JINSI YA KUHUDUMIA MICHE YA MATANGO

  Рет қаралды 8,316

AGALUS  TV

AGALUS TV

3 жыл бұрын

Zao matango lina hitaji huduma zote muhimu kama yalivyo mazao mengine. Mara baada ya mche kuota inabidi ufanye yafuatayo
👉Kagua kama miche yote imeota
👉Kagua kama imeanza kushambuliwa na wadudu. Kama wadudu wameanza piga Dawa mapema
#matango

Пікірлер: 27
@momadeomar4946
@momadeomar4946 3 жыл бұрын
Habari ndugu; nielekeze vipimo vya mbolea za maji kwenye tenki!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Maelekezo yapo kwenye mbolea husika🙏
@magesajoni5498
@magesajoni5498 3 жыл бұрын
Bengu gan zuli mwelimishaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Hybrid f1 za matango
@absayijonathan208
@absayijonathan208 2 жыл бұрын
Je vp kuusu kupulizia dawa n baada ya ck ngap baada ya mche wa tango kuota
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Jani ya 3/5
@godfreypitro1152
@godfreypitro1152 2 жыл бұрын
Samahi swali langu nikwa unapoweka mbungu jichin ukitiya majan ili iwe na unyevu itazuru mbengu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Subir hadi iote au weka Majani pembeni acha ka uwaz kdogo sana mbegu pakutokea
@kionehiza9022
@kionehiza9022 Жыл бұрын
Samahani je usipotengeneza matuta makubwa kuna madhara gani yatatokea? Au Kama imeshatokea unatakiwa kufanyaje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
KAma hakuna mvua basi haina shida matuta utumika kw eneo yenye kutuhamisha maji
@enocknicksonmutta4227
@enocknicksonmutta4227 10 ай бұрын
Unawekaje miti baada ya mbegu kuota tafadhi naomba msaada Kwa hili
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Ni kichomeka mti karibu na mche angalia ayo mazao
@valencegeorge3698
@valencegeorge3698 2 жыл бұрын
Naweza tumia mbolea ya wanyama?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kwenye kupandia sawa
@rachellusega8487
@rachellusega8487 Жыл бұрын
Upon wapi
@idrissuleiman5429
@idrissuleiman5429 2 жыл бұрын
nimepanda matango lkn yanauchungu ukila nataka kujua chanzo ni nn na jinsi ya kutatua ilo tatzo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Apo ni maji jitaidi kuongeza kiwango cha maji
@GOBAMUSHROOMTV
@GOBAMUSHROOMTV 7 ай бұрын
Mbolea gani hutumika kwenye matango?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
Kwa wakati gani
@rachellusega8487
@rachellusega8487 Жыл бұрын
Mpo wapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu ndugu kama unachangamoto tutasaidiana
@ramabazoka6542
@ramabazoka6542 3 жыл бұрын
Ntumie vedeos inayofatiaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Ucjali itakuja ndugu🙏🙏🤝🤝
@gracebenjaminnapokeakatika9565
@gracebenjaminnapokeakatika9565 2 жыл бұрын
Ni sumu gani hiyo unayoipiga mche unapaanza kukatwa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sumu za wadudu tu za kawaida vp unataka Jina lake au
@gracebenjaminnapokeakatika9565
@gracebenjaminnapokeakatika9565 2 жыл бұрын
Nilitaka kujua jina maana nilipanda maharage yamekatwa kama ulivoelezea huko labda nilikosea dawa ya wadudu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Kama ni Jina tuwasiliane wasap +255765467484
MAGONJWA YA PILIPILI HOHO NA JINSI YA KUDHIBITI : 02
13:02
AGALUS TV
Рет қаралды 6 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 6 МЛН
EXCLUSIVE NA NICOLE NAJISHUGULISHA NA KILIMO NALIMA SANA MATANGO
3:12
DAWA YA KUMDHIBITI MDUDU KANITANGAZE (BOKO HARAMU)
6:34
Floresta Tanzania
Рет қаралды 3,5 М.
UPANDAJI WA MATANGO: HATUA ZOTE
10:07
AGALUS TV
Рет қаралды 17 М.
KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI
15:16
AGALUS TV
Рет қаралды 59 М.
Jinsi  ya kupata kuku  wengi wa kienyeji
10:46
AGALUS TV
Рет қаралды 333 М.
SHAMBA LA MATANGO
2:28
Kilimo Na Biashara
Рет қаралды 10 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42