"Dr Mwaka Ameniambia Zikipita Siku 21 Kitanikuta Kitu Kibaya"

  Рет қаралды 42,861

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

Queen Oscar mke wa Dr Mwaka akieleza kilichotokea kwenye ndoa yao kupitia Jahazi ya Clouds FM"

Пікірлер: 190
@lastborn7810
@lastborn7810 Жыл бұрын
Dada natamani uione hii comment Yangu… nakuomba hizo siku 7 zilobakia funga siku tatu na uamke usiku uswali soma nyiradi mshtakie Allah naamini ukifanya ivo atashindwa Allah yupo na wewe
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Жыл бұрын
Kweli_kabisa
@zainabmdasia444
@zainabmdasia444 Жыл бұрын
Sawa kabsaa
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Usimuogope huyo mwehu wee mtangulize M'Mungu!! kwa Allah utaipata hakh yako, na Mungu atamuonesha
@chunanachu2529
@chunanachu2529 Жыл бұрын
Dr mwaka umembadilisha dada wa watu dini na ameiyamini dini na kuielewa na kuithamini kuliko wewe...mungu wa haki akusmamie qeen utalishinda hili inshallah
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Akome huyu kumkana YESUKRISTO sio mcgezo
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Жыл бұрын
@@gosbertgideon6843 😃eti yesu kristo dah dunia hii
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Nilisha apa kutobadiri dini kisa mapenzi.huwa mambo yanageuka huko mbeleni
@halimaayubu3597
@halimaayubu3597 Жыл бұрын
Umeniliza sana dada pole sana mungu atakupigania
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg Жыл бұрын
Madam ata usijali Mungu yupo pamoja na wew na Hua anasimama penye haki InshaAllah nakuombea sana
@fahmimohd261
@fahmimohd261 Жыл бұрын
Pole sana rudi kwenu dada, watt watakua tu kama shule wapeleke za serikali watatoboa tu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
kwa hili Mungu atakutetea Inshallah 🙏 mwaka si mwanamme malaya mpk anatia kinyaa
@hamismberwa6836
@hamismberwa6836 Жыл бұрын
Huyu dada Allah amjalie awe na Imani yake hiyo hiyo ya Dini
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Allah kapgwa kofi dadek
@zuwenasalum4660
@zuwenasalum4660 Жыл бұрын
Mmmhhh SubhanaAllah yarabb! In shaaAllah Allah atasimama na wewe mwaache afanye anavotaka na wewe amka usiku swali muombe Mungu sanaa!!Mungu ni wetu mmoja c wake peke yake
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
We nae subbuhana wako anann na wakat anawaluhusu muolewe kumikumi
@zuwenasalum4660
@zuwenasalum4660 Жыл бұрын
Hebu hishimu dini za wenzio kama ya kwako hairuhusu bac sasa bora kuwa na michepuko na kuzini ovyo kama wanyama au? Tatizo du kuowa wake kumi 10 tatizo ni kutojua uadilifu au ulichokioea! Mjadala huu ni mrefu sana so please be have huyu SubhanaAllah na wewe pia Ana kuhusu maana ndio aliekuumba
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Жыл бұрын
Pole sana Mwana mama . Achana na hizo Mali Mungu atakujalia utapata
@lastborn7810
@lastborn7810 Жыл бұрын
Alaysa Allahu biahkamil hakimiin…. 👈🏻👈🏻👈🏻Dada queen soma hio kila mara
@mickyjohn806
@mickyjohn806 Жыл бұрын
Pole sana naumia navaa viatu vyako lkn nahisi siwezi nimemchukia sana dr mwaka kiufupi anataka kukuvuruga akili nenda ngazi za juu zaidi
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
Pole sana dada moyo ulionao Mungu atakulipia na haki yako haitapotea na km ni anatumia uchawi utamrudia Mwenyewe
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Uchawi wakiislam ni noma
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Achana na hiyo nyumba we dada mzuri sana hongea na Mungu vizuri atakupa Mume tena mwenye mapesa yke utagombania mwisho uje kuwaacha wanao anza upya kubali na maisha omba atamsaada kam maisha magumu wapo watanzania wenye roho zao watakusikia
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
Pole sana dadangu Allah atakufanyia wepesi inshallah
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Hamna litakalo kusibu dada Kila likufikalo Allah ndie amelipanga ila binaadam ni Bure yatamrudiliya Insh'Allah
@shakren427
@shakren427 Жыл бұрын
huyo anafanya kumkomoa huyu mama kwakuwa kachwa live pole sana dada muwe mnangalia na wanaume wa kuwaowa manaume ana domo chafu ka nini😢😢
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 3 ай бұрын
Usiogope mungu yupo pamoja nawewe.
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Жыл бұрын
Allah iko na wewe, atakupigania bi Queen! Hakuna kinacho mshida! Mwaka na gang lake wataaibika, trust me 🇨🇦
@asmahomary4052
@asmahomary4052 Жыл бұрын
Allah akupiganie uendelee kuwepo kwenye dini ya haki... uliingia kwenye din kwa Iman kubwa ila alokuingiza kwenye din hakupiganii kabisa
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Mm ningekushauri ondoka hapo kwenye hiyo nyumba yake omba msaada hata kwa watz upange hata chumba muachie jumba lake wala hatolibeba siku akifa. Shekh wwtu aliamua kukusaidia wamvua madaraka wakamdhalilisha humu mitandaoni kwahali hii wanawake tutaendelea kuuliwa na wanaume mpaka basi maana hatuna pakukimbilia 😢
@shadiathemedshadiathemed8699
@shadiathemedshadiathemed8699 Жыл бұрын
Kwa kwer
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Uko sahihi sana
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Жыл бұрын
Tutamchangia kwa kweli nyumba si lolote kwa anayopitia Allah amsimamie
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Nyumba, auze atafute sehem mbadala
@Hamy1109
@Hamy1109 Жыл бұрын
Ndoa ni Taasisi ambayo inalindwa kisheria. Huyo mama aendelee kukomaa kutetea haki yake kupitia vyombo vyetu vya kisheria vilivyopo. Hiyo nyumba kwa kuwa alikabidhiwa kwa nyaraka, basi ni suala la kujiridhisha na uhalali wa nyaraka ili aweze kuendelea kumiliki. Wakati huo huo, kama ana haki zingine zozote basi aendelee kupigania haki zake.
@dicksonzacharia8680
@dicksonzacharia8680 Жыл бұрын
Nyota yako ni Kali sana dada jamaa anahangaika ili msiachane
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi wewe na watoto wako muachie hizo mali
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 Жыл бұрын
Aisee Dr mwaka ana roho mbaya sana
@hanaansultan2097
@hanaansultan2097 Жыл бұрын
Loh mpka ndani kataka kumlaza polisi uyo si mume ht sku moja akaa
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Nimeumia sana machozi yamenitoka jamani
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Жыл бұрын
ASIKUBABAISHE , KWANI LAZIMA UTUNZE WATOTO AMBAO HUJAWAZAA? KILA MTOTO NA MAMAKE..
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
Asikutishe kama Dua zinajibiwa na mugu na ww pya niwa mugu na mugu hachukui rushwa Wala hawezi kuzilimu
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu Dah 😢
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Жыл бұрын
Dada wee tafuta Suluhu Urudi kwa mumeo mbona muonekano Dr Mwaka hataki nyumba anakutaka wewe musha zaa watoto kaaeni mbn wake wezako wapo wametuma Sasa huna raha bora Zungumzeni kimya kimya bila ya Media kila kitu watu wote wajue
@swabrybadawy8486
@swabrybadawy8486 Жыл бұрын
Mugopeniiiii Mungu wenu bina damu. Tukaeeee na watu vyemaaa . Mwakaaa muohopeeee Allah. Mstiriii mwenziooo mali utaziwachaaaa hapa hapaaa . Nyumbaaaa ya kweli kesho akheraaaa
@latiffah8771
@latiffah8771 Жыл бұрын
Dr mwaka dr mwaka jmn huyo mwanamke si mama wa mtoto wako lakin Mama wa watu hana raha😥
@marynjuka
@marynjuka Жыл бұрын
mimi ningeondoka kunamaisha baada ya nyumba ila kama haujawah pitia haya utamuona huy dada muongo
@shadiathemedshadiathemed8699
@shadiathemedshadiathemed8699 Жыл бұрын
Yn daaah
@daudifungo5521
@daudifungo5521 Жыл бұрын
Ndoa za Mitandaoni Ni Matatizo Kwakweli Mungu AMPE Afya Nyema Huyu Mama Alee Wanae
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Uislam ni shidasana
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Tamaa
@naomiraphael4830
@naomiraphael4830 Жыл бұрын
Pole sana kwini kama mama nahisi kulia
@aminaomar1520
@aminaomar1520 Жыл бұрын
Allah atakusimamia kwa kila hatua
@remiomar7154
@remiomar7154 Жыл бұрын
Dr.mwaka anakiburi sana hapo talaka imeshapita kitambo kama hakuhudumi Kwa chochote zaidi y miezi sita
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Tumekichoka Mama. Waandishi.hv hakuna.vitu vya maana ktk.taifa vya kufatilia.? Nyote.ni.nguruwe hapo
@jenifamtima9325
@jenifamtima9325 Жыл бұрын
Mdada mzuri yaani,,toa talaka mali zigawiwe mwaka,,,
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Hakika Mungu atakusimamia Queen hizo hazitafanya kitu chochote yote yatamrudia mwenyewe lakin tuaomba Serikali muingilia Kati hili swala sio mpk mtu adhurike ndipo mnajitokeza huyu ana haki zote kwenye mali huyu Mwaka aache tamaa na kutokajali hata damu yake duh ana Roho mbaya sana huyu Mwaka hakika Mungu atampiga kitu hata atajuta wote tunamwomba Mungu hakika atajibu tu.
@abdulhamidy8920
@abdulhamidy8920 Жыл бұрын
Allah hayupo km watu wanavyodhani hawezi kuamua km unavyoiamuru tv na remote
@mussakiyondomagoga5051
@mussakiyondomagoga5051 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@husnahusney
@husnahusney Жыл бұрын
Watu km doctor mwaka ndo wanaofanya watu washindwe kusilimu wakaolewa na waislam laanatuallah cmpendi uyu mwaka cjui mwezi 😏
@FatimaFatima-wz2qt
@FatimaFatima-wz2qt Жыл бұрын
Km nidua kweli hazitokufika
@mwantumuhassani5086
@mwantumuhassani5086 Жыл бұрын
usimwogope huyu anakutishia endelea na msimamo wako huyo mshenzi kama wanzenzi wengine mtangulize mungu haki hapotei
@calistustitus4566
@calistustitus4566 Жыл бұрын
Rudi kwenye ukristo wako we dada waislam ndoa Yao ya wake wengi ni shida
@theoneartist6327
@theoneartist6327 Жыл бұрын
Bado anakupenda ,hizo ni polojo tu
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Жыл бұрын
Wewe dada ondoka nenda kwenu tu Mali kitu gani bana
@ramadhanimaricha3799
@ramadhanimaricha3799 Жыл бұрын
Hivi kumbe hii nchi ina watu wakubwa wasiojulikana e....haya bana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.USIOGOPE
@phina8058
@phina8058 Жыл бұрын
Dr. Mwaka ni yule mwanaume ukiachana nae inakua kihama au nightmare
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Tumekuchoka km..kesi.za.SABAYA
@salmachonga
@salmachonga Жыл бұрын
Huyu dada angeondoka akamuachia hyo nyumba cdhan kama kungekua na ugomvi
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Жыл бұрын
True
@issazalala4907
@issazalala4907 Жыл бұрын
Mwaka Acha ushamba nyumba ni kitugani mke amesha kuzalia watoto nyumba nini bana
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Жыл бұрын
Siku 21 ,na Yale majeneza yatamchukua yeye na anaoshirikiana nao kukutesa Kwa jina la yesuu,mwa mhununi tu,usirudishe nyumba
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 Жыл бұрын
Achana na mwaka njoo kwang
@samirahmawby3331
@samirahmawby3331 Жыл бұрын
asiwatishie maisha MUNGU anaweza kuliko kitu chochote so mwaka alitaka uwe housegirl na chuma ulete wa ofisi zake so usithubutu kurudiiiiii
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Na mm nilipitia hayo,natumia mno,pole kipenzi
@hellenahenry1629
@hellenahenry1629 Жыл бұрын
Kuna jeuri la pesa na kuna mungu mkubwa sana dada mungu mkuuu
@irakozesania1680
@irakozesania1680 Жыл бұрын
Watu wenye upara shid sn
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Жыл бұрын
Mtegemee Allah kwa kila kitu alilopanga likokose hakuna atakaefanya likupate
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
We nae Allah unamjua au unalopoka amewah kujidhihilisha kwanan tangu umeanza kuskia
@samirahmawby3331
@samirahmawby3331 Жыл бұрын
albadir aliwahi kusomewa kikwete na Watanzania wapuuzi wa Tanzania nzima,,,but Allah alisimama Hadi Leo Mzee Jakaya tuko nae bega Tu bega
@sukariyao6537
@sukariyao6537 Жыл бұрын
😳😳 famba mkubwa ww na atakufa huyo ngedere mwenzio waxhawi nyinyi dunia ya baba yenu hii mnakazi ya kuua ua watu tuuu nonsense 😑 🙄
@nanaleetz
@nanaleetz Жыл бұрын
Nakuonea huruma sababu ulisahau kujenga kimya kimya ase😩
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 Жыл бұрын
Mhh miaka za nyuma c mlikuwa mnatamba?mwanaume wa nguvu?mke wa kwanza ni wa kwanza tu ,Mungu amtunze mke wa kwanza.yule wa tatu yupo wapi?
@zayanasudi3731
@zayanasudi3731 Жыл бұрын
Yn mi nimelichukia sn hilo libaba mxeeew
@tajiertaj5956
@tajiertaj5956 Жыл бұрын
Kwani kuachana niugomvi jamani mkichokana muachane kwa kheri
@shakren427
@shakren427 Жыл бұрын
kwaiyo anadharau masafu😭😭😭😭 eti 5000 tu we mwaka wewe
@taucdulle7460
@taucdulle7460 Жыл бұрын
Labda akuue ila hakuna dua ya ivo ambae mungu anaipokea yule baba ni mshenzi sana
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 Жыл бұрын
Uyu Queen nae vipi jamani,, mbona uku mtaani kwetu watu wapo wengi tu wameachwa bila taraka na wanadunda mpaka Leo na washaolewa teeena
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
FUNDISHO NA TAHADHALI KWA MKE WA 3 WA DR MWAKA. mke wa kwanza hatujui alipo, wa pili yupo kwenye media analia wa TATU KAA CHONJO
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Mama sikiliza doktamwaka ni freemason generally ondoka tu apo utakutwa nakitu kibaya
@rashidaly5008
@rashidaly5008 Жыл бұрын
Nyie si mulikua munajirikodi ktk TV kua muna upendo wa dhati
@mussasaid284
@mussasaid284 Жыл бұрын
Ndugu zangu waislam ndoa huwa moja, hapa ndio huwa nawakubali sana ndugu zangu wakristo,mke ni mmoja na ndoa ni moja tu,hakuna cha ndoa mbili,Dada hapo hauna mwanaume,hao vijana wa dar ni 🐕
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 Жыл бұрын
😁😁😁😩
@sukariyao6537
@sukariyao6537 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Ww sio muislam hujui lolote kajambe uko
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Ndoa ni moja tu, wewe Mussa itakua huna nguvu za kiume tu. Hata Paulo hakua na mke, jongoo hapandi mtungi. Nna wake watatu na mchumba nikipata namaliza wa4.
@charityjoshua6135
@charityjoshua6135 Жыл бұрын
@@Sheba4651 makubwa👀🙆🙆🙆🙄🙄
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Mi naamini kama hujatenda ubaya akisoma dua hakuna baya litakupata labda akuletee jambazi
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Жыл бұрын
Sasa si uondoke hapo dada na umuachie mwenyewe hiyo nyumba yake dadaangu?
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Hivi huyu dada akijiuwa nani alaumiwe.? Kwan serikali haioni hili
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 Жыл бұрын
MUNGU atakulipia na atakulinda
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
Ha ha ha dua au kumloga kwa ushilikina 😂 😂
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
H ama hiyo nyumba
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Ndio.maana.umeachwa.anaunoa sana.unaonheaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa iwiiiii
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Yaani hayo maumivu na machozi yako yatamuunguza mwaka hapa duniani na tutaona kwa sababu ndoa si mashindano au kuumizana
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Mlivyo kua mnajishaua kwenye viombo via habari mnapendana Na uke wenza mna weza. Maisha ya maigizo wakati nyie sio wasanii ni waganga. Mlimuumiza mke mkubwa athabu inakustahili. Yule mliekua mnajishaua nae yeye atachomolewa roho na kuliwa nyama Na waganga wenzie. Ushauri wangu. Hiyo nyumba uliopewa ni haki ya mke mkubwa. Ulidanganyishiwa kwa mapenzi Na Sasa mapenzi yameisha usitafte huruma. Muachie kila kitu chake mrudie YESU ondoka na YESU. Ss wanadam hatuna msaada wa kweli YESU ni mfalme wa Amani mrudie YESU damu ya YESU itakukomboa utakua huru kweli kweli
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Mwaka utageuka miaka kwa unavomtesa huyo dada
@veilamunuo2646
@veilamunuo2646 Жыл бұрын
WE RUDI KWENYE DINI YAKO
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Awe kafiri tena?
@veilamunuo2646
@veilamunuo2646 Жыл бұрын
ndio kwani kuna shida gani kuwa kafiri@@Sheba4651
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
@@veilamunuo2646 Haitopendeza kila muda abadili imani. Haipendezi. Asiwe kafiri ( Mpingaji) tena. Kama vile mwanamke kubadili mabwana
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Жыл бұрын
Kila leo tunaambiwa wanawake ukiona mwanaume anakutolea maneno ya kukudhuru ondoka haraka sana,na wewe ondoka vyombo vya sheria vipo
@kassim.i.ngoroka7388
@kassim.i.ngoroka7388 Жыл бұрын
Mambo ya ndoa tuwaachie wanandoa kikubwa tuwasihi watu kuwa pamoja kinyume na kutengana.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Hapana vifo vya wanandoa na mahusiano kuuana ni vingi,ikifikia point mbaya kama hii TUNAINGILIA KATI KABLA HAWAJAUANA
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
Ha ha ha kwel uenda uyu mwaka kwel n atal yan shhe wa mkoa kangoka kw kbshna n mwaka uyu jmaa atakuwa n mshilikn sana hahahaha
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 Жыл бұрын
NAKUSHAURI FANYA MAAMUZI YA KUOKOKA MKIMBILIE YESU AKUSAIDIE HUKO UMEKOSA MSAADA MKIMBILIE YESU TAFUTA KANISA UOKOKE
@gambigambi7254
@gambigambi7254 Жыл бұрын
Just leave his house mungu atakupa hamna mtu anaeza zikwa na nyumba usije poteza maisha mama u need peace dunia ni mapito kaanze moja tu
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 Жыл бұрын
Uke wenza kujitia mnapendana ni uongo na unafiki TU! Leo yule shogaake shimmy katuliiia tuliii na mganga mwaka! Km haoni anayoyapitia shogaake,hadi walivaliana sare 😂🤸 ,walikula bata pamoja,"walilala kitanda kimoja" nanukuu jomoniii 😂. Uke wenza! Pooh!
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 Жыл бұрын
Dr.Mwaka wewe ni fakiri kbs
@mhifadhi797
@mhifadhi797 Жыл бұрын
Wanawake mnatumia machozi na sauti nyembamba kutaka huruma kwa nn ulazimishe kuachika nyambafu pita hivi una mdomo sana
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Allah atakusimamia hatokuacha ht siku 1
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Жыл бұрын
Ningekuwa Mimi ningeondoka tu nife kisa Mali za duniani
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Жыл бұрын
Huyu dada akitaka awe na amani afanye maamiz magumu aondoke yeye mwenyewe watoto amwachie baba yao na hilo li nyumba lake,lakin kama hawezi kuwaacha watoto aende hata kwa mkuu wa mkoa huko anaweza saidika,huyo sio mume shetwan
@sukariyao6537
@sukariyao6537 Жыл бұрын
@@tinamahega9848 huyu ataki Mali anataka apewe talaka zake zote 3 ili awe huru ataki nyumba wala Mali yoyote ile anamuachia
@ndayiragijejean-marie
@ndayiragijejean-marie Жыл бұрын
Dr nwaka towa kitu bwana wanawaka niwajaja usisikii machozi
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
Dada angu c unakwenu ondoka mwaya nenda ukaishi popote mwachie jumba lake na Kila kitu chake atakutoa uhai bule
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Sa unaogopa dua kwa nini.Dua haimdhuru mtu kama hana hatia.
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Unatoa fat'wa.Subiri mwachie Kadhi yataisha
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
WAMEENDA KUMTOA SHEKHE MADARAKA BURE KWA UPUMBAVU WAO.YAN HUYO.MWAKA ATAJUA HAJUI KAFANYA DOMO KA CHAIJABA
@hanifa9153
@hanifa9153 Жыл бұрын
No mara wa wanawake tutafte vya kwetu hii u selfish ako nao hyo jamaa Allah ndo anajua zaidi🙌🙌
@amosibilingi9718
@amosibilingi9718 Жыл бұрын
Kwa haraka haraka, unatia huruma Sana Sana, kwetu watazamaji tunakuonea huruma kweli kweli, lakini hivyo tunavyokuona ndivyo ulivyo?? Nadhani Dr. Asingekuacha kabisa, Dr. Ni mtu mwenye huruma hata kuliko baadhi yetu tunaokuangalia. Nionavyo Mimi wewe ni Malaya mtafuta vitu Kwa kujiuza, hukutosha ulivyochukua Toka Kwa Mme wako wa zamani, au vilipoisha Sasa unataka vya Dr.,????? Amekushtukia mchezo wako mbaya, ndo maana anasema rudisha Kila kitu chake, tabia mbaya kabisa . Nenda kawaibie wajinga wenzio
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Dah ndoa hizi jamani pole sana aisee,,, nyie wanaume sijui ata mna nn au mnarogwa ?! Dr mwaka ni mchawi mpuuzi yule sio bure
@mamyeliane4706
@mamyeliane4706 Жыл бұрын
Pole sana mama ndo kazi ya wanaume Wenye wake wengi omba mungu atakushindia atashindwa kwa jina la yesu dada
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 Жыл бұрын
Ndugu yako anakupoteza, wewe rudisha vitu vyake tu upate ukitakacho. Nawashauri punguzeni UPENDO ongezeni KUHESHIMIANA
@Expedito2512
@Expedito2512 Жыл бұрын
Mnampa pole kwa lipi? Mbona simple sana. Hamtaki Dr. Mwaka, aachane na vitu vya Mwaka aende
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 207 МЛН
SNURA: NIMEACHA USANII,FUTENI NYIMBO ZANGU NIKI.FA MSINIPOST
6:50
MASI MEDIA
Рет қаралды 1,5 М.
FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
47:22
ReyTox Pro Network
Рет қаралды 31 М.
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН