JINSI YA KUTUNZA MAHUSIANO NA WATU - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 32,736

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@dieudonnekayobera933
@dieudonnekayobera933 Жыл бұрын
From Burundi! Asante Sana Mpendwa Wetu
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Karibu sana
@samawatabdull
@samawatabdull Ай бұрын
Asante kaka Joel umenifanya nijijue mm ni nani na natakiwa kufanya nn natamani ningekujua mapema . Mm ni graphics designer . I wish siku nikuone live we ni mtu muhimu pia kwangu
@awamkhalid5361
@awamkhalid5361 Жыл бұрын
Uko sahih brother Mahusiano ya aina yoyote ni win-win stuation na hawa w2 watano ni vyema wawe wamejikita kweny kile uchofanya
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Kabisa kabisaa
@JanethMbwambo-mw1mi
@JanethMbwambo-mw1mi Жыл бұрын
Nmekuelewa vizuri sana broo , nmejifunza nilikuwa najiuliza sana ni kwann nashindwa kuhifadhinmarafiki nilikuwa nao, ahsnte sana Mungu azid kukutia nguvu.
@sadensalimodanger2835
@sadensalimodanger2835 Жыл бұрын
Mozambique country,good teacher.
@wanjamarwanja673
@wanjamarwanja673 9 ай бұрын
From Saudi Arabia Asante sana
@benardsemen646
@benardsemen646 Жыл бұрын
Huu ni uhalisia kabisa, kwa hakika hata mimi hii imenisaidia sana
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Duh! Kaka Joel wewe sio wa Dunia yetu hii ya kawaida. Maana unavitu wewe!!!???
@madabababesh6020
@madabababesh6020 Жыл бұрын
Ahsante kaka nimepata somo zuri
@majaliwawaziri8155
@majaliwawaziri8155 9 ай бұрын
Asante Sana Joel,sociology key to success
@petroracktz5594
@petroracktz5594 Жыл бұрын
Nakubali kinom iyo imeniingia kichwani
@janethlyimo6552
@janethlyimo6552 Жыл бұрын
Asante kaka!! najifunza vingi sana kwako, barikiwa
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Kwakweli hamna kitu kina kela Kama mtu kukutafuta wakati anashida,hii inakela watu wengi Sana,unakuta mpaka mtu awe anashida anatafuta kazi ndiyo anakutafuta,au unakuta mpenzi wako mpaka awe na shida na hela ndiyo anakutafuta, brother shukrani elimu unayotupatia,kwani unagusa maisha yetu.
@pauljeremia2431
@pauljeremia2431 Жыл бұрын
Brother uko vizur San, mengi najifunza kupitia ww na kuyafanyia kazi vile niwezavyo hakika yana msaada mkubwa San hakika hili ni zaidi ya Darasa
@user-wr9ty9ef8l
@user-wr9ty9ef8l 9 ай бұрын
Vizur xn braz kazi nzr
@ramadhanalmashamza3458
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Asante sana kaka ubarikiwe sana
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Nimeamua niishi mwwnye.na Mungu.wangu binadamu hawana shukrani
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 Жыл бұрын
Wewee ni mimii kabisaa yaanii
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa Ай бұрын
Sio wote hawana shukrani
@asajilesanga_3481
@asajilesanga_3481 Жыл бұрын
kuna baadhi ya vitu nimevifanya unconciously, sasa kumbe nimejua naweza kuvifanya kimkakati, asante sana brother #joel
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Kabisa, endelea kuvifanya
@emmanuelalute6835
@emmanuelalute6835 Жыл бұрын
Asante sana bro kwa mafunzo yako mazuri.....I'm proud of you...Mtanzania mwenye kutuwakilisha vyema sana kwa umakini makinifu..God bless you..
@deborahlusenga3574
@deborahlusenga3574 Жыл бұрын
Una mafundisho mazuri huwa ninayafuatilia, Mungu akubariki sana kaka Joel
@suzanayakobo2926
@suzanayakobo2926 Жыл бұрын
Nashukuru Sana SoMo Hilo Mimi nataka nifanye biashara napenda kutafuta maisha sipendi kutegemea Kira nianza naferi badotu sijachoka nawashirikisha watu wawili nikijakupata tatizo nilisha waambiatu hawapo namimi Tena wakijuatu nimepona Wana takatena tuenderee .Mimi saja pata mataji wakua wananishauri uza ng,'ombe tuenderee nafanyatena need mechoka Sasa nipe uerewa zaidi naomba kwako
@cheddykipingu8087
@cheddykipingu8087 Жыл бұрын
My mentor 🙏
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 11 ай бұрын
God bless more br🙏🙏🙏
@speciozakaloli
@speciozakaloli Жыл бұрын
Nimekuona tu juzi Mungu akubariki
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 Жыл бұрын
Mi Nishafeli mpaka hapoo system hyo ishanifelisha saanaa
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Barikiwa sawa bro unakuza mawazo yetu Kila siku. From Arusha.
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Natamani cku moja nihudhurie semina zako
@shafannaftary9485
@shafannaftary9485 Жыл бұрын
Blessed brother Joel.
@afyamakini2292
@afyamakini2292 Жыл бұрын
Asante brother Joel ubarikiwe
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Asantensana kaka kwa somo.zuri barikiwa sana
@babuji4357
@babuji4357 Жыл бұрын
Uko vizuri kwa mafunzo Bro bless you 🙏
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@ea1774
@ea1774 Жыл бұрын
Namba 3 naitumiaga🙏
@giftmkangala8867
@giftmkangala8867 Жыл бұрын
Incredible
@fundivigaetzchannel1899
@fundivigaetzchannel1899 Жыл бұрын
Ahsante sana Kaka 🤝🙏
@witnesstarimo2049
@witnesstarimo2049 Жыл бұрын
Nakupenda Sana Kaka Noel Mungu akubarikii
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Joel sio noel
@boscobalame8018
@boscobalame8018 Жыл бұрын
Be blessed Teacher
@mc_turuka
@mc_turuka Жыл бұрын
Nazidi Kuwa mpya Kila SIKU kupitia kwako kaka Nanauka
@mutaluckson5370
@mutaluckson5370 Жыл бұрын
Asante saana👏🙏
@mayramali9087
@mayramali9087 Жыл бұрын
Shukran kaka
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ipo Bomba
@layking6382
@layking6382 Жыл бұрын
Nakuelewa Sana kaka
@joharikillasa584
@joharikillasa584 Жыл бұрын
Thanks much brother
@neemambinhe4811
@neemambinhe4811 Жыл бұрын
Asante sana Joel. Umekuwa msaada sana kwangu. Natamani niwatunze watu muhimu
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Amen Nashukuru sana NEEMA, tuendelee kujifunza
@Gody360
@Gody360 Жыл бұрын
Kweli kabisa ✊🏽✊🏽
@loiceomwola7451
@loiceomwola7451 Жыл бұрын
Asante...
@Mlevimedia
@Mlevimedia Жыл бұрын
Boss wangu atakoma sasa
@omarjuma1794
@omarjuma1794 Жыл бұрын
#JoelNanauka Jenius By Discovery
@peterswai391
@peterswai391 Жыл бұрын
Nice lesson 👍 God bless more brother Dodoma City Tanzania
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Ameen
@georgiaruhinda1704
@georgiaruhinda1704 Жыл бұрын
Thank you very much ,Mr Joel ,nimejifunza mengi nitahitaji msaada wako zaidi if you have whatsApp
@shafiwaters
@shafiwaters Жыл бұрын
Naona ushasema Kila kitu la kubakia naona zawadi inachukua nafasi kubwa wa kuleta practically
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
KWANZA NAKUPONGEZA KWA KALAMA YA UFAHAMU, NAMKUMBUKA AHITHOFELI 2SAMWELI 16:23. MASHAURI YAKE YALIKUWA KAMA MTU AULIZAVYO KWA NABII WA MUNGU, NIMENUNUA VITABU NA KUWANUNULIA WATU KUTOKA DUKA LAKO LA NJIAPANDA CHUO KIKUU, ILA NINA HAMU YA KUONANA NA WEWE, SIJUI KAMA INAWEZEKANA, NILIJARIBU KIPINDI CHA HAPO NYUMA UKAWA SHULE...MUNGU AKUFADHILI NA ENDELEA KUKUA KTK UWEZO,
@alexpatrice3109
@alexpatrice3109 Жыл бұрын
Sas kaka angu inakueje pale unapomtafuta au umemtumia text afu asijibu na akwambie sababu ya kutojibu text sio unamtafuta mara kwa mara hapana unanisaidiaje kuhusu hili??? Please
@joachimngwano816
@joachimngwano816 Жыл бұрын
Just a question,hao watu wa 5 wa muhimu inajumuisha na wazazi?
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔
@alexpatrice3109
@alexpatrice3109 Жыл бұрын
Na asikwambie sababu ya yey kutojibu text
@lesusi7872
@lesusi7872 Жыл бұрын
Hv mi nauliza huyu joeli elimu yake anaichukulia wapi mbona anavyovifundishwa ni vipya kila cku na sijaona mbadala wake
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Anasoma sana vitabu.na anajua kueleza mambo mbalimbali.si wote wana huu ujuzi.
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 Жыл бұрын
Yan mwaya mi naonaga Ni malaika wa BWANA maana co bure kwakweli,wangap wanasoma vitab na hawatupi elim kama hii,asee amebarikiwa sana had Raha an
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Kaka yangu mie hao 5 Wameniita.mchawi kisa.nawapenda Nawasidia ktk.shida.mbalimbali wanasema eti.nafunika.kombe mwana haramu hapite.
@johnemmanuel7805
@johnemmanuel7805 Жыл бұрын
Pole dada yangu.Unapotenda mema unatenda Kwa ajili ya Mungu.Usife moyo ndugu yangu.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nice
KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO: JOEL NANAUKA
11:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
MATOKEO YA PESA UNAZOZIPATA - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 26 М.
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
JINSI YA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WATU
9:05
Success Path Network
Рет қаралды 2,3 М.
USIJIONE UMECHELEWA - JOEL NANAUKA
5:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
LIFE WISDOM : JINSI YA KUPATA UNACHOKITAFUTA - JOEL NANAUKA
15:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako
7:52
Limbwata la Simu atakupigia na kukutumia message ndani ya DAKIKA 5 tu
7:49
MAAJABU YA UNIVERSE
Рет қаралды 93 М.
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН