KASHESHE IRINGA: KIENDACHO KWA MGANGA HAKIRUDI ILA IRINGA KINARUDI

  Рет қаралды 205,900

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 172
@elizabethlujabiko8994
@elizabethlujabiko8994 5 жыл бұрын
Asante Mh mkuu wa mkoa tena wamezowea kweli hao wauza nyumba. Hasa wamezowea kudhulumu nyumba za wajane mikoa yote hata Dar es salaam wamezidi. Mh Makonda pia tusaidie maana hata tukitaka kuja kukuona kwa mambo kama hayo hapo ofisini kwako kuna kukiritimba mkubwa haturuhusiwi kabisa.
@franciskarangwa6554
@franciskarangwa6554 3 ай бұрын
I honestly like this young man >> may God bless him abundantly!!
@exaverymponguliana40
@exaverymponguliana40 5 жыл бұрын
Daaa,yani hapi sijui ukiwa raisi itakuaje,uko vizuri
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 4 жыл бұрын
Yupo vizuri Sana kweli mchapa kazi
@aminaamina5186
@aminaamina5186 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu mkuu wa mkoa kwa usimamizi mzuri
@albertchubwa2546
@albertchubwa2546 5 жыл бұрын
Hongera sana Ally Hapi kazi nzuri
@mazuriedward4500
@mazuriedward4500 5 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa, eti mtu anasema anatumia bausa km jeshi lake kwenda kubomoa nyumba?? Hii haikubaliki kabisa.
@rizikikigala6930
@rizikikigala6930 5 жыл бұрын
Nilikuelewa kwa uelewa wako na iringa uwa atupendan kama mikoa mingine inayopenda maendeleo,sio majungu kama in atom in a finish a kwa mh mkuu was mkoa tunaempenda wanairingà
@alistachiusalistidesmwemez1930
@alistachiusalistidesmwemez1930 5 жыл бұрын
Good Rc Iringa mmebarikiwa mchapakazi Ally Hapi good work brother
@ibadimohamed6435
@ibadimohamed6435 10 ай бұрын
Natoa pongezi kwa Serikali ya Hawamu ya sita kwa kazi nzur
@hamzamussa2930
@hamzamussa2930 5 жыл бұрын
Hongera Sana mkuu mi niliumia ulivyotolewa Daresalama lakini kazi zako tunazikubali
@HappynessJose
@HappynessJose 2 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa na kufatiria sana nipo🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@omarinjiwa3945
@omarinjiwa3945 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa Wa Iringa kwa kweli unawatendea haki wananchi mungu akulinde kwa kila baya inshaallah
@alicedusabe3988
@alicedusabe3988 5 жыл бұрын
Hahhh kama mkuuwamkoa katumwa na mungu❤️❤️❤️
@aishaaisha4082
@aishaaisha4082 Жыл бұрын
This mkuu wa mkoa is very kind. God bless you.
@Blessedhopefamily
@Blessedhopefamily 5 жыл бұрын
kial jambo likiamuriwa kwa busara huacha amani kwa kila mtu. utawala bora ni kitu cha muhimu sana katika maisha ya uongozi na utumishi
@jeffreymalingula1489
@jeffreymalingula1489 5 жыл бұрын
Hapi big up ni mpambanaji wa haki za wanyonge
@deomsigwa3150
@deomsigwa3150 5 жыл бұрын
awa mjembe walizoea sana kaka vibanda vyetu vingiwameuza
@husseinibrahim6778
@husseinibrahim6778 4 жыл бұрын
Mimi naitwa Hussein mawaya ni mkenya lakini Tanzania kwa wake zangu?kilicho nifurahisha tanazani viongozi wanakuja kwa raiya na kuliza kero ni ipi?mna kero gani?inchi yoyote iko uadhilifu wako na maendeleo?leo Tanzania wanamaendeleo kila kukikucha ndege mpya bara mpya stima vijijini maji mitani na kadhalika wacha niwapongeze watanzani MUNGU awabariki muko na viongozi wanaogopa MUNGU?leo Kenya kama hauna rikodi ya ujambazi basi huwi kiongozi?tanazani oh oh
@jamalsalimalmahry6878
@jamalsalimalmahry6878 5 жыл бұрын
Mashaallah makuu wa mkoa iringa🤲🤲🤲🤲👍
@husseinsalimmaula4254
@husseinsalimmaula4254 4 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu ally wanaokuekea vikwazo wasomee Surat nas
@hollojuma9538
@hollojuma9538 2 жыл бұрын
Nakukubali mkuu wa mkoa ilinga njoo namwanza
@amersaidoon7379
@amersaidoon7379 5 жыл бұрын
Huyu rc simba pls mh rais mprleke mikoa ya arusha au mwanza ambako kero za wananchi ni nyingi mungu ibariki tanzania
@aishaail4455
@aishaail4455 5 жыл бұрын
Mh/hongera umewagundua ,nyumba nyingi sana zimeuzwa na hao watu wengi wamedhurumiwa hata yetu wameuza ipo dar pande za chanika,tena hata tarehe yakumaliza deni haijafika kisa kuchelewesha rejesho, yani hao matapeli.
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 5 жыл бұрын
Aisha Ail maskini poleni,sema hamkuwa na mtu wa kuwatetea,lkn mngepata mtu km Ally hapi nyumba inerudi mbona.Hapa Iringa nyumba zilizopigwa mnada zimerudishwa kwa wenye nazo
@riz00rajebo82
@riz00rajebo82 5 жыл бұрын
Sadkta maskeen mbona sjazaliwa tz
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 5 жыл бұрын
Safi saaaaan mkuu
@luhajufilmstanzania
@luhajufilmstanzania 4 жыл бұрын
Safi sana. Mheshimiwa
@joelnaja9935
@joelnaja9935 5 жыл бұрын
Nimependa utendaji wako mh mkuu wa mko, chukua 5 zako
@stahimilmassawe8540
@stahimilmassawe8540 5 жыл бұрын
Mungu akutunze kiongoz,
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 жыл бұрын
Mashaallah.iringa.tumepata kiongozi
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 жыл бұрын
@@rehemaibrahim8475 nikweli kabisaa mungu ampe afya njemaa daiman. Mafisadi wote.waumbuke
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Nchi ilikuwa haina nuelekeo.mijitu kama hiihaitaki kufanya kazi kazikula vya dhuluma tu
@pinielpamojasanaelias7621
@pinielpamojasanaelias7621 4 жыл бұрын
Namkubali sana huyo mkuu wa mkoa mungu amlinde na kumuongoza
@rajabungereza8755
@rajabungereza8755 5 жыл бұрын
Unacho kifanya mkuu wa mkoa mungu atakusaidia kwan ni mfano wa kuigwa tunaonelewa san
@queenhusna204
@queenhusna204 4 жыл бұрын
Akitoka MH JONNY POMBE MAGUFUL kwenye uongozi mwaka 2025 ataingia uyuu
@hendrickchagoha6922
@hendrickchagoha6922 4 жыл бұрын
Huyu jamaa namjua vizuri hapa dar nae alinitapeli huyo Riziki nashangaa anasema anasimamia majembe Iringa duu
@cythiaalfred279
@cythiaalfred279 4 жыл бұрын
wapi mkuu
@richardrichard1112
@richardrichard1112 5 жыл бұрын
Mimi nimkazi wadodoma ila ata mkuu wangu wamkoa simjui ata kwajina coz hana maajabu yyte
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Mzee amenywea hasa,Chapa Kazi Muheshimiwa Okoa Wanyonge.
@dinahnyagosaima1259
@dinahnyagosaima1259 3 жыл бұрын
Iko cku utakuwa Rais Mungu akusimamie
@kajaymopao1672
@kajaymopao1672 5 жыл бұрын
Hawa ndio viongozi wa ukweli sio kama kenya wote waizi watupu
@mariamustapha1677
@mariamustapha1677 5 жыл бұрын
Mungu akulinde DC Hapi
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 4 жыл бұрын
RC uko vizuri sana wote wange kua kama wewe tungekua mbali
@davidmkeya6326
@davidmkeya6326 5 жыл бұрын
So nice mkuuu;
@mwanajuma2666
@mwanajuma2666 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa....
@shakiramshule342
@shakiramshule342 2 жыл бұрын
Mungu ukuongezee umri mlefu
@suzanmgaya4323
@suzanmgaya4323 5 жыл бұрын
Mungu akubariki mkuu
@salustianhhado7419
@salustianhhado7419 4 жыл бұрын
Huyu Hapi ni zile mbegu bora za uzao wa Wazalendo halisi tunaowataka. Hadi raha.
@j_gh812
@j_gh812 5 жыл бұрын
Katika siku nimekukubali mweshimiwa hapi na kukuona akili zimetulia ni hapa tukio la majembe....wamedhulumiwa wanyonge wengi sana na ikiwa italisimamia kwa dhati kama ulivoahidi basi na mungu pia atakubariki......
@zaidishabani5745
@zaidishabani5745 5 жыл бұрын
Safiii mkuu
@amerarolseid7811
@amerarolseid7811 5 жыл бұрын
Jamn kuwa mkuu WA morogor nakupenda
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Hivi kwanini rais asiweke wakuu wa mikoa ambao wanafanana kikazi km ally happy wa iringa yaani happy angefaa kugawanya mara mikoa yote tanzania rais magu ungemgawanya mkuu wa mkoa iringa
@martinmargwe68
@martinmargwe68 5 жыл бұрын
Dar kama mikoa mingine wangefanya kama huyu mheshimiwa nchi isinge kuwa masikini tungeendelelea haraka
@luganolusekelokajigili9343
@luganolusekelokajigili9343 5 жыл бұрын
We ni hatal Sijui kama Dada Joketi Anaweza kutenda kama ww unavyo tenda iringa huko
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 5 жыл бұрын
Kwan mikoa mingine c muige kutoka kwa ally hapy jmn mkuu wetu paul makonda na ss tunamatatizo yetu sema hampiti kutembelea majimbo
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Fanya kazi KIJANA
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 5 жыл бұрын
Safi sana
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 5 жыл бұрын
Mim na mim Hapy utakuwa Rais wa Tz
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
Icho kichwa cha habari mie huku kicheko😃😃😃😃
@leokadiajuma1272
@leokadiajuma1272 4 жыл бұрын
Daaah noma
@alikhamis9566
@alikhamis9566 4 жыл бұрын
Cr mungu akubariki
@aleyslaim4935
@aleyslaim4935 5 жыл бұрын
ET Baunsa yani wizi
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 жыл бұрын
Hakufanya makosa mheshimiwa Rais kukuweka mkuu wa mkoa unatetea wake wznyinge wanaostahiki kutetewa tunakuunga mno kwa hiko
@ayubujackson5782
@ayubujackson5782 5 жыл бұрын
unafaa kuwa Rais
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 4 жыл бұрын
Tunakuwaga na mabaunsa yetuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-vh3yh2ec8r
@user-vh3yh2ec8r 9 ай бұрын
Yn nyinyi ndo mtakao iongoza nchi iliyooza😊
@gracemwanjabala8073
@gracemwanjabala8073 5 жыл бұрын
jamniii plz naombeniiii no ya hapii mwenyeee no yake tafadhariii
@allykiwembo9553
@allykiwembo9553 5 жыл бұрын
Ally hap miaka yte ulikua wap kuja kutukomboa wana irnga
@jacksonshosi5246
@jacksonshosi5246 5 жыл бұрын
Da!kuna wengine WAP huku mabaunsa
@joycemndeme1647
@joycemndeme1647 5 жыл бұрын
Duuuu safiii
@Crownvalz
@Crownvalz 5 жыл бұрын
Huyu jamaa aje Dar kwa kweli...
@mishibakarikanwa3055
@mishibakarikanwa3055 4 жыл бұрын
Mm ni mkenya lkn napenda kazi yako mwishimiwa
@salimabeid4170
@salimabeid4170 4 жыл бұрын
HUYU NDIYO MKUU WA MKOWA WA IRINGA NI KIONGOZI WA KWELI
@amirilupembe2164
@amirilupembe2164 2 жыл бұрын
Gombea ulais mheshimiea nipo dar mabibo tunakuelewa sana
@zainabalothman5347
@zainabalothman5347 4 жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa Iringa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.. Maghufuli asante kwa zawadi ulotupatia wana Iringa. Ally Happy kiboko ya wakorofi Iringa. Safisha serikali, chama na mkoa wetu mwanakwetu Allyhapi. Unatukosha nyoyo sana wapenda haki na maendeleo Iringa. Mungu abariki uzao wako kaka!
@annaluvanda1168
@annaluvanda1168 5 жыл бұрын
oyeeeeeerreeeeeeeè Ally happy
@sharifachacha978
@sharifachacha978 5 жыл бұрын
mijizi hiyoooo sukuma ndanii
@zainaramadhan7769
@zainaramadhan7769 4 жыл бұрын
miladi ayo daima wakuwachee
@shijemakenzi2047
@shijemakenzi2047 2 жыл бұрын
Wakuu wengine wa mikoa jifunzeni kwa hapi na makonda wananchi wanadhulumiwa sana na wahuni wachache tu
@wahabmkazi7902
@wahabmkazi7902 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa ameeleza wazi, hakuna ruhusa ya kupiga mnada mali ya mtu bila serikali kwa kupitia mkuu wa wilaya kujiridhisha. Tatizo liko wapi hapa? Mheshimiwa yuko sawa piga kazi mh Hapi
@benjaminhonga6771
@benjaminhonga6771 5 жыл бұрын
Mh tusaidie tanesco wanazingu iringa wanataka rushwa kutubadilishia umeme tarifu ziro mh tusaisieeee
@adinanitandalah7178
@adinanitandalah7178 5 жыл бұрын
mkuu njoo uongoze huku kwetu kondoa kuna matatizo
@alfredkillo6080
@alfredkillo6080 5 жыл бұрын
chapa vbao hilo senge tapel yaan zee zma tapel
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 жыл бұрын
ata mz majembe alitapeli
@robertadolf7831
@robertadolf7831 5 жыл бұрын
Mabaunsa bhanaaa.....Hapi oyeeee
@stephankomba2313
@stephankomba2313 4 жыл бұрын
Robert Adolf
@rajabungereza8755
@rajabungereza8755 5 жыл бұрын
Hata huku kilindi wapo wanamna hiyo
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 жыл бұрын
Mulika sana hao
@zawadally9097
@zawadally9097 5 жыл бұрын
Shukraan mheshimiwa
@gm7045
@gm7045 5 жыл бұрын
😂😂😂😂 Hata bei zipande sihami Tanzania.. Well done Mheshimiwa Mkuu wa mkoa👏👏👏👏
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 4 жыл бұрын
Sasa mkuu anamkumbuka tangu kinondoni hapa sasa wewe ni komputa au unatumia akili tu
@designdesign4426
@designdesign4426 5 жыл бұрын
Elayauganga nyumba inauzwa Tumbo kama pakacha
@rizikikigala6930
@rizikikigala6930 5 жыл бұрын
Nakuelewa kuliko ulivyonikashifu mtandaon,we mnafiki wote tunampenda mkuu wamkowa anania nzuri na ir
@adamsimba1849
@adamsimba1849 2 жыл бұрын
jamani wenzetu kandaiyo wamepata magufuli part 2
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 5 жыл бұрын
Wataelewa tu!
@USD_Neo
@USD_Neo 5 жыл бұрын
huyo jamaa wa nyuma ya rc kushoto namuonaga kwenye Hollywood movies 😂
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 5 жыл бұрын
Apana tunakuwa nama baunsa,,aaah
@fredymwalongo1652
@fredymwalongo1652 5 жыл бұрын
patam san hapo
@jumamgema3356
@jumamgema3356 5 жыл бұрын
Kaka uwa unawachanganya mpaka wanapotea
@benitoboy5330
@benitoboy5330 5 жыл бұрын
Iringatumepata kidumee huwez amin njoonailula mheshimiwa kunauozo wakutosha
@aleyslaim4935
@aleyslaim4935 5 жыл бұрын
Hao wezi
@imakulatasumaye6818
@imakulatasumaye6818 5 жыл бұрын
Yaan huyu kaka ni zaidi ya rais
@leonardemmanuel9249
@leonardemmanuel9249 5 жыл бұрын
For me i can say he is supposed to be target president
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 4 жыл бұрын
Nikwel hawa waganga ndio njia yao mm nakusapot kwa hlo
@rubenmbise1423
@rubenmbise1423 5 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa anatakiwa azungushwe mikoa yote
@winfridashango6481
@winfridashango6481 4 жыл бұрын
Hahahahahaha
@ifruitx2096
@ifruitx2096 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 huyu mzee misharubu yake kama ndevu za panya anasema wana mabaunsa 😂😂
@titomachite920
@titomachite920 4 жыл бұрын
Kiukwer 2na ji funza Sana kupitia kwa huyu mkuu wa Mkoa
@amerarolseid7811
@amerarolseid7811 5 жыл бұрын
Apa kzi tu
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 жыл бұрын
Njoo mbeya mkuu
@antonykashube2065
@antonykashube2065 5 жыл бұрын
Serikali ya wananchi.
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 3 жыл бұрын
Wezi hao piga ndani
@mcmpomaonlinetv3483
@mcmpomaonlinetv3483 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂majembee
LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA
9:47
Millard Ayo
Рет қаралды 785 М.
MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''
11:10
Millard Ayo
Рет қаралды 139 М.
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 6 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 67 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 18 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 31 МЛН
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
22:48
Global TV Online
Рет қаралды 727 М.
Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi
10:39
Millard Ayo
Рет қаралды 193 М.
MENGI KIBARABARA AZUA NOMA IRINGA/ MWANAMKE ANA WANAUME WATATU
12:29
RC HAPI KANYANYUA MIKONO JUU ''MAMA AOMBA ASAFISHWE HADHARANI''
8:02
BREAKING NEWS: RC HAPI AGEUKA MBOGO, AMSWEKA RUMANDE MZUNGU
2:52
TIMESOBSERVER DIGITAL
Рет қаралды 207 М.
BIBI AIBIWA LAKI TATU NA NUSU ''AMTAJA MJUKUU NA MTOTO WAKE''
20:10
LIVE KUTOKA IRINGA: RC HAPI AKISIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE
1:20:04
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 6 МЛН