DIAMOND AWASHIWA MOTO, SHEHE ANENA MAZITO KUSOMA BIBLIA NA KUOMBEWA

  Рет қаралды 44,391

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Жыл бұрын

Пікірлер: 506
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Жыл бұрын
Watanzania tupendane tusitengane. Sisi wote ni wamoja na safari yetu ni moja. One love❤
@jacksonlyova27
@jacksonlyova27 Жыл бұрын
Hiq😊
@estherboniphace9695
@estherboniphace9695 Жыл бұрын
Mungu ni mmoja jamani mtu yoyote mwenye karama anaweza kumwombea mtu.alafu huyo ameachiliwa baraka na mtumishi .ila nanyie wandishi mnakuja vitu sana
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@estherboniphace9695. Mungu mmoja mbona ww Mungu wako mtu?
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Kupendana tunapendana lkn huezi kumpenda mwanaadam mwenzio ukamuasi M/Mungu/ imani yako. Ingawa ktk imani yenu ni swa lkn kwenye imani yetu ya kiisilam ni unafik. Na mnafik ana adhabu kali kuliko kafiri.
@pamelamugo9627
@pamelamugo9627 Жыл бұрын
Mungu ni mmoja na sote ni wanadamu tumeumbwa na mungu mmoja na sisi sote ni mavumbi..... dini ni roho ya mtu, wivu, fitina, ubaguzi na kuhukumu mwenzako ni vibaya sana. Sote tunaishi kwa nehema na rehema za mwenyezi mungu... am a proud Christian but napenda watu wote kutoka dini zote. Sending love from kenya to super star Diamond, his wonderful family, watanzania na watu wote duniani ❤
@joyce2635
@joyce2635 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@pamelamugo9627
@pamelamugo9627 Жыл бұрын
@@joyce2635 🙏🌹
@gabrielmunga475
@gabrielmunga475 Жыл бұрын
🙏🙏
@pamelamugo9627
@pamelamugo9627 Жыл бұрын
@@gabrielmunga475 🙏🌹
@BarackCharles-vt7kt
@BarackCharles-vt7kt Жыл бұрын
Safi san
@baby_face_
@baby_face_ Жыл бұрын
diamond platinumz yesu akubariki
@zilipajohn7368
@zilipajohn7368 Жыл бұрын
hahaaaaaa Eme
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Jamaa hadi sasa ana dhambi nyingi sana, ila kua mkristo hilo si dhani kama atakuwa.
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Allah atunusuru jamia Muslim
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Жыл бұрын
Shida ya mashehe ni jina la Yesu kristo linachoma🔥🔥🔥
@rosemneney3244
@rosemneney3244 Жыл бұрын
We mtangazaji huna kazi huyo shehe Mungu mwambie na yeye akaombewe
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Jina la Yesu kuuma?wakati Yesu ni Muislam mwenzetu❤sema sisi hatupendi jinsi mnavyo mchafuwa na nyimbo zenu za kijinga,Yesu mwenyewe anakataa nyimbo nzenu na kuwambia,niondoleyeni kelele za nyimbo zenu,kwamaana hiyo ni sheria ya wa Islaeli.sisi na nyie nani anamfata Yesu?kweli nyie hamjielewi.Inalilahi wainailahi Rajiuni.
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Жыл бұрын
@@alimatambwe3402 kwanza umeanza na kumtukana Yesu halafu mwisho unasema unamfuata yesu katika wanafiki namba moja duniani ni waislamu mmewazidi mpaka mafarisayo kipindi cha Yesu alipokuwa duniani😄😄😄 1.Yesu alibatizwa nionyeshe au niambie mwaislamu yoyote aliyewahi kubatizwa hata kwenye picha,tafadhali 2.nionyeshe jina la Yesu kwenye quraan Usipige kelele??? 3.nionyeshe andiko kwenye biblia Yesu anasema sizitaki Nyimbo za wakristo,tafadhali
@PennyG90
@PennyG90 Жыл бұрын
​@@davidmnyela2459 akijibu nakunya hapa😂
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Жыл бұрын
​@@alimatambwe3402 waislamu mmepigwa na kitu kizito kudanganya kuwa Yesu ni mwiislamu mtasubili sana uongo ni nyumbani Kwa waislamu hana hata haya
@mwibelechekahuka7314
@mwibelechekahuka7314 Жыл бұрын
Huyu jamaa mwambie akaleye watoto anacho hongea nalichosema anakwepa,kumbe anajuwa yeye awezi kuukumu 😝😝😝😂😂😂😂
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Umejibu vizur Sana shehe sharifu majini,,umejua kupangua maswali yote kifasaha ,,, mashalah
@magrethmeela154
@magrethmeela154 Жыл бұрын
Jamani alisoma kitabu cha Mungu kwani mbaya nini huyo Ni msanii mkubwa kioo cha Jamii kwani kusoma ndiyo kua Mkristo ata unafiki wewe.
@dominarwechungura5797
@dominarwechungura5797 Жыл бұрын
Diamond Simba Mungu akulinde🙏
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 Жыл бұрын
Dah Masha Allah mwandishi wa habari leo umependeza kwa ulivyo vaa,Allah akubariki
@hafidhidrisa7162
@hafidhidrisa7162 Жыл бұрын
huyo mchungaj et kasema hakuna wa kumlaani heeee yupo nae ni ALLAH
@faithmucee
@faithmucee Жыл бұрын
When diamond is singing with half naked ladies no one is condemning him, but when he does a decent thing people come out to ridicule him..! je huu ni ungwana? instead of supporting him akifanya jambo la maana you are busy making it a big deal. Have seen many Muslim leaders internationally quoting the bible, and confirming that they know the Bible more than Christians do. Hata nchi ikiombewa, huwa yawakilishwa na dini zote. Diamond, wherever you are, ONLY GOD can JUDGE YOU! don't let any human being make you feel wrong in what you do. KE loves what you do no matter how different it is
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Ww kipofu au kiziwi hata masheikh wakipiga kelele huwasikii?
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
Shekhe mwenyewe anajiita majini.😂😂
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
😂😂
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Nasikia shoga
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@saidimafu9524
@saidimafu9524 Жыл бұрын
Kusoma bibilia kwa muislam sidhambi kabisa ata wakristo usoma Qur'an this days
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 Жыл бұрын
IPO kazi hapo...!!
@IssaSaid-vf3lg
@IssaSaid-vf3lg Жыл бұрын
Waislamu... Mnamatatizo fanyeni mbatizwe ee...
@yusufhamisi9432
@yusufhamisi9432 Жыл бұрын
Hatutaki kua makafiri cc
@IssaSaid-vf3lg
@IssaSaid-vf3lg Жыл бұрын
Kazi mnayoo waislam
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
Unaitwa ISSA Said Alf unasema cc waislamu tuna matatzo Jmn
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@@zubedarichard2311 pengine kaingia ukristo
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Жыл бұрын
@@zubedarichard2311 Mshenzi huyo
@verrynicemushi2563
@verrynicemushi2563 Жыл бұрын
Mwenye shida siyo Diamond Platinum ni Wewe!
@dalmanallyzubery4084
@dalmanallyzubery4084 Жыл бұрын
Waislam bhn mtupishe
@fatemazanzibar877
@fatemazanzibar877 Жыл бұрын
Kweli tuna matatz😂 waislamu
@iamjoseph795
@iamjoseph795 Жыл бұрын
Asante baada ya kujua tatizo ni kulilekebisha .. Kweri pia wa- kristo tuna matatizo ila ni vyema kukubari ba kukumbatiana dini kando sote binadamu
@salumalfan3975
@salumalfan3975 Жыл бұрын
Wewe haujielewi kwann useme tunamatatizo
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Жыл бұрын
Wafanye yao waache ushehe uchwala watuachie simba wetu
@MshefaTozi
@MshefaTozi Жыл бұрын
Ao mashe inabid wapigwe wasilet umim mungu ni mmoja
@innocentkigabo5415
@innocentkigabo5415 Жыл бұрын
Daimond Hana kosa Kwan mungu so mmoja
@amourkarenzo9713
@amourkarenzo9713 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Waislam hawaabudu yesu
@innocentkigabo5415
@innocentkigabo5415 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw Ila wanajua Kama ni mutume
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@innocentkigabo5415 wanajuwa
@innocentkigabo5415
@innocentkigabo5415 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw Amin yaan
@sailoo5722
@sailoo5722 Жыл бұрын
Mungu ni mmoja
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Ww unaabudu mtu/Yesu kazaliwa na Mwengine anasema Mungu wale Kazaa na wa wengine wanakogeshwa na kuvishwa nguo na mm naamini M/Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chchte, ssa ndio mmoja huyo tunaeabudu? Mungu wa haq ni mmoja lkn kila mmoja anaabudu na chake kwa hio tusilazimishane kua Mungu mmoja tu tunayemuabudu sote na wkt nyie mnawattu.
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Жыл бұрын
Jamani kemeeni vinavyomchukuza mungu ushoga,unyanyasaji nk,alichofanya diamond amemtukuza mungu msifieni ,mnaogopa Nini kukemea ushoga kunawalakini
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Hajui misingi ya dini mbona kuna waimbaji kibao wanajua dini zao mitatoo watoto wa nje kibao uislam gani mwacheni aendelee na dunia
@yohana1242
@yohana1242 Жыл бұрын
Uyu kwan shekh
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Жыл бұрын
Kwani shida iko wapi wa Islam munaubaguzi sana 😏😏😏😏😏😏😏
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Yaani hawa ni wabaguzi mpaka wanachefua kha!
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Lakini haohao waislamu wakiugua wanaongezewa damu na wakristo na hawaulizi imetoka kwa nani? Diamond kuombewa na kusoma kifungu Cha biblia imekuwa shida
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Жыл бұрын
Sisi tuna Dini yetu na nyinyi mna Dini yenu
@browndebora2195
@browndebora2195 Жыл бұрын
woiiiiiii muacheni mtoto wa mwenzenu
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl Жыл бұрын
Sisi wote binaadam,,lakini kanisa na msikiti,,ni vitu viwili tofauti!!,,tuwe wa ukweli,,!!
@leahali6505
@leahali6505 Жыл бұрын
Wow that's nice
@yonathanbanyikwa1813
@yonathanbanyikwa1813 Жыл бұрын
Gugy
@difarobelindo
@difarobelindo Жыл бұрын
Awa ndio kina Mpinga Cristo
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Jaman tupendane mungu wetu ni mmoja tuu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Waislam hawamuabudu yesu
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
​@@Catherine-mh8sw Thank you ❤
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Mungu ni 1 lakn tunavyo muabudu ni tofauti sisi siyo katika washitikina
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 3 ай бұрын
Mazinge kali ya mwaka simba yupo vizuli kiinjil
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 Жыл бұрын
Mungu ni 1
@young4cofficial
@young4cofficial Жыл бұрын
Hakuna baya apo mungu mmoja tu
@auntymaria7003
@auntymaria7003 Жыл бұрын
Wivu tu ndio unawasumbuwa Naseeb yuko sahihi anajua anachokifanya ALLAH ZAIDI
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Kwa hiyo sheikh kajibu vema nyinyi musio na elim juu ya jambo ilo ni Bora kukaa kimya musipende kujibu jambo musilo na elimu nalo waache wakenue midomo hao wasojua kitu ktk Iman Yao lkn si ww muislam kama haujui Kaa kimya
@DastanTundu-wc4xh
@DastanTundu-wc4xh Жыл бұрын
Wakina Mazinge kila cku wanasoma biblia lkn hatusikii mkiwasema, Diamond tu ndio kakosea
@qpwisdomchengula8947
@qpwisdomchengula8947 Жыл бұрын
Shehk Tumeamini Nyie amna mungu Biblia mbna unaiogopa makavu yaliyopo kule yanakutisha.BIBLIA NA QRN Kuna nini ambacho akija msifia Mwenyezi Mungu.Una amini quran ita muhukumu muogope mungu. ACHENI UBAGUZI KAMA MUNGU NI MMJA HUNA HOJA SHEHK
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
Omg 🙋🙋🙋🙋Jesus is the only way the truth and life ❤ Sisi no wa toto wa Mungu mmoja Any problem? Any doubt Tushikamane jamani kwani Ukristo ni jangwani au 🥺 God is able . Have mercy on us Mungu mwenyewe alihubiri upendo Tupendane sisi kwa sisi . ❤️❤️.Yesu hakuja kutangaza dini ❤️❤️❤️ Tushikamane
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Pacha wangu mieeeeee😘😘😘😘😘
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
@@irenekaluse3213💗💗😃😃😃
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Жыл бұрын
Wanamziki mbn anawaimbia dini zote shehe unaubaguz wew n kiongoz wa din tofaut na msanii
@danielkihoza7330
@danielkihoza7330 Жыл бұрын
Laaaaaaa kwaiyo wanao kujaaa kuombewa msiktin inakuaje tuachen ubaguz sote ni wababa mmoja
@ahamadimbaraka7140
@ahamadimbaraka7140 Жыл бұрын
Hakuna sheikh hapa ulisikia wapi sheikh anapaka rangi ndevu kama mjusi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Ruksa. Hiyo ni hina
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 Жыл бұрын
Ila kuna mashkhe kwenye hii nchi kwakweli Aya nisiseme mengi ila sisi wote ni wa mungu na mungu wetu ni mmoja aya madini tutayaacha to mwisho wa siku
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Жыл бұрын
Maà shaà Allah sheikh umeongea vizuri
@lukhubeni8726
@lukhubeni8726 Жыл бұрын
Nyie sio Mungu acheni mbwembwe
@davidashery2383
@davidashery2383 Жыл бұрын
Diamond umefanya vizuri.
@christiankiponda4639
@christiankiponda4639 Жыл бұрын
Sheikh, Mchungaji, Padre, Nabii, na Mtume na Mtumishi Yeyote aliye Safi mbele za Allah Subhahana, anakuombea tu, Dua Ni Ombi Maalumu.
@nduwimanaegide8428
@nduwimanaegide8428 Жыл бұрын
Wewe Shehe umechoka sana kwanza wewe si Shehe
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Thanks God shoga umevua ile kofia 😂😂😂
@qpwisdomchengula8947
@qpwisdomchengula8947 Жыл бұрын
Kwa hyo hata Hayati Magufuli kuvaa kanzu na kuingia muskitini sisi wakristo tutumia sheria sasa yakua mzee umekosea.tumuombe mungu atuepushe na haya majanga yanayo tokea
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Mungu Ni mmoja tuu akuna mungu wa waislamu wala mungu wa krsto Yan uwo ndo ukwel iz dn zlletwa tuu na binadamu na aslimia kbwa kibiashara Zaid Ila mungu Ni mmoja kwa binadamu wote
@cachec7930
@cachec7930 Жыл бұрын
Waislamu mnazingua
@alibinali-zc2of
@alibinali-zc2of Жыл бұрын
Mungu amuonye njia ya haki lakini ukirsto sidini ni biashara
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Lakum mdinukum waliyadiin👈
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
Naam bila shaka
@aminaramadhan6440
@aminaramadhan6440 Жыл бұрын
Inalilah wainalilah lajiun
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Hatuwezi kugombana kisa dini ,wote tunamwabudu MUNGU, DIAMOND TUNAKUSHUKURU .KUMBUKENI JPM ALIJENGA MSIKITI MKUMBWA MNOO .HAKUBAGUA DINI
@yohana1242
@yohana1242 Жыл бұрын
Oya kusoma bibilia sio zambi kwasabab yesu sisi waislam tunamtambua kma ni mtume wa wanawaizrael kwaio anaepotea ni yule anaesem yesu ni mwan wa mungu na wengine wanasem yey ndo mungu mwenyewe anesem ivo ndo anakosea kwasabab yesu hakusem aitwe mungu au mwan wa mungu ni makosa makubwa na nikufuru kubwa
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Uyu sheikh gani amepaka blich? Ma sheikh wa mchongo kama uyu atuwataki. We mwenyewe ujakamikika fanya yako Acha u sheikh mchwara. Simba upo saii mungu ni wetu sote kila mtu atakufa ki mpango wake.
@wittykibonde6489
@wittykibonde6489 Жыл бұрын
Alafu mbna kama wewe dada mwandishi wa habari ndo umelikazania hili swala diamond maana kila kona upo khaaaa!!!!
@mohamedybady8927
@mohamedybady8927 Жыл бұрын
Shekhe aya umeikosea unatoa fatua alafu huna ilmu ile inatamkwa hivi waqul jaa alhaqqu wazahaqal batwilu innal batwila kana zahuqaa sio wazahaqal batwila hapana ni wazahaqal batwilu innal batwila nenda madrasa ukasome bado Sana wew
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Shida wengi hawaijui din ya kiislam, alichofanya diamond katika uislamu hakiko sawa, na hayo sio utashi wangu binafsi Bali ni maneno ya mungu katka quran haifai kwa mwislam kutenda kinyume na vile alivyotuelekeza mtume muhamed (s.w)
@HussainMaula-tj5fw
@HussainMaula-tj5fw Жыл бұрын
Watanzania sio kama hatupendani tunapendana na hatubaguani kwa ajili ya dini kabila au pahala mtu anapotokea umasikini au utajiri ila kwa mujibu wa qur an na suna za mtume hakuna usahihi wa yeye kufanya baazi ya aliyoyafanya.DINI YA KIISLAM HAIONGOZWI KWA AKILI ZA WATU INAONGOZWA KWA MUJIBU WA QUR AN NA SUNA ZA MTUME .
@aminashabani783
@aminashabani783 Жыл бұрын
Waandishi wachonganishi sana
@jamilangayabanguha6777
@jamilangayabanguha6777 2 ай бұрын
AYIIIWEEE MBEGA MUZABIZABINA HAJUI NAYE .
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Ameeeen amefufuka kweli kweli nyie oongeen lkn akuna anae zikwa juuu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 3 ай бұрын
Kama Mungu.ni.wetu wote basi.tumtunzie.heshima sio kupewa.nguvu na mnyama kumtaja.yesu ni laana tudharilishane.huku tumtaje.yesu watanzania hatuhukumu ila wakina.diamondi.hukumu ipo acheni dhihaka
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Жыл бұрын
Kijana kamfata MUNGU wa kweli amfanyie wepesi.
@geofreyg.mtensa4559
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Yaani km humjui uyu jamaa Majini ..unaweza sema mtu safi yani, lkn hana lolote yani mkosefu km wakosefu wengine, apo mabibo mwisho madudu yako yanajulikana vzr mno, uyo ananyoa ktk saloon ya MADSON BABER SHOP apo mabibo, muhuni tu km wahuni wengine..
@patricksungura881
@patricksungura881 Жыл бұрын
Kweli hakili nyie amna kichwani mbona mnapenda sana shari
@vailethmarimus1769
@vailethmarimus1769 Жыл бұрын
Ttz ni jina LA yesuu nasiku zote ilo jina linanguvuu
@user-hv7hi6tk9e
@user-hv7hi6tk9e Жыл бұрын
ww sio Mungu,huna haki wala mamlaka ya kumhukumu Diamond kwa kusoma biblia au kuombewa baraka na Mchungaji huna hiyo mamlaka ,acha Mungu afanye kazi yake, ww una hukumu leo kesho uko kaburini wapi na wapi bwana we
@Swedi-tf3ux
@Swedi-tf3ux Жыл бұрын
Sheikh yuko sahihi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Ila daimond wakati mwingine unazingua swahiba,,japokuwa mim nakukubali Sana lakin usifanye vitu kama ivyo ikiwa wewe ni mtoto wakislam,,tumuogope mungu,,,nahswa wakati huu wa ramadhan tuheshimu kaka daimond,,usipende kuchukua dhima,,kwakuwapotosha watu wakislam manaake wewe ni unaushawishi,,,acha kiki daimond ,,kwahapa umetereza sana
@elishajuma2615
@elishajuma2615 Жыл бұрын
Acha usnge fala wew usimpangie chakufanya umlishi sister follow your business
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
@@elishajuma2615 sasa ndugu mbona mnapendà kutukana kakosea wapi kasema tu vizuri sijaona kosa kaka kamfahamisha tu na mondi akisifiwa huwa anaona sifa nayote hayo ni amri kutoka freemason kama hamjui
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Жыл бұрын
@@saleemadhiyabalkhatri7800 hv mnavyotuita makafir sio mnatutukana cjui hata mnafunga nn
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 3 ай бұрын
Ukafiri diamond ni uzinifu ambao shetan.kampa msimfiche aachee mashehe damu ya diamond itatakwa mkimkandakanda mwambie anavoishi.sio vizuri aokoke yupo.yesu baba lao ambae bila yeye diamond hafiki.popote na mihela mifedha watanzania wenzangu bila yesu bila kumheshimu Mungu ni mi.petrol tanks inaweza ikakuteketeza wewe na kizazi chako chote watanzania nasema.nanyie.mifweza bila yesu ni mibomu ya nyukilia unaweza ukalemaa.na mitoto y'ako yote heli maskin.anaemheshimu.Mungu.kuliko tajiri.anaekula.anasa.anaemzarau Mungu
@farajimazengo7332
@farajimazengo7332 Жыл бұрын
Kwenye. Dini msituletee siasa tafadhar na muisilamu hawezikubali kwamba siasa
@bmediafm254
@bmediafm254 Жыл бұрын
yesu akiamua hakuna wakupinga. kunasiku
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 Жыл бұрын
Daanondi mimi sijaona uislamu wake manaanavaa misalaba mzinifu sana miminachoona aende kwenye makanisa ambayoyanakubaliuchwfu
@nnno989
@nnno989 Жыл бұрын
Kiramutu, nahukumu, yake, diomond, nimutu, wakujishusha, sana, Mungu, amubariki?
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Жыл бұрын
Radhi inamtesa Sasa huyo bwana.🤣🤣🤣🤣🤣
@mwalitv4555
@mwalitv4555 Жыл бұрын
Tusizunguke sanaaaa Shida sio diamond kuhudhuria but shida ni hilo jina la Yesu linaunguza majini..
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Umeonaee
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Жыл бұрын
Umesema vizuri sana shekhe majini majini yamekutumia vizuri wasome sana biblia hili wasijekajitetea atukujua kuwa uokovu ni Kwa Yesu kristo mwokozi tu sio kwamwingine Muhammad ni changa la macho
@petromsomba4523
@petromsomba4523 Жыл бұрын
Sema nilicho ona hapa ni ubaguzi to kwani Diamond kuombewa na mchungaji kuna shida gani wakati wote tunamwabudu mungu! .
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Shangaa! Mbona Raisi anaombewa na dini hata isiyoyake? Wabaguzi sana wajue kuwa ubaguzi ni dhambi.
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
C ubaguzi jmn hp ni kwamba hawa wanalea majini na kuwatengeneza so linapokuja swala la mtu kuyasambaratisha ni tatizo
@paschalpaschal9369
@paschalpaschal9369 Жыл бұрын
Mungu mmoja ubaguzi wa dini haufai sote tunaabudu mungu uyo uyo mmmoja
@AliMunduli
@AliMunduli Жыл бұрын
Jamani diamond so muislam nikafiri tuu nsipate tabu
@AliMunduli
@AliMunduli Жыл бұрын
Kwanza ukisema tunaamini mungu mmoja so kweli wakirisro na mungu wao na sisi tunamungu wetu
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
Biblia sio kitabu cha kikristo bali ni kitabu chà ufunuo wa Mungu kwa wanadamu wote
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
Shekhe mandevu chana ndevu
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
Diamond awe muislam asiwe muislam hana faida yeyote kwetu.
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 Жыл бұрын
Mbona unatumia Nguvu sana au kwakuwa ni mondi
@claudinajulius5421
@claudinajulius5421 Жыл бұрын
Mondi hajakoseaaaaaaa
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Жыл бұрын
Chochote mungu hakibaliki mungu binadamu hakuna kupinga kwa ushauli wangu shehe shalifu majini jinalk tuu linashida sasa hacha kuongeza shida TUPENDANE NA UJE MWANANYAMALA KUTOWA MAJINI MWAKA JANA SI ULIKUJA 😂😂😂KALIBU
@joycemartin9377
@joycemartin9377 Жыл бұрын
Yaan hawa wenzetu wanatutenga Sana sisi wakristo Tena hiyo ni dhambi kubwa ambayo mtakuja kuijibu mbele za mungu.....maana mungu mwenyew anasema pendaneni Kama milivyowapenda ninyi Sasa ninyi mko kinyume na maandiko....
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Mnajitenga wenyenu kwa kufuru zenu. Ww unataka tushirikiane kuabudu mtu??? Abudu peke ako tutapendana kwa mengine lkn si kwenye kumkufuru aliyetuumba. Na wala hakuna muisilam alieyesoma dini yake atakaekusapoti kwenye huo ujinga labda umkute anayefata mkumbo. Mana kupendana kwenye kufuru ni dhambi Tena ww ukiona unabaguliwq utakua ni ujinga wako mwenyewe wakutokusoma na kua na imani ya kweli. Mana hata ww unaeamini Mungu Kazaa, wapo wttu au anamwana km kweli unaimani na unachokiamini basi hutotaka kuabudu asiezaa, asiezaliwa na asie na uttu kwa sbbu kufanya hvyo kwako itakua ni unafik na kutokujiamini. Ssa kwa kua nyie hamjiamini na hamukiamini mnachokiabudu mnababaika mpo km kaa baharini anaishi na nchi kavu anaishi ndio unataka na sisi waisilam sote hata waliosoma tuwe hvo? Tukhofia nyie makafiri kusema tunakubagueni na wkt tunajua Dhahir kua hamjitambui
@Princewaweru
@Princewaweru Жыл бұрын
Wewe siyo mungu maneno hayavunji mfupa achana nae Simba afanye yake.
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 Жыл бұрын
Waislamu ni waajabu sana. Diamond hana kosa polite. Mbona wakristu hawana ubaguzi. Wee mwanahabaru huns lolote ubaguzi tuu.
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Жыл бұрын
shekhe ao wanao kuhoji wote wanafki apo alipo anakuoji kava abaya kesho utakuta kava kimini au nusu uchi alafu anaoji unafki sababu unamjibu maswali yake vizur alafu anarud pale pale kuchokonoa ujinga shekhe wetu wewe unajua dini na umesoma unajua kila alicho kataza allah mtu kama hujui dini ya kislam awezi jua lolote Zaid ya cucoment ujinga na uibrisi sa kidunia kwanza allah alisha sema kuimba haram wasio jua dini ya kislam na sheria kislam awawezi jua maana ya dini ya kislam
@JumaSeleman-mi2zx
@JumaSeleman-mi2zx Жыл бұрын
ndio unajidanganya nafsi bro tena sana bibilia sikitabu cha mwenyezi mungu uongo mtupu mi naona naputeza mda wngu kushindana n mtu aliye mkataa mungu
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Sio shekhe huyo .sura ya 109 aya ya 1-6 km kweli huyo shehe alikuwa amalize mahojiano .aya ya 6 inamalizia wanambiwa makarir.nyinyi mna dini yeny nami nina dini yangu sasa kanisani kuislam anafata nn hapo aliposema jamaa kajenga mskiti ujuwe tayari njaa hiyo Allah hanashida na mskiti pesa za haram mziki haram mm naomba Allah atuhifazi
@sebastianchimoto4307
@sebastianchimoto4307 Жыл бұрын
wewe.hauna akili.nenda.muimbili wa ukachukuwa dada
@salumkagame509
@salumkagame509 Жыл бұрын
Ivi damon akitoka kwenye u Islam kuna asara gani
@linoowino685
@linoowino685 Жыл бұрын
Mungu wetu sisi sote
@timotheontibayaga-lq2xx
@timotheontibayaga-lq2xx Жыл бұрын
Afu na mtangazaji mbwa tu anavoonekana mchonganish apo hamuna mtangazaji
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Kwani wewe nani wewe shehe ujakamirika fanya yako moto unakusubiria acha zako
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Moto wa kungoja ww unaye muabudu binadamu mwenzako
@japhetikongo453
@japhetikongo453 Жыл бұрын
Ushamba katika Dini , Na kukosa Busara.
@GeraldDasius-bo3lv
@GeraldDasius-bo3lv Жыл бұрын
Shekhe mwenyewe ndaevu hizo so langi zake
@kiondotv_show_comedy
@kiondotv_show_comedy Жыл бұрын
Acheni
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Жыл бұрын
Hi ni kiki ya mashehe kitafuta njia
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
quruan 109.1-6 sema enyi makafiri. siabudu mnacho kiabudu. wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu. wala sitabudu mnacho kiabudu. wala nyinyi hamuabudu ninae muabudu. nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu. mashehe nawauliza mmerogwa na nn ikiwa maneno ya Allah mnayaficha wapo watakao yafichuwa .tushambiwa wakiristo wana dini yao na waislam wana dini yao mbona mnashindwa kusema kwel mnazunguka hapo unaenda kanisan kufanya nini oo kajenga mskiti kwa pesa za mziki Allah hanashida na mskit
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Nyie mtahukumiwa achen Mambo yenu Kwan Biblia Ni uchawi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
DIAMOND MUNGU AKUBALIKI. ASANTE SANA KUSAPORT WAKRISTO. WOTE NI WANADAMU NA TUNAABUDU MUNGU.
@The__Lords333
@The__Lords333 Жыл бұрын
Huyu sheikh hana hekima kbs
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 36 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
HOUSE GIRL EP 46 || love story💞💕
23:17
BUSATI TV
Рет қаралды 12 М.
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 36 МЛН