DARK MASTER - Azungumzia Kifo Cha Ngwea | Muanzilishi Chemba Squad Ya Ngwea, Noorah, Mez B - Part 1

  Рет қаралды 982

Bongo Project

Bongo Project

5 ай бұрын

Leo tuko na mkomunisti kama anavyojiita, Mwanachemba Dark Master aliyekuwa na kundi lililotamba sana zamani la Chemba Squad akiwa na kina Ngwea, Noorah, Mez B na wengine wengi. Leo hii katika msimu huu ametupa story nyingi sana za Chemba Squad, za kina Noorah, Mez B na maisha yake kwa ujumla tokea aanze gemu la muziki wa Bongo. Usikose
#darkmaster #bongoproject #chembasquad #ngwea #bongofleva
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Пікірлер: 13
@omarymkambara9137
@omarymkambara9137 5 ай бұрын
Oi oi Bongo project bonge La kipindi nawatazama kutoka India 🇮🇳 Sielewi Kiswahili Ila naenjoy show
@bongo_project
@bongo_project 5 ай бұрын
😀 Tumekupata sana
@bongokwanza88
@bongokwanza88 5 ай бұрын
Hongera Kwa team nzima kazi imetulia sanaa
@bongo_project
@bongo_project 5 ай бұрын
Shukrani shukrani
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 5 ай бұрын
Bongo project niwashukuru kwa kufanyia kazi swala la sauti...shabiki mkubwa kutoka Nairobi..Big up🫡
@bongo_project
@bongo_project 5 ай бұрын
Shukrani sana mkubwa
@hekahekazabongo9509
@hekahekazabongo9509 5 ай бұрын
Bongo project Tuleeteeni Jose Mtambo mm shabiki yenu Toka Kazakhstan 🇰🇿
@bongo_project
@bongo_project 5 ай бұрын
Sawasawa kaka. Tutamleta
@user-ss4vj4rs3e
@user-ss4vj4rs3e 5 ай бұрын
Best Online Show i don’t Understand Swahili but it’s super dopeeee
@bongo_project
@bongo_project 5 ай бұрын
Thanks! And Thanks for the support
@bongokwanza88
@bongokwanza88 5 ай бұрын
Nice work
@cbhofficial3432
@cbhofficial3432 5 ай бұрын
Bongo project mtafuteni dudu baya
@bongo_project
@bongo_project 5 ай бұрын
Pamoja
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 107 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 29 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
From Tanzania 🇹🇿 to Paris 🇫🇷 (Part 1)
2:15
RayC’sCorner
Рет қаралды 2 М.
Bad Brain ft. Ngwea -- Ahadi za Boss
4:29
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 4,2 М.
DARK MASTER - Full Interview na Bongo Project
2:39:34
Bongo Project
Рет қаралды 1 М.
BABY Comedy : Gift for baby💔
0:41
BABY Comedy
Рет қаралды 6 МЛН
КАКОЙ ЛОГОТИП ЛУЧШЕ? #Shorts #Глент
0:32
ГЛЕНТ
Рет қаралды 2,8 МЛН
Найди Влада на стадионе
0:26
ЛогикЛаб
Рет қаралды 2,6 МЛН