LIVE:ASKOFU MKUU RUWA'ICHI ASIMULIA YALIYOMKUTA HADI KUFANYIWA UPASUAJI,KUMBE CHANZO NI HIKI

  Рет қаралды 9,347

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

4 жыл бұрын

LIVE:ASKOFU MKUU RUWA'ICHI ASIMULIA YALIYOMKUTA HADI KUFANYIWA UPASUAJI,KUMBE CHANZO NI HIKI.
LIVE:Askofu Mkuu Ruwa'ichi Asimulia Chanzo cha Ugonjwa wake''UFAHAMU WANGU UMERUDI KWA %..Tazama hapa.#
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, kwa Mara ya kwanza Amesimulia chanzo cha Ugonjwa uliopelekea yeye kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa.
Kupitia Mahojiano haya aliyoyafanya na Mwandishi wa Habarai Kutoka Radio Maria Tanzania Askofu Amesema kuwa amepitioa kipindi kigumu sana katika Ugonjwa huo lakini Kupitia maombezi ya watu mbali mbali Mungu amempa nafasi nyingine mpya ya kuishi tena.

Пікірлер: 19
@veronicapatrick3147
@veronicapatrick3147 4 жыл бұрын
Mungu ni mkuu ametenda pole sana baba mhasham
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Amina Baba tunaendelea kukuombea Mungu aendelee kukuatamia na Mama Maria mama wa Mungu aendelee kukuombea kwa Mwanae YESU, TUNAKUPENDA SANA Baba na tunafurahi kukuona uko salama
@piuskikula1398
@piuskikula1398 4 жыл бұрын
Amina mhasham pole sana mungu aendelee kuku pigania
@happinessjoseph3146
@happinessjoseph3146 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana baba tunakuombea
@marystella3095
@marystella3095 4 жыл бұрын
Pole sana baba yetu, Mwenyezi Mungu akupe nguvu
@manyasimagai3337
@manyasimagai3337 4 жыл бұрын
Amina baba, Mungu wetu ni mwema na msikivu. Endelea kuimarika na kumtumikia.
@michaeldanielmasimbani8775
@michaeldanielmasimbani8775 4 жыл бұрын
Mungu mwema! Nakuombea kheri ktk afya yako , Maisha . Mwenyezi Mungu Azidi kukujaalia HEKIMA na afya Njema.
@lifeisgood4242
@lifeisgood4242 4 жыл бұрын
Mungu akuzidishie maisha marefu ya amani furaha na upendo Baba Askofu Mkuu Rwaichi.
@renatusissaya3652
@renatusissaya3652 4 жыл бұрын
Pole baba, Mungu ni mwema.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati. 🙏🙏🙏
@danielsonda4658
@danielsonda4658 4 жыл бұрын
Pole sana mhashamu baba askofu
@mamaamary8420
@mamaamary8420 4 жыл бұрын
pole sana baba yetu
@costamshanga7801
@costamshanga7801 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 4 жыл бұрын
A true shepherd, may God bless you many times bishop Jude Thadeus...
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 4 жыл бұрын
Amina Baba Askofu mkuu
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
👏👏👏👏
@agnesmwita5910
@agnesmwita5910 4 жыл бұрын
Pole sana baba askofu
@agnesrichard4884
@agnesrichard4884 4 жыл бұрын
Pole na masahibu yaliyokupata Mungu yuko upande wako
@frankayokibongo9180
@frankayokibongo9180 4 жыл бұрын
POLE.sana Baba Askofu Mkuu
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 68 МЛН
MASANJA SIJAITWA KAMA WACHUNGAJI WENGINE / WANANISHANGAA
13:47
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 141 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 781 М.
makabidhiano ya ofisi kati ya Rais Magufuli na JK Novemba 12,2015
6:39
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 281 М.
Fr. Mike Reacts to Olympics "Last Supper"
8:22
Ascension Presents
Рет қаралды 82 М.
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00