KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA | ASKOFU GWAJIMA | 05.09.2021

  Рет қаралды 149,058

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

2 жыл бұрын

LIVE

Пікірлер: 471
@anociathafidel2239
@anociathafidel2239 2 жыл бұрын
Kama wewe jpili huwa unaandaa mb kwa ajili ya kumfuatilia Askofu Gwajima Gonga like tuendelee mbele
@musamaile1189
@musamaile1189 2 жыл бұрын
🤣😂
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@winiflidamathias6187
@winiflidamathias6187 2 жыл бұрын
Aimeeeen
@seifkassim5872
@seifkassim5872 2 жыл бұрын
Yani atakama sina ela ya kifulushi nakopa ili nimsikilize uyu mwamba yani namuelewa ile mbaya
@rebecagodwin2364
@rebecagodwin2364 2 жыл бұрын
😃🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️
@mohamedmkubagwa3874
@mohamedmkubagwa3874 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Gwajima, Eeee Mungu tunamuombee afya njema na kwenda kinyume na wote wasiomtakia mema Mtumishi wako
@dommiefrancis1538
@dommiefrancis1538 2 жыл бұрын
Shikamoo Askofu
@modestmolleljohn874
@modestmolleljohn874 2 жыл бұрын
Shikamoo Roho Mtakatifu
@jonesotachi9931
@jonesotachi9931 2 жыл бұрын
Watching from Nairobi Kenya
@herybwanga507
@herybwanga507 2 жыл бұрын
Npo Dodoma Tanzania ila kila jumapili nilazima niandae bando kwa ajili ya kuungana na wewe Baba yangu wa kiroho. Asante kwa neno la leo 🙏🙏🙏🙏
@winiflidamathias6187
@winiflidamathias6187 2 жыл бұрын
Together too
@peterpilikano5398
@peterpilikano5398 2 жыл бұрын
Amen
@linkreuben3108
@linkreuben3108 2 жыл бұрын
Gwajima anajielewa sana! Wachawi hawaja wahi kulishinda JINA LA YESU, tunawahesabia siku tu wanasiasa wanao pingana na NENO LA MUNGU! Corona sio ugonjwa ni njia ya wahalifu kuiba mali za watanzania!! Walaaniwe kwa Jina la YESU. Ameni
@glorytoGod639
@glorytoGod639 2 жыл бұрын
Baba napenda imani yako thabiti, may God keep you safe for long
@marrymbwiga3590
@marrymbwiga3590 2 жыл бұрын
Nakupenda sana wewe nakufananisha na Kipenzi chetu rahis wawanyonge JPMagufuli Mungu akulinde kila leo utufungue fahamu zetu na akili zetu .....Mungu akinde wewe na familia zetu
@mariammwamaso3984
@mariammwamaso3984 2 жыл бұрын
Nimekubali kumfata Yesu. Sitarud nyuma. Amina mtumishi.
@kelvinwambura8083
@kelvinwambura8083 2 жыл бұрын
Mr Gwajima your the best even TD Jakes is waiting i have been listening to him in the past ten year but you have me in the past 5 month your amazing
@petermabiki7798
@petermabiki7798 2 жыл бұрын
Huu ndio wakati wake
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 2 жыл бұрын
Reminding of TD Jakes He is the real deal
@denismasembo59
@denismasembo59 2 жыл бұрын
Nakukubari sana gwaji boy🙏
@Baro007
@Baro007 2 жыл бұрын
Huyu jamaa n genius hawawez kumhoji wakamshinda kivyovyote vile
@neemashookyaruzi809
@neemashookyaruzi809 2 жыл бұрын
Kelele za shangwe zitatokea juu ya kilele cha mlima KILIMANJARO, Tumepokea Unabii Huu Bishop Gwajima 💪💪
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 2 жыл бұрын
Hallelujah!!!
@Da_Gee
@Da_Gee 2 жыл бұрын
I just knew this in my heart some years back, I had a clear and strong msg about it, thank you Holy Spirit for this confirmation, Amen.
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 2 жыл бұрын
*Miaka ya 2013 kuelekea uchaguzi mkuu wapo waliomuona Magufuli kama ni mtu tu wa kawaida, kuna waliosema siongei na mbwa naongea na mfuga mbwa! Mwisho wa siku walimpigia magoti, ni wenye akili ya Roho mt pekee ndo waliomtambua JPM kama ni mtu mkubwa sana badae, kama huamini ingia fb kwa jina la Ephraim E. Ndelwa, utaona nilichokitabiri juu ya Magufuli 2015, natabiri kwa Bshp Gwajima, Humphray polepole na Ole-Sabaya hawa ni viongozi wakubwa hapo badae! Na Mungu akabariki maono haya...*
@jemaidamhenuchi4531
@jemaidamhenuchi4531 2 жыл бұрын
I believe wat you say in Jesus name
@mathiaspmashibe5696
@mathiaspmashibe5696 2 жыл бұрын
Amina kwa Jina la Yesu
@ananiachelesi1486
@ananiachelesi1486 2 жыл бұрын
Amina na Iwe hivo kwa jina la Yesu kristo
@mzeewamadodoso1816
@mzeewamadodoso1816 2 жыл бұрын
Naiwe hivyo Mtumishi kwa damu ya Yesu, umenibariki sanaaa
@negelowile441
@negelowile441 2 жыл бұрын
Balikiwa sana
@milkakamau8709
@milkakamau8709 2 жыл бұрын
Oh! Uliye mwagiwa mafuta na upako wa Mungu kwa mzimu huu! Father in heaven I pray for your servant🙏Baba mviche kwenye mbawa zako! Ongeza moto wa Roho wako, Bishop Umetengwa for this season!! 🙏Nakupeda Milka from Kenya
@RamRam-rk9lr
@RamRam-rk9lr 2 жыл бұрын
Askifu gwajima ni ni raisi wa tanzania baada ya samia Si upige kelele haleluyaa
@manrasiel8054
@manrasiel8054 2 жыл бұрын
Nimekuelewa kwa mafundisho yako mazuri, ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.
@bibilaginanani8259
@bibilaginanani8259 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde askofu gwajima kwa uwepo wako magufuri bado anaishi
@bibilaginanani8259
@bibilaginanani8259 2 жыл бұрын
Amina
@ludovickshilunga8638
@ludovickshilunga8638 2 жыл бұрын
Nampendaga Sana huyu mwamba, ✊ Askofu Gwajima
@gilbertmariwa3830
@gilbertmariwa3830 2 жыл бұрын
Hii chuma iko Safi sanaa na imara
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
I love people who stand with truth without fearing people but fearing our beutiful Jesus,,ubarikiwe san na Mungu unayemtumikia akutumie zaidi na zaidi mwisho wako ukawe heri zaidi ya yote Bwana akukaribishe katika makao yake aliyoenda kuandaa kwaajili ya wateule,
@psychologicalRealities9
@psychologicalRealities9 2 жыл бұрын
Askofu you are blessed. How I wish we had more ministers of God like you. Who are bold and ready to stand with what God says. And tell God's people the truth, Amen
@deborahcharles6507
@deborahcharles6507 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba,,umepanda mbegu njema kwenye mioyo yetu
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 2 жыл бұрын
Hakika This is the Glorius and Soulful Sunday service Ever May Almighty God Our heavenly father Shield and bless U Bishop
@emanuelonesmo4660
@emanuelonesmo4660 2 жыл бұрын
Mungu akupe afya na nguv mm nipo pamoj na ww mtumish wa mungu jasusi LA mbingun
@emmanuelmadoshi1352
@emmanuelmadoshi1352 2 жыл бұрын
Amen! Bishop mungu akutetee tunakuelewa
@omanabcd9249
@omanabcd9249 2 жыл бұрын
Ahadi za YESU nikweli
@johnpaulin4511
@johnpaulin4511 2 жыл бұрын
Baba tunakupenda You're the icon of Tanzania
@davivancee9991
@davivancee9991 2 жыл бұрын
Rais wng 2025 hakika unafaa Sana ,, Asante kwa somo hili hakika nimejifunza nisiyoyajua .
@eliyajeremia1447
@eliyajeremia1447 2 жыл бұрын
Nayale mazombi yabungeni yamekuja kusikiliza Mutumish wa Mungu anavo hubiri iliyapate neno lakumushitaki washidwe kwajina la Yesu
@yusuphkiyoya806
@yusuphkiyoya806 2 жыл бұрын
Huyu mch. anafundisha na anaeleweka kabisa , God bless you
@mariajoseph5347
@mariajoseph5347 2 жыл бұрын
Watanzania tunakupenda Baba 🥰 Unatema madini sanaaa 👏
@edwardater9247
@edwardater9247 2 жыл бұрын
I really appreciate, this is the man of Good, Human being will come and go But the word of God will stand forever 🙏
@evankonde3140
@evankonde3140 2 жыл бұрын
It's only the spirit of God who can do this, this is a great service
@protasalbinus2955
@protasalbinus2955 2 жыл бұрын
Mungu husimama na waliosimama. Endelea kusimama mtumishi wa Bwana.
@upendomfikwa2013
@upendomfikwa2013 2 жыл бұрын
Hakika, Yesu nakuamini kwakuwa AHADI ZAKO NI KWELI🙏
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 2 жыл бұрын
Amen!
@sulebundala4688
@sulebundala4688 2 жыл бұрын
Baba Josephat G, Hakika wew ni Mlima sayuni!!!
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 2 жыл бұрын
Hakika kila kitu na wakati Mungu hutenda atavyo
@omarmihulu7979
@omarmihulu7979 2 жыл бұрын
Asante mchungajiwangu kwamsimamo wako tunashangaa hata sisi kuondoka tu mwenda zake korona imepata nguvu too zimerudi.
@diondonis1775
@diondonis1775 2 жыл бұрын
May Lord Jesus protect you Bishop,We will never be shaken
@adamumbughi6594
@adamumbughi6594 2 жыл бұрын
Exactly!
@sleviakabuguzi5396
@sleviakabuguzi5396 2 жыл бұрын
Asante baba yetu kwa kutulisha chakula cha uzima WA milele
@wanjiruwathuo3643
@wanjiruwathuo3643 2 жыл бұрын
Mwenyewe Mkenya sijawai Tembea Tz lakini Mawaka Kesho Majaliwa ya Mwenyezi Mungu naja huko....Mna baraka Sana kubarikiwa na Watumishi wa Mungu wa Kweli na Wenye Hofu ya Mungu.Ibarikiwe Tanzania Milele.
@daviesmwema4831
@daviesmwema4831 2 жыл бұрын
karibu tena utafikia kwangu bure
@wanjiruwathuo3643
@wanjiruwathuo3643 2 жыл бұрын
Asante Sana nitatembea Mwaka Kesho kwa Neema ya Mungu.
@eliasamsonofficialtz6600
@eliasamsonofficialtz6600 2 жыл бұрын
Asante Sana bishop Mungu Aendelee kukupa nguvu na ushindi maana wewe ni shujaa NB tuna omba Mungu Akupe maona ya kugombea urais 2025 kwa ajil ya kulikomboa taifa letu
@lucygodwin7590
@lucygodwin7590 2 жыл бұрын
Wabunge wanasikiliza kumkosoa ila wanagundua Mungu ndio amemtia nguvu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@kasallemgogo6143
@kasallemgogo6143 2 жыл бұрын
sanaa hawawezi shindana na gwaji boy😂😂
@betramkamatali8508
@betramkamatali8508 2 жыл бұрын
Amen amen I receive in the name of Jesus
@jovithajovinary9305
@jovithajovinary9305 2 жыл бұрын
Tumejengwa juu ya mwamba na mwamba uwo ni kristo, asante Yesu kwa neno ili,
@selemsigala4771
@selemsigala4771 2 жыл бұрын
Hakika sina chakusema zaidi ya kuku ombea baba wa imani ubarikiwe sana hakika ulipo tupo na Mungu hawezi kutuacha kamwe wabaya wako ote wata teketea katika jina la Yesu alie hai.
@frenkpastory8512
@frenkpastory8512 2 жыл бұрын
Asante sana askofu gwajima napanda sana unavyo fungua nafsi yang niko na ww njia moja
@benjaminn.mohamed.2503
@benjaminn.mohamed.2503 2 жыл бұрын
Thanks for your wonderful spiritual service. May our LORD JESUS CHRIST bless you abundantly.
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 2 жыл бұрын
Huyu gwajima ni magufuli ajae .huyo demu Bado katuwekea tozo kubwa natuma upepo wa kisuri kisuri upitie aka fie kuzimu Kwa jina la YESU 💪🔥
@lamecktv4269
@lamecktv4269 2 жыл бұрын
Askofu anasema...wakasema jitetee...NIKASEMA SWEZ KUJITETEA.. Saf sana HUU UJASIRI N BAB KUBWA. kukupenda sjakosea. Ilove u so much Askofu Dr Josephat Gwajima
@namungolubala1788
@namungolubala1788 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen UZIDI KUTUOMBEYA BABA TUNGEPATA WA CHUNGAJI KUMI KAMAWEWE INCHIZOTE ZINGEPONA HILIJANGA LA CORONA LINGEZIMIKA HIYI NI UWONGO MTUPU LIMETUNGWA DUNIANZIMA MUNGU AWAONE HAWA WATU WALILOLITUNGA HILIJANGA UBARIKIWE ASKOFO KWA KUTUPIGANIA BLESSINGS
@emarrgeorge8536
@emarrgeorge8536 2 жыл бұрын
😂😂Nimefurah saaana% Yeye Akazid kupaza Saut Ee Yesu mwana Wa Daud Unirehemu.. Be BlesseDaddy
@daviskatunzi7424
@daviskatunzi7424 2 жыл бұрын
Stay blessed Bishop J.Gwajuma
@marclazaro4540
@marclazaro4540 2 жыл бұрын
Huyu Baba Bishop Gwajima Siku hizi nakuendelea Namkubali. Mungu tusimamie twende na Msimamo wa Mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima
@deokessy6596
@deokessy6596 2 жыл бұрын
Mama akuachie 2025 unafaaa
@deokessy6596
@deokessy6596 2 жыл бұрын
Naona President 2025
@christianngao5608
@christianngao5608 2 жыл бұрын
Jembe Sana hili Gwajima Mungu yupo na wewe Baba
@MoN_KaDO
@MoN_KaDO 2 жыл бұрын
The man of Almighty God in our country, Gwajima is a one of themselves
@morriskazungukarisa9781
@morriskazungukarisa9781 2 жыл бұрын
Mimi in pastor morris (kenya)nilieonyeshwa na mungu mambo yaliyokupata nilicoment kabla,Ila Bwana alikuficha kama alivyo nionyesha,glory to God.
@paschalnjombo5588
@paschalnjombo5588 2 жыл бұрын
mungu wako sie Mungu wa gwajima, ndio maana hata kwa maandishi umethibitisha hivyo, (mungu) wa Gwajima Ni (Mungu)
@emmanuellemalali3034
@emmanuellemalali3034 2 жыл бұрын
Brilliant work! There is always a way to do the work of GOD! ..... May a Grace of God be with you Bishop!!!
@frenkmwilu4378
@frenkmwilu4378 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi 2025 chukua fomu ya urais kura tunakupa
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 2 жыл бұрын
Kabsa huyu ni Rais mpya
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 7 ай бұрын
Wewe ni mtu wa Mungu gwajima nakupenda endelea mbele
@Coleman_artgalery
@Coleman_artgalery 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi , wewe NDIYE mtu saa hii, rungu la bwana, songa mbele tuko nyuma yako tunakuombea Sana , tutashinda na zaidi ya kushinda kwa jina la yesu
@rashidmukengabaruani4497
@rashidmukengabaruani4497 2 жыл бұрын
Nakupenda sana Baba sijuwe nisemeje uwanabarikiwa sana nikikusikia
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 жыл бұрын
Wanapingana huyu si gwajima wanashindana na Mungu,wataaaibika vibaya
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Neno hili limetoka kwa Mwenyezi Mungu... Nani wa kuweza kulizuia... Walijaribu akina herode...kaisari... Pilato... Hawakuweza... Eti Ndugai anajipima nae kuzimisha sauti ya Mwenyezi Mungu... Anapiga mshale mteke .. ataumia Mwenyewe...Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@salomemlay8309
@salomemlay8309 2 жыл бұрын
Wafyekwe haoo. Mungu azidi kukulinda kweli ujasiri wako unanatufanya nasi kuwa Mshujaa kabisa.Tupo pamoja na ninakuombea & big support.
@daniels.mutinda
@daniels.mutinda Жыл бұрын
To God be the Glory and honour. I love this and its what we need in our time. The truth in Boldness and Courage of God catapulted by the Holy Spirit, i love you Servant of God... Tanzanian and Africa in general is blessed to have such Voices of heaven
@happinesszabron7635
@happinesszabron7635 2 жыл бұрын
Kuna jambo gani lililo gumu la kumshinda bwana??
@ishimaelyiman3240
@ishimaelyiman3240 2 жыл бұрын
Prase The highest of high our living God. May Lord Jesus strengthen you Pastor.
@glorymsuya1601
@glorymsuya1601 2 жыл бұрын
Mungu akutunze mpendwa umekua mtetezi kwa taifa umefanyika baraka kwa kanisa umenipa ujasiri Mungu wa Mbinguni akutunze .
@evankonde3140
@evankonde3140 2 жыл бұрын
Walio upande wako ni wengi kuliko walio kinyume chako
@obedisaitoti3678
@obedisaitoti3678 2 жыл бұрын
Hakika baba ubarikiwe Sana Askofu J. M. Gwajima the Mbunge
@winnyleonardkapere661
@winnyleonardkapere661 2 жыл бұрын
Kweli. Hiyo shule ya uongozi itamtangaza zaidi Kama hatazuiliwa.
@pstemmanuelofficial1323
@pstemmanuelofficial1323 2 жыл бұрын
More respect we really love you and I believe very soon we will meat together bcz your big heart that I wanna take from you
@richwaleolundenga8519
@richwaleolundenga8519 2 жыл бұрын
Gwajima tunakuamini sana baba wewe ndio mwamba wetu ulio baki awo wengine hatuna imani nae mungu ibariki tz pamoja na Africa kwa ujumla
@princemercury5824
@princemercury5824 2 жыл бұрын
Gwajima boy for life
@mariajoseph5347
@mariajoseph5347 2 жыл бұрын
✅😂
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 2 жыл бұрын
Ee Bwana Yesu mwana wa Dawudi unilehemu. Amen Askofu go ahead
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 жыл бұрын
Askofu haakika mungu typo nawe mtu wa mungu ni kusema kwelii
@ephrahimukangalawe441
@ephrahimukangalawe441 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa jina Bwana wetu Yesu kristo mtumishi Gwajima
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Achanjwi mtu hapa,hao wote waloleta chanjo zao,wanaoipigia kampeni ,washindwe na kulegea kwa jina la Yesu,napitisha Moto kwa jina la Yesu.
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 жыл бұрын
KUNA WATU HAWASHUKAGI AISEEE👌👍🏼💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 жыл бұрын
Warumi 8:14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
@emmanuelytunduma8127
@emmanuelytunduma8127 2 жыл бұрын
Mungu mlinde gwajima Bishop mungu tulinde watanzania
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 2 жыл бұрын
Amen
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Amen tumesikia neno tumebarikiwa
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 2 жыл бұрын
Safi lazima tusimamie tunacho kiamini tuko pamoja mpakwa mafuta wa Jehovah@bishopgwajima🙏🙏💪💪
@kalingajofrey8829
@kalingajofrey8829 2 жыл бұрын
Asante ascofu Leo nimekuswa moja kwa moja na neno la mungu kwamba yeye atawaponda watesi wetu
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 2 жыл бұрын
Yani ngwajima sku hizi ww ndo unae kura mb zangu yani kra nikikuona nakua najihisi kuiona pepo barikiwa saana mtumishi 🙏🙏🙏 ngwajiboy oyeeeeee raisi wa 2025
@lamecklainson5989
@lamecklainson5989 2 жыл бұрын
Ndugai hatoboi mwakahu 🗣️👣🌩️
@jamesmwamboma430
@jamesmwamboma430 2 жыл бұрын
Naiwe ivyo
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 2 жыл бұрын
Tumwache Mungu ahukumu mwenyewe! Kwan hata wabaya wamewekwa kwa siku ya ubaya! Yuda aliwekwa ili atimize kumsaliti Yesu!
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 2 жыл бұрын
@@valeriamtenga3384 Sisi tunahukumu pamoja na Mungu. Kwani Yuda mweyewe si alikufa kabla ya Yesu?????
@barakapuyonyagawa881
@barakapuyonyagawa881 2 жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi tembea na mtumishi wako aspatwe na lolote kwa jina la yesu
@jilugalamarco9308
@jilugalamarco9308 Жыл бұрын
Siku hiyo nilikufuatilia nikabarikiwa Sana, nimelikumbuka Tena hili Somo limenibariki sanasana Tena, hakika Mungu anatenda kazi ndani Yako.
@eliassingongo205
@eliassingongo205 2 жыл бұрын
Yesu alipingwa akiwa kwenye njia sahihi kwahio mm sishangai na hii governement ya tz
@clementkhan7674
@clementkhan7674 2 жыл бұрын
Nilikuwa sijapata kukusikiliza vzr. Sasa ninakuelewa.
@anettekandole8335
@anettekandole8335 2 жыл бұрын
Amen amen Bishop
@sanifhesro2169
@sanifhesro2169 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu🙏🙏
@keteally7581
@keteally7581 2 жыл бұрын
Thanks a lot servant of Jesus were together with u.
@lilianpeter9886
@lilianpeter9886 2 жыл бұрын
Najivunia kua na mtu kama ww Tanzania kwel Mungu hakutuacha wenyewe ametuinulia mtu mwingine ahsante Mungu kwa mtumishi wako huyu
@Da_Gee
@Da_Gee 2 жыл бұрын
Hakika. Ametupa faraja ya mioyo yetu baada ya kudhulumiwa Raisi wetu kipenzi, Dr Magufuli rest easy Baba!
@abooyadeka8597
@abooyadeka8597 2 жыл бұрын
God bless u gwaji boy
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 2 жыл бұрын
Nakukubari hadi mwisho Wa dahari ubarikiwe kama Ibrahim Mungu atakulinda kama Yusufu Musa na waja wema waliotangulia
@saramartine7330
@saramartine7330 2 жыл бұрын
Mungu anatupenda sana watanzania na kutupeya wewe Gwaji boy,
@carenjustin
@carenjustin Жыл бұрын
Mungu anavyombo vyake na kila chombo kinabeba sehemu yake chombo hiki kinafaa kubeba makontena yote yaliyoshindikana , wewe hapo bungeni ni mpango kamili wa mungu,
@evankonde3140
@evankonde3140 2 жыл бұрын
Gwaji Boy tunakuelewa sana
@Zamb90
@Zamb90 2 жыл бұрын
My next president
@honoviushonorath3093
@honoviushonorath3093 2 жыл бұрын
Gwajima yupo very smart kchwan napat waswas wasio muelewa wana mttzo gan na ubongo wao
@kiwalevaleriani6917
@kiwalevaleriani6917 2 жыл бұрын
Hallelujah sure your the real man of God may the Lord be with you Bishop msukuma
@morriskazungukarisa9781
@morriskazungukarisa9781 2 жыл бұрын
Mungu akulinde,usigope,hadui zako sasa wanapanga kukuteka na kukupoteza kabisa,Ila hawatasmama,wewe ni mboni ya jicho la Mungu.PST Morris (Kenya).
@gilbertmariwa3830
@gilbertmariwa3830 2 жыл бұрын
Amen PST from Kenya
@thobiaslaizer9197
@thobiaslaizer9197 2 жыл бұрын
Mungu amesema usimame Kama nguzo ya Tanzania 🇹🇿 hakuna silaha yeyote itakayopenya ndani YAKO
@rahmahimba2634
@rahmahimba2634 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu mno
@msevenimichael7949
@msevenimichael7949 2 жыл бұрын
Sema kweli bshp gwajima 🙏🙏💯☑️💯☑️✍️✍️✍️🙏🙏🔥🔥🔥🔥
DAMU YA UKOO:BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA
1:24:23
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 37 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 28 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Eliud Samwel
Рет қаралды 989
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 43 М.
tumelogwa Bishop Gwajima
5:05
UZIMA TV
Рет қаралды 869
MIIBA YA MAISHA NA MAJIBU YAKE || PR DAVID MMBAGA
1:07:31
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 26 М.
JINA YESU, JINA LA YESU NI NGOME YANGU, WEWE NI BABA YANGU, FADHILI ZAKE ZA & YESU NI BWANA
58:27
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,2 МЛН
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
GWAJIMA | "MIMI NIKIONGEA JAMBO NAWEZA KUBADILI UPEPO SASA HIVI" MOTO UMEWAKA SASA
29:01
SIRI ZA SIKU ZA MWISHO |Rabbi Abshalom Longan
54:56
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 14 М.
USIGOMBANE NA MWANAMKE; WOMEN TALK! | USHAURI WA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA KWA WANA-NDOA
23:13
KISASI JUU YA WATESI |BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA |  JUMATATU 13.12.2021
3:08:10
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 54 М.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 28 МЛН