Hotuba ya Rais Dkt. Magufuli alipozindua Mwaka Mpya wa Kimahakama Feb 04,2016
Пікірлер: 21
@kletusEdward8 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa kwa hotuba nzuri na yenye changamoto nyingi za kiutendaji kwa maana chombo hicho ndicho kinacho onyesha dira ya nchi yetu.
@dct4lif8 жыл бұрын
Kilio cha watanzania mungu kakisikia. We finally have a president who actually cares about the country and its people. God bless you Mr President we are ready to lay down our lives to protect you. Tanzanians have suffered enough
@yonathansimon71478 жыл бұрын
Tunakuombea kwa MWENYEZI MUNGU akupe afya njema na nguvu na katika kasi yako nzuri ya kutuletea maendeleo ya kweli utuvushe hadi nchi ya ahadi hongera sana baba kwa kuwa na moyo wa kizalendo na kwa utumishi uliotukuka hakika Mungu ametupa kiongozi mahiri wa Tanzania wote tuwekeni itikadi za vyama pembeni tumuunge mkono Rais wetu mpendwa.
@frankmbige15158 жыл бұрын
Hongereni sana Rais kwa hotuba makini na yamamlaka Mungu akupe Afya njema pia tunatamani sana ungekuwa na hotuba kila mwezi
@matukimerchant51708 жыл бұрын
Hongera sana Mh.JPM Rais wetu mtukufu. Mungu yupo na wewe kila hatua unayoipiga maana ameaidi hivyo. Songa mbele kuijenga nchi yetu.
@YUDATHADEYSHINE8 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli
@yonathansimon71478 жыл бұрын
pongezi za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa hotuba nzuri iliyosheheni hekima, busara pamoja dira kwa mahakama yaTanzania inavyotakiwa kwendana na kasi ya awamu ya tano.#HAPA KAZI TU!!
@abrahammaleko43048 жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi Dkt John Magufuli hongera sana kwa hotuba nzuri iliyojaa kila chachu ya uzalendo. Hakika namwomba Mungu akulinde ili uwawafikishe watu wake kwenye kilele cha kufurahia neema na utajiri tuliyojaliwa. Amina
@najmaibrahim2828 жыл бұрын
mh rais hongera mungu akulinde maana umengusa sana ktk moyo wagu.
@sospeterwankuru9878 жыл бұрын
Pongezi sana Mh.Magufuli ila ni vizuri kama utakuwa unatoa hotuba elekezi na mrejesho wa utekelezaji wa maagizo yako aidha kila mwisho wa mwezi au kwa mda utakao jipangia mwenyewe.
@walterkayombo13628 жыл бұрын
Hotuba imetulia na Mh kaongea uhalisia na sio mbwembwe kama ambavyo tulizoea!!!!Bravooooo Mh Magufuli
@mgenikisukari13718 жыл бұрын
hapa kazi tu!!!
@cleopasmheluka74828 жыл бұрын
hongera hutuba ni zaidi ya uzalendo japo kuna maneno mengi yenye mwelekeo wa kuvunja sheria wanasheria wa serikali muwe msaada kwa raisi @AG,RAISI NI TAASISI
@eddydben8 жыл бұрын
safi sana rais john magufuli .sasa tunaona mwanga wa matumaini
@jameszombe56108 жыл бұрын
Magufuli ametxha salute kwake
@ngometvarusha40307 жыл бұрын
wewe ndiyo baba,sasa tuna mtu mwenye mamlaka katka nchi anaye jua anachosimamia anaongea kile kilichopo moyoni bila kujali utampenda ama utamchukia Mimi nina matumaini sasa na nchi yangu hongera mheshimiwa Rais Magufuli
@stevenmamba24648 жыл бұрын
Anaejilipa millioni 35 kwa mwezi nafikiri ni Mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu aliwaita Watanzania vigeugeu baada ya watu kumuuliza kuhusu mshahara wake. Na ni mtaalam wakufanya vikao vya bodi Ulaya.
@josephkatembo41388 жыл бұрын
Serikali ya awamu ya tano inajitahidi kurudisha matumaini kwa wa anchi ktk kuwahudumia, sheria na taratibu zitumike vema ktk kudhibiti watendaji wanaoenda kinyume
@whatisthetruth.87938 жыл бұрын
Baadhi ya hawo majaji walionekana kukosa raha kabisa wakati wakimsikiliza Rais Magufuli. ..kwa sababu wengi wao tayari ni corrupted na hii speech anawagusa vitendo vyao vya kula rushwa
@MrKhatibu8 жыл бұрын
DR Magufuli you true Socialist , salute mr President