H-BABA AMEFUNGUKA MAPYA KUACHANA NA MKEWE/ ALIZAA NJE YA NDOA

  Рет қаралды 82,440

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Жыл бұрын

Local Tanzanian content TV Station broadcasting Exclusively on StarTimes Decoder Ch: DTH (Dish)- 401 & DTT (Antena)- 161

Пікірлер: 87
@alicemideva
@alicemideva Жыл бұрын
Enyewe h baba unacho kisema Ni kweli kabisa mambo yaweza kutokea ukakuta kwamba watu wanakuhukumu ,wasijue wewe hauna kabisa makosa so ni vizuri umeeleza👍👍
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Жыл бұрын
Pole sana H BABA
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
pole sanaa ""
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Kapendez hbba baba Tanzania
@reganclarence4657
@reganclarence4657 Жыл бұрын
H.pole sana
@simplebuttoughinaction8022
@simplebuttoughinaction8022 Жыл бұрын
Uongo uongo hadithi ya kubuni 🦖🦖🦖🦖🦖🦖🦖
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 Жыл бұрын
So sad, wadada msimdhihaki H Baba hii situation sio nzuri hata kidogo, watu wanajiua
@trustmwapinga6269
@trustmwapinga6269 Жыл бұрын
Daaa
@jenivamacha1817
@jenivamacha1817 Жыл бұрын
Ili hiki kipindi kiwe very sensitive to all people. Muwe mnaleta wageni au washauri wenye maisha mazuri ya ndoa, au mahusiano.. sio watu ambao hawana Nia Wala malengo ya kuona
@amedeusmfoi155
@amedeusmfoi155 Жыл бұрын
Ukraine8n 8iopp
@daudilaurence4935
@daudilaurence4935 Жыл бұрын
So sad 😢😢
@vailetedward
@vailetedward Жыл бұрын
Inauma pole kaka
@majabiali973
@majabiali973 Жыл бұрын
Dada angu leirat unakosea kma ww ni muislam unakosea ,meanamkee anajielewa na anaejua dhaman ya ndoa yake na heahima ya ndoa yake ,hawezi kufanya ujinga ,mm nimwamkee kma ww lakin silisapot Ata kidogo ilo swala ,uwo ujinga huwezi kuwa una ndoa ukatoka njee ya ndoa Ivi mmnaijua dini au munaichezea dini ,
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 Жыл бұрын
Pole h baba inauma
@ashaali7154
@ashaali7154 Жыл бұрын
Mwanamke aliye na akili hawezi kuishi na hayawani kama huyu zee zima limebaki kufuata midume mingine mgongoni ili apate kula fala huyu bora mke kajiondoa mapema libaki nyuma ya wanaume wenye kazi zao.
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
Naombeniiii wadau mnieleweshe mana yahiki kipindi minaonaga mapichapicha tu hata sielewagi wanamanisha nini
@lucasmsogoti3435
@lucasmsogoti3435 Жыл бұрын
Hahahahaha daah umetisha
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Nahis ww unaelewa
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Hicho kipindi kinaidhinisha zinaa hakuna maana yoyote
@gabrielmaganga8341
@gabrielmaganga8341 Жыл бұрын
Unachagua mchumba wa kuowa
@zena6203
@zena6203 Жыл бұрын
@@lulually5209 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@prisckachachaprisckachacha2464
@prisckachachaprisckachacha2464 Жыл бұрын
Duh
@joleal7941
@joleal7941 Жыл бұрын
Pore h baba inauma kaka
@banguha
@banguha Жыл бұрын
Ivi kweli Mwijaku na akili yako ndogo unaweza kumshinda mke mzur Gara B jamaa ana kifaa bwana mwijaku acha masihara na ana pesa na ana Elim pia anakuzid Yan anakuzid kila kitu
@nickolausofficial2838
@nickolausofficial2838 Жыл бұрын
Duuuh inauma xana pore xana
@dianasamson9311
@dianasamson9311 Жыл бұрын
Wewe ni mjinga... trust me.. sikupi pole ng'o.. bora Miss Sarungi alisepa... Kuna mengi na tutayasikia ... ila wewe ni mshamba. Na unajua .. basi tu kujibaraguza... Harmonize asipopitia mdomoni kwako, atapitia puani kwako kama moshi... tunachosubiri ni CHAFYA tu...🤣🤣🤣utaipigaje utaiona mwenyewe.
@suzzie123
@suzzie123 Жыл бұрын
Hizi shows hukua wapi ni attend Moja 😢😢
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Hili limwehu halijapelekwa mirembe tu
@pamelaouma6400
@pamelaouma6400 Жыл бұрын
Huwezi kumuacha mke akae muda wote pekee yake na wewe pekee yako eti sababu ufanye ujenzi Kwanza uishe ujenzi ni hatua endelevu ndoa ni yakuheshimiwa.sasa ukikaa huko mwanza unafanya ujenzi wako unaponea wapi kindoa??na kiislam miezi mitatu bila kukutana kindoa hapo ndoa hakuna.
@dianasamson9311
@dianasamson9311 Жыл бұрын
Hovyoooo
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Ovyo nini sasa na wewe chura wa kitaa
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Ndoa iheshimiwe na watu wote, busara mmmmh
@salamoman9375
@salamoman9375 Жыл бұрын
Njoo kwang nitakupenda sana sina Mali ila tajili wa imani
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Mbn umejihami hivo hahaha
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 Жыл бұрын
Hii
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Unachekesha San umemwambia mtoto kuwa amezaaa na bab mwingine tena hapohapo ni mdogo wao Sasa hiii inakaje
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Hili senge sana
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
Maneno ya mwanzo ni ukweli ila haya ya kusema mtoto kukushauli apo umetupiga na kitu kizito maana ongea yako unaonyesha umeyatunga. Hata kama alikushauli kweli ila umeyapangilia maneno.
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hili jamaa niliongo tu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Niliwahi kumsiliza mkewe du kwa niliyoyasikia hapa anadanganya mengi ingawa sitakiwi kuhukumu Ila alichoongea mwanamke naona kina ukweli kuliko mmwanaume
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Hata hayo ya mwanzo hakuna hata moja la ukweli jamaa ni liongo sana sijui linaswali nini
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
@@lulually5209 Hahaha 🤣 Yaani Anatia Hasira Kwakweli.
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 aliongea wapi,kama ninaweza kusikiliza
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Muache dada wa watu jmni eeh
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Nawewe kama wewe tu
@aysherkitoi5507
@aysherkitoi5507 Жыл бұрын
Cyo kweli
@aweinasalim1269
@aweinasalim1269 Жыл бұрын
Mimi ningependa. Kusema ivi wakat uko mwanza unajenga ulikua na mwanamke ukaonesha na utofauti kwa mkeo ndio na yy aliamua kufanga hivyo kutafuta usalama wa moyo
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Background music ni takataka
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Ww umechanganyikiwa na mdogo wangu utaxhanganyikiwa sana yule umsomeshe ww mzee mvungi maskini?? Mbona husemi kama ulimuharubia maisha kwa kumuhadaa ukamkatiza mosomo flora nimemlea mm Amesoma shule ya msingi mpakani akamaliza masomo Akaenda secondary Akamaliza wakati anatafutiwa chuo ukapita ww na usanii wako ukambabaisha akajiingiza kixhwakh k
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Kichwa kichwa bila kuuliza na masomo yakaishia hapo Leo Kila unapokwenda unakazi ya kujinadi nilimsomesha nilimsomesha mbona husemi kwa nn ulimsomesha?? Utaweweseka sana na dlora nimemuosha na mfedha fedha yule mtoto mambo yake hautoyaweza sijamuoshea mkaratusi kama ww ulieoshewa mkaratusi kazi yako kiambilia matusi Halooooooo oo unalo Hilo mwanamme mzima Kila iwendako kazi kunadi mtalaka wako wako
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Flora mmvungi mtoto wa kibo Ubungo kwenye makabila mchanganyiko na Amekuchanganya kweli Haoooo ooo flora mdogo wangu pacha wake Fatma kp
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
Kumbe unayajua maumivu mbona mambo yako hayafanani na mtu mwenye experience ya maumivu au ndo akili imeathirika?
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Muwage mnajifunza. Mke niwa kikaaga ndani
@lulually5209
@lulually5209 Жыл бұрын
Huyu jamaa muongo sana wamwite na flora wamuhoji huyo bwana mdogo ni nani mbona kashikilia bwana mdogo bwana mdogo
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Siri zako za familia unaongea hapo duuu
@majabiali973
@majabiali973 Жыл бұрын
H baba usikatee tamaa tupo wanawakee tunaotafuta waumee syee njoo kwangu mm nipo singoo miaka minne , nataka iyo nafas kma lulu haitaki
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
kabisaaaa
@aidankombe6720
@aidankombe6720 Жыл бұрын
@@janethkomba4485 !
@adamscyiza2058
@adamscyiza2058 Жыл бұрын
Kaama uko Tayari kbsaaa niyambie tufanye mambo Mimi Niko Tayari ❤
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Ukiona mwenzio ameshindwa ujue shida IPO kubwa
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Kujikosha tu mbele za watu huna lolote ww
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Unasomesha nyoka😂😂😂😂😂😂
@anoldshirima3291
@anoldshirima3291 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni muongo unasema ulimwambiaa kazaa na mtu mwingine lkn mtoto ni wakoo utelewekaje hapo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🤣😂
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 Жыл бұрын
Kipindi Cha ukahaba tu hakina lolote hatujawah kuona ndoa hum Zaid y kiki
@babygrace4872
@babygrace4872 Жыл бұрын
Jamani vipindi vyenu mnafanyia wapi na ni siku ngapi za juma na Miata participate vp? Nipo dar!
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Tafta kazi ya kufanya
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 Жыл бұрын
Hata wanaume mnazingua sana mbon mnazanje ya ndoa sana tu ila kosa mfanye nyie akifanya mke ndio amekosea nyie sio kosa hbba hachana na story izo fanya maisha yako huwenda hukuwa hunatoa huduma hukajichimbia mwanza sasa mke hangefanyaje mnapenda kutiha huruma wakanti nyie ndio wazirishi wakubwa na ndio chanzo wakumfanya mke hatoke njeyandoa😉
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Mwambie huyooo
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Ww ulikuw mwema huko Mwanza acha zako wewe alaaaa
@gracelaizer3317
@gracelaizer3317 Жыл бұрын
Lkn hajabeba mimba😜😜
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
@@gracelaizer3317 nna mtoto naye huyo asiwazugu
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Ilo ni goti jeusi au kavaa ndan ya jeans nguo nyeus
@babrashabanu7073
@babrashabanu7073 Жыл бұрын
Kaka una mapungufu makubwa sana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Kama wewe tu
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Hao madem mbona ni wale wale watakuwa wanatatizo
@munasaid1429
@munasaid1429 Жыл бұрын
Hii ni sanaa tu hakuna ukweli wowote kuhusu mr right
@benardchubwa2977
@benardchubwa2977 Жыл бұрын
Kama vile nimeanza kukuelewa aiseee
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Жыл бұрын
I don't trust this guy
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
Me too ,uyu muongo
@Willastitle
@Willastitle Жыл бұрын
@willas yustin 👈
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 27 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 61 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
MR.RIGHT APATA WAKATI MGUMU/AFANYA MAAMUZI HAYA
7:46
ST BONGO TV
Рет қаралды 433 М.
SAJUKI
7:00
WanawakeLive Tv
Рет қаралды 194 М.
H BABA AMTONGOZA LULU DIVA KWENYE HELLO MR RIGHT SHOW
4:47
ST BONGO TV
Рет қаралды 259 М.
ПОХОДУ ОН БУДЕТ СИДЕТЬ ДОМА ДО СТАРОСТИ
0:18
si tenge menyamar jadi polisi farel #shorts #viral
0:19
Keluarga Hakiki chanel
Рет қаралды 9 МЛН
Поймал редкий кадр🤨
0:22
FERMACHI
Рет қаралды 5 МЛН
GIANT alligator was caught in line while eating a smaller gator 😯 || Jacob Landry
0:10
Jacob Landry (swamp People)
Рет қаралды 18 МЛН
МЛАДШАЯ СЕСТРА И МОРОЖЕНОЕ ИЗ АРБУЗА
0:41
ОЛЯ ПЕРЧИК
Рет қаралды 3,4 МЛН