nakufatilia sana Mungu akujalie usikate tamaa na hiii fani yako unatupa habar nzur sana
@neemakimali20956 жыл бұрын
kaka nakupenda bure
@abubakariramadhani13725 жыл бұрын
uko vizuri sana
@colmanlesulie2505 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri
@chipagafashion6 жыл бұрын
Upo smart sana
@jamesngundateresia26006 жыл бұрын
Huu ni mtihani mkubwa sana
@fredmatata86886 жыл бұрын
mhhhhh Bujumbura itakuwa ya 6
@turukimovie74936 жыл бұрын
Allahu Akbar
@mathayosimon9505 жыл бұрын
ngumi
@shanynyalusi15076 жыл бұрын
Nimepita
@rusiachamcham20456 жыл бұрын
what about Congo or RDC
@rogatusduma78226 жыл бұрын
Asnte sana kwa kutujuza mambo muhimu kama hayo appreciate xn. ,,,,thanks
@domarkprinting23505 жыл бұрын
Hahaha
@mosesnjenga27676 жыл бұрын
Dhaka Bangladesh haiko?
@erickkipenya58016 жыл бұрын
Hongera kaka kaz unaijua
@maryamoman16315 жыл бұрын
Haha wakiona tz wanaona ndio maskini kumbe wao ndio wakutupa sisi sio maskin tz lkn wanaidis mno tumewazid
@danielelwin17785 жыл бұрын
sitohama bongo kamwe
@allyderossi97425 жыл бұрын
kwa ujambazi.
@stylistofficial14056 жыл бұрын
Bora kuishi bongo
@singingtube19435 жыл бұрын
Bongo mavi matup
@jacksonsabore20565 жыл бұрын
STYLIST OFFICIAL .
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Sasa we ungesema tu ni Africa maana duniani kuna majitu yanateseka uko Asia bayaa
@joycekimuhu84266 жыл бұрын
Na ii swahili la wapi,, majiji kaka bratha ni miji
@joycekimuhu84266 жыл бұрын
Spesho Kabwanga ni miji 😂😂swahili la kikwetu labda la kwenu ni mijiji
@allyderossi97425 жыл бұрын
Spesho Kabwanga: kaka ss tunakuelewa vzr sana tena sana sasa kama yeye katoka kwao CONGO huko asitusumbuwe ww piga kazi tuuuu,, cjawahi kuona comments ktk habar zako zote kwamba kuna m2 hakifahamu vzr kiswahili chako,, labda katumwa lkn kwa moto wako baba hahaa hapo wamechemkaaaa.....
@breakingnews14466 жыл бұрын
NAOMBA NCHEKI NINA WAZO NDUGU WASTUP. 0764798514
@albanustemu73966 жыл бұрын
kwahiyo Dodoma imayazidi hayo yote kwa utajiri?
@boniphacephilipo17616 жыл бұрын
Dodoma haina matatizo yaliyokithiri ktk huduma za kijamii kama bsrabara, maji na umeme
@albanustemu73966 жыл бұрын
@Boniphace kwa huduma za kijamii hapo hujakosea
@francodesus95196 жыл бұрын
Dodoma siyo maskini kiasi hicho huduma za kijamii na miundombinu ni mubashara
@MartinaMsimbe-qk8ugАй бұрын
Dodoma je ? Bado sana .
@hamisimuhammad62252 жыл бұрын
Uongo mtupu toa andiko ktk bibilia au Qur'an Kama hayo ndy majiji masikin dunian nakama andko Hilo hakuna bac ww ni muhongo