Рет қаралды 2,041
Tumsifu Yesu Kristu. St.Joseph Catholic Cathedral moja ya Kanisa kongwe na la kuvutia sana hapa inchini Tanzania. Ujenzi wake ni wa kuvutia sana na ufikapo karibu na kanisa hilo utapata kuona namna ubunifu na umahili mkubwa wa Ujenzi wa makanisa