Kupigwa Risasi Tundu Lissu | Maelezo ya Waziri Bungeni

  Рет қаралды 182,570

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

5 жыл бұрын

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa ufafanuzi bungeni kuhusiana na tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu , kupotea kwa watu mbalimbali akiwemo Azory Gwanda na Ben Saanane pamoja na matukio ya utekaji.
Msikilize

Пікірлер: 375
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 жыл бұрын
Bomba la Maji Machafu ni afadhali.
@adielymwarabu5474
@adielymwarabu5474 3 жыл бұрын
Mungu anampenda lisu kuliko hata mnavomfikiria
@nelsonsimtowe4268
@nelsonsimtowe4268 5 жыл бұрын
Kuna kitu najifunza je mkoloni mweupe na mweusi bola yupiii ......nini maana ya colonialism and nationalism we have to change the meaning
@williamgideme2689
@williamgideme2689 2 жыл бұрын
Ama kweli mwovu hakosi kujidanganya. Mungu atakushughulikia na bado.
@albertmichael8675
@albertmichael8675 5 жыл бұрын
Huo sio uchonganishi,ni kudai haki
@michaelmponeja2102
@michaelmponeja2102 5 жыл бұрын
Ney wa mitego, umeimba kweli
@brunomatalu6232
@brunomatalu6232 5 жыл бұрын
Yesu alipokuwa akijaribiwa, shetani alitumia maandiko matakatifu kumshawishi lakini shetani alimshinda kwa neno.. kumbe shetani anaijua biblia ili apotoshe watu. sasa ameshindwa kupotosha, anatamani tupotoke na sisi tumeujua upotofu wake hatuufuati tena.shetani we baki kuwa shetani lakini ukweli utabaki na Mungu wetu. we Mungu unamjua mtekaji na aliyempiga lisu risasi.
@mgogomgogo7266
@mgogomgogo7266 4 жыл бұрын
Huna issue wew matako tu
@josephchuwa3532
@josephchuwa3532 5 жыл бұрын
wananchi tunaitaji majibu hao watu walipo atutaki siasa
@meckumeme6701
@meckumeme6701 5 жыл бұрын
Mhhhhhh napita
@danieliwilsongurty
@danieliwilsongurty 5 жыл бұрын
Kweli mnataka tusema kuwa eti Mungu hayupo ndio manana mnafanya mnafanya mnavotaka ngoja niwambie damu za Mwanadamu haipotei bure Mungu atawajibu wale wanaowaotea na kuwaua kwa malipo ya hukumu sisi hatuwezi lakini Tunamkabidhi huyo Farao Mungu atamwajibisha na watu kushuhudia Kama ilivyo kwa farao na wamisri ili iwe fundisho hata siku ya wao kuishi bila kutenda jambo hilo tena kamwe
@alcherausmalinzi2033
@alcherausmalinzi2033 3 жыл бұрын
Yanatimia sasa
@elizasitvin3174
@elizasitvin3174 5 жыл бұрын
Ulipaswa kuamlizi wa bunge.Haufahi kabisa.
@delphinusrwebembela3419
@delphinusrwebembela3419 4 жыл бұрын
hii kitu ni wakati tu siku moja kila mtu atajibu peke yake
@josephkisura8898
@josephkisura8898 Жыл бұрын
Mungu utuhurumie tu .ila yote Kwa yote tumuachie mungu
@exaverymchilo5721
@exaverymchilo5721 5 жыл бұрын
Iv waziri ukosirias kweliiiiii????? Maswali magumu mnajibu kirahis
@adielymwarabu5474
@adielymwarabu5474 3 жыл бұрын
Mpango wenu kwa lisu umegoma kwa uwezo wa mungu
@geofreymillanzi3491
@geofreymillanzi3491 5 жыл бұрын
Huo ndo mwisho wa uwezo wa kufikiri, inasikitisha Sana
@mandagokigge4742
@mandagokigge4742 5 жыл бұрын
Ktk mawaziri wa hovyo huyu ni mmoja wapo yani watu kupotea mtu kupigwa risasi wewe unachukulia ni jambo jepesi tu mpaka unatolea mfano nchi nyingine hivi tupo sirias kweli serikali inachonganishwaje na wananchi
@piusmnanka8214
@piusmnanka8214 Жыл бұрын
Mungu ni Mkuu sana...!..Alishawapa jibu... Mungu hapendi ujinga.
@salmamasuod1472
@salmamasuod1472 5 жыл бұрын
watanzania tunaakili na atuwez kuchonganishwa tunachotaka ni ukweli wa mambo yanayoendelea ndani ya nchi yetu acha siasa.
@linusmakut6732
@linusmakut6732 5 жыл бұрын
Magufuli kunawatu hawafai kuwekwa katika madaraka huyu hafai
@benpeterchatanda2154
@benpeterchatanda2154 Жыл бұрын
Ukisikia. Propaganda ndio hzi...hta mtu ambae hajasoma anaweza kuelewa. Tulio soma Cuba tunajua.... Mbona pakuanzia Pako wazi TU auulizwe Boss Wa polis nani aliwatoa walinzi pale wakt pale panalindwa masaa 24 pili nani alitoa camera...pale...mtu wa kumbana alikua ni boss Wa polis aseme kwnn alitoa walinzi cku ya tukio hoja kutaka lisu arudi au dereva wake Ma mbugila utine TU ndio watukubali
@mwajumaseleman7171
@mwajumaseleman7171 5 жыл бұрын
Kweli utawala huu tumepatinaka..."
@mwanahella9650
@mwanahella9650 5 жыл бұрын
😆😆na tunanyooshwa haswa.. Lkn yana mwisho haya si yakudumu
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 жыл бұрын
Mwajuma Seleman 😀😀😀😀😀😀🙌
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 Жыл бұрын
Alikua anamfurahisha boss wake...
@albertmichael8675
@albertmichael8675 5 жыл бұрын
Yan we mzee kuna akili huna hv mnaona cc wananch akili hatuna
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 5 жыл бұрын
Semeni watu wako wapi. CCM wauaji, watekaji, wezi na wanafilisi Watanzania.
@georgebongi4844
@georgebongi4844 Жыл бұрын
Waziri wa hovyo kuliko waziri yeyote aliyewahi kutokea hapa inchini
@patiencekelvin4453
@patiencekelvin4453 5 жыл бұрын
Kweli
@borndorminant2701
@borndorminant2701 5 жыл бұрын
It is written.. Be not deceived; God is not mocked: for whatsoever a man soweth, that shall he also reap. Galatians 6:7
@angelojeremiah7834
@angelojeremiah7834 2 жыл бұрын
I realize I'm kinda off topic but do anybody know of a good website to stream newly released series online?
@angelojeremiah7834
@angelojeremiah7834 2 жыл бұрын
@Johnathan Edwin Thank you, signed up and it seems like a nice service :) I appreciate it!!
@johnathanedwin6696
@johnathanedwin6696 2 жыл бұрын
@Angelo Jeremiah Happy to help :D
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 Жыл бұрын
That's True biblically
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology Жыл бұрын
Lazima.na.wee.utekwe
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Tumepata uhuru mapema sana Afadhali tungeendelea kutawaliwa tu na mkoloni sababu kama viongozi wenyewe ndio kama hili bepari ni hatari
@abubakarhamad1116
@abubakarhamad1116 3 жыл бұрын
Atajibu kwamungu
@emanueldunia0014
@emanueldunia0014 Жыл бұрын
Big thinking
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmm sihamini macho na masikio yangu.
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 жыл бұрын
....Mungu wangu....Yesu Wangu na Maria....Mungu Atunusuru Waafrica kiukweli I say😭😭😭*••
@joshuakamu196
@joshuakamu196 3 ай бұрын
Mungu anakuona
@henrykimaro6842
@henrykimaro6842 5 жыл бұрын
"Uwii! Pazia
@asifiwemgeni2400
@asifiwemgeni2400 5 жыл бұрын
Wazir uko vizuri majibu yameeleweka
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 5 жыл бұрын
Mzee mm nakuombea ww mwenyewe upoteee kwanza na watu wasiojulikana
@anicethy6978
@anicethy6978 Жыл бұрын
Huyu na hao wanaomshangilia Ni watanzania Kweli?Mungu atunusuru.
@user-bl3go5yr8u
@user-bl3go5yr8u Ай бұрын
Omba sana yasikukute yasikukute unachukulia poa utekaji na uuaji
@lewiskelvine6808
@lewiskelvine6808 5 жыл бұрын
Duu hayo majibu ya kipumbavu sana sijaona jibu apo n kutuletea ujinga hapa Tuambie camera zilipelekwa wapi That is Big ishu co kumtaka dereva msituchoshe saiz Na walinzi wa bunge walikua wapi???
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 5 жыл бұрын
lewis kelvine mbona jibu la swali lako ni rahisi wanazo police kwa ajili ya ushahidi! problem solved.
@suitstv5889
@suitstv5889 5 жыл бұрын
Huu siutani jamani hii nn? Majb mepes kiivo kwer!
@ahmedlubuva5023
@ahmedlubuva5023 5 жыл бұрын
ivi mh.raisi huwa anamsikiliza huyu waziri na anamuelewa kabisa
@mosesmwakalibule9904
@mosesmwakalibule9904 5 жыл бұрын
Daaaah kweli naona chenga chenga kwenye tivii yangu
@prospermalala6636
@prospermalala6636 Жыл бұрын
Mzeee alilishwa maneno 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@abdyup-d5108
@abdyup-d5108 5 жыл бұрын
Tupac alipigwa risasi kwenye nyumba za serekali au mtaani wewe kangi piaunahusika kuuuwa watu mpuuzi mkubwa
@alihassani8668
@alihassani8668 5 жыл бұрын
Hana point
@benardmarwa755
@benardmarwa755 5 жыл бұрын
Huyu Mzee nitamtaftia Ugolo avute
@justbrightness3825
@justbrightness3825 5 жыл бұрын
Yaaaaaani....... wewe ndiye waziri mpuhuzi saaaana. Hufai.
@shakilaabubakar8517
@shakilaabubakar8517 5 жыл бұрын
halifaiiii kabisaaa wakatii watuhumiwa wanajulikana
@judyngowi391
@judyngowi391 5 жыл бұрын
Futuhi
@longerothatstruenaikara3439
@longerothatstruenaikara3439 5 жыл бұрын
mtu anapigwa risasi eneo LA serikali,ambalo CCTV camera zipo,chunguzeni au mliziondoa mapema,watanzania siyo wapumbafu kama mnavyofikiria na kujifanya kutumia maneno ya Bible, hakika nawambia hukumu iko palepale
@nooo3979
@nooo3979 5 жыл бұрын
maneno mengi lakin pumbaaaa tena za mtamana
@jumafandey707
@jumafandey707 5 жыл бұрын
Hata kuku Hali
@idrisaally38
@idrisaally38 3 жыл бұрын
Hahahaa
@hannajoseph645
@hannajoseph645 Жыл бұрын
Mungu anabaki kua Mungu ukweli upo mkononi mwa Mungu Siri anafahamu yote tumwachiye Mungu
@sulyshaaban9392
@sulyshaaban9392 Жыл бұрын
alijisahau sana..sasa ANASAGA MENO na bendera ya..kaificha ..mkiwa angani mjue mtarudi CHINI..na siku c nyingi!
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 2 жыл бұрын
Kwa kweli wewe mungu anakuona
@adielymwarabu5474
@adielymwarabu5474 3 жыл бұрын
Umenikwaza Sana shetani wew mwenye mpango mubaya na lisu
@user-xm6je1jw9v
@user-xm6je1jw9v 3 ай бұрын
Ubongo ni dira mwanadamu.mbubavu Hana kesho...... .
@eliotsanga1935
@eliotsanga1935 5 жыл бұрын
Mmmmm acha hizo baba yangu towa maelezo kufuata swali lilivyo uluzwa
@hebronmwambola1525
@hebronmwambola1525 Жыл бұрын
Mr Lugola Leo uko wapi ? Je unakumbuka uwaziri wako ilikuwa dhamana tu ya muda mfupi Mheshimu Mungu ndugu yangu utaishi na kushiba Angalia leo umesahaulika
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh 3 ай бұрын
Mungu hapendi unafiki
@luganostewart8320
@luganostewart8320 5 жыл бұрын
Wewe ni waziri ujue, majibu yako hayaleti taswira inayoendana na wadhifa wako ndani ya Taifa letu... Jipambanue mzee
@shamtaus6721
@shamtaus6721 5 жыл бұрын
Laana kum kangi.
@reginaldsephania6123
@reginaldsephania6123 5 жыл бұрын
Mkiingia hapo ndani msitamke neno tukufu maana mnamkufuru mwenyenzi Mungu bure
@adielymwarabu5474
@adielymwarabu5474 3 жыл бұрын
Umekenya Sana mbwawewe
@musajuma298
@musajuma298 Жыл бұрын
Pole ukowapi sasa
@adielymwarabu5474
@adielymwarabu5474 3 жыл бұрын
Wewe ni shetani mwenye mguu mmoja
@petsmore9955
@petsmore9955 4 ай бұрын
Huyo kange ndo shetani namba moja. Mungu anawaona nyie tulieni tu! Malipo ni hapahapa duniani! Mungu hayuko mbali!
@eliassingoi7565
@eliassingoi7565 2 жыл бұрын
Mwoogope mungu we kauzu
@user-yg9fh9sj1w
@user-yg9fh9sj1w 15 күн бұрын
Wanauana hao wenyewe
@vannyb0y91
@vannyb0y91 5 жыл бұрын
Acha mbwe mbwe mzee ni damu iliyomwagika siyo maji
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Wafrika tunalaana yakutojiamini tunatabia yaubinafusi unafiki uroho uchoyo nafitina zabure kwasabbu yaakili duni,kufikili kidogo bila kujikumbusha maisha yabadaye kwa jamaa ndgzetu nawatoto vijukuuvyetu,
@domicianalphonce8104
@domicianalphonce8104 Жыл бұрын
upelelezi umefikia wapi sasa? 3yrs now......!!!!
@domicianalphonce8104
@domicianalphonce8104 Жыл бұрын
Wewe umezeeka vibaya.....
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 Жыл бұрын
Masheteni wakubwa nyinyi . Mungu atawahukumu hapa duniani na kesho akhera.hawa walio hai wapelekwe mahakamani wafungwe kwa kosa la kutakumua lisu na watanzania wote walio potea
@humayduwe1762
@humayduwe1762 5 жыл бұрын
No answer just politics
@iddmghamba721
@iddmghamba721 5 жыл бұрын
cctv zilikuwepo mzee baba na askar walikuwepo kbs ss cjui mnachotaka ni nn hasa
@johnmwita221
@johnmwita221 4 ай бұрын
Upofu
@salimmwakityaka1909
@salimmwakityaka1909 Жыл бұрын
Ufalme was mungu
@andrewtamba6671
@andrewtamba6671 5 жыл бұрын
Bomu kabisa huyu waziri
@marcokasheshi
@marcokasheshi Жыл бұрын
Cjui mmefia wap? Kila kitu na zama zake !!! Kunguru Hawa walitamba sana !!!
@amosmichael8986
@amosmichael8986 Жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema tupo hai kushuhudia
@drex81
@drex81 5 жыл бұрын
Haya majibu yanaleta kero sana, hivi wangekufa wote ingekuaje?
@rahemaadinani5765
@rahemaadinani5765 5 жыл бұрын
Acha ujinga Sasa si hawajafa inatakiwa wawajibike
@drex81
@drex81 5 жыл бұрын
Rahema Adinani uwezo wangu wa kufikiri hauniruhusu kujibizaba nawewe
@drex81
@drex81 5 жыл бұрын
Rahema Adinani everybody can comment but few think deep before they comment
@ahmadishaibufataha1481
@ahmadishaibufataha1481 5 жыл бұрын
Kalipeni pesa za korosho kusini na mpk sasa na vimbunga vinakuja hali mbaya uko
@shabanjuma455
@shabanjuma455 5 жыл бұрын
Unatufundisha Kazi sio
@shabanjuma455
@shabanjuma455 5 жыл бұрын
Unatufundisha Kazi sio
@mrsramadhani2400
@mrsramadhani2400 5 жыл бұрын
Hv.hua.tunatumia Vigezogani Kuchagua.Au.kuteua.viongozi
@yassinmohamed286
@yassinmohamed286 5 жыл бұрын
Mmm atarisasi azijulikani
@daudichirstopher6173
@daudichirstopher6173 Жыл бұрын
lengo la ccm nikumpoteza tundu Lisu lakin watanzania tuna jua kabisa ipo siku ccm ita potea milele
@gadnarkiweluzz7358
@gadnarkiweluzz7358 5 жыл бұрын
Ss thyooo wajngaaa?????
@user-xm6je1jw9v
@user-xm6je1jw9v 3 ай бұрын
Shetani ni mlaghai.Mungu anaona
@gadnarkiweluzz7358
@gadnarkiweluzz7358 5 жыл бұрын
uyuuu katokeaaa wapiiiiii??naeeee
@khamisali5709
@khamisali5709 5 жыл бұрын
Wazir mpuuuz kabisa uyo
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Жыл бұрын
Kwa dereva kutopata jeraha wala sio hoja ya maana hapo
@abelimembe6990
@abelimembe6990 Жыл бұрын
ivi huyu kangi bado yupo hajafa tu😚😚
@omaryhango6696
@omaryhango6696 5 жыл бұрын
Duuh hawa mawaziri nae wanaweza kutusababishia matatzo inchi hii mbona unaongea kwanguvu sana..
@godfreymushi5125
@godfreymushi5125 5 жыл бұрын
Eee mungu atatoa majibu
@mwenemaseko4921
@mwenemaseko4921 5 жыл бұрын
hii ndiyo maana huwa nachukia sana siasa.
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
mlie mtaka afe bado yupo hai ila leo hii MEKO mungu ame mshughulikia
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 4 ай бұрын
Huyu atateseka sna huyu mtu maana hathamini uhai wa mungu kiporo huyu
@cmb6342
@cmb6342 Жыл бұрын
Huyu hovyo kabisa hana maana
@sudymkele1648
@sudymkele1648 Жыл бұрын
Lugola anatakiwa àchekiwe vizuri ubongo wake labda Kwa kuwa hakjampata yeye malipo yapo duniani hapahapa
@samsonmwankosole375
@samsonmwankosole375 5 жыл бұрын
Tunataka Majibu
@kssubitomas9289
@kssubitomas9289 5 жыл бұрын
CCTV camera mlizipeleka wapi tunaziombaa
@praygodmremi3078
@praygodmremi3078 Жыл бұрын
Kuna watu walidhania wanaongozwa na mwenyezi mungu ndiyo maana walijisahau
@ains1122
@ains1122 5 жыл бұрын
Polisi na serikali ilitumiwa kumpiga twende Lissu na wewe waziri walijua hilo utakuwa jasiri ku cover hio kesi hapo lkn Ole wako ukifa hutompata mungu wako magufuli kukuteyea huko mbele ya hakii
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
mzee aliwapoteza
@mayungahima1987
@mayungahima1987 5 жыл бұрын
andikohuisha na andiko huuwa, waziri hajui kama serikali inawajibika kulinda raia wake? nainawajibika piakutoa taarifa ya uchunguzi,
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 5 жыл бұрын
Kumbe jeshi la polisi Tz walitaka dereva afe ndipo wajue hiki kitu kilikuwa kikubwa jamani mimi CCM ila kwenye uhai wa mtu tuacheni siasa dunia inazunguka mjue
@zachariamhenga3831
@zachariamhenga3831 Жыл бұрын
Chama Chao kijitasmini juu ya lisu kupigwa lisasi. Unaijua siasa si Lele mama mungu Naye anawaona waliotaka kumuondoa. Wamlete huyo dereva basi kieleweke maana...............
@user-yz3zi6ht3j
@user-yz3zi6ht3j 16 сағат бұрын
Huyu jamaa wa hajabu sana sijui kama kaenda shule ata self educated hana
@harunamtiko117
@harunamtiko117 17 сағат бұрын
Umevuna ulichopanda naona saiv unalima kijijini
@marcokasheshi
@marcokasheshi Жыл бұрын
Wangekufa wote je ? Manake mcngefanya uchunguzi !!!
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 Жыл бұрын
Mungu ni Mkubwa Sana
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hakika.
@annamwanakatwe233
@annamwanakatwe233 Жыл бұрын
Mbona umefukuzwakazi Mungu Ni mwema Funga mdomo
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 5 ай бұрын
Ndio maana ccm siipendi kwa huu ujingaa
MBOWE AMBANA WAZIRI MKUU BUNGENI - "UNANIPA MAJIBU MEPESI SANA"
11:04
Global TV Online
Рет қаралды 110 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 99 МЛН
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 22 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 43 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,5 МЛН
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 372 М.
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 755 М.
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 299 М.
Mahojiano na Tundu Lissu
27:29
KTN News Kenya
Рет қаралды 71 М.
رورو ضد رقيه🔫😲🚀 #shorts
0:13
رورو فاميلي | Roro Family
Рет қаралды 4 МЛН
37.First Day as a Zombie💀
0:32
Limekey0
Рет қаралды 38 МЛН
ШУНДАЙ ЯХШИ ВИДЕОГА ХЕЧ КИМ ЛАЙК БОСМАЙДИ
0:15
Муниса Азизжонова
Рет қаралды 5 МЛН