H.BABA: FLORA MVUNGI alinisaliti, sikurudi nikaacha kila kitu, anawapeleka watoto KANISANI kunikomoa

  Рет қаралды 49,534

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

H.Baba anafunguka chanzo cha yake na Flora Mvungi kuvunjika, ambapo ametaja usaliti kuwa sehemu kubwa. Ameeleza pia kifo cha Mrembo Swalha wa Mwanza ambaye alikuwa mtu wake wa karibu
#chillnasky

Пікірлер: 243
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana hii conversation, asante sana SKY na Hbaba, thanks bro napenda jinsi unavyochagua watu wenye public interest. from Mk UK 🇬🇧
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 2 жыл бұрын
Kwema bss
@agneswangeci1926
@agneswangeci1926 2 жыл бұрын
Hbaba leo nimekuheshim sanaa wewe ni gentle man hata kama nilikuchamba saana leo big up🇰🇪🇰🇪
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 2 жыл бұрын
Duh! Hatarisana. Sandouache uchawa H. Historia inagusa. Hatamm yalinikuta japo tofauti nikidogosana. Mungu atunusuru
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Mkasa kama uh Brother H -BABA ih ishu mkasa wake kama Mkasa wa Brother DIAMOND
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 2 жыл бұрын
H baba sasa kama ulimwambia asiolewe tena ulitaka aendelee kuzini kikubwa tumuombee mwenyeezi mungu amuondolee adhabu ya kabur na amuweke mbali na moto wa jehanam kama walishindwa kuvumilia Adam na Hawa yeye angeweza
@zuhuramaulid1635
@zuhuramaulid1635 2 жыл бұрын
Acha ujingaà ww kaoshe tako ulale
@tbwayjunior8947
@tbwayjunior8947 2 жыл бұрын
H.Baba jasili tu wewe, ila ubongo wako Mdogo sanaa.😁
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 2 жыл бұрын
Duuuhhh🤔🤔🤔pole H, yaan usione mtu anaongea sana Kuna kitu nyuma yake
@salumuhamza3920
@salumuhamza3920 2 жыл бұрын
H-baba unamoyo kabisa tofawuti nasisi wenziyo kweli wewe unamoyo wasubira big up sana. H-faïz kutoka Congo 🙏🙏🙏
@yussufissa7854
@yussufissa7854 2 жыл бұрын
This Man Hbaba big up .Plus sky this one of the best interview . Yussuf Issa from Nairobi
@halimamdoe5822
@halimamdoe5822 2 жыл бұрын
Wow h baba unaongea vizuri sana pole sana kakangu Allah atakupa mke mwengine mwenye heshima na kukupenda sana inshallah
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka yangu. Ndio maana ni muhimu sana kusikia pande zote mbili.
@patrickmsuguri
@patrickmsuguri 2 жыл бұрын
Hekima ilikuongoza hbaba Mwenyezi Mungu akusimamie hurudi kwenye NDOA.....
@makacharatv4257
@makacharatv4257 2 жыл бұрын
H baba skuizi unapendeza sana. Saivi tangu kuingia wasafi. Dah maana ulipokuwa konde gang ulikuwa mchafu sana saivi unapendeza. Maana vita ni akili saivi unatumia akili big up
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Hahahahaha Hahahahaha
@jacksonhassan2190
@jacksonhassan2190 2 жыл бұрын
Gonga like tujuwane WCB for life
@mdta8161
@mdta8161 2 жыл бұрын
Kanenepa Hadi raha
@msalabanireko1518
@msalabanireko1518 2 жыл бұрын
Ni kweli kbsa yn
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Ulikimbia majuku marioo Hilo flora mwenyewe alisema kachoka kumlea
@subiraamiri9884
@subiraamiri9884 2 жыл бұрын
Dah kumbe H,unabusara sana bro Allah akuzidishie
@raphaelchauwele3547
@raphaelchauwele3547 2 жыл бұрын
H umeongea kitu fact sana na umenifundisha sana katika haya maisha ninatakiwa kuwa baba bora, mtazamo mzuri.
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Hyu alishamgongaga swalha hakuna cha mdg hpa
@abasilihundu200
@abasilihundu200 2 жыл бұрын
Hii interview mazuri machache pumba nyingi. Interview nzima ni Frola tu, Anapenda sana kurudia maneno. Anapenda sana kulalamika. Anaongea mambo ambayo hajaulizwa. Hata hjaulizwa kuhusu Frola. Kaulizwa kuhusu waliouana kisa wivu wa mapenzi yeye kaingiza ishu ya Frola. Pumba ni nyng
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 жыл бұрын
Sky mpe maswali jamani mbona anajiuliza na kujijibu yani sky umepigwa nakitu kizito kichwani,huyo Baba anaongea radio 📻 inanyamaza duh
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 жыл бұрын
Pole sana, ila oa tena
@chany9950
@chany9950 2 жыл бұрын
Pore kaka love you 💯
@paulojalango898
@paulojalango898 2 жыл бұрын
Umeanza kuwa mtu mwenye akili
@kubrymtutala9574
@kubrymtutala9574 2 жыл бұрын
Kabisa, yaani akili zake zinaanza kukaa sawa taratibu taratibu wallah.
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 2 жыл бұрын
Dah nilijikuta namchukia lkn nimejikuta tu nampenda Bure sbabu history imenitoa machozi sababu anaongea kwa hisia hongera sana h baba
@theodosiatheobald3430
@theodosiatheobald3430 2 жыл бұрын
Jamani tusiwe wepesi wa kupokea tu hivi kwenda kujenga ndousahau familiya,? Ndoushindwe hata kurudi kwa mwez mara 1 kweli
@raphaelmenza5033
@raphaelmenza5033 2 жыл бұрын
Yani, hapa aliulizwa swali moja Tu, akaelezea Kwa dakika 35
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@allenudindo3803
@allenudindo3803 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hatari sana
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 2 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hatari uyu jamaa
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abelimembe6990
@abelimembe6990 2 жыл бұрын
Safi sana kak
@kingshomys7319
@kingshomys7319 2 жыл бұрын
Kashapangwa sana h baba mwacheni jamani
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
H baba kasema kaka yangu unakumbuka juzi nilikwambia mpaka 2030 utaheshimika sana kuzi au wotee
@vicenteafonsoafonso
@vicenteafonsoafonso 2 жыл бұрын
Big up bro umetufunza sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
Inaonekana ulikuwa unatamani hii nafasi kwa Sky yaani swali moja jibu lake kipindi kizima kimeisha 😉
@timmahbee
@timmahbee 2 жыл бұрын
😆😆😆😆🤣🤣🤣
@rehemamkamba9027
@rehemamkamba9027 2 жыл бұрын
😂😂
@anithamidaho8714
@anithamidaho8714 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌🏻
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
*H baba* nimekuelewa sana
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
🔥🔥👌
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Duh kumbe tukiachana na uchawa uyu jamaa ana akili ivi ??!! 😢 Ila familia yenu ilikua inapendeza sana
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 жыл бұрын
Baba bora na kihereni sikioni na msuko kichwani. Pole
@rizikiabdallah6936
@rizikiabdallah6936 2 жыл бұрын
Sky acha uongo anatuaibisha wana Mwanza .
@gazaomar8490
@gazaomar8490 2 жыл бұрын
Pole sana H.Baba
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Ila kweli wanawake zetu ndio walivyo wana anzaga ugomvi alafu wenyewe ndio wanakuwa wakwanza kuanza kushutumu.
@shabanimarima6127
@shabanimarima6127 2 жыл бұрын
😅😅😅😅 Baba Bora kwenda kumsujudia mwanaume mwenzio sjawahi kuona
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Acha ujinga H anamsujudia ALLAH peke yake!
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 2 жыл бұрын
Exclusive kutoka kwa H BABABABABABAAAA
@andiqueantonio3377
@andiqueantonio3377 2 жыл бұрын
Safii
@kidawajuma5884
@kidawajuma5884 2 жыл бұрын
H ,Baba uko vizuri usijali
@mdbosco1640
@mdbosco1640 2 жыл бұрын
🥰🤙
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
ROHO INAKUUMA SANA POLE SANA ILA MWACHIE MUNGU NDIE JAJI WA KWELI.MWANZA NAKO MMMH
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 2 жыл бұрын
Duh!
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
H Baba👍👍👍👍👍
@djclick0768
@djclick0768 2 жыл бұрын
Brother uyoo Jama ni Yesu Kila mtuu kampa msaada Mwambiye aache izo
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Frola kwel mjinga Sana hapendeki kabisaaa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
🤔🤔swalha alikuwa na maisha mazuri mbn kwao kuko vile? Mtt angu alikuwa wa kwanza kupostiwa insta inasaidia nn? Hizo sifa sasa H baba 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Swali moja majibu kumi
@winnieminyalla9430
@winnieminyalla9430 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 Hbaba mcheshi sana.
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Atari sana
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Alaf mwacheni mwamba said apumzike jamn!
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 2 жыл бұрын
🤞🤞🤞🤞
@ericklaura7511
@ericklaura7511 2 жыл бұрын
Godly men are still existing🙏 God shall give you a better woman than her 🙏🙏
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 жыл бұрын
Kabisa ndugu. Huyu jamaa nimemkubali sana. Ametumia hekima ya hali ya juu.
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 2 жыл бұрын
Kwakupenda kujipa credit 😅😅😅👍 but nakupa tuzo ya ubaba bora
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 жыл бұрын
Umeona h umeenda wcb na sasa una-trend kila wakat
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Жыл бұрын
Wewe na mamako wote akiri zenu za mbuzi...mamako anayo nyumba alafu unampa nyumba anakubali badala ya kusema hii ya wajukuu...na wewe unajua kabisa unao watoto na wadogo zako unamlisisha mama. Siku mama akifa husigombane na wadogo zako hiyo nyumba ya mama yako na wanao hawana haki. Siku ukifa omba mama arisishe wanao akikaa kimya watoto wamekula kwao watateseka na hiyo nyumba yao sababu itakuwa sio yao ya Bibi yao. Fanya Jambo mapema
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 жыл бұрын
Nilikuwa simpend Hamo kupitia wewe nikaanza kumpenda nakumfwatilia Sasa naacha kuwa fans wake kwanzia leo
@claudia1500
@claudia1500 2 жыл бұрын
Yani hii ilikuwa familia nzuri sana,sijui jini mkata kamba alitokea wapi jamani
@arthoabdi8310
@arthoabdi8310 2 жыл бұрын
This guy cant be trust,, take what he say with a grain of salt
@mamukinyogoli5549
@mamukinyogoli5549 2 жыл бұрын
Yaani hbaba simuelewi kbs...mwamba ngoma huvutia kwake mbn hujaeleza mabaya yako we uko perfect sio?
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 2 жыл бұрын
Hmn mtu ambaye anaweza kuongea mabaya yake n yy anasubir kuongelewa mabaya yake
@irenekitomary7271
@irenekitomary7271 2 жыл бұрын
Mhm🤔🤔😏😏
@hadijagere
@hadijagere 2 жыл бұрын
Dakika 35 sky umepatikana jama anatiririka umeuliza maswali sijuwi mawili au marathon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emanuelnjalakila4693
@emanuelnjalakila4693 2 жыл бұрын
Hua mnayataka wenyewe kuchukua mtu asie wa iman yako mtu kalelewa utoto wake wote kwa iman yake wewe unakija kumbadili ukubwan inawezekana vp? Matumiz mabaya ya akili na baba bora hawez nyangan’anywa mke na kwa ujumla umeongea mav matupu
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Sky bbysky yuwap tume mmis jaman
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Mmmh H baba frola atakua namahusiano namwingine bila kuachana bila sababu kwel nakingine akuwekee mabango inamaana hakujua kama umeenda kujenga Kwan hamkua namawasiliano??duh kama alikua anajua kila kitu nabado akakusalit amekosea nahana akili nakama unamsingizia unakosea sana
@matilsapaulinus4785
@matilsapaulinus4785 2 жыл бұрын
wewe umewaza kama mimi..kuna vitu vinamiss hapa
@remigiusmkulia9596
@remigiusmkulia9596 2 жыл бұрын
daaah
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 жыл бұрын
Frola leo unalo lako hilo
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Mbona mnazungumzia maisha ya watu yanawausu nn
@chany9950
@chany9950 2 жыл бұрын
Respect 👍
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Kubadili dini kwasababu ya mwanamme au mwanaume ni usanii mtu anabadilisha imani kwaajili ya MUNGU kuponya roho yako.
@julianamushi3392
@julianamushi3392 2 жыл бұрын
Sasa utamuweza huyo hbaba mpenda kuongea ujinga hapo utamuuliza swali moja ataongea masaa matatu hajui kuweka nukta
@fbr5113
@fbr5113 2 жыл бұрын
Unampa tittle tu habari yote anajieleza mwenyewe😆😆😆😆😆😆
@mohamedefranciscoxavier4440
@mohamedefranciscoxavier4440 2 жыл бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤝🏿
@blaboaardvark7900
@blaboaardvark7900 2 жыл бұрын
Mwanaumke ataolewa KWA upendo lakini atuvunja ndoa KWA sababu ya pesa
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 2 жыл бұрын
H baba bhan eti nimefany mamb makubwa sn ktk hii nchi😆😆😆
@nassoroharuna1753
@nassoroharuna1753 2 жыл бұрын
tokea umeenda WCB umekuwa na akili za utuuzima
@johngerald4677
@johngerald4677 2 жыл бұрын
Unaonge vzr broo ila nikikumbuka ulivyomsujudia diamond ukiwa n boxa inanifanya niamin dishi lako huwa halitulii
@kiramaanyonya6886
@kiramaanyonya6886 2 жыл бұрын
Sasa H Baba mtoto wakhislam una heren umesuka hapo vip
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 жыл бұрын
Wanawake ndio walivyo kaka waache wazazi wake wamsomeshe sio ww mbugila unamsomesha unampa mtu mwingine faida
@masukumulumba3034
@masukumulumba3034 2 жыл бұрын
Hujawai hoji mtu anaye hongea maneno mazuri zidi y’a Harmonize kwa nini? Ao nawe ni mtangazaji chawa kama Diva?
@mwanaidikhamis5430
@mwanaidikhamis5430 2 жыл бұрын
mpe talaka ili maisha yaendelee
@mwaminiesperance6276
@mwaminiesperance6276 2 жыл бұрын
Uyu mwongoooo sana mwongo wacha harmonize naamani live you lite wewe mwongo saaana kwendraaaa
@oscafrica1836
@oscafrica1836 2 жыл бұрын
Bro think he got power to decide on kids... That crap only in your tribe..These women keep our kids for us and they got full control on what's best for them.
@brianndesanjo2861
@brianndesanjo2861 2 жыл бұрын
@sky nakuona mbali na kama Listudio la BBC flanii
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Ndio zako ww kusifia watu wanaheshima badae unabadilika
@dedsecmalis2005
@dedsecmalis2005 2 жыл бұрын
Jamaa anaongea vizuri utadhani sio chawa
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
Basi wewe kuwa kunguni😅😅
@jeybullaz9323
@jeybullaz9323 2 жыл бұрын
😂😂😂 bro #sky umeniacha hoi sana,,,unamjaza jamaa tu Ili afunguke unamuitikia tu 😂😂😂😂😂 :-Wanataftiana wanaume -:"Aaaaaaaaaaaaaaaaaaahhh"
@officialmimi269
@officialmimi269 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 umeona ee
@jeybullaz9323
@jeybullaz9323 2 жыл бұрын
@@officialmimi269 hatar😂😂
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
Kama alishauriwa na akashaurika basi hakuwa mke sahihi
@matimfuko641
@matimfuko641 2 жыл бұрын
Sasa hapo Nani mkweli maana kila MTU anavutia kwake
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 жыл бұрын
Duuuuuu wanaume tuna kaz kwel2
@saidmohamed1330
@saidmohamed1330 2 жыл бұрын
Jufunze kwa Mr pimbi madevu
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Ukiwa na hasira jitahd kupata haja ndogo😀😀 ntajaribu nione, sasa mtu anapokua na hasira siku 2 inamaana hajapata haja
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂
@salumyusuph5046
@salumyusuph5046 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@sabrinaseseme2529
@sabrinaseseme2529 2 жыл бұрын
Yan hawa wanawake akili hawana
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
I feel you H Baba
@stelajoramu5298
@stelajoramu5298 2 жыл бұрын
Duhh na mauno yako yoote bado hakulizika day kweli kungulu hafugiki
@fbr5113
@fbr5113 2 жыл бұрын
UNAJUA KUJIELEZA HADI MUANDISHI HAULIZI KITU😆😆😆😆😆😆😆😆
@ashaali7154
@ashaali7154 Жыл бұрын
Ulikuwa unapenda mteremko ndio maana uliondoka nyumba ilikuwa ya mwanamke na kuoa pia umeshindwa kuishi na mke marioo wewe.
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 Жыл бұрын
Wewe hata umbea una react?
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 2 жыл бұрын
Muwe mnatoa miwani kwenye interview tuwaone macho ya Bangi hizo
@beatrice3671
@beatrice3671 2 жыл бұрын
😄 🤣 😂 😆
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 2 жыл бұрын
Watoto ni wa wote wew siyo wako peke yako, Hata Mama Yao ana haki ya kwenda nao kanisani.
@columbus2084
@columbus2084 2 жыл бұрын
Kwani mwenzetu ni jinsia gani hafu ni wa nchi gani? Watoto wana urithi wowote koo ya mama? Jamii kubwa Watoto wa baba
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 Жыл бұрын
@@columbus2084 Kwa hivyo akiwa wa Baba , haruhusiwi kwenda Mama yake kanisan???, Acheni huo ubaguzi wenu isee, Mama yao ni mkristo na ndo anaewalea halafu asiende nao kanisani kisa alizaa muislam☹️☹️☹️☹️☹️, akapandikize mimba nyingine km huko kwingine km unazani ni rahisi. Walishaachana atotoe na muislam mwenzake wawe wa msikitni Tu, Mbona dini yao inaruhusu.
@columbus2084
@columbus2084 Жыл бұрын
@@mbarikiwambarikiwa6479 Labda hujaelewa,,,, nilichokushanga ni kuhusu watoto ni wa nani basi! Hayo mengine ni mtambuka, inategemea maelewano ya wazazi wote kama hakuna, Mzazi wa kike anakuwa sahihi kufanya atakalo.
@brigidmua2548
@brigidmua2548 2 жыл бұрын
Hamisi matambara
@simulizi2632
@simulizi2632 2 жыл бұрын
Tanzanite na Africa ni majina ya dini gani? Labda mimi sijui🙋🏾‍♂️
@mosimba467
@mosimba467 2 жыл бұрын
Na simulizi ni jina la dinigani
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 17 МЛН
MKE WA MASANJA ANG’ANG’ANIA KIDIRISHA CHA NDEGE
4:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 74 М.
Flora Mbasha Adui Wako Official Video
5:26
Tunes Of Africa
Рет қаралды 42 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
0:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 6 МЛН
Сын вернулся с войны и сделал сюрприз 🤯
0:17
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 5 МЛН