HISTORIA YA KABILA LA WAIRAQW Walitoka MESOPOTANIA NCHI iliotawaliwa na MIUNGU WATU

  Рет қаралды 8,510

Tricod Media

Tricod Media

4 жыл бұрын

HISTORIA YA KABILA LA WAIRAQW NA WAGOROWA Walitoka MESOPOTANIA NCHI iliotawaliwa na MIUNGU WATU
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE kzfaq.info...

FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills
#historia
#waafrika
#Makabila

Пікірлер: 45
@user-ov4js4sw5w
@user-ov4js4sw5w 17 күн бұрын
Thanks
@sephaniehb9933
@sephaniehb9933 4 жыл бұрын
Iyo ni kweli
@AscendinSoul
@AscendinSoul 4 жыл бұрын
This is good info... needs English subtitles.
@mustafayahyarunigangwakani6037
@mustafayahyarunigangwakani6037 4 жыл бұрын
pamoja sana!!
@youngjun8098
@youngjun8098 4 жыл бұрын
Nikurekebishe kdg hakuna kabila la wambulu kuna wairaqw na wagorowa au wafyomi....usichokijua hawa jamaa(wairaqw na wagorowa) naweza sema wayahudi wa kweli yaan ni mojawapo ya makabila 12 ya israeli tena yaweza kua ni kabila la lawi(Levi) maan hawa jamaa miiko yote ya kwny torati ya Musa na matambiko yao yanafanana sana jaribu kufatilia
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
sawa nimefanya marekebisho nashkuru sana kwa kwa kuweza kuchangia kitu cha muhimu sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Ni kweli ni wagorowa maaana walipofika paleGUSER TUWALAY kulitokea mapigano kati yao na wabarbeig, wairaq waliokimbilia gallapo ndiyo wakaitwa wagorowa na wale waliokimbilia milima ya Dabil hadi gangaru hawa walibaki na jina lao la asili Wairagw,
@peterisavika8719
@peterisavika8719 4 жыл бұрын
Wengi hawaelewi ni wairagw sio wambulu,mbulu sio kabila ni eneo wairagw baadhi wanaishi.
@peterisavika8719
@peterisavika8719 4 жыл бұрын
Wewe mwenyewe ni mwiragw mbona unashindwa kutamka baadhi ya maneno.
@youngjun8098
@youngjun8098 4 жыл бұрын
@@peterisavika8719 kabsa mbulu ni eneo na si kabila
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 3 жыл бұрын
Kiongozi Mmoja anaitwa Saigilo Magena
@josephatihariohay1296
@josephatihariohay1296 11 ай бұрын
Saigilo ni mang' ti
@damianopetro5872
@damianopetro5872 Күн бұрын
@@josephatihariohay1296 ni mwiraqw sisi tulifanya brain drain
@glaqgloryaqram7511
@glaqgloryaqram7511 4 жыл бұрын
Ni wairaq na siyo wambulu jamani.......gorowa ama fyomi...ni koo jamani msituharibie
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
sawa dada angu coment yako nzito mpaka nimebadilisha haya nimeweka wairaq pekeyao
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
ni kweli ni wagowa na wairagw
@yahayakingazi2956
@yahayakingazi2956 2 жыл бұрын
Adosn kila ama
@peterbillas9131
@peterbillas9131 11 ай бұрын
Ethiopia sio nchi ya Ethiopia sasa hivi
@111dudi
@111dudi 3 жыл бұрын
Sasa baba, umeanza kwa lengo la kuwaelezea Wairaqw, mara ukabadili ukazungumzia madawa asili. Vipi
@deemayamsi
@deemayamsi 10 ай бұрын
Wana metimani
@gidaybhuko7854
@gidaybhuko7854 Ай бұрын
Metimani ni Jambo la lanaa kama kuingizia chips kwenye sehemu za siri za mwanaume. Hii unaweza kuleta balaa kama iliyotokea Hanang.
@gidaybhuko7854
@gidaybhuko7854 Ай бұрын
Kuingiza chupa kwenye sehemu ya haja kubwa ya mwanaume ni metimani
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 4 жыл бұрын
Dawa zakizungu. ndiodawa mbadala
@vascobenedict488
@vascobenedict488 4 жыл бұрын
Sahihi kabisa
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
mkushi wewe ni nomaaaaa sanaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😂🙏😂😂😂😂😂😂
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Ni kweli, kwetu sisi Waafrika asilia, tunahaki yakuziita dawa hizi za wazungu ni dawa mbadala kwasababu kwa asili tunazo dawa zetu😎
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 Жыл бұрын
Bila kufanya utafiti ni makosa kutoa hoja kuwa Wairaqw ni waoga.Wairaqw walitumia akili nyingi kupambana na maadui vinginevyo wangeteketea njiani wakati wanahama ubambali mrefu vile wakati idadi yao ilikuwa ndogo.
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 Жыл бұрын
WAGOROWA kwetu asili yao na binti wa Wairaqw aliyeolewa na jamaa wa kabila jirani enzi zile Wairaqw wapokuwa Kondoa Irangi na baadaye kupanda ukuta wa bonde la ufa kupitia AMOWA na kutua IRQWAR-DAAW.
@davieskelmen7125
@davieskelmen7125 2 жыл бұрын
Mwalimu, hebu nieleze uhusiano baina ya Wairaq na Wakalenjin huko Kenya. Maanake wanapo ongea, ninaweza kuelewa kaaribu aslimia 30% ilhali historia haituambii uhusiano baina jamii hizi mbili. Mfano Wakalenjin wanasemekana kua 'Nilotes' na Wairaqw wakawa ni 'Cushites'. Mwalimu nifafanulie hapo.
@maqwaybaran9905
@maqwaybaran9905 4 ай бұрын
5:19 hakuna uhusiano.... kalenjin na Barbaig ndio wana uhusiano
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Nitafanya Documentary ya Kabila letu bado nafanya Utafiti sababu Huyu jamaa hana Knoweledge kabisa!!! anachanganya watu akili tuu!! Mbulu ni Eneo sio kabila sawa na kusema wanyakyusa na wambeya!! au Wakurya na wamara! au Warombo na wachaga! Ni aibu kwenda live na knoweledge ndogo!!!
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 25 күн бұрын
Documentary lazima ifanyiwe utafiti wa kina na makini.Pia muhimu kutumia nyenzo kama DNA kujua nasaba za JAMII na mtawanyiko wake na hata kutumia 'archaeology" kubaini tamaduni na ustaarabu wa watu husika.
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 Жыл бұрын
Hamana kitu hata HAJUI HAKUNA SEHEMU ILIYOWAHI KUITWA MESOPOTANIA. WAIRAQ AMKENI HAKUNA ALIYESOMEA ANTHROPOLOGY? GUSE YA AWALI NI TABORA-PANAPOCHIMBWA DHAHABU TULAWAKA. HALAFU HAJUI TULIPOTENGANA NA WASOMALI KULE HARAR(NAKO ILILAANIWA Baada ya utengano na leo wanaoitwa wasomali)
@user-un2yo1ly1l
@user-un2yo1ly1l 25 күн бұрын
Unauhakika kuwa guse inayozungumziwa ni hiyo?
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 25 күн бұрын
@@user-un2yo1ly1l KABISA.BAADA YA ILE VITA WALIOBAKI WALIKIMBILIA MASHARIKI KONDOA IRANGI HATIMAYE WAKAHAMIA AMOWA-IRAQARDAAW
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 25 күн бұрын
JAMBO MOJA MUHIMU SANA NI NAMNA YA KUWAUNGANISHA WAIRAQW HAVE WASOMI KUUNDA 'TRUST' IFANYE UTAFITI NA KUANDIKA HISTORIAN RASMI YA JAMII HIYO NA KUEDELEZA TAMADUNI ZAKE ZISITOKOMEE NA GHARIKA ZA NYAKATI. WAZEE KAMA AMINA DR.TLAÀ NA MAPROFESA WASTAAFU WANASTAHILI KUONGOZA MKAKATI WA JUHUDI HIZO NI AIBU HISTORIA KUBWA KUZIKWA NA UPOTOSHAJI NA UPOFU WA WAJANJA WA MITANDAO.
@jacksonmodaha1590
@jacksonmodaha1590 3 жыл бұрын
Wairaqw ni waoga Sana ndoo maana wamekuwa wakuhamahama
@agustinodamiano6436
@agustinodamiano6436 3 жыл бұрын
Tuthibitishie woga wao Hilo ni suala la mtu mojamoja kaka huezi include watu wote
@ElihurumaThomas-kz8nq
@ElihurumaThomas-kz8nq 4 ай бұрын
Sio waoga walikua wachache
@user-un2yo1ly1l
@user-un2yo1ly1l 25 күн бұрын
Thibitisha uoga wao labda ungesema niwapole ningekuelewa...je niwaoga Kwa vigezo vip
@djovitadiyami6085
@djovitadiyami6085 25 күн бұрын
Wajinga ndiyo wanaosema Wairaqw ni waoga.Kuna mfalme gani ataweza kuamuru watu wake waingie vitani bila kupeleleza ukubwa wa majeshi ya adui na silaha zake?Pia kuna mbinu nyingi za KUSHINDA adui so vita tu. Wairaqw alikuwa na akili nyingi ndiyo maana wako wanastawi hata leo.
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 51 МЛН
Just try to use a cool gadget 😍
00:33
123 GO! SHORTS
Рет қаралды 82 МЛН
Они убрались очень быстро!
00:40
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
⬅️🤔➡️
00:31
Celine Dept
Рет қаралды 37 МЛН
БАШКИРЫ - КТО они на САМОМ деле?
20:11
ОКАСЦА
Рет қаралды 659 М.
Kabila la Wairaq - Kaskazini mwa Tanzania
15:11
SwahiliBomba TV
Рет қаралды 32 М.
Rehema Abrahamu: Wimbo wa injili ktk lungha ya Ki-iraqw
8:22
emmanuel lazaro
Рет қаралды 15 М.
Medali ya Miujiza
5:06
SHUJAA WA IMAKULATA
Рет қаралды 4,1 М.
Finding the Pre Proto Indo-European Gods
29:09
Crecganford
Рет қаралды 964 М.
The ORIGINS of the Proto Indo Europeans: Who were they?
27:54
Crecganford
Рет қаралды 187 М.
Yusufu wambugu ameaibika mbele ya halaiki.baada yakujibiwa swali yake
11:25
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 53 М.
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 51 МЛН