MASOUD KIPANYA, MWIJAKU KUFIKISHANA MAHAKAMANI, ''AMLIPE BILION SITA'', HAYA NDIO MAKOSA YAKE

  Рет қаралды 60,373

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

23 күн бұрын

MASOUD KIPANYA, MWIJAKU KUFIKISHANA MAHAKAMANI, ''AMLIPE BILION SITA'', HAYA NDIO MAKOSA YAKE

Пікірлер: 322
@mwansaflorence6862
@mwansaflorence6862 20 күн бұрын
Safi sana masoud komesha huyo mwijaku amezidi uchawa unampeleka pabaya,mimi hata matangazo yake huyu mwijaku siangalii ni mshamba sana Mwijaku
@binrashid8671
@binrashid8671 15 күн бұрын
Kaka masoud kipanya ukimsamehe huyu na mm kesho nakutukana kwasabab utanisamehe pia, kumbuka alicho mfanyia dada menina huyu jamaa, bila shaka hii ni dua ya menina mungu kaijibu.
@daudisalum9574
@daudisalum9574 22 күн бұрын
Safiii sana wehu umemzidi mpelekeni mahakani iwefundisho Kwa machawa wengine
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 21 күн бұрын
Hahahahah
@Amirmgunya-pt2zm
@Amirmgunya-pt2zm 19 күн бұрын
Tanzania kuna ujinga mwingi sana Bilioni sita nyie wenyewe mnangapi mpka muone nirahisi mtu mwingine kuwalipa
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 18 күн бұрын
Uliza ujue nini maana yake hiyo​@@Amirmgunya-pt2zm
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 күн бұрын
​@@Amirmgunya-pt2zmhats kama hawana kitu wana haki ya kuzidai hizo au hujui sheikh. Kasome sheria angalau kidogo ikugomboe labda hutaropoka kitu ambacho hukijui na kama haijui kitu basi kakojoe ukalale.
@darhoodtzhaidar3640
@darhoodtzhaidar3640 17 күн бұрын
Masoud ni role model na amekuwa aki inspire vijana wa rika zote wachapa kazi na smart wenye kujielewa, ni mtu mwenye hekma na upendo na amekuwa na yeye akiheshim watu wengine
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 22 күн бұрын
Huyu Mwijaku alikuwa anafikiri Kipanya ni kama Dimond kilasiku anamtukana na Dimond kimyaaaaa sasa kapata Mwamba amtoe uzuzu wake
@UmmyMaalim
@UmmyMaalim 19 күн бұрын
Safi sana sheria ndio hizi sasa hapa nimefurahi sanaaa uyu mwijaku ana mdomo sana pole sana kaka yetu masoud
@saxannjo6173
@saxannjo6173 22 күн бұрын
MJINGA AKIPEWA UMAARUFU, ANAKUA MJINGA ZAIDI (MPUMBAVU). Kipanya ni LEGEND Mkubwa sana kwa CHAWA MWIJAKU,,,,
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 21 күн бұрын
Hatumujuiiii😂😂😂😂😂 tutasmama na mama kizii mkaziii
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Mama kizimkazi anaingiaje hapo! Nyie ndio walewale mashost
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 19 күн бұрын
@@judyngowi391 hutakii CCM
@mwlpierre
@mwlpierre 15 күн бұрын
@@liberatusjackson5045kwa huyo mama Kizimkazi atamlipia hiyo bilioni 5
@jumamabu3650
@jumamabu3650 21 күн бұрын
Masoud kipanya wa Maisha plus , mwamba sana huyu jamaa (Umaarufu sio kuvunja heshima za watu, mwijaku ajirekebishe aache ujinga)
@happyemanuel2070
@happyemanuel2070 16 күн бұрын
Ndo tatizo la kuoa na wanawake wa mjini hamshauri mumewe vitu vya maana mwijaku mjinga sana
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 20 күн бұрын
Daaaa!!hii itakuwa ni fundisho kwa wengine aisee,lazima uweke hakiba ya maneno🙏🙏🙏🙏🙏
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 22 күн бұрын
Kipanya ni mtu anaheshimiwa sana serikalini jamani tuwe na mipaka ndugu😢😢😢
@ommylax7231
@ommylax7231 19 күн бұрын
Anaweza akawa hata usalama wa Taifa
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 13 күн бұрын
Huyu mwehu mmekosea sana kumpa masharti , mngempeleka tu kwapilato ili akanyee debe huyu mbweha anakera anakwaza bigtime
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 21 күн бұрын
Masudi imejengwa na mungu kwa mapenzi yake
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 22 күн бұрын
Twataka fundishoooo.kwa mwengineee😊
@rosechuwa9493
@rosechuwa9493 22 күн бұрын
Pole sana ndugu yeti masoud Mimi binafsi nilijisikia vibaya sana nilipolisikiliza lile li mwijaku zero brain. Nakuomba husikubali ata akuombe msamaha kwa kupitia mashehe wote wa dunia
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 22 күн бұрын
Safi Sana ndio amezidi
@kessyjonastv1803
@kessyjonastv1803 19 күн бұрын
MUNGU ALITUUMBA NA MDOMO MMOJA MASIKIO 2 NA MACHO MAWILI AKIMAANISHA TUWE WASIKIVU SANA WAANGALIAJI SANA NA WENYE MANENO MACHACHE. 🙏🙏🙏🙏
@Allyhujjat
@Allyhujjat 21 күн бұрын
Dah pole kaka masudi wajina acha mahakama iamue ..kusema ni kuzuri na kutosema ni kuzuri pia
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 20 күн бұрын
Kutosema Ni vizuri zaidi
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 22 күн бұрын
Mwijaku akome...tena akome sana anaropokwa sana sana ....Kp kanyagia hapo hapo
@christonchristian7448
@christonchristian7448 21 күн бұрын
apo apo asiachie accelerator ni motoo tuu😡😉
@erickbulyota9474
@erickbulyota9474 21 күн бұрын
Yan ni hapohapo
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Yaani KP usirudi nyuma, ukitaka msaada wowote we nambie
@young10_krillz
@young10_krillz 13 күн бұрын
😂👍​@@judyngowi391
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 20 күн бұрын
safi baba. maelezo yameeeleweka . tunamsubiri uyo mjinga atupe maelezo
@salumidrissa8858
@salumidrissa8858 12 күн бұрын
Credit nyingi sana zimuendee wakili msomi, he's so smart, from how he explains, he's really a professional
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 күн бұрын
True, u said.
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 күн бұрын
Poke Masoud mwanangu. Mwijaku atapata akili sasa anajifanya mropokaji wa kinataifa leo kaingia cha kike atajifunza adabu, atapata akili na atashika adabu maana hana hata moja anaj8fanya chizi. Si spending Mwinjaku wa hovyo sana.
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 21 күн бұрын
Aende jera tu mimi binafsi namchukia sana mwaijaku anamtukana daimond na mond anamkalia kimya sasa naombeni masudi usimsamehe mpaka auze na kanyumba kake kanako mpa kiburi
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 20 күн бұрын
Mwijaku mimi ni shabiki yako ila kwa hili umezingua pakubwa SANA umemkosea sana bro masoud na umeishusha brand yake .we nenda tu mahakamani
@fredrickallan5437
@fredrickallan5437 17 күн бұрын
Kaka masoud husikubali aende mahakamani akajibu tuhuma zake na ikithibitika aukumiwe kwa Sheria zote za nchi na kanuni zake,kaka masoud wewe ni legend kwenye nchi yetu na mjinga mmoja aje kukuchafua kirahisi tu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 21 күн бұрын
Bora mfikisheni huyo mwijaku awe na adabu kidogo manake kazidi sana sijui anaanza kuchanganyikiwa ?! Manake toomuch kila mtu anamkwaza mtieni adabu kidogo! Mbona baba levo ana adabu yake akifanya utani utacheka tu sio huyo anachefua roho😢
@jebajr
@jebajr 21 күн бұрын
Mwijaku ni mpuuzi sana
@benotayari5970
@benotayari5970 22 күн бұрын
Nimefurahia sana kwa uamuzi aliofanya masoud kipanya kwa mwijaku. Hana adabu hata kidogo yani yeye kila mtu anajifanya kumjua nakutaka kumzoea. Acha sheria ifuate mkondo wake na iwe fundisho kwa kila mwenye kupenda kuropoka ropoka hovyo pasipo kuwa na ushahidi.
@SHABANIMALIMA
@SHABANIMALIMA 21 күн бұрын
Mwijaku mjinga sana yaanialifikria Masoud kipanya nikama Maua Samma maanaakishawahi kumdhalilisha Maua Sama kwakumuita Malaya lakni dada watu aliamua kusamehe
@aubreykasoyaga1665
@aubreykasoyaga1665 22 күн бұрын
MSALA HUO.
@zenachristopher5596
@zenachristopher5596 21 күн бұрын
Safi sana, limezidi kuropoka.....kakanyaga pabaya kwisha habari yake..😅😅😅😅
@ramadhannibigira7494
@ramadhannibigira7494 19 күн бұрын
Kumbe Simba angekuwa amesha mufunga sana iyi kenge ya mwicaku…kwa kweli Monde ni mutu safi
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 21 күн бұрын
Mnamjua 😂😂😂mama kizimkaziii kipanya akale panya ❤❤❤❤
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Huyo mamako ndiye anyemtuma atukane watu, kwendeni kule machawa wahed
@SaleheHamiss
@SaleheHamiss 18 күн бұрын
Kaka masudi mwijaku mwijaku limbukeni ajasoma uyu MTU nimuongo akisema ana digili3 sio kweli tena inabidi achungujwe akil cyo mzima
@innocentsimika1937
@innocentsimika1937 22 күн бұрын
Safe sana Masoud
@JeniferJunior-qi3le
@JeniferJunior-qi3le 18 күн бұрын
Afungwe ili heshima iendeleee kuliko kupewa ela coz ameshazoea kuwafhafuwa weng na mm namwonaga mwijaku kama mangekimamb afungweeeeee jaman plz serkal naiomba🤔😇
@user-ds3xs8gd9j
@user-ds3xs8gd9j 21 күн бұрын
Fanyeni kwelii kwa mwijaku iwe fundisho maana hii nchii uhuru umepitilizaa sana jitu linaongea km linauhakika najambohilo
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 22 күн бұрын
Mwijaku kwisha khabari yake.
@user-uk2ev1ln3y
@user-uk2ev1ln3y 22 күн бұрын
Jinga sana acha yamkute
@user-ks6tb9li8j
@user-ks6tb9li8j 22 күн бұрын
Huyu ni jera moja kwa moja
@ozilbeatz532
@ozilbeatz532 19 күн бұрын
Law❤
@davidmassawe2619
@davidmassawe2619 22 күн бұрын
Dc umeniangusha San omba Mambo yarud home
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 22 күн бұрын
Mwijaku mpumbavu sana. Yaani anataka kumuharibia mwenzake hivihivi. Yaani ni zaidi ya muuaji kabisa. Masuala aliyoongea ni dangerous kwa Taifa kwa sasa. Brand ya KP inejengwa kwa muda na gharama kubwa leo anamfanyia hivyo kweli? HAPANA HAPANA HAPANA haivumiliki kabisa.
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 20 күн бұрын
coment yako ndugu mpaka chozi limenidondoka bila kutarajia
@Odenymexon
@Odenymexon 20 күн бұрын
Ila huyo anaitwa Mwijaku ni mpumbavu fulani hivi sijawahi kumuelewa na sitakuja kumuelewa milele.
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 22 күн бұрын
Bora machawa wakome hatuwataki inchii inakufa sababu ya machawa😊
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 20 күн бұрын
Duuuuh Juzi Juzi hapo kamuonya sn baba levo kama hata kuwa makini atakuja kufungwa kwa Tabia zake hizo haya Sasa kayakanyaga Leo Hilo ndio hatariiii sn masoud eti no kijana wake wakati masoud yupo town 1987 anaiwakilisha jamiii yake kupitia taaluma yake Sasa hapo kayakanyaga 🙌🙌🙌
@amosmahona433
@amosmahona433 20 күн бұрын
MWijaku amekuwa na tabia ya kuchafua sana watu ona amemvunjia heshima mwenzake kuanzia taifa mpk kwenye ukoo.BOra achukuliwe hatua kali kabisa ili iwe fundisho na kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
@reginaedward4883
@reginaedward4883 19 күн бұрын
This must be a lesson kwa huyu mwijaku amezidi sana, shame on him
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 18 күн бұрын
Msitutoe kwenye mjadala wa Mpina na Waziri wa kilimo na bunge kutaka kumnyamazisha Mpina!
@nasuwaabinerylema9083
@nasuwaabinerylema9083 17 күн бұрын
Mwijaku
@user-mg5kp9zr8v
@user-mg5kp9zr8v 20 күн бұрын
Mkazie kaka mpuuuz uyo
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 20 күн бұрын
Kaishusha brand ya masoud kP daaah ameongea maneno mazito sana
@martinchambala9399
@martinchambala9399 21 күн бұрын
Alisha tutukania mondi wetu sana huyo mwijaku
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 9 күн бұрын
Masoud ajengewe sanamu kwa kumfundisha huyu limbukeni
@elisacharleskajembe
@elisacharleskajembe 19 күн бұрын
Waswahili siku zote husema "funzo la mjinga ni taabu "
@RaymondMuga
@RaymondMuga 22 күн бұрын
Mkija mjini tafuteni ila msijifanye mnalijua jiji sana, jiji ni gumu sana
@silvinruttaford4792
@silvinruttaford4792 21 күн бұрын
😂😂😂 ndugu wakili hii umetisha sana
@captenndunga6745
@captenndunga6745 22 күн бұрын
Masudi angekaa kimya ningemzarau mana hata mi nilishaanza kumuamini mwijaku lakini kama kachukua maamuzi hayo heshima kwake.... Huyo wakili anaonekana mda mrefu anammaindi mwijaku na leo kaingia kwenye mtego kwa maelezo yake tu inaonekana yuko tayari kuendesha hiyo kesi hata asipolipwa😅😅😅😅 tuko beneti na mwijaku wetu mpaka afungwe.
@francisraphael3816
@francisraphael3816 22 күн бұрын
Halaa 😁
@edoedwine5913
@edoedwine5913 20 күн бұрын
me mwenyew nilikua nimeamini jamaa anasukuma Ngada😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Hata mimi aisee! Afungwe tu jamani,
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 21 күн бұрын
Mkomosheni akome, si anajifanya ana domo kubwa Lifungeni tupunzike makelele yake
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 22 күн бұрын
KP kanyagia hapohapo hamna kurudi nyuma… toa fundisho kwa Machawa wote kupitia chawa Lao kuu
@azizaali687
@azizaali687 21 күн бұрын
Mwijaku kimekuramba kazidi kuropoka sana acha amshikishe adabu
@youngzubelyzubely2288
@youngzubelyzubely2288 19 күн бұрын
# naomba mwijaku alipe , ili tuone ufahari wa binadam katika dunia hii... mwezi jana katoka saudia kujisafisha kwa iman yake ila bado yuko vile vile, kusoma nako hakujamfunza jins ya kuish na watu. Kuwa na tong pin 📌 kama mwanaume
@Nehe100Kilindu
@Nehe100Kilindu 22 күн бұрын
Amsamehe mwijaku jaman
@romanilyimo
@romanilyimo 20 күн бұрын
Msamehe ww kama kakukosea ww jinga kweli ww
@yayananajota5838
@yayananajota5838 21 күн бұрын
Kwahiyo mwijak anataka kutuaminisha kwamba masood kp wanauza Unga sio au anawafanyia kitu mbaya vijana aisee noma sana😏
@user-hd2ez7dp2j
@user-hd2ez7dp2j 20 күн бұрын
Hmmm uwezi juaa Jamani..siri anajua mwijakuu ...uwezi juaa😊
@YassinMashango-su6ez
@YassinMashango-su6ez 20 күн бұрын
Kam anajua atoe ushaid tuone
@HunnyKamama
@HunnyKamama 16 күн бұрын
Kipindi ulitukana wakenya mwijako i knew your day was coming,hata hio 5b nikidogo angepewa adhabu zaidi
@julianamwalongo6047
@julianamwalongo6047 22 күн бұрын
Ningechangia ila sina mwanasheria
@JofreyZacharia-zz7dy
@JofreyZacharia-zz7dy 22 күн бұрын
Expensive life😂😂😂
@francisraphael3816
@francisraphael3816 22 күн бұрын
halaaa 😂
@thomasmwambe4372
@thomasmwambe4372 21 күн бұрын
Ameyakanyaga .😂😂😂
@jorumkiungo303
@jorumkiungo303 21 күн бұрын
😂😂😂
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 20 күн бұрын
Halaaaaaaaa😂
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Expensive life itakuwaje sasa
@franciskobelo
@franciskobelo 20 күн бұрын
Mdomo jamani uponza kichwa tujifunze🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@darhoodtzhaidar3640
@darhoodtzhaidar3640 17 күн бұрын
Unajua kuna watu wakiwa na uwezo kidogo kipato, wanaanza kujisahau na kuanza tabia ya kuongea hivyo bila kujali. So nimuhim sana Sheria apate hukumu yake ili na wengine wenye tabia kama Yakewajirekebishe. So kimsamehe haitosaidia kitu na badae atazidisha zaidi..
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 күн бұрын
Mwijaku afingwe tu maana anajitoa fahamu halafu anadhaliisha sana watu. Mtieni adabu hana adabu, hana akili, mwehu, atowe adabu. Akifungwa huyu akitoka atapata akili jela itamfunza huyu.
@josephernest155
@josephernest155 20 күн бұрын
Duh Msala kwa DC😢
@abdullahalkindi9673
@abdullahalkindi9673 21 күн бұрын
Mwinjaku yatamkuta kama ya Cyril alivoshitakiwa na RIP Mwakyembe
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 19 күн бұрын
Mwijaku ana sifa sana aende mahakami pia hata jela kazidi sifa shenzi kbs
@binyahya5205
@binyahya5205 22 күн бұрын
DC kayakanyaga😂😂
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 21 күн бұрын
Huyo jamaa Mwaijaku awe fundisho Kwa kiherehere chake
@user-jm5xs2mj3s
@user-jm5xs2mj3s 22 күн бұрын
MPELEKENI MAHAKAMANI HIYO MSEMA OVYO HILO GOROFA LAKE ANALOJIDAIA LIPIGEE MNADA
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 21 күн бұрын
Kaka Masoud Tafadhari Sana usimsamehe huyu mpuuzi hakikisha unamfikisha mbele ya SHERIA,ili iwe FUNDISHO KWA CHAWA WENGINE "CHOKO MKUBWA YULE"
@christonchristian7448
@christonchristian7448 21 күн бұрын
akimsamehe sisi kama jamhuri tutaingilia kati akiii😢😢😢
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
​@@christonchristian7448kabisaaaaaa
@bakarichina9948
@bakarichina9948 20 күн бұрын
Sasa iyo fidia c atauza gorofa lake mtamtia umaskini,oky akishauza ilo gorofa ajemkulanga tumtafutie viwanja vya million moja na laki tano,Daah
@dork8749
@dork8749 19 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 19 күн бұрын
Peleka Harlan sana mahakamani, kwanza mwijaku huwa simuelewi
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 21 күн бұрын
Bila kuni, moto huzimika; bila mchochezi, ugomvi humalizika, Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika, Moto hufa kwa kukosa kuni; Na bila mchongezi fitina hukoma.
@user-ks6tb9li8j
@user-ks6tb9li8j 22 күн бұрын
Kamuonea wivu rafiki yake Baba levo ya kwenda jera mwaka mmoja ameona nayy aende
@fredylucas2484
@fredylucas2484 22 күн бұрын
Hakuna kifungo kwenye defamation bali pesa inahusika
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 22 күн бұрын
Sasa km ni kweli itakuwa billion 5 na kama Hana Nini kinafuata!?
@fredylucas2484
@fredylucas2484 22 күн бұрын
@@chrispinmkanda6097 mali zake zinathaminiwa na kuuzwa ili alipe penalties kama akishindwa kesi. Mtu anafungwa kwa felony cases na siyo defamation ama Liable case
@dork8749
@dork8749 22 күн бұрын
Lugha za kisheria wengine hatuelewi Defamation ndo nini??
@daudjoseph-ls2he
@daudjoseph-ls2he 22 күн бұрын
Kwa ufupi ni kutoa taarifa za uongo dhidi ya mtu flan , Kwa kusema au kuandika​@@dork8749
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 21 күн бұрын
KP… mtie adabu huyu kijana….Please
@costantinestephen2594
@costantinestephen2594 21 күн бұрын
Apelekwe Mahakamani
@papidassalon6606
@papidassalon6606 18 күн бұрын
Mwijaku akome watu wapo serious , mambo kwa ushahidi
@benny4345
@benny4345 21 күн бұрын
Mwijaku inabidi ashtakiwe; kwanza, aseme bishara haramu ya Masoud ni ipi? Lakini iwe mwisho kwake kuchafua watu
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 20 күн бұрын
Apelekwe mahakamani uyo mpuuzi mshamba
@lulurubby2235
@lulurubby2235 21 күн бұрын
Peleka mahakamani tena na rushwa toa wamfungie ata wiki kabla hajalipa failing shenzi zake
@AniaSawaki
@AniaSawaki 21 күн бұрын
Wamkomeshe huyu jamaa maana wamezidi jmni
@mwinyiadadi1604
@mwinyiadadi1604 21 күн бұрын
Kaka masod mm nakuomba muachie m.mungu unacho kifanya watanzania tunakijua cc tunajua kazi zako unazo zifanya kaka umetengeneza katuni tokea mwaka 1988 muijaku haja zaliwa achana nae huyo bro huyo mjinga tuuu
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Kwenda kule atiwe adabu
@blessmimi
@blessmimi 18 күн бұрын
Expensive Lawsuit
@judyngowi391
@judyngowi391 20 күн бұрын
Hivi Cypirian Musiba aliendaga wapi tena, maana yule alikuwa chawa wa Magu, hapa kuna watu wanadai Mwijaku ni Kizimkazi timu, wanashindwa kujiuliza leo hii Musiba yupo wapi? Alitukana watu wa heshima sana nchi hii! Leo hii sijui kajificha kwenye shimo gani
@user-ox3pd3vc9d
@user-ox3pd3vc9d 21 күн бұрын
Ninauliza ile nyumban yake meijaku anauza Bei gan aje nimununulie na laki 1
@ChristerKoku
@ChristerKoku 22 күн бұрын
Mazoea Mwijaku na wengine kama Mwijaku wezoea kuongeaongea ovyo,wanachekewa tu,wanaomtumia ni nani ?
@kingnass6410
@kingnass6410 19 күн бұрын
Hahahahhaa huyo mwijaku hafiki hata laki hakiba yake
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 19 күн бұрын
Yuko mwingine alobakia kwenye tabia hizi nae ni Oscar Oscar, sasahivi akitukana japo nzitu tukamshtaki
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 18 күн бұрын
Masoud, hana shida ila shida ni Hawa ambao wanashindwa kulinda ndimi zao katika kuongea, upambe wa kibiasha utakufilisi ndugu mwijaku, please jaribu kuuwekea ulimi wako mipaka ili usije ukakupotezea uchumi wako na malengo yako.
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 15 күн бұрын
Mwijaku ni lipumbavu bwege kabisa chawa jinga,Masoud ni mtu poa sana hana mambo ya kibwege kama ya Mwijaku
@KhadijaSelemani-wt8np
@KhadijaSelemani-wt8np 19 күн бұрын
kaka masoud ukimsamehe huyu mtu basi , kudhalilisha kutaendelea 😢
@mwajumamtija
@mwajumamtija 22 күн бұрын
B 5 😮😮😮
@hamidhajimakame3700
@hamidhajimakame3700 21 күн бұрын
Huyu mwijaku anastahili kuvuna alichokipanda
@kiatu
@kiatu 22 күн бұрын
Hili ndilo fundisho huyo jamaa anastahili. Afungwe akishindwa kulipa hizo billions
@yayananajota5838
@yayananajota5838 21 күн бұрын
Ngoma ikivuma sana sana huwa inapasuka😂
@chabapaul7714
@chabapaul7714 22 күн бұрын
Kaz ipo
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 140 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН
LIVE: Rajya Sabha proceedings
2:25:08
ThePrint
Рет қаралды 6 М.
❌🔴🟡 WHO DID WIN!? | SPEED CHALLENGE💨
0:13
ag_soccer team
Рет қаралды 10 МЛН
Сын Роналдиньо пошёл по стопам отца
0:59
Советский Эксперт 2.0
Рет қаралды 1,4 МЛН
Ronaldo Respect Moments 😍
0:20
Foul
Рет қаралды 13 МЛН
Asmr Belt Catching The Ball 🥋⚽️🏀🎈#shorts #challenge #asmr
0:12
Masoud Challenge
Рет қаралды 11 МЛН