DR SULE AIBUA MJADALA MZITO ''USHOGA'' UJUMBE UFIKE SERIKALINI.

  Рет қаралды 9,121

Mbengo Tv

Mbengo Tv

11 күн бұрын

Пікірлер: 80
@user-pj9ni2xo7p
@user-pj9ni2xo7p 10 күн бұрын
Well said Dr. Sulle, be blessed at all
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 10 күн бұрын
Umeongea pointi sana shekhe. Kweli jamii inahitaji elimu
@JohnLuoga-vl7zh
@JohnLuoga-vl7zh 2 сағат бұрын
Doctor Sule Mungu akubali kwa kukemea mapenzi ya jinsia Moja!
@KichaweleNjughwa
@KichaweleNjughwa 6 күн бұрын
Mungu akulinde utakufa Mungu akipenda sio wao
@rukiangilla3113
@rukiangilla3113 8 күн бұрын
Kweli😢 inasikitisha kuona Mambo km haya kuonekana nikawaida Lkn ni laana hata Allah amekataza......Tunakuomba Dr. Usichoke kukemea nakupaza sauti juu ya jambo hili....Allah akupe umri mrefu shekh
@eddyeddy1337
@eddyeddy1337 9 күн бұрын
Dr tupo pamoja Allah atakufanyia wepesi
@DaudiMtange
@DaudiMtange 9 күн бұрын
Dr blessed sana🙏🙏
@IbrahimGwaya
@IbrahimGwaya 8 күн бұрын
Ubarikiwe saana she wangu,kwn,lishakuwa janga kubwa saana
@user-bb2hf9jm3s
@user-bb2hf9jm3s 8 күн бұрын
Asante sana kaka mungu akulinde
@ShomariiMkumbo
@ShomariiMkumbo 10 күн бұрын
Kweli kiongozii mungu atakulida
@benjaminsanjan5731
@benjaminsanjan5731 9 күн бұрын
Ni kweli Mungu muweza atusaidie kutokomeza ushoga
@user-ov5xc2sy3q
@user-ov5xc2sy3q 5 күн бұрын
Mashallah Kazakh Allah khair Dr Sule Allah akupe uwepesi na akulinde hata hivyo yewote anaye vamia mila na desturi za mwengine ni kasumba na ushamba tu Ovyooo!!!!! Hao hawana hofu ya Mungu na pia niwakosefu wa elimu kwanza ki afya jambo hilo line Madhara makubwa saaaaaaaana. Allah akulinde🤲🤲🤲
@mikatejunior1362
@mikatejunior1362 8 күн бұрын
Mashaalah mungu atakulinda
@iddikapiga5873
@iddikapiga5873 8 күн бұрын
Allah akuongeze kwa kukemea jambo hili
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 9 күн бұрын
Mungu akubariki baba kwa kukemea waziwazi. Ninachokiona mimi dini zimefeli zipo kimaslahi zaidi
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki 9 күн бұрын
Kweli kabisa iyo hani ni hatari sana
@user-me5qu5kw4u
@user-me5qu5kw4u 6 күн бұрын
Dr sule leo nimekuelewa sana sana kaka
@EnglishCluster
@EnglishCluster 10 күн бұрын
Mashallah
@user-es9ye1tj7u
@user-es9ye1tj7u 9 күн бұрын
Munguu akushushiee malaikaa wauliziii,,,hili ni jangaa laa tz,,tusikaee kimyaaa ,,haoo watu wa serikarii wanaangaliaa masilaii yaoo,,,munguu atusaidieee
@jayproducts5871
@jayproducts5871 7 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI🚀🔥🔥
@user-yt8db6et9q
@user-yt8db6et9q 6 күн бұрын
Thank you God bless you
@user-lp4jj6uu1r
@user-lp4jj6uu1r 10 күн бұрын
Mungu akurinde nakirashari huo ushoga wafanye huko huko kwawo hatutaki ushoga kwetu
@user-xw3xy2vq6y
@user-xw3xy2vq6y 7 күн бұрын
Hapo sasa umesibitisha kua wew ni mwislam
@user-nl6yp7ku9x
@user-nl6yp7ku9x 9 күн бұрын
Allah atawahukumu wahusika woote wanaoshadidia inshallah. Nawaona kitu basita lakini kesho kunaadhabu kubwa haya mamba ya uchafu ni Dunia nzuma...
@rogatimushi689
@rogatimushi689 10 күн бұрын
Mr sule umeongea point sana yaan tunaona mashoga wakijionyesha hadharan bila sheria kuchukuliwa
@MuksinMohamed-k5i
@MuksinMohamed-k5i 5 күн бұрын
Mpaka kieleweke HATUTAKI,.
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p 4 күн бұрын
Swadakta sheikh Sule
@shyneafya2468
@shyneafya2468 6 күн бұрын
Kwenye Shekhe nakuunga mkono yan nashangaa sana viongozi wapo kimya kwenye hili na baadhi ya viongozi wa dini wapo kimya hii ni dhambi kubwa
@thobymsule6045
@thobymsule6045 5 күн бұрын
Umeongea mambo ya msingi sana siyo habari zako za majini
@user-uq6uv7mb4o
@user-uq6uv7mb4o 8 күн бұрын
Wanataka mapigano tuanze kuwauwa mashoga kimya kimya
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia 7 күн бұрын
Ukitaka kujua hili ni jambo la kishetani, jiulize kwa nini mataifa hayakemei mauaji yanayojitokeza ktk maeneo au jamii nyingi. Ukijiuliza kuna kitu kibaya na kigumu kama mauaji? Kwa nini haki ya binadamu iwe ktk kujamiiana kwa jinsia moja? Kweli? Kama ni misaada mbona tuna mali nyingi tuliyojaliwa na Mungu ambazo hao mataifa yaliyoendelea ndizo wanazozitegemea? Sasa kwani tutakufa bila kukubali ushoga? Jamani tutaungua na moto wa milele. Ee! Mwenyezi Mungu uturehemu.🙏 Dr. Sule tunakuombea Mungu akutangulie kny vita hivi vya kishetani. Lkn pia, wako wapi viongozi wa Kikristoooooo ktk kukemea hili hadharani kama ulivyofanya wewe. Hiki nacho ni kitendawili. Mungu aturehemu na watoto wetu. Mungu irehemu Tanzania.😭😭🙏🙏
@MuksinMohamed-k5i
@MuksinMohamed-k5i 5 күн бұрын
Tupo pamoja katika hilo, MUNGU akutie nguvu na kututia nguvu na kuwatia nguvu wote wenye kupinga Suala la mapenzi ya jinsia moja ubasha ushoga.
@user-es9ye1tj7u
@user-es9ye1tj7u 9 күн бұрын
Allah akbar,,
@user-wo9zf6oo4j
@user-wo9zf6oo4j 3 күн бұрын
Tafadhali naomba namba za simu watsupp docta sule
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 9 күн бұрын
Amina
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 6 күн бұрын
Uko sahihi kaka
@user-xk3ue8yi3s
@user-xk3ue8yi3s 9 күн бұрын
Aslm naomba hii jambo lipingwe kabisa mpaka hapa KENYA someni albadili kabisa kabisa
@CKMO
@CKMO 8 күн бұрын
Sadakta hilo neno tena la maana na manufaa mashoga yote wafungwe na ikiwazekana wauliwe bora
@AizacSkills-ox2mo
@AizacSkills-ox2mo 8 күн бұрын
Tatizo hao viongozi wa juu ndio wahusika wa vitendo hivyo.
@user-me5qu5kw4u
@user-me5qu5kw4u 6 күн бұрын
Haturaki jambo hili hakika Dr sule uko vyema
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 8 күн бұрын
Tunakuunga mkono 100% hata wanyama wasio na akili hawatendi
@suzankoroti6018
@suzankoroti6018 5 күн бұрын
Mungu akulinde ili upeleke sauti yako kokote uendako, tumekuwa na hofu ya familia zetu hatuna uhuru wa kufanya kazi zetu kuhofia watoto wetu muda huu wanafanya nini, Ee Mungu tunusuru na janga hili
@susumantalanta8505
@susumantalanta8505 5 күн бұрын
Huyu jamaa kumbe bado sana 😆 😄 😄 yani analeta stor za corona kua ni mtihani wa Mungu....duh! Vita bado ni mbichi
@anaphkagomba3954
@anaphkagomba3954 9 күн бұрын
Amiin
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 6 күн бұрын
Ivi Uganda museveni alifungia mtanao wa twita au alikataa ushoga handarani?
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 6 күн бұрын
Mamlaka yenye uwezo wa kupeleka muswada kama huu ni Moja tu,wengine niuomgo
@user-iz2dw8rp2i
@user-iz2dw8rp2i 6 күн бұрын
Ndugu mwandishi kwani lazima muweke picha za hao watu wanaojifananisha na wanawake?
@SadikiRushu
@SadikiRushu 6 күн бұрын
Kwelisana haitakiwi tutaksapoti.
@EziekielMahogwa
@EziekielMahogwa 9 күн бұрын
Umeongea kweli
@hamismabula9934
@hamismabula9934 5 күн бұрын
Ina maana Serikali nayo inaongozwa na walewale au...!? Maana kimya tu hakuna hatua zinazochukuliwa dhid ya upumbavu huu! Wanapambana na Mpina tu!
@omaar5693
@omaar5693 7 күн бұрын
message sent
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 10 күн бұрын
Serekari imenyamaza wala awana mshtuko mi nashangaa sana naumia sana moyoni mwangu kusema kweli sina namna
@danielmabula2154
@danielmabula2154 5 күн бұрын
Haki ya Mungu naungana na Dr Sule%100 yote uliyosema, sauti peke yake haitoshi ikiwezekana bunge itunge sheria kutokomeza hapa kwetu adhabu kali kwa lazima mtu take asitake lazima kuzuia
@jacksonpriva7664
@jacksonpriva7664 10 күн бұрын
Nakuunga mkono Niko pamoja na wewe
@innocent798
@innocent798 7 күн бұрын
IMFIKIE MAMA SAMIA ALIPOZALIWA KWENYE KITOVU CHA USHOGA ZNZ NDOH MANA KASING MIKATA YA USHOGA
@NorthmaraFluiconnecto
@NorthmaraFluiconnecto 8 күн бұрын
Hatutaki ushoga
@user-hr2gb4xk2z
@user-hr2gb4xk2z 9 күн бұрын
Mimi nacho sema doctar hili jambo kwaserikali yetu haitaweza kulisema nipo chamanzi shehe kumejaa mashoga kufuru tena wanakutongoza kwapesa
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 7 күн бұрын
✅✅✅✅✔️❤❤❤
@user-xn1nw5cm1h
@user-xn1nw5cm1h 9 күн бұрын
Uko sahihi shee ila polis serkali yetu haijali kuhus wananchi wake wala hata
@khadijasoud-yi1lj
@khadijasoud-yi1lj 9 күн бұрын
OMUNGU ATUJALIIE MWISH0 MWEMA😭😱😭O
@claudiajames2003
@claudiajames2003 8 күн бұрын
Say No to gayship and lesbianship!Na Mwenyezi Mungu akileta adhabu basi iwaoate wale viongozi ambao wamefunga masikio Yao kuhusu kutoa matamko ya kupinga ushoga na usagaji,pia wanaopokea msaada kutoka Kwa hao mashoga na wasagaji
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 күн бұрын
NANI ANAJALI, WATOTO WAO WANAFANYA VIZIRI , WANASHIDA GANI?.
@user-dx4ur2ug6k
@user-dx4ur2ug6k 9 күн бұрын
Umenena vyema
@jumannematimbwa559
@jumannematimbwa559 9 күн бұрын
Saf maalim
@atomphoton5000
@atomphoton5000 7 күн бұрын
Sheikh anahamasisha ushoga kwanini anaelezea vitu kwa namna hiyo mara kuchochora chocho mara haki za yule aneingilia na anayeingiliwa mara asili ya mduara ilikuwa ni kutoshelezana mara vijana safi bikra wageni wa nabii Ruti. Haya yote anataka watu wakafanye hayo mambo pia kataja pia hotel maarufu Dar wanapokuja wazungu wanaependa michezo hiyo kwa maana nyingine anawambia vijana watanzania waende kwa hiyo hotel. Masheikh kama hawa ni bure kabisa, atafute namna sahihi ya kuwakilisha ujumbe bila kuhamasisha ufirauni.
@JeffDon-ko3ki
@JeffDon-ko3ki 6 күн бұрын
Ujamuelewa chokoww🏃
@atomphoton5000
@atomphoton5000 6 күн бұрын
@@JeffDon-ko3ki Wewe ndio huelewi siasa ya propaganda.
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 10 күн бұрын
ushoga umeletwa na IZI DINI ukitaka elimu njoo kistaarabu nikuelimishe
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 10 күн бұрын
Kwaiyo we unasapoti ushoga au
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 9 күн бұрын
huyu nae shoga labda
@kutailass6671
@kutailass6671 8 күн бұрын
Shoga mwenyewe huyu
@ashahassan2120
@ashahassan2120 4 күн бұрын
Tukopamoja nawe
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 10 күн бұрын
Wanaogopa wasikosi misada museveni hoe
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x 10 күн бұрын
We jamaa ni mshilikina ila kwa swala hili mimi nipo na wewe ni kichwa sana
@kutailass6671
@kutailass6671 8 күн бұрын
Kama alikuloga mbona hukufa
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 6 күн бұрын
Mama yako mwenyew mshirikina
@EnglishCluster
@EnglishCluster 10 күн бұрын
Mashallah
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 129 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,2 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 12 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
MAISHA  HALISI YA KIJANA "VOCHA" NA SKENDO YA KUITWA SHOGA
21:54
"Niliachana na LGBTQ baada ya kujua siri zao"
8:23
TRT Afrika Swahili
Рет қаралды 552
MAPYA YAIBUKA WANAOFANYA SURGERY MATATANI ZAIDI KWA KIFO.
23:52
BOSS MCHAWI AWEKA WAZI KUJIUNGA NA FREEMASON
16:00
Mbengo Tv
Рет қаралды 12 М.
TAMBUA NEEMA ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:33
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 13 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 129 МЛН