Asante Mungu nimezidi kujengeka kiroho huyu Mungu kwangu ni rafiki yangu amenitendea mengi na namuomba anipe Hekima yakumtumikia bila kuchoka
@Joycependopendo-dv2tb6 ай бұрын
Amen Kwa hakika mungu Ni mzuri Na pia nimwamnifu kila nikisikiza mahubiri haya Kuna kitu kipaya najifunza hakika mungu wa mbinguni akubariki pastor Na pia akuongezee miaka mengi
@MARIE-iy4bx Жыл бұрын
Ameen, nimejipata nalia,nikikumbuka vile nimerudi nyuma kufunga,😭Ee Mwenyezi Mungu, naomba ufahamu na Nuru yako iniangazie kwa Mara nyengine,angalau niache unafiki na wewe🙏🙏🙏,
@prosmacharius707410 ай бұрын
Naanza leo kukupa mda wangu Yesu.mambo yangu yamegoma sababu nimeyapa mda Sana kuliko wewe
@paschal04tv84 Жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana Mungu akubariki pastor.
@elifurahamnkeni2759 Жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe Sana Naomba uniombee Nina shida nyingi. Ningekuwa na Namba yako ya simu tungeongea ila kwa imani nitapona
@prosmacharius707410 ай бұрын
Asema mpe mda mwingi Yesu utapata kila ukitakacho kiurahisi.tuanze wote Leo ndugu tuone maajabu
@mariamagdalenamwamyalla484910 ай бұрын
Martha musafiri pastor mungu akubariki sana unatusaidia tulio weng na mungu akubariki sana🙏
@yobike96809 ай бұрын
Asanti sana nyumbani wa mungu kwa kusikiliza Nasumbili yako mimi niliona hapohapo mgojwa ulionisumbua sana mpaka nikama moyo . asifiwe mungu na mungu akupariki sana
@damaricemkanyika8293 Жыл бұрын
Amen , mafundisho yako posta mbaga mungu akubariki sana nko kenya taita.
@shijantumba3164 Жыл бұрын
kuna kitabu kinaitwa THE MONEY CODE, aisee kinaelezea njia zilizowafanya wayahudi kufanikiwa katika biashara
@elizabethmakaranga218 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho unayotufundsha stayblessed mch Mmbaga
@user-js1bh4rc1y9 ай бұрын
Mungu akubariki pasta tunatosheka n'a mahubiri
@JudyMihila-eo1lg Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@kilungumsabaha3891 Жыл бұрын
Ameeen Pastor Nabarikiwa sana na Mahubiri haya nakupata vizuri kutoka Muscat 🙏🙏
This sermon is a blessing, i have a lecture who told us at his home their is not television or radio no phone to the kids, he give the books to read if tired they out to play,
@joyikaya74293 ай бұрын
Amina. ZIDI KUBARIKIWA PASTOR.
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Vile Bwana apendavyo akutumie fanya kwa nguvu zako zote mpaka mwisho Bwana ameweka mafundisho makubwa juu yako nguvu zote wekeza Na Bwana Akusaidie sana kwa mfaano wa paulo
@marthajepkogei5845 Жыл бұрын
Kweli mungu ni mwema Kila saa,na wakati wake ni sasa.Amina pastor.barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏
@margaretwanjiru909610 ай бұрын
Amen Amen 🙏🏻
@PeterCharles-yc7tn28 күн бұрын
Mchungaji nimiaka miwili imepita tangu ufundishe somo hili lakin nimepata kibali kwa bwana biashara yangu imekua sana asante mungu
@MahubiriPrMmbaga27 күн бұрын
Mungu atukuzwe saaaana
@Petro757 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@DanielLuhunga-iy4hl23 күн бұрын
Barikiwa San pastor
@mwendapolesdachurch Жыл бұрын
Amina.
@aggywilson6984 Жыл бұрын
Ameen mafundisho yananifungulia mengi 😭ubarikiwe sana pastor🙏🙏🙏
@leilahjaye6413 Жыл бұрын
Amen Nimejifundisha mengi, Asante pastor
@juliuswambua5168 Жыл бұрын
Amen -Thanks be to God
@robertjisandu56 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na somo hili. Barikiwa pastor
@ngolorose Жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@halimaelizabethamuli254 Жыл бұрын
Hivi mie nashukuru Mungu sana kwa kunikutanisha na mafundisho ya pst Mmbaga, kwani nilikua kwenye giza sana 🙏🙏🙏🙏
@callenonderi1708 Жыл бұрын
Amen nabarikiwa nikiwa labanon
@carolinemwugusi8945 Жыл бұрын
Fundisho nzuri asante kwa kunielimisha umenisaidia sana barikiwa mtumishi wa Mungu
@marthadaniel4904 Жыл бұрын
Amen, nabarikiwe san 🙏🏾
@maorinebarongo778910 ай бұрын
Amen
@revocatNgendakumana-xv5um Жыл бұрын
Thank u
@froline5209 Жыл бұрын
Your teachings pastor inspire me so much be blessed
@robenragira1018 Жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi wa bwana Mungu awabaliki sana
@sabinamrema5493 Жыл бұрын
Ameen Pastor nimepata moyo wakumjua huyu Mungu.
@JuliethyManyama6 күн бұрын
Amina
@crealmarwa Жыл бұрын
Graciàs🙌
@JahlayzahEbrahimovc2 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa mola
@beathapontian2187 Жыл бұрын
Mungu aendele kuku tunza 🙏🙏
@upendotv2776 Жыл бұрын
Niukweli kbisa ukipumzka unpta nguvu
@jerlaskambale5458 Жыл бұрын
ASante kwa mahu
@BonfaceChacha-md2ux7 ай бұрын
Mchungaji niombee nipate utakaso wa roho mtakatifu pamoja nipate cheo cha kuwa mibaraka kwa ndugu zangu ...pia niweze kupata kazi mji wa Nairobi ..sema neno pastor nipate mbaraka wa ibrahimu
@MahubiriPrMmbaga7 ай бұрын
Mungu akutendee muujiza
@user-pe9hl6ks6m10 ай бұрын
Pr naomba no yako ya. Cim yako ya Sasa tafadhali
@adarashidi8178 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@judithnjalambaya2450 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@abilityemmanuel3000 Жыл бұрын
Pastor David mbaga,, samahan siku ukipata muda utuewekee sawa hali hii ya waadventsta kusherekea mwaka mpya limekaaje tusaidie
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
kzfaq.infoM_9N3GilTmU?feature=share
@glorialaizer9450 Жыл бұрын
Masaaa 6 yanatosha kulala
@nicepallangyo1860 Жыл бұрын
Mimi nataka niongee na pastor moja kwa moja lakn nashindwa kuchukua namba
@user-fj1se1qs9r4 ай бұрын
ninajekwa naomba maombi
@Uzima-Tv Жыл бұрын
Amen🙏
@user-wh5gr3yw9s Жыл бұрын
Nilikuwa nimetanga mbali nawe Yesu Narudi nisaidie kuyaelewa haya na kuyafanyia kazi
@rahimajuma5306 Жыл бұрын
Ameen
@chagamammbaga3457 Жыл бұрын
only point is to belive in GOD
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Nashukuru mchungaji kwa kunipa akili ya chakula Cha roho
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
yaani mch. umenena
@marsellah9295 Жыл бұрын
Niko hapa nakufuatiria kutoka saudia
@veronicajimisha61 Жыл бұрын
Ninajifunza
@nazieleliakimu36259 ай бұрын
++
@damariskimaiga364 Жыл бұрын
Thanks 🙏🙏 for inspiration massage pastor kindly assist me with your number Damaris from Kenya.
@MARIE-iy4bx Жыл бұрын
Ameen, nimejipata nalia,nikikumbuka vile nimerudi nyuma kufunga,😭Ee Mwenyezi Mungu, naomba ufahamu na Nuru yako iniangazie kwa Mara nyengine,angalau niache unafiki na wewe🙏🙏🙏,