MITIMINGI # 180 UKITAKA KUMFANYA MWANAUME(MUME) AWE WAKO TU, ASIWE WETU. FANYA HAYA UTADUMU NAYE.

  Рет қаралды 1,105,513

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

6 жыл бұрын

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p.

Пікірлер: 465
@herbertludwig7315
@herbertludwig7315 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa hii zawadi ya mtumishi wako ,jina lako lihimidiwe hata ulipo mwiita,rest in peace Pastor Peter
@rachelidaya9313
@rachelidaya9313 5 жыл бұрын
Mimi na mfata pasteur MITIMINGI kutoka D.R CONGO🇨🇩, mafundisho yake ni ya muzuri saaaaaaaaana, Mungu azidi kumbariki. Maisha marefu kwa watumishi wa Mungu mahali popote mulipo.
@gervaskisonga8162
@gervaskisonga8162 4 жыл бұрын
Tushapotelewa na mtumishi mitimingi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Rest in Peace Pastor
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 6 жыл бұрын
Hongera xana kwa mafunzo mazuri GOD BLESS YOU
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 2 жыл бұрын
Uchungaji unayvo Sema ni kweli kabisa mke wangu nikimuhuliza mbona ujatandika kitanda jibu na wewe tandika juu na wewe unalaliaga kitanda tandika
@irenekambi4705
@irenekambi4705 4 жыл бұрын
Jamani twabembeleza lakini haviwi mungu atuhurumie wamama tuna shida
@subirajosepha2653
@subirajosepha2653 4 жыл бұрын
Saana mungu atutie nguvu
@salmakiyabosiriyamachoziha8756
@salmakiyabosiriyamachoziha8756 4 жыл бұрын
Dar jamani naumia san masomo mazur san tupate wapi mungu muweke mahali pema pepon.
@fremwamedia1976
@fremwamedia1976 4 жыл бұрын
Basi ww unashida
@danfordmilagiro1836
@danfordmilagiro1836 3 жыл бұрын
Kila ninapo isikiliza ninaiona mpya Mungu akuweke mahali salama mpendwa bado tunakukumbuka
@jumamachano7329
@jumamachano7329 5 жыл бұрын
Ukiachia saikolojia ulonayo pia una kipaji Cha kuongea Mimi Ni muislamu ila napenda kukufatilia napata kitu kutoka kwako
@kizakizapetro6205
@kizakizapetro6205 5 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@sarehengome2820
@sarehengome2820 3 жыл бұрын
Nimekuerewa sana uko vizuri sana
@henocknorberty9930
@henocknorberty9930 3 жыл бұрын
@@kizakizapetro6205 AqAAAaAAAAAAqaAQAAa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Alikuwa nacho
@janethjaneth3369
@janethjaneth3369 5 жыл бұрын
Nimejikuta natoa machozi kwa mafundisho haya maana yamenigusa zaidi na nimejifunza sana na kuanzia Leo ntamurshim Mme wangu sana.....Mme wangu analala mpaka nje ila naisi nami ni chanzo kwa sababu ya ukalii wanguu
@yoramtango2470
@yoramtango2470 3 жыл бұрын
Badilika Sasa dada
@ndwatanchullah4013
@ndwatanchullah4013 4 жыл бұрын
Ndivyo ilivyo Mungu anawapenda wanyenyekevu na hiyo ndio maana halisi ya neno Uislam asante pastor kwa hubiri uislamu.
@husnamichael9173
@husnamichael9173 4 жыл бұрын
Masudi porisidwata Nchullah
@husnamichael9173
@husnamichael9173 4 жыл бұрын
Masudi poris
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu hatakama umeondoka mafundisho yako ulio yaacha ya tadumu RIP baba
@francinekabwe1211
@francinekabwe1211 5 жыл бұрын
Amen baba mafundisho yako yana jenga kitu ,ndani yaroho yangu ,marakwamara 🙏🏽
@neemagabriel7694
@neemagabriel7694 3 жыл бұрын
Kifo chako kimeniumiza sana Dady R.I.P pastor umeacha mbegu njema naamini hata ulichofundisha kitanisaidia katika ndoa yangu ijayo,
@nickdr_tv
@nickdr_tv 3 жыл бұрын
nice
@samuelramadhani1521
@samuelramadhani1521 2 жыл бұрын
Amen Mtumishi Mungu akuweke sehemu Salama asante sana kwa adhina hii uliotuachia
@canisiamahay7265
@canisiamahay7265 4 жыл бұрын
Nice somo,,,,,, siku nyingine andaa somo kwa wanavyuo wanaotarajia kuingia kwenye ndoa waishije!??? Karibu sana Udom
@sabelakapesa2205
@sabelakapesa2205 4 жыл бұрын
CANISIA AHAY Kuthaminianiana na kusamehana tu Dada jwangu
@tamimuabdul5843
@tamimuabdul5843 5 жыл бұрын
Axnte baba nmejifunza me shida yang ilikuwa kujibizana. 🙏
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Uache sasa maana Sisi wanaume huwa tuna mapenzi ya thati kwa MKE wenye utulivu na mpole(humble)
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 4 жыл бұрын
@@jacksonmathayo6510 sawa sawa
@frankstanslaus3588
@frankstanslaus3588 4 жыл бұрын
We muongo.
@linuskajange876
@linuskajange876 2 жыл бұрын
Hongera kwa mahubiri yako .ongeraaaa wambiie hao niwabishi sana wengne.kaz kubishana tuuuu
@elizabethnkonyoka5472
@elizabethnkonyoka5472 6 жыл бұрын
Hongera saana baba kwa mafundisho mazuri ,Mungu akubariki sana
@denisykutemile8449
@denisykutemile8449 6 жыл бұрын
Hongera Sana Sana mafundisho mazuri sana
@geoffreykiiru8479
@geoffreykiiru8479 4 жыл бұрын
Ukweli ndio huo nyamaza tu
@vincentjoseph4745
@vincentjoseph4745 4 жыл бұрын
Uko vizur sana baba mafundisho mazuri sana mungu akutangulie kwa kila kitu tatika maisha yako
@suzannjokinjoki4673
@suzannjokinjoki4673 3 жыл бұрын
Amen. Thanks so much pastor, have learn more and more from you the way to be with your spouse in the house and how to treate him. Even tho you're not there but you will always be remembered for your great work you did. R.I.p
@tedytitus7205
@tedytitus7205 3 жыл бұрын
God over everything 😭😭..siezi kulala bila kupitia uku aisee😞pumzika baba
@rosallyfideline797
@rosallyfideline797 4 жыл бұрын
Kwakweli unakipaji ya kufundisha. Unayoyaongea ni kweli kbsa 100% be blessed.
@gloryrajabu5564
@gloryrajabu5564 4 жыл бұрын
Daaah nenda baba umemaaliza kazi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Kitchenpart hiyo sasa watoto wetu wanayaweza hayo katika ndoa wala hazidumu kila mtu mie msomi
@gervasvitus1925
@gervasvitus1925 Жыл бұрын
Tulipoteza mtu muhimu Sana kwenye saikolojia yote ya yote kazi ya Mungu haina makosa rest in peace
@lilsome6331
@lilsome6331 4 жыл бұрын
Mungu amuingize peponi , dah nimechelewa kujiunga anamafunzo mazuri sana
@godiasjohn2915
@godiasjohn2915 5 жыл бұрын
kiukweli mafundisho yako yamebadili mtazamo wangu kwa kiasi kikubwa
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 5 жыл бұрын
Amina Ubarikiwr sana Godias. Sifa na utukufu kwa Mungu. Unapatikana wapi
@magrethjulius1502
@magrethjulius1502 4 жыл бұрын
Penda saana ww Barikiwa
@roseraphael5532
@roseraphael5532 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mchungaji mitimingi.
@saidlwambo1995
@saidlwambo1995 4 жыл бұрын
Mwanaume pia anapaswa kuwa mstarabu mbele ya mke na sio kufoka foka tu,wanawake nao uchoshwa na vitendo vya namna hiyo.
@jacklinemunis1881
@jacklinemunis1881 4 жыл бұрын
Nikwel
@allytweve7218
@allytweve7218 4 жыл бұрын
Sikia neno au na wew niwale wale
@alinenabintu4882
@alinenabintu4882 4 жыл бұрын
uuySaid Luambo bbbtbbt
@lyneddy1557
@lyneddy1557 3 жыл бұрын
@@allytweve7218 😂😂😂😂😂😂😂
@yovithaobed5574
@yovithaobed5574 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mana kunawanaume wakianza kuongea hawachoki mpaka umjibu kitu ndo anatulia na kila binadamu anahasira yake
@fabricekangitsi3025
@fabricekangitsi3025 2 жыл бұрын
Very important message. We thang you so much. Thx from DRC
@anjawestanley4502
@anjawestanley4502 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu ametuacha Ila maneno yake yanaish mwenyez mung apunguzie adhabu ya kabur
@annwanjala161
@annwanjala161 6 жыл бұрын
Asante sana Mjungaji kwa mafunzo yako yamenitoa mahali nilikua na kuniweka mahali pazuri mungu akubariki sana
@atupelealladin919
@atupelealladin919 5 жыл бұрын
Aise mchungaji mafundisho yako ni kweli. tunapaswa kuyajua haya kwa hasiye sikia yatasaidia katika maisha yao , maisha yetu UBARIKIWE.
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 6 жыл бұрын
You are a great teacher. Your teachings are full of life and anointing. May the Lord God Almighty keep blessing you in a mighty way.
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amen, Glory be to God. Blessed
@tumimasiku3436
@tumimasiku3436 3 жыл бұрын
Amina baba mungu akubaliki una2fundisha mengi mm bado sijaolewa ila unanitia moyo baba
@faidaruzamuka6997
@faidaruzamuka6997 4 жыл бұрын
You are a good teacher . Thank you
@fednandwanda2559
@fednandwanda2559 3 жыл бұрын
Uliacha ulimwengu. Uliacha ujumbe mwalimu wa neno la mungu. Mola akulinde huko uliko
@dorothdorothwanjala8222
@dorothdorothwanjala8222 5 жыл бұрын
Mafunzo mema kabisa. Mimi hunyamaza hata kazini mpaka wenzangu wananiona ni mjinga ila najua ninachokifanya
@dorothyxavery6178
@dorothyxavery6178 4 жыл бұрын
Jmn una jina kama langu
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 4 жыл бұрын
Rest in peace dady!!! Siamini macho yangu !!! Mungu tuhurumie tunakuomba
@seurikasaro
@seurikasaro 4 жыл бұрын
The fact you said,me too i do not believe
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu nimejifunza mengi kutoka kwako na nimeamua kuyafanyiya kazi
@natujwamchome1955
@natujwamchome1955 6 жыл бұрын
somo lako halijawahi kunipita bure nikisikiza lazima nijifunze kitu,asante mwalimu
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Barikiwa sana Natujwa.
@yustasanga6327
@yustasanga6327 4 жыл бұрын
Umevipiga vita vilivyo vyema mwendo umeumaliza pumzika kwa aman sijaamin jamana Mungu awatie nguvu ndugu jamaa na marafik
@gloriatoo22
@gloriatoo22 3 жыл бұрын
Nini ilimuua wooiye
@josephkaranja8166
@josephkaranja8166 5 ай бұрын
Mungu amuweke pema peponi he was a good teacher
@jacquesabungulu8020
@jacquesabungulu8020 4 жыл бұрын
Mafundisho mazuri zaidi ikiwa waume na wake tunayazingatiya
@divineglorywithmamabeatric2667
@divineglorywithmamabeatric2667 4 жыл бұрын
Amen amen. Nabarikiwa sana na mafunfisho haya kweli.
@millicentondeng6018
@millicentondeng6018 4 жыл бұрын
Waaa nimepigwa na butua, i never heard of his death.I was watching this video without even knowing.
@josinamarcel1467
@josinamarcel1467 4 жыл бұрын
Mwanaume mwingine bila kimfokea ka mtoto habadiliki kwenye usafi, kipato nk. Tunaaongea kwa upole lakini aisee vitu vingine inafika mahali hata kupiga tunapiga. Pole Pastor
@kesageroandrew6912
@kesageroandrew6912 4 жыл бұрын
Daaaah.... Niliyapenda sana mafundisho yako na Yemen fuza mengi japo umetutoka tutayaishi mafundisho yako. Upumzike kwa Amani.
@georginnathornhill4052
@georginnathornhill4052 4 жыл бұрын
Dahh kweli hili ni Gala ya chakula cha uzima .mafundisho kama haya ni adimu sana kuyapata.nakufuatilia kutoka st Louis 🇺🇸.barikiwe sana mtumishi
@neemaswai8384
@neemaswai8384 6 жыл бұрын
Nimepata hapo kitu,safi sana,usigande Dar tembea mikoa yote Tz,asante.
@janethjaneth3369
@janethjaneth3369 5 жыл бұрын
Neema Swai haswaa nasi kanda ya ziwa tunatamani kukuonaa
@noreenrowland6063
@noreenrowland6063 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukueka
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 4 жыл бұрын
Noreen Rowland Amina
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 жыл бұрын
Maneno haya yana ukweli kwa asilimia 60 lkn ngoja niseme kuna wanawake wanajua kubembeleza,wanajua kunyenyekea lkn hao waume zao ni SHIDA ni Mungu nihurumie kwa hiyo kwenye ndoa tuishi kwa makubaliano,kujadiliana,kupanga,kuongea,kushirikiana,nyenyekea upendavyo Ila hiyo nyumba isipokuwa na upendo ni kazi bure
@johnmasanja2938
@johnmasanja2938 7 ай бұрын
Mmmmmmmh
@annastaziadickson4647
@annastaziadickson4647 3 жыл бұрын
aminaaa pastor sema baba tuponeee
@farajachengula9699
@farajachengula9699 5 жыл бұрын
Umenifanya nibadilike asante mtumish kwa neno
@khalifanlyeme8710
@khalifanlyeme8710 4 жыл бұрын
nimeyapenda mafundisho mtumishi
@hamidakassim4
@hamidakassim4 4 жыл бұрын
kipao mbele mtimishii wa Mungu! umenena jimbe sahihi👏👏
@kdv6959
@kdv6959 Жыл бұрын
Rest n prece pastar mafuzomazuri sana umenisaidia sana mm ckua n jielewa n sikiliza nkwa kenya napenda kufuwatilia mfuzo
@neemachalamila590
@neemachalamila590 5 жыл бұрын
umenifungua sana na nimepata kujifunza na kuelewa,nitaanza upya na sitafanya makosa tena
@saraphinarichard1525
@saraphinarichard1525 6 жыл бұрын
your Heroo...may God guide you for his wisdom and power forever..don't give up you teach great things that help someone to live his/her dream
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amen, Glory be to God. Thank you Saraphina Richard
@azizamusa9726
@azizamusa9726 3 жыл бұрын
X Isix
@agnesmunguakubarkisananaup1277
@agnesmunguakubarkisananaup1277 5 жыл бұрын
Safi sana baba mungu akuzidishie uongeze vtu vzur zaidi usaidie watu nmefurahi
@deborabalama2656
@deborabalama2656 6 жыл бұрын
sema baba tupone mungu akubariki
@hedwigjohn6276
@hedwigjohn6276 3 жыл бұрын
Uendelee kupumzika kwa amani 🙏 umetufunza mengi sana
@bahatimnanka1778
@bahatimnanka1778 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa ushauli wako kamanda tutakukumbuka kwa somo lako
@mwajumahamisi6738
@mwajumahamisi6738 6 жыл бұрын
It is very true kwamba mwanaume hapendi kujibishwa.... Thanks man of God
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Mwajuma Hamisi Amen, Blessed Always Mwajuma.
@vegasdenby9342
@vegasdenby9342 4 жыл бұрын
Asante baba ututumiye piya maukurasa ya mafundisho hayo baba
@andrewchebukati1796
@andrewchebukati1796 4 жыл бұрын
Hongera Sana kwa mafunzo Yako Mungu akulaze mahali pema.umetenda mema duniani.
@tatushebe5847
@tatushebe5847 3 жыл бұрын
Asante mungu kwa maisha ya mtumishi peter mitimingi
@salummpala4176
@salummpala4176 4 жыл бұрын
Rest in peace mm muislam Ila mchungaji nakukubali Sana Kwan mafundisho yako kunakitu najifunza kupitia Wewe
@wiliamoabasmlula8333
@wiliamoabasmlula8333 3 жыл бұрын
Mchungaji mafunzo yako mazuli sana.mungu akubariki
@jamilaezekiel6174
@jamilaezekiel6174 3 жыл бұрын
Daa mwacheni mungu aitwe mungu umetuachia machungu🙏🙏🙏😭😭😭
@nicolemichael7626
@nicolemichael7626 5 жыл бұрын
ubarikiwe hakika mwanamke mpumbavu huibomoa ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,na mpumbavu huidhihirisha hasira yake Bali mwerevu ataizuia,
@jeskarugakingira9335
@jeskarugakingira9335 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele mchungaji
@chrispinokoppa6632
@chrispinokoppa6632 6 жыл бұрын
Ubarikiwe mafundisho mazuri sana kwa akina dada na wamama
@maggyirene110
@maggyirene110 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Mchungaji.. Kupitia mafunzo haya, nimepona
@user-xl2tt3qy9d
@user-xl2tt3qy9d Жыл бұрын
Daima Nitakukumbuka Mch Mwalimu wangu
@godfreyosalechuwa1734
@godfreyosalechuwa1734 4 жыл бұрын
Asante mungu akubariki👏👏👏
@winniekisindo163
@winniekisindo163 4 жыл бұрын
Thumbs up for this message
@joshuamtae440
@joshuamtae440 4 жыл бұрын
nimemuerewa sana Jamaaa Amina kubwa
@habibamashaka3172
@habibamashaka3172 5 жыл бұрын
mungu akubariki Mt wa bwana kwa mafundisho unayotupa yanatusaidia sana
@boazmathew9606
@boazmathew9606 6 жыл бұрын
mwenyenz Mungu akupe kuish kwing pastor Mitimingi
@balasisiterezia1609
@balasisiterezia1609 5 жыл бұрын
Blessed mnooooooooo,, an daah though am single buh najfunza ktu kkubwa Sana hope ktansaidia kwa ndoa yangu ijayooooo
@RitaAsha
@RitaAsha 6 жыл бұрын
Being single m learnin alot of thìngs mungu akubariki sana
@mitimingionlinetv9896
@mitimingionlinetv9896 6 жыл бұрын
Amen, Glory be 2 God, Blessed
@mosesjuma8740
@mosesjuma8740 4 жыл бұрын
Kweli
@nashahaji4168
@nashahaji4168 4 жыл бұрын
Asante jamani maana tunajisahau wajibu wetu
@samwelisena8909
@samwelisena8909 Жыл бұрын
You will remain in our hearts pastor mitimingi rest in eternal peace
@ramazanilingomo6768
@ramazanilingomo6768 5 жыл бұрын
Mzee wangu kuna kitu sikuwa najuwa maishani mwangu hata mke wangu kila kipindi yako yooote mwezi tatu anafwataka ku KZfaq na mpaka leo mke wangu niliishaka kumpenda kupita kipimo kwani aliishaka badirisha tabiya kufwata na maubiri yako nime kushukuru saaaana mungu azidi kukuo ngezeya akili ya kuweza kutupa mashauri mimi ni drive RAMS apa Canada Vancouver
@miriamasubwa1552
@miriamasubwa1552 4 жыл бұрын
Woie pole pastor kutuaja mafunzo mazuri hayo,tutapata wapi,mungu akuweke Mahali pema
@gaudensiajoseph9364
@gaudensiajoseph9364 4 жыл бұрын
Mafundisho mazurii,,,ubarikiwe mtumishi😇
@ruttajames1263
@ruttajames1263 4 жыл бұрын
Amen mtumishi nabarikiwa sana
@gaston5357
@gaston5357 Жыл бұрын
R I p
@christopherontuga4870
@christopherontuga4870 4 жыл бұрын
Great teaching good lessons
@rishmamlacha1625
@rishmamlacha1625 6 жыл бұрын
Mungu akupemaisha marefu doctor
@candybenardy3110
@candybenardy3110 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba nimeelewa sana hili somo
@josephsimon1173
@josephsimon1173 6 жыл бұрын
God bless u so much bro
@lucylucas9658
@lucylucas9658 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana pastor kwamafunsho yko, keep rest in peace
@jonathanloveness6728
@jonathanloveness6728 6 жыл бұрын
Barikiwa baba
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mungu akukumbuke kwa ilo,cheka akiishi,
@esaumakele7476
@esaumakele7476 4 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaa, kwa mafundisho yako
@hamisymatagi8350
@hamisymatagi8350 3 жыл бұрын
R.I.P mungu na akulaze mahal pema.maneno yako hayapoteii kabsa kwangu
@eliazammbaga4329
@eliazammbaga4329 6 жыл бұрын
ubarikiwe na Mungu.
@chridekanguni1237
@chridekanguni1237 6 жыл бұрын
kwakweli mafundisho yako nayapenda sana,mungu akubariki
@nakhlaadan5186
@nakhlaadan5186 6 жыл бұрын
Waooooo nice sana
@kennedyotieno6921
@kennedyotieno6921 6 жыл бұрын
Mungu akuongoze upaji zaildi
@angelamwakyundu2157
@angelamwakyundu2157 5 жыл бұрын
Be blessed pastor Peter Mitimingi
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 жыл бұрын
Ameni
@herbertussi7744
@herbertussi7744 6 жыл бұрын
Thank you for your teachings.
@jaritauwema4464
@jaritauwema4464 4 жыл бұрын
I can say 50% some of the time even you woman you humble yourself he will still do what he wants, he won't stop cheating because you humble yourself to him.
Vitu 6 hatari katika Maisha yako - Sheikh Othman Michael
27:26
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 54 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
MITIMINGI # 675 JIFUNZE KUKATA KIUNO KUBORESHA TENDO LA NDOA
15:41
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 567 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 187 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
MITIMINGI # 742 UTAJUAJE MCHUMBA HUYO HAKUFAI
19:11
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 79 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 568 М.
Mch: Daniel Mgogo - Nyumba nzuri lakini mwenye nayo
14:59
Uhai Online Tv
Рет қаралды 785 М.
UFANYE NINI PALE UNAPOPATA NDOTO MBAYA?( SEH A)
43:39
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 55 М.
MITIMINGI # 129 SUMU YA KUMMALIZA MWANAUME AKUPENDE MAISHA YAKO YOTE
16:11
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 211 М.