Me mwenyew cjamuelew hapo hiyo nyingin tunaweka wp?
@salimnnisumba80182 жыл бұрын
Mm hapo nataka kufahamu he kama taa umefanya konekishen alfu unapotaka kufunga foto kuna waya tatu hapo inakuwaje taa zita waka au aziwaki
@japhetnicholaus94672 жыл бұрын
ok teach hapo nimekuelewa ila naswali hapo kwenye hiyo taa ya photocell sensor nacho kiona hapo unatumia wire mbili kama connection kwenye taa zingine vp hapo kwenye wire wa moro hautumiki kwenye hizo bulb zingine
@wycleflameck851 Жыл бұрын
vyema au wewe unajibu ndani ya maelezo yake teacher
@amielraphael2927 Жыл бұрын
Ticha upo vizur lakin unamaneno mengi sana kama wahindi jitahid kupunguza maneno weka points tu
@jonasgresmo62874 ай бұрын
kama wachina
@wycleflameck851 Жыл бұрын
teacher we ni fundi ila jibu maswali ya watu..
@darasalaumeme7421 Жыл бұрын
Sawa ndugu
@wycleflameck851 Жыл бұрын
@darasalaumeme7421 nauliza hikiwa maelezo yako ni two waya ambazo moja (N) + (ESI WAYA ni kwajili ya swichi) sasa redi saya inakazigani