Magufuli, the brightest and hardworking President of our country in recent times!🇹🇿💯
@nkoydavid96582 ай бұрын
Mwasisi ni Nyerere ila mtekelezaji ni Magufuri..
@pandaboi89422 ай бұрын
Bora hata ya wewe umemtaja Mhe hayati Magufuli 👏
@gasparlubaga58662 ай бұрын
Magufuli alikuwa jembe sana
@jumahili81212 ай бұрын
Hongera sana mama Dr. Samia Suluhu Hasan
@malijawille4522 ай бұрын
Hongera kuanzisha nini hapo???
@user-ji7sy2wi7bАй бұрын
@@malijawille452mbona mnajaa chuki
@user-tg2jg7ul9n2 ай бұрын
Mungu amuweke pema peponi magufuli na atupetena kiongoz kama baba magufuli ln shaa Allah ❤❤❤
@Mr_Ben2552 ай бұрын
Ulivyo mtaja mh Magufuli mi na muita baba la baba umenifulaisha sana👍
@user-ji7sy2wi7bАй бұрын
Mmejaa chuki na sio uzalendo
@kamilikapeta25742 ай бұрын
Mahufuli magufuli kama ongekuwa siww ziwa kamahili fahali ya wa tz lisingeku wepoivi kuna wanyenyekeaa wazungu
@chrsmanmwaisango49022 ай бұрын
Umenifurahisha kwa kumuenzi father J.P.M
@mussamkalawa21012 ай бұрын
JPM ndo alikua the best present Sio kama saiz
@JacksonFrances2 ай бұрын
STAY BLESSED MH JOHN POMBE MAGUFULI [JPM], DAIMA TUTAKUKUMBUKA "
@marianmartin74832 ай бұрын
Bora umemkumbuka JPM baba. Huyo mwamba hapaswi kubezwa hata kidogo. Alitumia nafasi ya kazi yake kizalendo sana kuitendea kazi nchi hii.
@khamissaleh9217 күн бұрын
No muasisi ni JPM nyerere alikuwa MUOGA huyu JPM.alithubutu hongera kwake ..
@kidsontemba16412 ай бұрын
Kazi nzuri
@Rehemamakuka17 күн бұрын
Mbona hamutengenezi Barbara ya uko rufiji Barbara mbovu
@anthonypatrice52478 күн бұрын
RIP JPM, What you have done will speak for you salute JPM
@stewartmbeselambesela9092 ай бұрын
Watz mmekazan nakuwaz nani anapewa sifa ya mradi badala ya kuchanganua nini huu mradi utatusaidia mimi na wewe
@GibsonNtamamilo2 ай бұрын
Sasa mbona kama linaelekea kujaa zaidi ya uwezo wake si likibomoka ni hasara. Wapunguze maji hayo
@jumafarid88612 ай бұрын
Jamaa unasema wapunguze na unaona kabisa maji yanatoka upande wa pili kwer uwezi kuelewa hata picha 😂😂😂
@khamisihamadi6292 ай бұрын
ASANTE kwa kumtaja magufuli😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu awalaani walio muuzi
@user-ds7ho1my4u2 ай бұрын
Ni kumshukuru MUNGU wetu, Kwa Kuwa Kila Awamu ya Uongozi, Kuna Jambo lililofanyika, Likiwa zuri, au baya, Lakini lilifanyika, Kuna Wakati wa Kuzaliwa na Wakati wa Kufa, Wakati wa Kuowa na Kuolewa, Kuna Wakati wa Kucheka na Kulia, Kuna Wakati wa Maombolezo, na Furaha, Kuna Wakati wa Kununa, Kuchukia, Kwa hiyo Kila zama na matukio yake.
@emmanuelkanyela2752 ай бұрын
JPM alisema wati 2115 vipi hapo
@JohnTajewo2 ай бұрын
Hiyo nialama isiyofutika kwa jembe letu lakazi mwashimiwa JPM Mgufuli akika tutamkumbuka daima kwa kuuweka uzalendo mbele viongozi wanapaswa kuiga nyendo zake🎉🎉😢😢
@EmanuelyMbagalla-rt2vm2 ай бұрын
Kuna wapuuzi wanaogopa hata kutaja jina la Magufuli. Video nzuri sana! Wakati mwingine tutafutie aerial view ya bwawa zima ikiwezekana na eneo lote la mradi.
@ibrahimabdullah18872 ай бұрын
Je samia yeye kuendeleza hana thamani
@EmanuelyMbagalla-rt2vm2 ай бұрын
@@ibrahimabdullah1887 Thamani yake ni kubwa sana pia. Ila thamani yake huingia doa anapoacha wapuuzi walio wengi wanaofanya majaribio ya kuficha jina la Magufuli. Rejea hotuba za viongozi katika sherehe za kuanza kujaza maji bwawa, alikuja kutamka yeye jina Magufuli, kiasi unaweza kufikiri hakupenda pia.