Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu na wapenda wanayanga sana Mungu awabariki sana
@reginaldmapunda67022 ай бұрын
Hawa jamaa wanaishi kama familia moja kuanzia shabiki,mwanachama,mchezajna viongozi ni kitu kimoja na wanapendana sana na wanasikilizana sana. Huu ni ushindi tosha. Amina.
@ocaml86982 ай бұрын
Ni kweli wamejenga familia.
@marianamontoedi13182 ай бұрын
One ❤️ 👏🏽
@user-bk4ug8tj3n2 ай бұрын
Nzr sana
@user-bk4ug8tj3n2 ай бұрын
Inafurahisha sanaaaaa
@awetumtengera11472 ай бұрын
Pongezi kwenu nyote kwa kazi mzuri zinazoendelea na Mungu awabariki mdumishe Upendo ,Daima mbele nyuma mwiko.💚💚💚💚💚💚💚💚
@gililwise2 ай бұрын
yanga familua moja hongereni sana maana Mungu anapendezwa na umoja.
@Charles-xn2irАй бұрын
Raha jipe mwenyewe
@user-vp7ol4hu9w2 ай бұрын
San san
@AntonyMbalamwezi-ld6tx2 ай бұрын
Endeleeni kuwabonda mpaka wakubali maana wabishi mno
@FilbertKalembe-fy4oq2 ай бұрын
Kiongozi safi sana huo ndoo uongozi crub ikikupoteza tutakoma
@user-bk4ug8tj3n2 ай бұрын
Wanatupa burudani sana Hawa watu. Mungu awatinzeee