MAKONDA ambananisha OCD Hanang, Polisi wamekimbia na Bango la Mwananchi na Kumbomolea Nyumba yake

  Рет қаралды 108,648

Habari Digital

Habari Digital

6 ай бұрын

Пікірлер: 133
@StephenMundi-hv1lv
@StephenMundi-hv1lv 6 ай бұрын
Makonda ni mtoto wa magu ukute anafata nyayo zote👏👏👏
@bongo5914
@bongo5914 6 ай бұрын
namuona magufuri 💯
@barakarobert1029
@barakarobert1029 6 ай бұрын
Dawa hatar sana yaaan makonda wananchi wanamuamini makonda kama rais JPM hatar sna
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 6 ай бұрын
Asante Sana. Mheshimiwa Paul makonda shikilia hapohapo
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 ай бұрын
Makonda mungu akubariki sana haya tuliyamiss sana watanzania masikin Leo wanapo pakusemea zidi kumsaidia mama ktk kutafuta haki za wananchi mungu atakubariki raisi wetu mtarajiwa baada ya mama Samia kumaliza miaka mitano Tena insha Allah
@user-ps1fx2qs6h
@user-ps1fx2qs6h 6 ай бұрын
Kaka yangu mungu akubariki sana umekuja kumaliza kero zetuu
@goodlucktarimo6170
@goodlucktarimo6170 6 ай бұрын
Tumeipenda wenyewe chaguo letu milele acha waisome namba eeeee
@JumaMadebe-gp7ov
@JumaMadebe-gp7ov 17 күн бұрын
Makonda, pole aisee, duh mbona hii kazi ngum sana, duh,
@ramadhanimaricha3799
@ramadhanimaricha3799 6 ай бұрын
Taarifa za gongo😂😂😂katoe taarifa za mafisadi achana na gongo za walala hoi😊😊
@fredybanda2861
@fredybanda2861 6 ай бұрын
Gongo sio nzuri mkuu
@user-pq1tk3js2f
@user-pq1tk3js2f 6 ай бұрын
Mungu akubariki kijan mwenzang kwa mambo unayofanya hakika una hofu ya Mungu
@tingathebest
@tingathebest 6 ай бұрын
Hongera sana kwa kutukusanyia yanayo jili katika ziara nchini❤
@shikuhata
@shikuhata 6 ай бұрын
Hekima kubwa akili nyingi uwezo mkubwa. Much appreciated baba kiagan
@deckyidrissa8855
@deckyidrissa8855 Ай бұрын
Mimi niko apa congo Dr nafata saana mambo ya makonda anavyo tetea watu kweli imenipa fulaa
@vickysteven1172
@vickysteven1172 6 ай бұрын
Mungu akutunze makonda
@alimwafisi6659
@alimwafisi6659 6 ай бұрын
Wow kumbe tanzania wsko ivyo
@mahelaolban8224
@mahelaolban8224 6 ай бұрын
Safi saaana chama langu hilooo
@EliasMwasambili-hu6ph
@EliasMwasambili-hu6ph 6 ай бұрын
Safi sana afande uko sahihi wewe umekwenda kambini sio kwake hapo ni kambini
@JumaMadebe-gp7ov
@JumaMadebe-gp7ov 17 күн бұрын
Duh!! Hicho chuma! Noma njoo na morogoro, mzee
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 6 ай бұрын
Duu huyu mama mbishi vipi hajaenda kwake huku anasema nyumba iko katika mpaka wa police
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 6 ай бұрын
Polis acheni izo.
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 6 ай бұрын
Askari wananyanyasa sana raia makonda fanya kazi yko
@EdwardOkemba
@EdwardOkemba Ай бұрын
Hawa wananchi wa Arusha kero zao hazikomi rc mbona utakonda kwa siku chache hizi ambazo umekaa hapo jamani
@Mrugurudigitalsolutions
@Mrugurudigitalsolutions 6 ай бұрын
Hatuitajii kuwa na vyamaa vingi kama tutakipata kimoja kikaamuwa kuvaa uzalendo wa nchii mfumoo wa vyama vingi kamwe hatutoboii
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 6 ай бұрын
Sahihi
@mejamiela7436
@mejamiela7436 2 ай бұрын
Nakubali
@seif3401
@seif3401 6 ай бұрын
Hivi wale walioiba tirioni200 wamechukuliwa hatua gani
@user-em7dw3li4d
@user-em7dw3li4d 6 ай бұрын
Nimeipenda hii kwa kweli police huyu mwongo hata maswali hamjui kujibu
@GreceMwalende
@GreceMwalende 24 күн бұрын
Wasenge Sana nchi hii haonii hata aibu kunibu
@showshowtv1854
@showshowtv1854 Ай бұрын
paul makonda nakuombea uchaguliwe wazir mkuu wa nchi ili uinyoosheTz mzma
@AllySelemani-ne5wv
@AllySelemani-ne5wv 2 ай бұрын
Makonda wewe ni mwambaaa hamia dodoma ukiwanyosha arusha
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 6 ай бұрын
C.c.m imeoza!
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 6 ай бұрын
Nakupongeza kwa iro makonda kwa maporisi
@JosephKaka-nh3co
@JosephKaka-nh3co Ай бұрын
Hapa naona mungu kamleta magufuli kisiri siri
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 6 ай бұрын
Mama uko vizuri sana unafaa Kesho si maeneo ya kuvamiwa
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 6 ай бұрын
Mhhhhhhhh
@richkaja3317
@richkaja3317 6 ай бұрын
Makonda watamumanua sio mda sanaa
@richkaja3317
@richkaja3317 6 ай бұрын
Huyo mama anaogea nn achia maiki
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Mbaya wewe mwanamke Polisi una roho mbaya
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 6 ай бұрын
Jpm staily🔥🔥🔥🔥makonda
@JohnManyilizu-jz2qu
@JohnManyilizu-jz2qu 6 ай бұрын
Mwizi anaeleza mwizi wanajitafutia pesa kwa kupika gongo maana maisha magu
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 6 ай бұрын
Sijaelewa hii ya katibu wa chama wa wilaya kuhusu chama kuchukua hatua😮😮
@barakampenja-to4sm
@barakampenja-to4sm 6 ай бұрын
Kuna mda mwingine ccm iko vizuri lkn mda mwingne no ndo wezi wakuu
@user-nz6vm4oe9f
@user-nz6vm4oe9f 2 ай бұрын
Makonda mheshimiwa mung akulinde na akupe siku nyingi za kuishi
@PetroMaiko
@PetroMaiko 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@rabielkaaya3764
@rabielkaaya3764 6 ай бұрын
Any way
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 6 ай бұрын
Iloo dada lisura mbaayaaa kweliii 😊
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q Ай бұрын
Hawa ni majambazi ndio maana wanakimbia na mabango, na serikali ya ccm kwanini imemuondoa makonda kwenye nafasi hii? Wanataka uchafuzi uendelee? Je huu ndio utawala boraaaa?
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Innalilahii wainnailaih rajiuuni
@barakamfilinge6943
@barakamfilinge6943 6 ай бұрын
😢
@idrissaabubakari859
@idrissaabubakari859 6 ай бұрын
Kama upo kalibu na uyo mama police mpige kibao kimoja
@amonymzawaaa8934
@amonymzawaaa8934 6 ай бұрын
Hapana, amejibu vema sana binafsi nmemuelewa na amezingatia maadili ya kazi
@AlfaniAlmasi
@AlfaniAlmasi Ай бұрын
Naongea kutoka didis pabu apa Fanya kweli uwe raisi wanchii
@JescaSimon-sg3rt
@JescaSimon-sg3rt Ай бұрын
Jaman ndugu zangu wa katesh kazeni buti
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 6 ай бұрын
Uwe Raisi Makonda tunakupenda
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y 6 ай бұрын
Nchi hii bado shida kubwa
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 6 ай бұрын
Wewe dada sema ukweli polisi hamutendi haki kwa raiya
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 6 ай бұрын
Makonda Makonda Makonda Tanzania sio ila ya 60 au 70 Tanzania ya ss inauelewa eeeee Mungu kitukuu changu kiwe na Subra kwasababu kizazi hicho kitakuwa chenye hasira kali sana
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Mpaka bango jamani
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 4 ай бұрын
Mathias bwana kazinguwa😂😂😂
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 6 ай бұрын
Jamn maskin tunateseka
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 6 ай бұрын
SAMIA Amna kiongozi hapo, MAKONDA kidogo wew ni kiongozi
@tashone7884
@tashone7884 6 ай бұрын
Anafanya kwa maelekezo na Baraka za Raisi
@Mrugurudigitalsolutions
@Mrugurudigitalsolutions 6 ай бұрын
Kama ccm imeamuwa kuamka basii mungu kaikumbuka nchi yetu, hii nchii haiwezi piga hatua kama ccm haijabadilika
@user-nt4mw7zm7d
@user-nt4mw7zm7d 6 ай бұрын
Ccm Tuokoeni jaman
@user-tn2cd3rr9o
@user-tn2cd3rr9o 6 ай бұрын
Njoo Baba jamani mang'ola karatu jamani
@user-nt4mw7zm7d
@user-nt4mw7zm7d 6 ай бұрын
Tatizo pesa tulizo tafuta kwa Jasho letu sasa tuishi je Tanzania jaman
@kjb_user0077
@kjb_user0077 6 ай бұрын
Hii inchi imejaa uozo
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Nasikitika, nakipenda chama changu cha CCM lakini sipendi uozo uliojaa kwenye viongozi wa juu wa serikalini. Hii yote ni kwa sababu ya ukosefu wa maadili, kutokufuata sheria, kudharau wananchi na kujifanya wao ndiyo Mungu wa pili. Sasa matatizo siku zote kila mwaka no hayo hayo hayaishi. Wananchi wanaonewa na kudhulumiwa mpaka wengine wanakufa. 😢 Acha tuwaachie CHADEMA tu for 5 years watuonyeshe mambo siyo site miaka 60 na bado tunamtamani mkoloni arudi.
@NicholausAlois
@NicholausAlois 6 ай бұрын
Makonda usilazimishe mambo
@dotojohn9316
@dotojohn9316 6 ай бұрын
Kama hujui nyamaza
@mdemualphonce1559
@mdemualphonce1559 6 ай бұрын
Huyo kiongozi wa polisi anasema hapajui kwawananchi halafu anasema amejenga eneo la polisi anajuaje naye hapajui?
@muhmmadilutando9561
@muhmmadilutando9561 6 ай бұрын
We jamaaa ni hatari weka mbali na mafisadi
@jacksonmbonea7411
@jacksonmbonea7411 6 ай бұрын
Mheshimiwa Naona ukiwakiongozi mkubwa hapa nchini,piga kazi
@user-tn1bn5ou2i
@user-tn1bn5ou2i 6 ай бұрын
Malinda upo vzr hawa polisi wetu mm hata cjui kweli mafunzo wanajifunzia wapi mbona siyo waaminifu kwa Nini mm naona polisi niea serikali maana waonevusana laia wanapata taabu nao sana
@AllySelemani-ne5wv
@AllySelemani-ne5wv 2 ай бұрын
Huyo askari anababaika, kibanda anaionaje ? Halafu anasema hapajui kwake??!!
@AlfaniAlmasi
@AlfaniAlmasi Ай бұрын
Acha kutetea mwenyekit
@bennie7239
@bennie7239 6 ай бұрын
Siasa tu hamna kitu hapo..
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 6 ай бұрын
Hao nda wara rushwa wa tanzania hakika tunaumizwa na hawa asikari
@AlfaniAlmasi
@AlfaniAlmasi Ай бұрын
Kaka unafa uhalisia ama nisiaas tu izi?
@selemanimvungi7259
@selemanimvungi7259 6 ай бұрын
Katibu mwenezi kuna wilaya umeziacha haswa simanjiro Ina changamoto ya migogoro ya aridhi viongozi wameshindwa kutatua migogoro nada yake wao ndio wanachochea migogoro kewa mslahi Yao
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 6 ай бұрын
Kwamba tunaweza kulewa jua kali hahaaa makonda bana😂😂😂😂
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 6 ай бұрын
Aibu una pora bango liloletwa kiongozi alisoma ni dharau kwa mwenezi
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 6 ай бұрын
Amebomolewa aisee hapo ni tumbua tumbua tu. Vp abomolewe kwa kuonysha gongo
@salummohamed2689
@salummohamed2689 6 ай бұрын
Nani anakimbilia huko
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Kwako DJ musondo
@amonymzawaaa8934
@amonymzawaaa8934 6 ай бұрын
Uyu dada ni askari, nimemkubali sana.....usilazimishe kujibu swali ambalo hauna majibu sahihi
@raphaelmlewa1901
@raphaelmlewa1901 6 ай бұрын
Kwann hawakuvunja mapema kabla ya kutoa taarifa ya wauza gongo au ilikuaje wakamuacha kajenga mpaka wameanza kuishi? Jaman
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 ай бұрын
Makonda amekuja kuendeleza kazi ya magufuli kinyume na sheria akiamini kwamba atapewa uraisi jamani watanzania msije mkaingia mkenge Nchi haiendwahwi kwa maamuzi ya kiujanja inahitaji utashi na elimu iliyo nyooka. Hana tofauti na Iddi Amin mpeni Nchi mtanikumbuka. Ccm wenyewe atawanyonga na anaweza kufanya maamuzi ambayo yatatugarimu hatari. Tuwe makini sana na huyu mwamba. Hapo anazuga tu lkn shida zenu zinaishia hapo hapo akiondoka tu.
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 6 ай бұрын
Maamuzi yapi ya kiujanja? Makonda kakosea nini mpka hapo kusikiliza wananchi?
@user-tm9oh9us2u
@user-tm9oh9us2u 5 ай бұрын
Huyo si asikati bali ni arishababu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 ай бұрын
Chama makini hulinda ustawi wa wananchi waliowapa dhamana ya kushika nchi.ccm mbele kwa mbele.
@hamiduchingi2672
@hamiduchingi2672 6 ай бұрын
Watumishi tumieni nafasizenu vizuri watanzania sio wapumbavu niwastaarabu Sana nawapendaamani sana lakini awapendi kuonewa nawanapoamua WANAAMua kwaiyo musiwadharau kwaukimyawao wananchi watanzania niatali Sana siku wakiamuwa wateule mutatafuta mashimo, kwenyemaendeleo yanchi muache siasa😂😂😂
@user-em7dw3li4d
@user-em7dw3li4d 6 ай бұрын
Hii ndo ccm tunayo itaka sio uhun uhuni
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 6 ай бұрын
Huyo mzee ni jau Sana ni zaidi ya mchawi maana ana roho mbaya sana Tena sana ☹️☹️☹️
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
una roho wewe mchawi baba yako na mama yako
@coastermahenge8910
@coastermahenge8910 6 ай бұрын
Makonda fanyakazi baba
@NicholausAlois
@NicholausAlois 6 ай бұрын
Ukionahivyo makonda ameshindwa umeuliswa tatizo unaeleza mengine
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 ай бұрын
Sasa huyu Asikari anatetea Serikali yenu alafu mwananchi kawakataa.
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 6 ай бұрын
Unamueleza mkonda kama nani
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 6 ай бұрын
Paul MAKONDA wewe unafaa kuwa Raisi. Achana na Samia ni MPUMBAVU TU Amna kiongozi hapo
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Heistalking a lot for profit not for nothing as many others R.C
@cleversalbaba-em4jf
@cleversalbaba-em4jf 6 ай бұрын
Huyo mkuu wa kituo ni mwanamke ila anaonyesha ni mkatili aondolewe kwenye hilo eneo anawavuruga watu wa hanang
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 6 ай бұрын
Ina maana viongozi na wafanyakz wa serekali hawawezi kufanya kz ya maamuzi sahihi bila yakupigwa mikwara na viongozi wa siasa ili mwananchi kupata haki yakee?
@FrecoShirima-qb1qo
@FrecoShirima-qb1qo 6 ай бұрын
Mbona hatuoni watu wanachuliwa hatua?
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Mungu atakulipa
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d 6 ай бұрын
Tani ccm imetengeneza kero alafu eti yenyewe inataka kutatua kero aya uyu bwana anaachwa hivi hivi hakuna kitu apo ni porojo tu
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 6 ай бұрын
Makonda acha kudharaurisha polisi
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 6 ай бұрын
ACHA uchawa Hawa polisi wananyanyasa raiya ww utakua ujawahi kuingia 18 zao tayari ni maadui na wananchi wake badala ya kuwalinda wananchi wanauvimba na wananchi ambao hawana mafunzo yeyote waende mataifa ya mambele kama Lebanon,siaralion, iraq,wakutane na wanaume si kuonea raiya siwapendi kabisa
@evaemil856
@evaemil856 6 ай бұрын
Hawa polisi komesha
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 6 ай бұрын
Hakika asikari hawafai kabisa
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
22:48
Global TV Online
Рет қаралды 728 М.
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 29 МЛН
AAAAH
0:10
F L U S C O M A N I A
Рет қаралды 20 МЛН
3 августа 2024 г.
0:21
Kagiris twins
Рет қаралды 1,3 МЛН