Kampuni inayotumia funza kutengeneza chakula cha mifugo na mbolea Tanzania

  Рет қаралды 9,101

BBC News Swahili

BBC News Swahili

3 жыл бұрын

Kampuni ya Biobuu iliyoko nchini Tanzania imekuwa ikitumia takataka kuwalisha funza/nzi ambao baadaye wanageuzwa kuwa chakula cha mifugo na mbolea. Haya ni makala ya Teknolojia Janja kutoka kitengo cha BBC Biashara

Пікірлер: 16
@abbasjuma6976
@abbasjuma6976 6 ай бұрын
Habari yako. Nawezaje kujifunza kwa ajili ya kulisha mifugo yangu
@susanemora687
@susanemora687 3 жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu wako
@kadilisagudadaniel4999
@kadilisagudadaniel4999 3 жыл бұрын
Brilliant!
@mzeewakudownload5166
@mzeewakudownload5166 3 жыл бұрын
Safi sn bonge la aidia alafu mtaweza kutusaidia Miji yetu
@LulendiSabbi-kr3qz
@LulendiSabbi-kr3qz Жыл бұрын
Ninatamani kujifumza zaidi toka kwenu
@mosesojuma9783
@mosesojuma9783 Жыл бұрын
How much do sell the eggs, i need them
@mosesojuma9783
@mosesojuma9783 Жыл бұрын
Where are you located in Kenya?
@kevingay9525
@kevingay9525 2 жыл бұрын
Kweli harati kama hizi ni muhimu kwa Africa ambapo magonjwa mengi ni mazingira machafu lakini vijana wakiwekeza ktk miradi kama hii ni faida kwa pande mbili.
@geoffreyrutihinda4827
@geoffreyrutihinda4827 2 жыл бұрын
mnapatikana wapi hapa Dar es salaam
@martinredisony4694
@martinredisony4694 2 жыл бұрын
Mimi nataka kujifunza hii kaz
@aljabery.binruz
@aljabery.binruz 3 жыл бұрын
Machine Ina cost ngapi for full production?
@mpahukaemmanuel9957
@mpahukaemmanuel9957 Жыл бұрын
Do you sell BSF eggs?
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
Wipi kudhibiti athari za kusambaza maradhi zinazoletwa na Enzi
@geoffreyrutihinda4827
@geoffreyrutihinda4827 2 жыл бұрын
Nahitaji hiya mbolea mnapatikana wapi na nawaza kuwapataje
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 2 жыл бұрын
Naomben namba zenu
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
Ni Faraja kuona bawa lenye faida la Inzi...Ama kweli Mungu ameumba kila kitu kwa jozi, (viwili viwili). Faida kwenye Inzi.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 111 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
Mbolea ya Siku 18 aina ya Mboji
9:08
SJS Organic – Centre for Excellence
Рет қаралды 4,3 М.
Rotten Meat to Chicken Feed in 4 days | Black Soldier Fly Farming
17:07
AIM Agriculture Farm
Рет қаралды 149 М.
SUA kuzalisha Nzi Chuma kama chanzo cha Protini kwa Samaki, Kuku
14:01
SUA MEDIA TANZANIA
Рет қаралды 2,1 М.
The Geography of Fruits PART 2
13:06
Atlas Pro
Рет қаралды 618 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:17
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
FAIDA 8 ZA  MKAA KWA KUKU
8:27
AGALUS TV
Рет қаралды 192 М.
WADUDU WANA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI KWA AJILI YA KUKU NA SAMAKI
8:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 14 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 111 МЛН