This guy is very intellectual, you need deep concetration to understand what he is saying! Big up dr
@kihanda25542 жыл бұрын
Yaani Hakuna Mwanafalsafa Anamafundisho Mazuri km Waminiani. Mungu akutunze uendelee kutupa Madini
@epimackmkunde22642 жыл бұрын
Am happy I found this Man here . Happy enough I met him also at KKKT buguruni last Sunday and He shared a word on that special Mass of our deceased brother Masue. It was the best speech ever met in a funeral Mass.
@kingungeii65202 жыл бұрын
Moja kati ya binaadamu wenye akili nyingi sana ni huyu Doctor
@ahz69072 жыл бұрын
Hana akili nyingi tofauti yake nawewe ni kwamba yeye amesomea hayo mambo na kukutana na cases ambazo zimempa experience.
@babyhamisi14372 жыл бұрын
@@ahz6907 yap
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
@@ahz6907 ana akili sana, wengi wamesoma hawana uwezo wa kudeliver hayo madini ishu sio kusoma tu bro. Nenda ukasome tuone madini yako, kuna watu wamesoma kuzid hata yy lakini hawana kitu.
@ahz69072 жыл бұрын
@@timothmwakakusyu4563 nimesemea akili yake plus experience ndo utofauti ulipo.sio kwamba ni special sana.hata wewe ukisoma na ukakutana na cases zikakupa experience ya mambo meengi katika maish huwezi kuwa sawa na yule aliyesoma tu. Kumbuka kila binadamu anazaliwa genius.
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
@@ahz6907 si kweli ndugu, sio kila binadamu anazaliwa genius ila kila binadamu ana karama yake. Hivi unajua maana ya neno Genius? Ukijua maana ya neno genius ndo utaelewa mambo, na ujue pia kutofautisha kati ya IQ na EQ, binadamu tuna utofauti sana. Huyu ni special sana kwa eneo lake, tuna wanatheolojia na wanasaikolojia kibao ila usitegemee kwamba uwezo wao wa kudeliver kile ulichokisoma uko sawa. Unaweza ukawa umesoma sana lakini Mungu hajakujalia uwezo wa kutoa kwa wengine wakakuelewa na kukufurahia, kuna wengine wanaposoma inakuwa faida kwao pekee. This is hard talk bro huwezi kuelewa kirahisi kama mambo ya delivarance huyaelewi kiundani
@pendosoa9632 Жыл бұрын
Rahisi kuelewa Ila ni ngumu kupembua😌namsikilizia afu nastopisha kufikiria amesema hivi anamaanisha nn dooh nmechelewa kumaliza hii interview 😊
@geoffreyluvanda78012 жыл бұрын
Mmmmh hapa wazazi walizaaa kichwa kweri this Man is genius
@catherinekiwipa75512 жыл бұрын
👊kabisa
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Dkt Mungu akuweke kwa mafunzo Muhimu Uzembe ni mkubwa
@moseshandsam18652 жыл бұрын
Thanks for the Good questions my sister lilian mwasha may God keep on using you guys doc and lilian best combination hardtalk on top
@thevibe64272 жыл бұрын
Doc kaongea lugha ngumu sana Ukielewa anachoongea huyu mzee.. 🔥 🔥
@johnkuma68672 жыл бұрын
Wangu anafika kila wakati. Namsifia kitumbua chake ndiyo the best under the sun na simuangushi🇰🇪
@patrickbatenga26456 ай бұрын
May be you haven't searched enough
@cosmaslunyembeleka2512 жыл бұрын
Very interesting You heal by talking transparently God bless you
@ninacamara6835 Жыл бұрын
Fact you’re very intelligent docter be blessed
@silverman69302 жыл бұрын
The genius, incredible man , humble and very intellectual, I’m happy you got this man on the show .. ❤️❤️❤️🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@silverman69302 жыл бұрын
This guy is too much I swear .. I love you Dr 🇬🇧🇬🇧❤️❤️❤️
@hasankasam5576 Жыл бұрын
Dctr yuko vizuri nimemkubali ila alivomtaja mungu nimempitisha...
@hawampate50292 жыл бұрын
Kumuelewa huyu Dr you must understand his philosophy sio rahisi. Nimejifunza mda mrefu kumuelewa kupitia talk zake kwakweli
@fatmakombo75842 жыл бұрын
Kaka kichwa kama Google akili hadi raha mashallah
@moseshandsam18652 жыл бұрын
Thanks so much doc
@stanslausbereghe38192 жыл бұрын
Nice Hard Talk Mwasha, l like it mama...
@wilsonkomago6272 жыл бұрын
DOCTOR NI HATARI SANA ANAJIBU MASWLI KISOMI KAMA HUJASOMA HUWEZI ELEWA AISEEEEE
@salhiayasri42462 жыл бұрын
Haswaa
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@dikodikson5592 жыл бұрын
Lilian kacheka kidogo baada ya Doctor kusema kuwa mtoto haji kumtegemea mtu😄😂😛
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Mwalimu wangu huyo ❤❤❤
@trecyangelo11122 жыл бұрын
d.r nimekuelewa vizuri sana
@kingungeii65202 жыл бұрын
Hii ni brain kutoka sayari ya mbali sana
@officialmtiamoyo69222 жыл бұрын
Mwendelezo Jamani 🙌🙌🙌
@husseinmwita96422 жыл бұрын
Thanks Dr
@marianmartin74832 жыл бұрын
Dk akili nyingi sana, big up sana. Nakuelewa sana.
@navinhasting31942 жыл бұрын
Aiseee Lilian hii interview ni bonge moja la interview kuwahi kufanya big up my sister keep it up you doing great watu hawajui mambo mengi sana ktk hii dunia ila hatujui kama hatujui mpk tujuzwe
Daktari wapitia sana vichakani, " beating around the push" .
@ahz69072 жыл бұрын
Anakuwa kama mwanasiasa 😁
@dostovan51422 жыл бұрын
Maneno mengi, kama mwanamke ni ardhi, mwanaume ni anga
@linahsabaspaul47292 жыл бұрын
😂😂
@sammushi15122 жыл бұрын
Hahhaaha nimependaa iiioooh
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔Fore play, fore play, fore play and different techniques may help. Tuache uvivu tuwe wabunifu kwa kujaribu mbinu mbali mbali kitandani zinasaidia🤔. Mapenzi ni mashirikiano ya watu wawili lakini mkifanya kwa dhati kwa kujaribu mitindo tafauti lazima mtatoshelezana tu🤔.
@mustafajaku97723 жыл бұрын
This is really hard Talk
@hildakayun6445 Жыл бұрын
Daah mpo vizur lkn kingereza king bhna
@Muka_262 жыл бұрын
Akili kubwa sana hii Asante kutuletea huyu
@enoceruganga54352 жыл бұрын
Well doct
@wahidabawabu89652 жыл бұрын
Asantee doctor hofu ,woga ni muhimu
@lawrencekamete24042 жыл бұрын
Dada lili nimependa sana hadtolk duu hiyo Dr yuko poa katika kujibu maswali ya msingi kutoka kwako. Safiii
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Hard talk,great talk,we are blessed to have you
@azizawadh59732 жыл бұрын
Sijawahi kuelewa kama Leo thks doc
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Dkt punguza Ktk viumbe hao ni shida dada kula tu basi awawezi
Dr.Umenitisha Maana Mimi Nikiwambia Kwenye Hizi Vidio Zao Humu ???? Raha Yakula Nikutafuna Ndio Wawahili Wamesema Nyege Kunyegeshana ???? Wao Wanakuja Kutaka Kufikishwa Hajuwa Kuwa Nikufikishana
@stellabaraka13342 жыл бұрын
Nimekupata saana Dr
@tegemeawilliammsewa19502 жыл бұрын
Ubarikiwe
@happyzm14772 жыл бұрын
👏👏👏🙏
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Huyo Dada akuerewi ni mbwembwe tu ana jipya
@azizawadh59732 жыл бұрын
Wanawake wagonjwa wengi mno
@yusraally67322 жыл бұрын
Nice
@inearclassictz12332 жыл бұрын
Mwandishi mwenyewe kaachwa njia panda
@kailalimited36402 жыл бұрын
Uyu docta ajenvwe sanam pale singida kwa Warang.....
@catherinecharles9322 жыл бұрын
KWAKWELI NAJIKUTA NAPATA NGUVU MPYA NAWAPENDA SANASANA❤
@bornifacecharles95552 жыл бұрын
Kiukweli na enjoy
@iviejustified81092 жыл бұрын
Natumaini tunamuelewa Dr hapa... Wengi tunashida kwa namna nyingi
@ecologuideaceae.21782 жыл бұрын
Full name of this man..! Plz
@josephpaul1932 жыл бұрын
The more u take the less u have
@shabanisaidi2045 Жыл бұрын
Lilian please we need party 2
@nurumigeyo46252 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Dr, ila inahtaji akili ya ziada mtu kukuelewa, asiwe mbumbumbu, my God bless and protect you
@viviankuzilwa35562 жыл бұрын
😁
@NashonyMagwi3 ай бұрын
❤
@mujuniflavian10882 жыл бұрын
👍
@sifajacky77792 жыл бұрын
I am always telling Weman that we are the managers of the love's feelings. because we are the receivers and produces of our relationship's love 💞💗💗💞 thank very much for your explanation doctor. you are the best 💋💋💋
@omarshakur91833 жыл бұрын
This guy is genius
@fikirilubida6178 Жыл бұрын
True
@salumdavid21282 жыл бұрын
Ungefunguka wazwaz doctor kuliko kimafumbo ingependez zaid
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Manake mimi nimewachwa pembeni..... sielewi...
@fatmazullu49332 жыл бұрын
Hamjui kuna watoto?
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
@@fatmazullu4933 kweli madam, ila wewe mzuri...una mshikaji...
@tobiusjtz76072 жыл бұрын
Kwl
@justinemfilinge98742 жыл бұрын
Doctor nimekukubari
@augustpavelnahayo50092 жыл бұрын
Asante sana doctor, napenda sana hard tolk
@naindwamsheri4803 Жыл бұрын
Nani mwengine ana watch hii interview. Again after a year na ana enjoy kuitazama tena?tujuaneee 🎉 doctor hongera na ahsante sana kwa wisdom
@Boaz22 Жыл бұрын
Dada lilian, jitaidi sana kupunguza background music, hatusikii vizuri
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔Hii cheating kuna msemo wa Kiingereza unasema “forbidden fruit is the sweetest”. Yaani tunda lililokatazwa ndio tamu lao. Hii ndio maana mtu akitoka nje ya ndoa na kufanya mapenzi nje hupata shauku na mvuto mkubwa kimapenzi. Lakini pia harufu mpya na mapigo mapya pia huongeza michapuko ya kufika kileleni kimapenzi🤔.
@nitumesokoni31642 жыл бұрын
The hard talk
@collkidstar70402 жыл бұрын
This man he does not know how to strike point , he is passing around the point which is not acceptable
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
This is hard talk, hapa ni swala la uelawa. Fuatilia koment nyingi ndo utajua tatizo ni ww. Philosophical conversation doesnt need what u need bro
@jimmysichalwe35862 жыл бұрын
Aisee,upo vizur Doctor
@user-eo7ug2tg9r2 жыл бұрын
😊😊😊
@jennifermlyakalam50002 жыл бұрын
Natamani nije kumuona huyu baba jamani sijawahi choka kumsikiliza
@melvinnakhungu25042 жыл бұрын
😄
@senseisafari1355 Жыл бұрын
Wewe nisarute donkita
@natafutamatatizo43822 жыл бұрын
Womens they sleep like mattresses and they don't work to come😂😂😂
@kamutua63762 жыл бұрын
🤦🤦🤦😁
@ahmadmuhammadnguri17702 жыл бұрын
We dada una udhi na kiengereza chako kifupi kifupi, ongea2 kiswahili
@user-qc4lb4rc7b2 жыл бұрын
Hana akijuacho ni unuwaji mwingi tuu kasome dada weeeeee na upunguze bichwa kavu
@binaljabirmshihirzanzibar83692 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@calvoh97152 жыл бұрын
what is he saying exactly.
@saudmohammed33902 жыл бұрын
Maneno bambam tunatoka kwa baba mamillioni mmoja anaweza kushinda kuwahi kuingia kwenye yai.
@ngonajacob28952 жыл бұрын
Mbona imeishia njian dada
@tegemeawilliammsewa19502 жыл бұрын
Asante.
@markomushi14652 жыл бұрын
hi dada lillina Abella mwasha natumaini uko salama kbs nina ombi nina wezaje kupata mawasiliano na docter
@eteniashola17292 жыл бұрын
Hbr mbona sehemu ya pili sioni?
@emanuelsimpa64382 жыл бұрын
Doctor Asante umefanya vyema kutukumbusha
@bahatiedward88662 жыл бұрын
Aisee kumbe Haina haha ya kuteseka utamu tunao wenyewe
@tegemeawilliammsewa19502 жыл бұрын
Sichokagi kukusikilza. Kila siku nikama, nasikiliza upya.
@ramadhankisila4522 жыл бұрын
Ufasaha wa lugha uliopo hapo sio mchezo
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Aisee mimi kama mkenya, nime sambaratika....
@salhiayasri42462 жыл бұрын
Haswaa
@teddygabriel56622 жыл бұрын
Yn unaweza achwa njia panda🤔
@eliasnyangato89302 жыл бұрын
Huyu mwamba anafundisha San lkn bado hajajibu swali. Kuna contact zipo za kumfikisha mwanamke killelen hajazitaja, mwanamke hata Kama anamsongo wa mawazo lazma atafika kilele tu, labda atachelewa tu lkn lazma afike. Kikubwa umjue yy na contents zake. Very very easy.
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
Wajanja washajua bro, hujasikia maandalizi ndani ya mazungumzo kwamba lazima umwandae vya kutosha ili umshtue uwepo wake? Mengine haya ni elimu ya ziada itakusaidia, usiwe mgumu wa kuelewa 😆😆😆😆😆😆😆
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Hutakiwi kufikishwa unatakiwa kufika wewe
@hamidubakary Жыл бұрын
Pia uwepowanguvu unahitajika kikubwazaidi kwanza mwanaume inatakiwa achelewe kufikakilele nahilowengilinawaangusha wanaume kutokana na vyakula mwingine Huwa anashusha Kwa dakika 2 huuni udhaifumkubwa namwanaume akiwahisana kufikakilele mwanamke atakuchukiasana nakukudharau kamawasipobadilika nakuachakula mikukuyakisasa tatizohilohalitaisha by op hamidu mkomwa
@dennislihepa22472 ай бұрын
Dr yuko sawa sana wanawake wengu wanamatatizo ya fikra zao
@maryephrem78192 жыл бұрын
Tunasubiri mwendelezo mpk leo hujatoa
@madukurumwanileles79092 жыл бұрын
Mhh
@estermassawe16872 жыл бұрын
Hii kicha kwekweli hapana
@petronilamtei74702 жыл бұрын
kazi kweli kweli through kufika kileleni
@mandruslamu20162 жыл бұрын
Dada Lilian mimi ni mume na niko kwenye ndoa kwa mwaka wa tano na challenge nyingi mnoo naomba namba yako ya whatsapp please
@hawampate50292 жыл бұрын
Ndoa yako isoviwe Na Lilian😁aisee una utan
@munuoisaack4182 жыл бұрын
Huyu jamaa ni nondo ya hatari
@mashamborashidi11782 жыл бұрын
Vinnie bite Kana flow lkn!
@mybrain89402 жыл бұрын
Kiumbe cha kale katika maumbile madogo sasa nimekuelewa
@natsach58492 жыл бұрын
Mwendelezo wake upo wapi jamani
@aishaabdallah89162 жыл бұрын
Dr pongezi ila ameongea kiswahili Cha ndan sana
@moseshandsam18652 жыл бұрын
Part 2 nitaipata wapi since hii mada ilikuwa inamafunzo zaidi
@michealjoseph79611 ай бұрын
hakika usichokiofia huto kitunza
@allymtungunyu24252 жыл бұрын
Nimemuelewa sana doctor. Inamaana asitokee mmoja wapo kati ya mke na mume akasema hanifikishi kileleni. inatakiwa aseme sifiki kileleni. Ndio maana akasema hakuna mtoto anaezaliwa haji duniani kukutegemea ww au kumtegemea mtu. Kila mmoja afanye juhudi ya kutafuta anachokitaka ili akipate. Kweli mkiwa mnanyanyua mzigo mzito watu wawili ukizembea kiunua ule mzigo utainamia kwako na utakuangukia utaumia wewe uliezembea kunyanyua.
@chachamwita97592 жыл бұрын
Point upo vizuri
@jeconiajosia19992 жыл бұрын
Huyu dr ni hatari sana yafaa kumsikiliza ana mambo mazuri mno