Shangwe la Jubilei Singida Lawainua Viongozi na Masista, Wacheza Mziki kwa Furaha Mbele ya Maaskofu

  Рет қаралды 74,618

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GZCvnqJ2KPf...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 56
@danielmatya373
@danielmatya373 7 ай бұрын
Much congratulations kwa Thadei Mkuki Baba yangu wa ubatizo na kipaimara kwa utunzi wa nyimbo nzuri Hongera wanasingida wote
@oceanlove6691
@oceanlove6691 Жыл бұрын
W kristo wanapendeza sana
@AnnaWilliam-zi4zb
@AnnaWilliam-zi4zb 2 ай бұрын
Hongeren sana wanasingida
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 Жыл бұрын
Hongera sana wana Singida. Mungu atukuzwe. Jubilei imefana sana. Watu wote wa Mungu wamefurahi.
@marylazaro8907
@marylazaro8907 Жыл бұрын
Wow!!!! Nimemwona mama yangu mkubwa Sr Basilisa,,,safi Sana mmependeza na mna Furaha sana
@AnnaWilliam-zi4zb
@AnnaWilliam-zi4zb 2 ай бұрын
Hongeren sana wanasingida❤❤❤ 7:04
@claud978
@claud978 Жыл бұрын
Mungu ni mwema jaman wanasingida tumetisha Mungu ataendelea kutubariki na ataendelea kubariki Jimbo letu, Maria mtakatifu mama wa Mungu, utuombeee
@reonardchatanda6371
@reonardchatanda6371 Жыл бұрын
Hongereni sana ndugu zangu. Jubilei imependeza, imenoga Mwenyezi Mungu awabariki sana.
@niriacatering172
@niriacatering172 Жыл бұрын
Wow hongera sana Wana Singida
@roselyneachieng7638
@roselyneachieng7638 5 күн бұрын
Hongera Kwa miaka 50 mwenyezi Mungu azidi kutukuzwa
@petromalimi6667
@petromalimi6667 Жыл бұрын
hongereni sanaa wana singida kwa jubiliee iliyofanaa na mungu atukuzwe milele
@user-zz1ro6oj3e
@user-zz1ro6oj3e 6 ай бұрын
Waoo kumenoga 😊😊😊😊😊😊😊
@venseslausmtanila1766
@venseslausmtanila1766 Жыл бұрын
Jubilei singida. Umoja na upendo.
@lutigardkomba1215
@lutigardkomba1215 Жыл бұрын
Ni bahati Sana kushiriki matakatifu ya Bwanaaa
@user-zz1ro6oj3e
@user-zz1ro6oj3e 6 ай бұрын
Amina😊😊😊
@AnnaWilliam-zi4zb
@AnnaWilliam-zi4zb 2 ай бұрын
Nayanja inoo huu ndo utamaduni tunatakiwa kuwa nao sikuzote tusizipoteze mila na tamaduni zetu daima
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Hongera sana wana Singida. Nemependa sanaa. Mungu azidi kubariki jimbo lenu na juhudi zenu ktk kulijenga
@sarajoseph1350
@sarajoseph1350 Жыл бұрын
Wakatoriki hatunaga ubaguzi tupendane jamani
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 Жыл бұрын
Hongereni sana Wanasingida kwa Jubilei ya Miaka 50
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 Жыл бұрын
Hongereni sana Mungu awabariki sana 🙏
@user-ku2wp6my7b
@user-ku2wp6my7b 2 ай бұрын
Jmn hongereni
@davidmsike3895
@davidmsike3895 Жыл бұрын
Raha sana
@cletusmwanauta9798
@cletusmwanauta9798 Жыл бұрын
Safi kabisa,hakika imendeza sana
@jacsonbayyo3482
@jacsonbayyo3482 Жыл бұрын
Hongereni sana watu wa Mungu
@danielbarickmunishi3785
@danielbarickmunishi3785 Жыл бұрын
Alafu vitu kama ivi viwekeni kwa platform tofauti na KZfaq siyo tuzipakue ata tukiwa atuna data tuna enjoy tozo
@mukafumumukafumu6100
@mukafumumukafumu6100 Жыл бұрын
Hongereni sana
@kolimbajckson7117
@kolimbajckson7117 Жыл бұрын
Hongereni sana sana wana singida
@monicamoshi5897
@monicamoshi5897 Жыл бұрын
Hongera sana wana Singida....viongozi wa siasa padre paterni safi sana heshima kwenu
@mmmichaelpeter9629
@mmmichaelpeter9629 Жыл бұрын
Waoooooo jmn congratulation
@jefforamisi7644
@jefforamisi7644 Жыл бұрын
Hongereni Sana na mungu awambariki sana
@stephenjuma7846
@stephenjuma7846 Жыл бұрын
Proud of my Singida 😘
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Hongera san San 50 ya nguvu
@Njambilo_na_wazazi
@Njambilo_na_wazazi Жыл бұрын
mzee wa tozo namuona
@peterantony5890
@peterantony5890 Жыл бұрын
Hivi hapo ni Singda au Burundi?
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 Жыл бұрын
Dini na siasa mmmmh 🥺🤔🤔
@josephignas3988
@josephignas3988 Жыл бұрын
Hujui kwamba mfumo wa siasa na dunia upo chini ya dola ya kiroma indirectly? . Km hukuweza kujua nmekufahamisha
@thomaskiula129
@thomaskiula129 Жыл бұрын
Ukhaya vija aso
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 Жыл бұрын
Kanisa lasasa limekua majukwa yasiasa ndomana Imani imekufaa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Na ndio maana shetani anazidi kupata ushindi Kwa kuwanyakua kondoo wa bwana Kwa uzinifu, ulevi, ulawiti, mauaji, wizi n.k kwasababu jukumu la Msingi la viongozi wa dini la kuwahubiria watu waache dhambi limeachwa mbali!!
@billgussy6099
@billgussy6099 Жыл бұрын
Na wewe unaitwa frank warembo na una koment duh
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 acha mawazo mgando wana siasa pia ni watu Mungu inategemea siasa yako imeibebaje kitu mtu anaruhusiwa kumtukuza Mungu wake popote alipo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@rosetreffert4179 mtoa hoja ametoa hoja ya Msingi sana katika kuelekea kutatua tatizo, wewe sasa ndio unataka kuleta hoja za kijinga,,,,anyway! Kwakuwa inaruhusiwa na katiba kutoa maoni, basi tunapaswa kuyaheshimu hayo maoni yako hata kama ni ya kijinga!!
@stephanominja8927
@stephanominja8927 Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 Ndg yatendekayo leo hayatuamuru kuacha ushirikiano na viongozi wa Nchi, alafu yalitabiriwa hivyo tuliombee taifa na dunia kwa ujumla
@stephanomsuya9414
@stephanomsuya9414 Жыл бұрын
Madhabahu ilikuwa ya wenye moyo safi ila sikuizi hadi wanasiasa wanajiachia hapo hapo😅
@sylvesterkwembe3686
@sylvesterkwembe3686 Жыл бұрын
Zab 150:1-6 👇👇👇👇👇👇 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi; Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi; Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana. Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.
@editamujuni94
@editamujuni94 Жыл бұрын
Amina
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Eeeeee pole sana, sasa wasiasa wamefanya nini hapo? Anecheza kama muumini au kama mwanafamilia wa Mungu.
@sylvesterkwembe3686
@sylvesterkwembe3686 Жыл бұрын
@@sarafinafranci8481 "Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.Haleluya".
@editamujuni94
@editamujuni94 Жыл бұрын
Madhabahu ni yawatu wote...wenye haki na wasio haki kupata rehema.Unataka waende kwenye viringe vya waganga?
@rafaelsaqwaret9625
@rafaelsaqwaret9625 Жыл бұрын
Hongereni sana
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Hongera Sana Wana wa Mungu.
kanisa la walevi tu! papa wa kanisa hilo abatiza kwa pombe
4:12
WATOTO WALIVYOIPAMBA YUBILEI YA ASKOFU IRINGA
4:20
Prudence Rweyemamu
Рет қаралды 9 М.
BABA AMTOA KAFALA MTOTO WAKE/MAMA AMTAKA MWANAE ARUDISHWE
9:48
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 90 М.
NONDO ZA Pd Dkt. KAMUGISHA KWA WANAHIJA SUKAMAHELA SINGIDA
44:43
PRECIOUS BLOOD TV
Рет қаралды 8 М.