907 4 жыл бұрын
Wasafi TV on 🔥🔥🔥🔥
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 4 жыл бұрын
Nasubir mtangazaj aseme "UNASEMAAAAAAAA"
@florarose1626
@florarose1626 4 жыл бұрын
😂😂
@bareduuoromooasnaakuu7151
@bareduuoromooasnaakuu7151 3 жыл бұрын
Bora ungevaa chupi na sigiria
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Mtiani wanaume maana duniani kunamambo
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ngoja waendelee kutuchachua😂😂😂😂tunaenjoy
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
Uyu mwanamke mbn mm simuon mzur sana kawaida tyu
@danneismail5442
@danneismail5442 4 жыл бұрын
Ni kwa vile hujampenda lakini ni mzuri kwa anayempenda
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 4 жыл бұрын
@@danneismail5442 jibu konki 💪💪💪💪💪💪💪
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 4 жыл бұрын
@@danneismail5442 asanteee
@simbazmnyama1258
@simbazmnyama1258 4 жыл бұрын
Mbona txt zakutongozana amja post
@nbmax1405
@nbmax1405 4 жыл бұрын
Kama ucebe vil
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Kiki tu😝😝
@musayahya702
@musayahya702 3 жыл бұрын
Oil chafu haijawahi kumuacha mtu msafi
@fatmakhamis7876
@fatmakhamis7876 4 жыл бұрын
Ndo mana kila siku nasema wanaume afadhali ulidanganye ila ukilipenda kwa dhati kuna siku utalia tu sijui kwa nini hawa watu hapendelei jamani duuh
@danneismail5442
@danneismail5442 4 жыл бұрын
Mpende lakini husimwonyeshe kuwa wampenda sana atafura bichwa lakini husijaribu kumdanganya hasa kama mko kwenye ndoa @ Fatma
@alicenice1711
@alicenice1711 4 жыл бұрын
Awa wanaume sio wa kuaminiya saana
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Hao ni wazazi jamani tusiongee sana, na hapa mtu anasema kila kitu kwa mtandao kumbuka hawa wasanii maisha yao ni humu kwa mitandao,
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Huyajui wewe muoshwa,,,,,,,,,,,,
@aishaiddi8326
@aishaiddi8326 4 жыл бұрын
Kweli
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
@@salamakombo3257 hahahaaa umenifanya nicheke,
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
@@aishaiddi8326 anavuna alichopanda,
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
@@queenwinnie256 haswaaaa ukilima mpunga utavuna huo huo mpunga wala hauvuni mahindi
@farhatmuhanna7351
@farhatmuhanna7351 4 жыл бұрын
Mhh
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
aNini
@Iambabamusic
@Iambabamusic 4 жыл бұрын
Like nyingi sana
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 жыл бұрын
Alitaka mtoto kutoka kwako akuna kingine😂😂
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 4 жыл бұрын
Kwan anaweza kuzaa pekeake tu au yeye ni mzur kuliko wengine jaman kuna wanawake wazur nyie watu acha kabisa
@wemaomarywema6852
@wemaomarywema6852 4 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 kabisa tuko wengi wazuri sema tuko mikoani 🙈🙈🙈🙈🙈
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 4 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 si ndio hapo sasa mko vizur hatal
@wemaomarywema6852
@wemaomarywema6852 4 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 😂😂😂🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 4 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 unajua watu wanaojipiga picha mara kwa mara afu ni wasanii wanajionaga kama wao ndio wazur kumbe kuna vitu viko mikoan huku vizur hatar had tabia zao ni tam had mume unajidai kuanae
@danielhumble4292
@danielhumble4292 4 жыл бұрын
Kweli kabisa huyu mwanamke ni mwenye akili na anajua maana ya mambo ya ndani hayapaswi kuwekwa hadharani
@ckuugudeh6821
@ckuugudeh6821 4 жыл бұрын
Mbna nahisi kama ni kiki manake eti wamekosana kwa wakati mmja na wanatambulisha kazi zao? Hii ni kiki
@amissahassan495
@amissahassan495 4 жыл бұрын
Ujika mtupu looooh kiki tu hizo.ili mtowe hizo.Kazi zenu
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
nini
@judithkataraia7305
@judithkataraia7305 4 жыл бұрын
kama unatatizo la kukosa hedhi , umehathirika na dawa za uzazi wa mpango, harufu mbaya sehemu za siri, mvurugiko wa hedhi, fangus sugu , UTI sugu, pid sugu na kukosa hamu ya tendo karibu inbox tuzungumze na tiba. 0652223888
@mzalendootv2939
@mzalendootv2939 4 жыл бұрын
Hebu angalia pronounciation yako hiyo ya especially
@rehemaconeriocostance9011
@rehemaconeriocostance9011 4 жыл бұрын
Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
🔴LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAFI FM 06-08-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 235
#cat #shorts Rescue Adorable Kittens
0:50
Shohel Is Back
Рет қаралды 26 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
0:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
M&M IN MY THROAT
0:35
dednahype
Рет қаралды 3,7 МЛН
КЕПКА КОМАРОВ
0:16
KINO KAIF
Рет қаралды 16 МЛН
ToRung short film: 🙏save water💦
0:24
ToRung
Рет қаралды 89 МЛН