JEMEDARI SAID AFUNGUKA SAKATA la MANULA KUACHWA SIMBA - "SIMBA HAWATAKI KUMUACHA na WAMETOA KABISA"

  Рет қаралды 5,042

Global TV  Online

Global TV Online

28 күн бұрын

JEMEDARI SAID AFUNGUKA SAKATA la MANULA KUACHWA SIMBA - "SIMBA HAWATAKI KUMUACHA na WAMETOA KABISA"
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 17
@globaltv_online
@globaltv_online 26 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 26 күн бұрын
Simba na Yanga zina mambo ya Kiswahili sana
@REGIUSMWANAWIMA
@REGIUSMWANAWIMA 2 күн бұрын
Kipaji cha mchezaji kinalindwaje mbona na ww pia ni kigeugeu ikiwa upande wa pili huwa unakomaa mno.
@REGIUSMWANAWIMA
@REGIUSMWANAWIMA 2 күн бұрын
Ninyi wachambuzi njaa tu" jitathimini kwanza.
@REGIUSMWANAWIMA
@REGIUSMWANAWIMA 2 күн бұрын
Wewe ni mnafiki xana tena hujui mpira kabisa.
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 26 күн бұрын
Kama kweli aliuza mechi ya 5 naapa atapitia machungu kama tuliopitia na msisahau kuna watu walikufa halitakaa liishe moyoni wetu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 күн бұрын
Manula inonga na chama waliuza mechi ya goli 5
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 26 күн бұрын
Huyo alituumiza sana kuuza mechi ya 5 kwa kweli anastahili kabisa maana heshima alipoteza mwenyewe
@gilbertmwakalebela2862
@gilbertmwakalebela2862 25 күн бұрын
Siku zote mmekua mnawatetea wachezazi, semeni ukweli Manula ana kinyongo Ayubu kupewa nafasi ndio mana hataki kubaki simba. Manula ni mchezaji mkubwa viongozi wa Simba hawawezi kumfanyia vibaya lakini yeye ndiye analeta shida
@melcksedeki1012
@melcksedeki1012 3 күн бұрын
Ubaya ubwela ulikua unalopoka sana kuhusu Fei toto na Yanga sasa kazi ni kwako malipo hapahapa Duniani
@musamsangi1610
@musamsangi1610 26 күн бұрын
Kwa maoni yangu mchezaji kama umekubali mkataba wa kuitumikia club basi cheza kwa moyo wote kutikana na pesa unayopewa.Mambo ya kijinga ya wachezaji kutokuthamini club utaachwa ukishangaa shangaa.Kila mtu afate utaratibu dunia ya sasa sio ya kizamani.
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 26 күн бұрын
hapo Yanga inahusika nini mimi si shabiki wa timu yeyote
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 26 күн бұрын
Aende akauze mechi nyingine
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 26 күн бұрын
Hakuuza mechi timu ilizidiwa yote
@AlifaHamis
@AlifaHamis 26 күн бұрын
Simba tusi fanye hivyo hiki ndio kina fanya tuna fanya vibaya
@avitusmichael5
@avitusmichael5 26 күн бұрын
Tutamnunua na ayubu demu wetu Debora
@HasaniKitumba
@HasaniKitumba 26 күн бұрын
Anauza meji
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46
KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA
21:57
Crown Media
Рет қаралды 79 М.
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН