#live

  Рет қаралды 26,755

PROMOVER TV

PROMOVER TV

11 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 113
@AndersonPMukono-sj6jk
@AndersonPMukono-sj6jk 9 ай бұрын
Barikiwa sana kamanda wangu. Wapigweeeeeeeeee...............!!!
@user-xd7uj8sz5w
@user-xd7uj8sz5w 2 ай бұрын
Glory to GOD for using his heavenly Army like huyu mtumishi
@AyubuMwarja
@AyubuMwarja Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu, mafundisho Yako yamenigusa sana.
@asnatkwamboka6306
@asnatkwamboka6306 10 ай бұрын
Amen mtu wa Mungu, Bwana Yesu Akubariki
@user-xd7uj8sz5w
@user-xd7uj8sz5w 2 ай бұрын
Ni kama Moses kulola amezaliwa upya ..katekela ni mfano wa Moses kulola..unapenda niseme..
@ElizabethSebastian-lv9xm
@ElizabethSebastian-lv9xm 2 ай бұрын
Barikiwa sana prech🎉
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 28 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi nawezaje kupata hicho kitabu?niko south Africa
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 10 ай бұрын
🙏🏾YESU NI BWANA🙏🏾 HALLELUJAH ❤HALLELUJAH ❤HALLELUJAH ❤
@EliidiEdward
@EliidiEdward 3 ай бұрын
Mungu wa binguni akulinde na mabaya ili siku Moja mungu atukutanishe na wewe
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 10 ай бұрын
Hakika wewe ni asikali wA Yesu,Mungu anajivunia wewe songa mberee Kamanda,pamoja daimaa!!!!!
@getrayakoyi9185
@getrayakoyi9185 10 ай бұрын
Mungu akupeleke mbali Kwa utumishi wako mchungaji na tuko Mombasa ya Kenya tutapataje vitabu vyako pst
@josephinekalama8259
@josephinekalama8259 10 ай бұрын
Niko Kenya naeza kipata Vipi hicho kitabu
@user-jw7en1mj5h
@user-jw7en1mj5h 4 ай бұрын
Naomba unisaidie mtumishi Niko sumbawanga ndugu yangu amefariki ghafla
@user-mv3rw8bw9o
@user-mv3rw8bw9o 10 ай бұрын
Habari za leo Mchungaji. Naomba umuombee mke wangu. Kifafa kimeanza kumsumbua tulipofunga ndoa tu. Hakuwa na hili tatizo. Hospitali vipimo vinaonesha hana tatizo hilo. Anaitwa VAILET ZENO MPANDA
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 10 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, alafu mimi ambaye nipo marecani naweza je kukipata icho kitabu?
@AmidaCitegetse-fh7ps
@AmidaCitegetse-fh7ps 9 ай бұрын
Mungu akubaliki mutumishi Nami Niko ivo ivo niombeye
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 10 ай бұрын
AMEN MUNGU AKULINDE SANA KWA KAZI NZURI UNAYOFANYA. KITABU NITAKIPATA VIP NIKO KENYA.
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 10 ай бұрын
Mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
@JoshuaJoojoshua
@JoshuaJoojoshua 4 ай бұрын
Barikiwa mtumishi,Niko Arusha
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 10 ай бұрын
Mungu akutunze tumishi Amieli, tuko pamoja sana.
@user-do5nk9up1k
@user-do5nk9up1k 10 ай бұрын
Amen Mtumishi.
@RoselineNyachwaya
@RoselineNyachwaya 3 ай бұрын
Dadangu aliyekufa alinikujia akaniambia anateseka sana . Wanampatia vichwa vya binadamu anakula. Akaniambia nimwobee anatezeka sana. Eee Mungu naomba dadangu arudi. Niko kenya mtumishi
@user-xd7uj8sz5w
@user-xd7uj8sz5w 2 ай бұрын
Omba na kufunga na usikate tamaa. .omba maombi ya rudisha .Isaiah 42 :20-23
@RoselineNyachwaya
@RoselineNyachwaya 2 ай бұрын
@@user-xd7uj8sz5w amen thank you
@MussaFikirini
@MussaFikirini 2 ай бұрын
Jaman naomba namba Ako nahtaj kitabu
@estergidion8390
@estergidion8390 6 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu.
@apostlerebeccamunguaniinul7073
@apostlerebeccamunguaniinul7073 10 ай бұрын
Asante kwa mafundisho
@jastinmkoba
@jastinmkoba 10 ай бұрын
Jiwe la Yesu ....
@AnnoyedArcticWolf-gq9oy
@AnnoyedArcticWolf-gq9oy 3 ай бұрын
Nipo dar nitakipataje kitabu
@EliidiEdward
@EliidiEdward 3 ай бұрын
Kalibu kwetu lurenge ngara
@user-po1vi4du6h
@user-po1vi4du6h 10 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe Baba tunapataje hicho kitabu Jamani
@kimanikim7777
@kimanikim7777 10 ай бұрын
Kenya nitakipata je
@pinieliedward5992
@pinieliedward5992 5 ай бұрын
Niko Arusha nataka hicho kitabu nitakipataje nakimeandikwaje
@upendomhagama3236
@upendomhagama3236 29 күн бұрын
Naomba na Mimi kitabu he ntakipataje ? Nipo mkoa wa Njombe wilaya ya Ludewa kwa sasa nipo kyela nakuuguza mama mzazi chonde naomba kitabu hicho
@aivanalexander
@aivanalexander 10 ай бұрын
Yani Ili SOMO nimetoka kulifundiaha sasa ivi MUNGU AKUBALIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU Ninaendelea kukufuatilia
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 10 ай бұрын
Amen
@hariettekiza9050
@hariettekiza9050 10 ай бұрын
Amina
@upendomhagama3236
@upendomhagama3236 29 күн бұрын
Mungu akulinde siku zote za maisha yako
@aivanalexander
@aivanalexander 10 ай бұрын
Jamani ili SOMO limenifundisha mengi ya ulimwengu wa ROHO ubalikiwe BABA
@evalyneayo-xo3lp
@evalyneayo-xo3lp 2 ай бұрын
Nakipataje hicho kitabu Niko Mbeya tanzania
@asonandimile5343
@asonandimile5343 10 ай бұрын
Naomba utuletee pia kigoma
@Jcbk6867
@Jcbk6867 3 ай бұрын
Bwana asifiwe, Mimi niko Burundi tunahitaji number ya Mtumishi Katekela, Asante.
@esterpeter8556
@esterpeter8556 8 ай бұрын
Shetani m bayaaa Total.
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 ай бұрын
Dar tunakipat iko kitabu
@user-vc4cl8xm8u
@user-vc4cl8xm8u 4 ай бұрын
Nakipataje kitabu mm jamani mungu anipe wepes
@kakaemanuelelias6963
@kakaemanuelelias6963 10 ай бұрын
MUNGU azidi kukulinda mtumishi uwepowako ktk hii dunia ninaimani nitaokoka mdasimlefu ilatu naitaji sana hicho kitabu
@AinekishaGodwin-ru8bn
@AinekishaGodwin-ru8bn 10 ай бұрын
Nimetuma sms zangu Whatsapp pastor mbona haujibu? Ninaomba ivyo vitabu Niko Mwanza
@TunaelMhema
@TunaelMhema 2 ай бұрын
Nipo iringa t,a,g, mlandege nahitaji hicho kitabu
@user-zk2dn7gs7u
@user-zk2dn7gs7u 2 ай бұрын
Mimi niko.kenya nitakitoa wapi icho kiyabu?
@user-ci8rk2eg8w
@user-ci8rk2eg8w 8 ай бұрын
Ni shilingingap hicho kitabu
@JosephKifuso
@JosephKifuso 3 ай бұрын
Mtumishi, nitapataje nakala ya kitabu hicho? Niko Kenya Voi
@aivanalexander
@aivanalexander 10 ай бұрын
Apo tuko pamoja nami siko kwenye dini yoyote Ninatambua kitakachotupeleka mbinguni sio dini Nami hata kwa sabato naenda ila tu wakinipa neno mahubiri Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu Najengwa Zaidi kiroho na MASOMO hayo
@mgeyekwamgeyekwa7614
@mgeyekwamgeyekwa7614 10 ай бұрын
Naomba vitatu mtimishi
@leonidasbzzojoyhatung3118
@leonidasbzzojoyhatung3118 10 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji na promover TV. Uku Zambia tunawezaje kupata kitabu hicho?? Tunakihitaji sana.
@RoselineNyachwaya
@RoselineNyachwaya 3 ай бұрын
Naomba number ya huyu mtumishi tafadhali
@AtukuzweMwakaje
@AtukuzweMwakaje 3 ай бұрын
Mtumishi hicho kitabu nawezaje kukipata mm nipo mbeya na kinauzwa bei gan?
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj 3 ай бұрын
How can I get that book please
@michaelpesambili3521
@michaelpesambili3521 10 ай бұрын
naomba kujua wapi napata kitabu cha mtumishi wa mungu mch. katekela. niko temeke Dar es salaam.
@aporoniaruta3297
@aporoniaruta3297 9 ай бұрын
😢
@aporoniaruta3297
@aporoniaruta3297 9 ай бұрын
Amen😅
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 ай бұрын
Huyo msomaji hapana mtafuteni mwingne
@charityezekiel3525
@charityezekiel3525 Ай бұрын
Vitabu tunaomba mtusaidie tupate softy copy
@estergidion8390
@estergidion8390 6 ай бұрын
Nawezaje kupata kitabu nipo songea na ni bei gani.
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 ай бұрын
Promover naitaji kitabu niko dar
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 10 ай бұрын
Samahani mchj tuliopo Kanda za Arusha na moshi tunawezaje kupata kitabu hicho. Mi mfuasi wa mahubiri yako kwa njia ya KZfaq kindakindaki. Mtumishi naomba namba zako pia. Tuna shida baba, tunashinda kueleza humu mtandaoni. Asante sana
@aidaraphael1956
@aidaraphael1956 9 ай бұрын
Namba za mchungaji katekela ndio zipi
@FarajaJohn-hf3ij
@FarajaJohn-hf3ij 3 ай бұрын
Naomba nitumie number Yako 🙏🙏
@ambilikilebahanoa.mlabwa
@ambilikilebahanoa.mlabwa 7 ай бұрын
Asante mtumishi, nipo kyela Mbeya, nitapataje kitabu hicho? na kinauzwa Tsh. ngapi???
@user-ci8rk2eg8w
@user-ci8rk2eg8w 8 ай бұрын
Nipo landanai wilaya simanjiro nitapataje hicho kitabu
@user-ur4de6be6p
@user-ur4de6be6p 10 ай бұрын
Amena na mimi nahitaji hicho kitabu
@user-vm3se9kg4d
@user-vm3se9kg4d 10 ай бұрын
Im david from kenya mtumish how can i get your book pls
@PascasieNiyongabo-ip8sx
@PascasieNiyongabo-ip8sx 10 ай бұрын
Asante sana mutumishi wa Mungu
@PascasieNiyongabo-ip8sx
@PascasieNiyongabo-ip8sx 10 ай бұрын
Sasa ico kitabu naweza nikakipata aje mbona namimi kukumbuka nishida saana.naomba mutumishi munisaidiye.niko Burundi wiraya ya Rutana
@mathewmutuki-qh3tn
@mathewmutuki-qh3tn 9 ай бұрын
How can I get that book,am in Kenya Mombasa brother Matthew,be blessed
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 10 ай бұрын
Nakusubiria Dar Baba yangu na kaka yangu wamechukuliwa msukule nawaona usiku na mama yangu anataka kichukuliwa, kuna baadhi ya ndugu wako freemason, dada yangu ameenda mpaka kwa Mchungaji wangu , kunitetea namwonaga usiku, nakusubiria tumchape , amwachie Baba na Kaka, achapweee apigwee, bendera chuma mlingoti chuma mtoto wa mgalilaya nakusubiri bongo Dar es salaam
@user-ev8kp3lb8e
@user-ev8kp3lb8e 10 ай бұрын
Anakuja lini
@PromovertvTz
@PromovertvTz 10 ай бұрын
Atakuja mwezi wa 10
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 10 ай бұрын
@@PromovertvTz niliongea naye akasema mwezi wa tisa 😭😭😭😭😭😭😭 pastor am crying tunakufa rudi nyumbani 😭😭😭😭😭😭😭
@user-ev8kp3lb8e
@user-ev8kp3lb8e 10 ай бұрын
@@PromovertvTz Asante tunamsubiri wengi
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 10 ай бұрын
Kenya tunakungoja
@AmbilikileMlabwa
@AmbilikileMlabwa 2 ай бұрын
Niko kyela, nitapataje kitabu hicho?
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 10 ай бұрын
Isaya 42 :18 23 tusome
@saradavirginia-kd7tn
@saradavirginia-kd7tn 10 ай бұрын
Mm nahitaji kitabu
@felisterligazio7151
@felisterligazio7151 10 ай бұрын
Nami nahitaji kitabu, nakipataje, nipo Dar
@estergidion8390
@estergidion8390 6 ай бұрын
Naomba nipe namba yako kama itakupendeza.
@lusiachaula2424
@lusiachaula2424 10 ай бұрын
12:19 12:21 12:23
@lusiachaula2424
@lusiachaula2424 10 ай бұрын
Hicho kitabu nakitamani kwagalama yote yote nipo kyela Mbeya
@stellapaul2442
@stellapaul2442 10 ай бұрын
Number nitazipataje
@SuzanPeter-gk5qm
@SuzanPeter-gk5qm 7 ай бұрын
Mwanza tunakipataje kitabu?
@jojinakuya3411
@jojinakuya3411 10 ай бұрын
Nafwatilia nikiwa Kenya naweza pata hicho kitabu vipi??
@AssaMwatonoka-eu9ev
@AssaMwatonoka-eu9ev 10 ай бұрын
Mtumishi nitapataje hicho kitabu mini nipo kyela mbeya
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt 10 ай бұрын
Kitabu shilingi ngapi? Nakipataje nipo pwani Tanzania?
@annalyimo-us7ub
@annalyimo-us7ub 10 ай бұрын
Nitapataje hiko kitabu nipo Arusha
@TZ0755C.O.G
@TZ0755C.O.G 10 ай бұрын
Mtumishi watu wa manyara tunapataje?
@bettyonginjo
@bettyonginjo 10 ай бұрын
Hicho kitabu tunakipataje nchini Kenya?
@fredmtindya
@fredmtindya 10 ай бұрын
Niko TABORA ninahitaji kitabu
@user-mx4tx1mm2d
@user-mx4tx1mm2d 10 ай бұрын
Niko Dodoma nahitaji kitabu
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 10 ай бұрын
Shilingi ngapi hicho kitabu
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 10 ай бұрын
HAKI MCHUNGAJI KATEKELLA MWENYEZI MUNGU AKUPE LOLOTE ROHO YAKO INAHITAJI ❤️Nakupenda Sanaaaa❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾 UBARIKIWE SAAAAAANA NIMEBADILIKA SAAANA TANGU NILIANZA KUKUSIKILIZA NIME ELIMIKAA SAAANA UMENISAIDIA MOYO WANGU MIENENDO YANGU NA IMANI YANGU NIMEJUA MENGI SAANA MENGI KABISA YA MAANA KUHUSU MUNGU NA KUHUSU KUZIMU NIME ELEWA SIRI MINGI NA MITEGO YA SHETANI MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIYE TUU SAAANA TENA SANA🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@mgeyekwamgeyekwa7614
@mgeyekwamgeyekwa7614 10 ай бұрын
Naomba kitabu hicho bei gani??. Niko Njombe nahitaji kitabu hicho
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 10 ай бұрын
Sasa mbona namba yako hujaitaja Mimi Niko kgm hapahapa ila namba yako siijui
@kimsi682
@kimsi682 10 ай бұрын
Cheki numberi yake kwa Prom-Over TV. Channel. Ongea na Jacktan msafiri. Utapata numbari yake huyu.
@raelnangila3006
@raelnangila3006 10 ай бұрын
Muchungaji mimi Niko Kenya nawesa kukipata aje kile kitabu naomba nisaidie..
@mediakatan
@mediakatan 10 ай бұрын
Umulize na jaktan msafiri atakueleza jinsi yakupata.
@boazcosmaswarubenge4171
@boazcosmaswarubenge4171 10 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi, mimi nipo dar nitawezaje kukipata kitabu
@MeshackKorduni
@MeshackKorduni 10 ай бұрын
Mchungaji Niko Arusha ndapataje kitabu?
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze 10 ай бұрын
Nasubiri
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 10 ай бұрын
Tunahita vitabu mtumish Huku dar
@graceboke4346
@graceboke4346 10 ай бұрын
Amen
@NduwimanaNoella-rj7tm
@NduwimanaNoella-rj7tm 10 ай бұрын
Bwana akubariki Niko Rwanda nataka kitabu ntakipata wapi? Mwanangu anateseka anacanjwa Kila anapo lala Tena Yuko na moto mucanga Kila siku wanakuja kumuomba awape mutoto wake
@aporoniaruta3297
@aporoniaruta3297 9 ай бұрын
Amen😅
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
THAMANI YA WOKOVU; MWINJILISTI AMIEL KATAKELA.
31:51
NY TV
Рет қаралды 9 М.
NAMNA YA KUONDOA MADHABAHU ZINAZOTESA MAISHA SEHEMU YA 1
51:14
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 59 М.
JINSI YA KUTUNZA MOTO WAKO  WA NDANI ||PASTOR GEORGE MUKABWA ||08/06/2023
1:25:55
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 77 М.
NGUVU YA MWANAMKE NDANI YA BIBLIA - Japhet Magoti
1:21:40
MAGOTI TV
Рет қаралды 13 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
(OFFICIAL VIDEO) VITA INAYO ENDELEA DUNIANI
1:25:20
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 74 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН