LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA

  Рет қаралды 784,686

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

a

Пікірлер: 826
@suldanyareofficial6003
@suldanyareofficial6003 5 жыл бұрын
Walai i feel crying This are the right people God bless this man and Tanzania
@justkibet1125
@justkibet1125 4 жыл бұрын
Kenya hutawahi ona wakuu wa serikali wakijituma kwa watu. Hongera viongozi wa TZ
@mwanaafrika_tz
@mwanaafrika_tz 5 жыл бұрын
Magufuli Hajakosea kukuteuwa Mkuu Wa Mkoa, piga Kaz kwa Haki.
@antonykashube2065
@antonykashube2065 5 жыл бұрын
Hapiiiiii. God bless you man. Thanks Hon Magufuli for Hon Hapi.
@deejayrula2548
@deejayrula2548 5 жыл бұрын
i wish tupate viongozi watenda haki kama hawa kenya.
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Asante muheshimiwa , haki itendeke milion moja watu wauze nyumba
@muhsinsalum2305
@muhsinsalum2305 5 жыл бұрын
Wehu saana hao. Vipara vikubwa tu
@ericksebastian5159
@ericksebastian5159 4 жыл бұрын
Kwel
@vaniaruta
@vaniaruta 4 жыл бұрын
Magufuli with your team... keep it up ! I believe Julius Kambarage Nyerere in paradise is proud of you ! Touched I am a Rwandan.
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 4 жыл бұрын
Nilikua nimetegeya hii sehemu ya pili hongera bro safi kwetu kenya unyanyasaji tele haswa wajane,mackini i salute u Bro Big up from saudi Arabia
@kirwaisa8772
@kirwaisa8772 5 жыл бұрын
Kazi nzuri mkuu wa Mkoa.i wish Kenyans should emulate such kind of leadership
@barackabaracka7854
@barackabaracka7854 5 жыл бұрын
Kama umeangali hii video ukajikuta unalia kwa furaha gonga like hapa
@elizabethjames292
@elizabethjames292 5 жыл бұрын
huyu mkuu wa mkoa atumikie miaka yote hadi uzeeheni nimempenda bure
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 5 жыл бұрын
Nimefrahi yaaan daaaaaaaa
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 жыл бұрын
Yaan wey ach tu nmelia kw furah n Hurum pia😀😁😢
@emyshaibu8089
@emyshaibu8089 5 жыл бұрын
Hapiii mwa mwa nakupenda bure
@mackinabdalla8417
@mackinabdalla8417 5 жыл бұрын
dogo umekwiva sasa nakufahamu toka unasoma st thomas pale gongolamboto ukonga safi sana kijana
@lukanadric4491
@lukanadric4491 5 жыл бұрын
gonga like kama unaamini mwanasheria ana GPA ya 0.
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Mwanasheria wa hovyo kabisa .
@issahketon4719
@issahketon4719 5 жыл бұрын
Baba Mimi Niko Nairobi, pongezi kwa kazi nzuri. Pia huku watufaa
@kietiaziz725
@kietiaziz725 4 жыл бұрын
AAm from kenya and am very happy to see this kind of leadership
@khamisshariff6600
@khamisshariff6600 5 жыл бұрын
muheshimiwa rais kiongozi kama huyu anatufaa nampa pokezi sana RC
@nurureuben6512
@nurureuben6512 5 жыл бұрын
Kabisa
@medarddotto59
@medarddotto59 5 жыл бұрын
Asante baba tenda haki mungu atakulipa
@Amani715
@Amani715 5 жыл бұрын
Another King Solomon of our day. God may you give him more wisdom
@allymahmoud9951
@allymahmoud9951 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa hongera sana,tungekupata kama WW Zanzibar tungejivunia sana M,mungu akupe afya njema kwa kazi yako nzr
@mathayoayubu8635
@mathayoayubu8635 5 жыл бұрын
Shikamoo mkuu wa Mkoa umefanya kitu chema saana
@johanesjofrey2105
@johanesjofrey2105 5 жыл бұрын
Hawa ndio biongozi tunao wahitaji, wachapakazi. Safi sana Ally,
@wendelipwera7582
@wendelipwera7582 5 жыл бұрын
Asante Kaka Ally Mkoa wangu 💪💪💪💪👌 NMB IRINGA #KAMWENE#
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 5 жыл бұрын
Kama umemuhurumia hugo meneja wa nmb nipe like hapa
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 5 ай бұрын
Mi nimemuhurumia sana
@user-jh7io9hd4q
@user-jh7io9hd4q 5 ай бұрын
I like this like of leadership of TZ.ALLAH BLESS TZ LEADERS
@collooloo1074
@collooloo1074 5 жыл бұрын
We need some brilliant people like this in kenya
@josphatmbegera1680
@josphatmbegera1680 4 жыл бұрын
I wish TZ was Kenya from this man to president they are doing a good job
@cypmkutubi3109
@cypmkutubi3109 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Akupe cheo zaidi ili uwatetee wanyonge na waja wake kwa ujumla
@boniphaceambwene7568
@boniphaceambwene7568 5 жыл бұрын
inatakiwa pongez
@mwamvuajumanne6090
@mwamvuajumanne6090 5 жыл бұрын
yes hii ndo nchi yangu nnliyoichagua
@stevek8318
@stevek8318 5 жыл бұрын
Uliichagua vipi nchi hii? Labda wewe uwe umehamia tanzania basi umeichagua lakini kama wewe mzaliwa hukua na choice
@samwelimwinyi9267
@samwelimwinyi9267 5 жыл бұрын
Maandishi hayadanganyi! Respect u RC. HAPI
@saimonmwansile6101
@saimonmwansile6101 5 жыл бұрын
Big up mkuu ! Hongera pia kwa JPM kwa kumwona Huyu bwana mdogo huyu !
@edithdickson3090
@edithdickson3090 5 жыл бұрын
Nikiwa namuangali Mh, Hapi Akiwa anatekeleza majukumu yake ya kuwasaidia wanyonge nahisi niko paradiso yaani, Hongera sana M/ mungu akupe maisha marefu tuendelee kunufaika na kipawa alichokujaria M/ mungu.
@davidpaulmungai5131
@davidpaulmungai5131 2 жыл бұрын
Hongera nchi yangu Tanzania,hakika unanukia vzuri.Hongera sana! sana!! Kiongozi,Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu na yawe mema siku zote na akuinue na kukuweka mahali pa wafalme
@malikamanara4076
@malikamanara4076 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ndio mjuzi wa malipo kwako kwautendaji wako wa kazi mzuri na utetezi wako wa hali na mali kwa wanyonge. Mungu akulipe pepo Allahumma Amiin.zaidi ya hili sijaona la kukuombea.
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 4 жыл бұрын
Kusema kweli Mh ALI HAPI uko vizuri sana kikazi zaidi kaka big up na wewe ni mfano wa kuigwa,kwa maana hiyo MH MAGUFULI hujakosea kabisa kumteua huyu kijana hongera sana mkuu
@zuhraali8569
@zuhraali8569 5 жыл бұрын
Am in love with mkuu wa mkoa! 😍😁🤗 congratulations to this man on how he handled this whole case!
@zainabuahmed5910
@zainabuahmed5910 5 жыл бұрын
Allah akujaalie mkuu. Hizi Bank majanga,wanauza kwa ku deal na brokers na kuna list ya vibopa maarufu kwa kutengeneza deal za kuuza na kuuzia watu maalum ambao na wao huuza. Nasubiria Makonda afuate mkondo nikalitibue na mie.
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
Zainabu Ahmed mim nilikopa finca nikajitahidi kulipa ikabaki shilling lakin na nusu eneo langu la biashara likawa limebomolewa nikawaita finca wakaona nikaenda kwa menega kumuomba wasiniongezee riba niweze lipa lile deni wanipe miez miwi uwiiiiii nilipigwa riba ambayo nilihisi kuchanganyikiwa deni la 150,000 likazaa milion moja hapohapo wakataka kuja kupiga mnada vitu vyangu wakati haviko kwenye zamana
@zainabuahmed5910
@zainabuahmed5910 5 жыл бұрын
@@janesuma2193 Hizi taasisi zinwapigaji kibao nyuma ya Pazia Ktk Bank ambazo ni Rafiki basi Amana Bank. Ukikwama wanakupa njia na sio kukomoa. Hii kazi ya issues za Bank mkuu huyu awe mfano kwenu BOT mliolala, Raisi kawatembelea BOT ila nyie hamtaki kutembelea wananchi wakawapa majanga ya hizi taasisi za fedha,tunajua mna yenu nyuma ya pazia ila kwa Mungu hakuna kubwa
@missmoresa8854
@missmoresa8854 5 жыл бұрын
mungu yupo jamani
@kingimmanuely1007
@kingimmanuely1007 5 жыл бұрын
Zai Nitumie Namba Yako Nitakuchek Hawa Washenz Sana Hata Wanaofanya Valuation Hua Wakiiiba Nakueka Bei Fake Bot Wanawasave Sana
@cjrtz
@cjrtz 3 жыл бұрын
Zey ukalitibue
@johnmkunde873
@johnmkunde873 5 жыл бұрын
Kama uwongozi ndio huu basi kweli nimeamini kwann mflame suleiman aliomba hekima na busara katika kuamuwa aamuzi yake
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 5 жыл бұрын
Eti sipaswi kuwepo eti mwana sheria huyooooo
@user-ft4tq4ug4c
@user-ft4tq4ug4c 2 ай бұрын
Ongera sana Allya Ape kwa ma'mzi mazuri uliyo yafanya ivi-ndivo viongozi wanapaswa kufanya juu ya Aki ya mwananchi binadamu Acheni zuruma fanyeni uwadirifu katika kazi zenu
@stephanomchenya6344
@stephanomchenya6344 5 жыл бұрын
Tanzania tulifikia pambaya sana asante mangufuli asante mkuu wa mkoa
@elizabethsimemba5146
@elizabethsimemba5146 5 жыл бұрын
Stephano Mchenya 5
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Sana.yena ilioza tanzania
@ramadhanyusuph9269
@ramadhanyusuph9269 4 жыл бұрын
@@hashmumwamedi296 mvbh ycnj
@thobiasbolen2496
@thobiasbolen2496 5 жыл бұрын
I wish they were granted the greatness power. My God help them
@edwinwafula3258
@edwinwafula3258 Жыл бұрын
usione wembam na wa reli gari Moshi hupita,mkuu wa mkoo mdogo kimwili lakini amekomaa kiakili,ungekuwa Kenya bwana mdogo tungepata nafuu baba,Kenya wezi ajabu.congrats men
@imallya6513
@imallya6513 5 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania, mungu wabariki viongoz wote na raisi magufuli...
@munirdatisha684
@munirdatisha684 4 жыл бұрын
Wee noma rc m mungu akuzidishie kuwasaidia wananchi nakupenda sn na kukubali
@kajjd40
@kajjd40 5 жыл бұрын
Nakukubali sana mkuu wangu wazaman Wa kinondoni kazi kazi Ali hapi 💪👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@stephenkasigara7070
@stephenkasigara7070 5 жыл бұрын
Safi sana Mh.Hapi.
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 4 жыл бұрын
Asante mkuu wa mkoa unafwata nyendo za magufuli big up xana mungu awe nawe wanyooshe Hao mabwege
@bahatifrank4869
@bahatifrank4869 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, tunatamani na sehemu zingine haki itendeke hivyo
@waitbird6549
@waitbird6549 5 жыл бұрын
BAHATI FRANK z Bof
@uledihassan6065
@uledihassan6065 5 жыл бұрын
Ni vigumu kuongea fact mbele ya mtawala anaetafuta kiki
@riz00rajebo82
@riz00rajebo82 5 жыл бұрын
Muheshimiwa ningekupata mm huwe mume wangu ingependeza +254
@nuraakram1025
@nuraakram1025 Ай бұрын
Kazi safi watching from kenya
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 жыл бұрын
Kwa hili baba wallah hata mungu yupo pamoja na wewe na inshallah atakulindaa...watu wananenepa na kungaa kwa fedha za wenzao tena maskinii...Allah akulindee...
@oliviakemuto1412
@oliviakemuto1412 5 жыл бұрын
Mimi naona nikihama kenya niende kuishi Tanzania kuzuri bhana
@luluamri370
@luluamri370 5 жыл бұрын
Karibu 🤣🤣🤣
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 жыл бұрын
Sana nakuna amanii telee
@dismasdonald745
@dismasdonald745 5 жыл бұрын
Ilitakiwa na Mwanza tupate mkuu wa mkoa kama huyu!!! Dah! Namuelewa sana Hapi! Fantastic
@charlesmwango2736
@charlesmwango2736 5 жыл бұрын
Congrats mkuu wa mkoa... From 254
@kacharimwangi537
@kacharimwangi537 3 жыл бұрын
Big salute from 🇰🇪 Rc hapi
@user-fj9it6mq4u
@user-fj9it6mq4u 5 жыл бұрын
Eeh mungu shusa viongozi wa haina hii kenya watu wanyambishwe kwelikweli
@kacheali4777
@kacheali4777 5 жыл бұрын
Hak ya Mungu sijui n nani atakomboa wanyonge Kenya Mungu sikia kilio chetu..ndio maana sipend mambo ya mikopo heri nijenge miaka kumi..mawakili n wafanyikaz wa benk waiz kaa nn.
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
سالم السعدي atawapa tu wakati ukifika ila ni wakati wa Africa kubadilika wananchi wanaumizwa sana karibu kwetu Tanzania ndugu yetu Jiran yetu
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 жыл бұрын
Hongera tunataka viongozi kama. Hawa wanaowajibika na haki za wanyonge
@abelasmerom4832
@abelasmerom4832 2 жыл бұрын
God bless your hard work mweshimiwa your doing a remarkable job
@WilliamChristopher-dq2vn
@WilliamChristopher-dq2vn 4 ай бұрын
hongera sana mkuu wa mkoa kweli RAISI WETU anao watu wazuri mungu ambariki sana nawewe pia mkuu wamkoa ubarikiwe sana
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
ALLY HAP WEWE NI AINA YA WAKUU WA MIKOA WANAOFIT KATIKA AWAMU YA JPM. HONGERA DOGO
@buddycharles5045
@buddycharles5045 5 жыл бұрын
wish this was in kenya,one day we will be auctioned
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 2 жыл бұрын
nyonge mnyongeni haki yake mpeni Ali happy alifanya kazi nzuri saiv watu hawayaoni
@franceslenis4512
@franceslenis4512 5 жыл бұрын
This government is the best if it would be in Europe or america the world could appreciate I wish Tanzanians and Africans become the fans to this gvnt and learn something
@stephenwakuloba7086
@stephenwakuloba7086 4 жыл бұрын
Wow, what a leadership!!!
@secylovenessadaa4245
@secylovenessadaa4245 4 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa ,I'm watching from Nairobi Kenya
@voicejoachim1370
@voicejoachim1370 5 жыл бұрын
Nimekubali brother kuheshimiwa:)🤗🤗🤗🤗
@bernardkibet
@bernardkibet 4 жыл бұрын
Kenya desperately needs such leaders. Hongera Jirani yetu Tanzania
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 5 жыл бұрын
Hongera Magufuri Rais wangu mpendwa!
@safari5774
@safari5774 Жыл бұрын
Napenda sana uongozi wako God bless you so much we need such leader in Kenya
@allyabeid4188
@allyabeid4188 5 жыл бұрын
Baba nakupenda natamani nikuone ata sura tu mungu akupe maisha marefu
@ahmedali1552
@ahmedali1552 4 жыл бұрын
Daaaah...uncle maguu kwenye awamu yake amechaguwa watu makinii kwelii...naomba zanzibar tupate viongozi kam hawaaa😥
@MohammedAli-up6cu
@MohammedAli-up6cu 4 жыл бұрын
Kwamuda mrefu sana wanyonge wamekua wakidhulumiwa,na hawakupata wakumlilia,,,hongera mhe,RC kwakufichua uovu huu,,,naomba uzidi kufuatilia,Kuna maouvu makubwa kuliko hayo.
@jumbelbrownman1295
@jumbelbrownman1295 5 жыл бұрын
Congrats Pal commandante Ally Salum Hapi!
@modestmassawe9940
@modestmassawe9940 5 жыл бұрын
Safi sana kiongoz anapaswa kuwa wa watu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Hongera Muheshimiwa Kwa Kazi nzuri,Hawa ndio Wanyanyasaji,Mwanasheria hajielewi,Meneja Hajitambui.
@mariamabdull4134
@mariamabdull4134 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie afyanjema mh. Ally Hapy
@Mohamedali-gr2ex
@Mohamedali-gr2ex 5 жыл бұрын
Asante kaka umefaya zizuri Nigependa kukuja Tanzania
@dennismalima5365
@dennismalima5365 4 жыл бұрын
Yunusi umeuaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Mwanasheria mafi ya mende shule hakuna... Hapi akili kubwa sanaa
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 5 жыл бұрын
THANK YOU GOD!
@martinamarugu44
@martinamarugu44 3 ай бұрын
Sijawahi fatilia habari zako. Nimekupenda Bure be blessed
@godfreymhochi6206
@godfreymhochi6206 5 жыл бұрын
safi sana mkuu wa mkoa mungu akupe maisha marefu
@user-we3or9ol4o
@user-we3or9ol4o 5 ай бұрын
HAAPIIIIIIIIIIII💯👍👍👍👍👍👍,MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@jamesassanga9220
@jamesassanga9220 Жыл бұрын
Kwa kweli hii nimeupenda, I wish to be like this man in leadership
@omarcpt1178
@omarcpt1178 3 ай бұрын
Mungu akujalie kwakuwasaidi wanyonge
@nahashaban5610
@nahashaban5610 5 жыл бұрын
Kweli naikubali serikali yangu Kwa kazi wanayoifanya ya kutete wanyonge na kuitimiza sheria ipasavyo.Hongera mheshimiwa
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Huyu mkuu kamzidi hata wa dar sasa kwa kazi daa nimempenda kweli kweli
@emelianashauri8350
@emelianashauri8350 5 жыл бұрын
chris massawe dih
@annetiadyeri5638
@annetiadyeri5638 3 ай бұрын
Makofuli Aliacha watoto mungu ababariki tunafurahi kwakazi zenu❤❤❤
@clemencesekabigwa5895
@clemencesekabigwa5895 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akubaliki sana umesimamia haki hicho ndicho kinachotakiwa kazi njema bro.
@alpheondanzi2544
@alpheondanzi2544 4 жыл бұрын
Mhe:Mkuu wa mkoa Wa iringa Ally Happy Iringa tumepata Neema Sana tunajivunia tunu yetu Karibu tena #mafingaTz
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu ningekuw karib nmekupig bisu😁 nic job muheshimiw mung akupe nguvu na afya njema 😍😘😘 wameshajinyea hapo maskin
@nancymuseve514
@nancymuseve514 4 жыл бұрын
Tanzanian government is doing good work..well done
@aishaaisha2224
@aishaaisha2224 5 ай бұрын
Asante muheshima watu wanadhurumia sana yani Milion moja mtu anapiga mnada nyumba watanzania tunaumia sana
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 2 жыл бұрын
Hapi Iringa ubaki mpaka kustaafu kwako usiondoke wewe ni Mwanairinga mwenzetu maana unaonyesha uzalendo wa kweli kweli. Asante sana.
@kandidosamwel3030
@kandidosamwel3030 5 жыл бұрын
Mungu wape nini wakazi wa iringa RC mnayo hapo mwenye speed ya JPM yani kama JPM kimaàmuzi ya papo hapo likê hapa kama nawe umemkubali RC
@emanueluledi5616
@emanueluledi5616 4 жыл бұрын
Viongozi kama awa ni muhimu sana ktk Tanzania yetu ahsante mkuu wa mkoa
@user-lo8xd8nc7w
@user-lo8xd8nc7w 5 ай бұрын
Kwa hali hii naachaje kuipigia ccm kura 2025 mama samia hoyee❤❤❤❤
@biashaallyally3701
@biashaallyally3701 4 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa gani jaman mmm nimempenda sana kweli magu kafanya kazi zur sana kukuweka shikamoooo popote ulipo
@user-vt4je9eb5r
@user-vt4je9eb5r 5 ай бұрын
Hongera kiongozi mafisadi Hao wako hadi kilimanjaro same tusadieni
@fundikimweri
@fundikimweri 5 жыл бұрын
Nimekubali kazi yko mkuu allah akuongoze
@irenejoseph6684
@irenejoseph6684 4 жыл бұрын
Nimekukumbali baba wewe ndo kiongozi bora maguful tunashukuru mngu kupat kiongoz bora 😍💪💪💪💪💪💪
@abdilahibg8794
@abdilahibg8794 2 жыл бұрын
I came across this clip in 2021 August..I can authotorively say this RC is Late Magafuli reincarnated.kumbe Tanzania hajaishiwa na magafuli?! Kudos from Kenya
@hemedwow8802
@hemedwow8802 5 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa,kwa kumtetea huyo mtu aliedhulumiwa nyumba yake...
@GetrudeNaomi-wx1zd
@GetrudeNaomi-wx1zd Ай бұрын
safi sana bos nimeikubali hiyo RC
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 жыл бұрын
Nampenda huyu DC mpk bas Mungu ampe umri mrefu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@giffttymlemwa4523
@giffttymlemwa4523 2 ай бұрын
God bless you sir.
@user-ve6no6zp8e
@user-ve6no6zp8e 5 ай бұрын
Viongozi kama hawa ndio wanaohitajika mungu akulinde sana
@agesag.m2476
@agesag.m2476 4 жыл бұрын
Such a wonderful and a resourceful RC,,Good work brother.
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
22:48
Global TV Online
Рет қаралды 726 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 12 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,9 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
Usiku wa Kuamkia Leo RC Hapi amuweka Ndani Diwani CHADEMA, KISA?
25:35
LIVE KUTOKA IRINGA: RC HAPI AKISIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE
1:20:04
Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
53:22
Global TV Online
Рет қаралды 81 М.
MrBeast Встретился С Сигмой😳 #shorts
0:48
a_ve_znali
Рет қаралды 3,8 МЛН
ВОДА В СОЛО
0:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 26 МЛН
Опасный Водяной Мешок! 🤯
0:27
ШОК
Рет қаралды 3,6 МЛН