KAKA YAKE FEI AFUNGUKA ISHU YA FEI TOTO KWENDA SIMBA TUMEJIPANGA KURUDISHA HESHIMA YETU YANGA TATIZO

  Рет қаралды 17,444

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Ай бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 49
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Ай бұрын
Kama Mayele aliondoka na benchi lote la ufundi hivi Feitoto ni nani? Ni kweli ni mchezaji mzuri lakini hana adabu wa shukurani na hii tabia ni ya kimalezi kwa sababu hata mamake alitumia kauli ambazo usingetegemea kutoka kwenye kinywa cha mwanamke mwenye haiba yake. Simlaumu sana Feitoto bali watu wake wa karibu wanampa ushauri mbovu na wanashindwa kumwonya kwa kuogopa kuenguliwa kwenye maokoto.
@LassonDominick
@LassonDominick Ай бұрын
Wewe nae unasema usilo lijuwa!!!!!!! Hivi fei kakufanyia nn hadi umulaum hivo kama vile alikutukana jaman???
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 11 күн бұрын
Wekaka ukorofa uyorofa mudogo wako hatuumikitu NG.o wallabies fei toto hatumuririyi tunamushuru Allah yegutoka Yanga🤪🤪🤪🤪🤪🤪wenjo unamuona wamana yooooooookombe linawauma musaraigne omoplates fei arifanya nini atahangayika ivoivo kwanza anamikosi agitoka Azam watapata baraka acakuturushiya mate bumbafu wenishoga kwri nabinagufanana hoshiiiiiiiiiii🤪🤪🤪🤪🤪🤪
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 11 күн бұрын
@@LassonDominick Nitakuwa mwehu kusema nisilolijua. Kwani kusema alilishwa ugali na sukari sio tusi au dharau? Haya Kayataka mwenyewe . Kwani akiondoka bila kutuksna na kudharau watu anakosa nini?
@DevidMfipa
@DevidMfipa 7 күн бұрын
Karibu msimbaz😂
@JoseMtewele
@JoseMtewele 27 күн бұрын
Kalibu msimbazi fei
@akrajackson854
@akrajackson854 29 күн бұрын
Kila familia nasikia ina mbumbumbu na mwwndawazimu mmoja!😂
@LeonardMayala-gv1yx
@LeonardMayala-gv1yx 8 күн бұрын
Ogea baba waambie hao wajiga
@Damasioconstancio
@Damasioconstancio 2 күн бұрын
Adi chama Ana mizamu uma tumeishinao adi tnamuacha
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Aaaaa! Yanga ni mashetani Hawanaga shukurani ni wachawi mayele alisema
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla Ай бұрын
Ulitumwa usikilize
@lemamolelilemamoleli7740
@lemamolelilemamoleli7740 8 күн бұрын
anachuki wanayanga mnamboyoyo sana
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 Ай бұрын
Safi sana luzinyoo mlete mdogo wako FEI TOTO unyamani💪💪💪#SIMBA nguvu moja
@LeonardMayala-gv1yx
@LeonardMayala-gv1yx 8 күн бұрын
Muachen mwana simba aogee
@LeonardMayala-gv1yx
@LeonardMayala-gv1yx 8 күн бұрын
Joo Simba dogo achana na yaga wajiga 2
@PauloMole-lv4tf
@PauloMole-lv4tf Ай бұрын
wewe Fala kweli sasa kaongea nini kibaya mpaka umtukane
@chng1990
@chng1990 Ай бұрын
Kwanza hujui boli coz Azam ashashiriki champions league alafu Dogo lako mtovu wa nidhamu kugomea kuvaa medal
@SimonSamson-wp5ik
@SimonSamson-wp5ik 28 күн бұрын
Yanga ni Taasisi na timu ya wananchi sio timu ya mtu na hayupo aliye juu ya yanga zaid ya wananchi wenyewe Fei toto mchezaj wa kawaida sana na ndo maana alivyoonyoondoka yanga imepga hatua zaid sisi ndo yanga sasa kama ni Bora katakiwa na timu Gani hapa afrika zaid ya madunduka yeye aende na kuwakanda kupo palepale nje ndan 😂😂
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 29 күн бұрын
Wape wape ni kweli wanaomsema sanaa wana wivu tu mtoto anawauma
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Wewe kakayake ndo unaemdanganya Yanga hawanashida na Fei. Fei anataka aonekane bora kwa Yanga. Ishara aliyofanya ni sawa? Tumchekee kwa ujinga huo.
@Damasioconstancio
@Damasioconstancio 2 күн бұрын
Acha majungu ww umechukuwa chama wanasimba wamesema nn
@akrajackson854
@akrajackson854 29 күн бұрын
UGARI NA SUKARI!!!
@FatmaSalm-jn4xu
@FatmaSalm-jn4xu Ай бұрын
Wewe kaka nimbaya wa fei hajajuaa tu naunamfanyia ushirikina asikukundue kama wewe ndio mchawi wake eti biidhinni llaah unaijua dini wewe wewe nimnafiki sana unamgombanisha mdogo wako na viongozi wake hakuna shabiki wa yanga ambaye hampendi fei kwataarifa yako fei nikipenzi Cha wanayanga kama hujui
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Nakushauri ndg kama wewe kweli ni kaka yake ,acha kumwaribia fei maana ni mchezaji.ujui mawazo ya fei wala mawazo ya yanga
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Sijawai kuona timu yenye Mashabiki wa hovyoo kama yanga mtu kahama Bado mnamganda daaaa amakweli nyinyi mnaroho ya kichawi sana hebu mwacheni huyu kijana.
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Ай бұрын
Hakuna anaye mganda Feitoto bali Feitoto anajigandisha mwenyewe. Sasa kuacha kuvaa medali Yanga anahusikaje? kwani wale walovaa sio wachezaji kama yeye? Huyu mtoto amejiweka kwenye kiwango ambacho ni cha juu kuliko watu wanavyomwona na hii itamsumbua sana hasa pale anapofanya vibaya. Mchezaji makini hana muda na mashabiki wa Timu pinzani jukwaani bali na wachezaji wa upinzani uwanjani. Mpira sio kama mziki kwamba unatakiwa kucheza na jukwaa. Fei ni mtoto wa kiume hebu aache taarabu na ushamba acheze mpira alinde kipaji chake.
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 9 күн бұрын
yanga machizi cnyie vyura fc fei katulia akini mitahira ya yanga yanaumia kwelikweli mbumbumbu mishabiki ya yanga muwacheni mtoto wa kizanzibar atulie
@mirajihaji9520
@mirajihaji9520 Ай бұрын
Wewe kaka yake kama ni kweli ndio unaemueka pabaya. Si dhani kama unamuongoza vyema. Unamponza!!
@FatmaSalm-jn4xu
@FatmaSalm-jn4xu Ай бұрын
We ni mjinga kweli mishavu kama kam unachochea mchuzi wa pweza
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Hatuna hata shida naye huyo feo
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Huyu ana chuki mno kwa yanga utafikiri yy ndio mwenye uchungu kuliko fei
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Umeongea point sana blaza
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Hana point huyu. Anavizia hela ya mdogo wake kupe huyo
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Yanga si watu wazuri wao ndo wamesababisha bandari zetu ziuzwe zoote
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Ай бұрын
Tuombe tu watusajilie wachezaji ambao wenye chachu nanembo yasimba wenye kuipambania nembo ya simba
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 Ай бұрын
Mashabiki wa SIMBA huwa wanajitoa sana siyo wa🐸🐸🐸 wameamka kwa ajili ya matokeo tu na wengine bendera kufuata upepo😂😂😂#SIMBA nguvu moja
@kamazimamuganyizi6932
@kamazimamuganyizi6932 Ай бұрын
Maneno unayoyaandika apa yanatoa taswira ww ni mtu wa vipi kueni wastaarabu
@Ibbz-sk3vv
@Ibbz-sk3vv Ай бұрын
Jamaa ume0ngea p0ints sana
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 Ай бұрын
hata aende uarabuni
@omarysalim2851
@omarysalim2851 Ай бұрын
Huyu nae apeleke ushoga wake huko atasijui anaongea nn
@HajiAlly-fl1dm
@HajiAlly-fl1dm Ай бұрын
Kwahiyo unataka aongee unachotaka ww sio acha matusi
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Yanga walimwacha Fei?? Kweli na wewe zuzu!!
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 Ай бұрын
unajuaje waliongea ni Yanga
@BTAZANZIBAR
@BTAZANZIBAR Ай бұрын
Huyu Jamaa Bobo nyingi Hana uwezo wa kuongea kwenye media, ni mbumbumbu sana huyu jamaa
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 Ай бұрын
ni hilohilo best looser ndiyo maana anacheza mshindi wa tatu
@user-hs7um1rf8s
@user-hs7um1rf8s Ай бұрын
shoga wewe mgongowazi kelbu
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 Ай бұрын
Wewe ni Simba usidanganye watu kombe la shirikisho no la loosers bwana wewe.
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx Ай бұрын
Yanga matapeliiiiiiii nkonkoni naye amewapa siku 15 wasipompa pesa yake anawapeleka FIFA
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 46 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 43 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,3 МЛН
GB64:HUYU HAJI MANARA ANARUDI KUIMALIZA SIMBA
8:10
Mawengi TV
Рет қаралды 74 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН