🔴

  Рет қаралды 41,547

Global TV  Online

Global TV Online

3 күн бұрын

🔴#Live: MBOWE na LEMA WAMLIPUA VIBAYA PETER MSIGWA - WAMWITA MSALITI - WAFICHUA ALICHOKIFUATA CCM...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 96
@globaltv_online
@globaltv_online 2 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 күн бұрын
Mbowe SI mama imara baba sisi na mungu tunaijua kazi yako acha makapi yaendelee kutoka ndani ya chama
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 күн бұрын
Msishangae hii ndio democrasia na ndio uhuru wakweri naomba mjue hivyo msi mraum msigwa yupo sahihhi kwa mtazamo wake
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 күн бұрын
Wananchi hata Mbowe hawamjui, halafu etc wafanye maamuzi, hawa chenga
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Күн бұрын
Tena za mpunga
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 Күн бұрын
😅😅
@abdalamfinanga6434
@abdalamfinanga6434 Күн бұрын
Kama hili ni kweli hebu viongozi tumrudie mwenyezi mungu cheo ni mungu amekupa kwa kukupima haifai kuwafanyia watu dhuluma je kama umefanikiwa kuwazulum watu unaishi kama mfalume na familia yako je nafsi yako ina amani?hii ni hatari sana malipo ya machozi ya watu na dhalili ya mungu hapa hapa duniani utahimili tumoogope mwenyezi mungu
@StevenMtambo
@StevenMtambo 2 күн бұрын
Msigwa ni kama pombe ya chupa hata aibu Hana kisa kushindwa uwenyekiti ,, kumbe lisu alimjua kuwa ni chawa
@saidomary8796
@saidomary8796 Күн бұрын
Kwa maneno upo vizuri
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 Күн бұрын
Eti Magufuli ampe Hela lema
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 19 сағат бұрын
Kwa tanzania bora mama auze nchi tuu, na kuiba wananchi wamelala
@ephraimmakaranga1795
@ephraimmakaranga1795 19 сағат бұрын
Ukimaema Magufuli ndo mnazidi kupote kabsa Mzee baba ana wafuasi wengi sana hapa nchini acha kabsa kumema magufuri ongei masuala ya nchi tu
@michaelmazoya9244
@michaelmazoya9244 2 күн бұрын
Ushauri wangu mngeachana na kumsema marehem Magufuli na kuongelea mapungufu yaliyopo na kueleza wanannchi mtayamaliza vipi. Magufuli ana wafuasi wengi mno nchi hii. Kumsema magufuli ni kupoteza mamilioni ya kura
@eliassumila8173
@eliassumila8173 Күн бұрын
Safi sana.umeshauri vyema sana.Viongozi zingatieni ushauri huu wa Busara.maana Waliopo tunawasema vibaya,na aliyetoka mmemung'ang'ania kumsema vibaya.Acheni,badilisheni gea angani.Magu ni wa kila mnyonge.
@KazunguMathias
@KazunguMathias Күн бұрын
Fact
@martinamassawe7921
@martinamassawe7921 Күн бұрын
Sure
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Күн бұрын
@@martinamassawe7921 Acha wajichimbie kaburi😁😁
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k Күн бұрын
Watu wanataka sana mabadiliko,lakini aina za hutuba zenu za kuzoza na marehemu kila siku,inapunguza sana ungwaji mkono,watu wa buldoza ni wengi mulijuwe hilo, jitahidini kuliteka kundi hilo
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya Күн бұрын
wewe muongo, watu tunazidi kuwaelewa chadema! ulishawahi kuona komenti yoyote kutoka kwangu? ila wewe unakomenti mara kumi hata ishirini kila siku na nakufuatilia pakubwa tu. Aidha, marehemu kuongelewa ni kawaida, madikteta wote duniani akiwemo magufuli wanaongelewa kwa mabaya yao. Anaongelewa Mobutu, Hitler, Stalin, Bokasa nk. Kwa Nini magu asitajwe Kwa mabaya yake? Ni kweli kuna mema machache ameyafanya pia mabaya yake yapo.
@nashnene6326
@nashnene6326 Күн бұрын
Hehehe, wananchi wanatia story zao tu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Күн бұрын
Natamani Msigwa awe ametumwa kama walivyotumwa akina Halima ili kunusuru chama hichi. Mbowe na Lissu sio watu kama ninyi wale ni watu na zaidi
@allywaziri3938
@allywaziri3938 Күн бұрын
Kumbe unatuma kabuku waandamane wakati wakwako wapo nje ya nchi
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 19 сағат бұрын
Hovyo kbs
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 19 сағат бұрын
Tanga hovyo kbs ni ccm tupu,lkn ni masikini kuliko kawaida
@FedrickNgonyani
@FedrickNgonyani Күн бұрын
We lema fala sana,toa sera za chama chako,acha kudandia hoja
@petroalfred5108
@petroalfred5108 Күн бұрын
Global mna shida gani? Video zenu zote lazima zikwamekwame
@JeremiaMnanka
@JeremiaMnanka 2 күн бұрын
Msigwa alisema akija ccm achomewe nyumba na magari ya keyote jemnakumbuka kamamna kumbuka jueni hata mboe, lema, risu, woteni ccm wenyeshida ni chadema hawawachini kama vire wiraya tawi kata ndowanachama wachadematu taifaniuongo mura
@zacharianjanga
@zacharianjanga Күн бұрын
kenge! Msigwa katumia haki yake ya kuamua wapi sahihi kwenye siasa, tukumbuke kuhama chama pia ni sehemu demockorasia;kumbe ulikuwa na deni sasa umeshalipa kweli!
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Күн бұрын
Hawa Chadema Mungu kama huwaoni basi Duniani hakuna Mungu na Mungu ni wewe kiumbe hai pambania hali yako kwa akili yako inavyokutuma. Chadema ni chama kinachoishi kwa akili kila kitu wameporwa lkn wananchi sisi tupo tupo tu hakuna hata mtu anajitokeza kama Kenya alafu wakija hapo mnawang'onga mnasubiria kanga na hongo za gongo na sadaka au zaka mnakaa kimya. Jitoeni muone kama hamjaonekana watu kati ya watu.
@salummagawa8802
@salummagawa8802 Күн бұрын
We mwenyewe madaraka unayapenda jiuzuru uwenyekiti wa chama kwanza
@nyanjachannel5517
@nyanjachannel5517 Күн бұрын
Wapi lissuau naye kaunga ya msiba😢
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Күн бұрын
Lema wadanganye hawoawo wewe watoto wako umewaficha kanada alafu unasema tuache uwoga fala wewe sisi ndiyo wanaume atukimbii na atujutii Mama mitano tena
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo Күн бұрын
We mbwa kweli Kati ya wanaume naww ni mwanaume? Puuumbavu wanaume wako kenya
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q Күн бұрын
Wewe lema ;mbower; tulizeni booli mwiba hutokea ulipoingilia acheni kujadili mtuu mmoja mmoja tunachahitaji ni siaasaa safiii isyo kwa ya matusii unafiki tuelezeni mtakachofanyia watanzania wekeni mpira uwanjani mupimwe CCM&Chadema''' wazalendo& CAF fainali tuta amua seye wapiga kuraaaaa Apo vipi acheni kujadili mtuu mmoja mmoja ;matusi ya Nini
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Haisaidii kitu ameshaondoka ccm kaeni na chama chenu cha kikabila
@mamuuchany6386
@mamuuchany6386 Күн бұрын
O😊jamani Muacheni magufuli wetu ongeeni ya kwenuuu msituvuruge kumsema Jembe la watanzania, tena mkome
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 күн бұрын
Sakosi ya mbowe. Mbona kama imepanic. Ngoja msigwa amwage mboga ndio mtajua hamjui.
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Күн бұрын
Tatizo nyie mmejaa roho ya ukanda ndio maana hamuwezi kupewa nchi. Magufuli akupe pesa wewe? Ua ni mwanaCCM alikuwa anamtongoja mke wako.
@user-jl9sz6we9j
@user-jl9sz6we9j 12 сағат бұрын
2:11 Lema unawadanganya hao wana KABUKU huna msaada wewe madaraka yoyote utawasaidiaje watu.hapo ni kumbi na kumbinga..kitabu cha zamani kilinasibu..tatua kero tukuone ..unawaita boya ..
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Күн бұрын
Lema jembe, ila mbowe kapitwa na wakati hana ushawishi, mwacheni tu msigwa aende, umri alionao sio rafiki akapate pesa za kujikimu uzeeni, kweli alikuwa akiipenda chadema, lakini cheo hana ataishije!
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 күн бұрын
Chadema nanyinyi wanunueni wana ccm
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 2 күн бұрын
@ James mwanachama hawanunuliwi wanajiunga kwa mapenzi
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 күн бұрын
HAMNA ANAE nunuliwa
@allywaziri3938
@allywaziri3938 Күн бұрын
Sasa lema huyo msemaji kakudanganya watu wanauwawa na wewe umepata hotuba huo ni ujinga halafu unatuzarau tanga kwakuwa tuna nyumba za miti
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 күн бұрын
KAONA CHADEMA N CHAMA CHA SACOS KAONA HAMNA KITU
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Күн бұрын
😂😂
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 8 сағат бұрын
Kabla sijasahau israel wamevunja makanisa jerusalem kanisa kongwe duniani na pia bethlehem ma Palastians ndio wakristo hakuna maYahudi kristo leo tanzania wanaunga mkono israel elimu ni muhimu sana biblical jews sio hawa europeans hawamuamini jesus ambapo waislamu wanamuamini kwa kila kitu
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 күн бұрын
😂😂😂 YAN HAWA N KELELE TU MDA SIO MLEFU UTASMIA NA WENYEW WAME HAMIA CCM😂😂 NJAA MBAYA 😅 HATA MSIGWA ALIKUWA ANAONGEA HIVYO HIVYO KWA UCHUNGU 😂😂 KUMBE NJAA ILIKUWA HAIJAMKOLEA😂 NJAA IKIKOLEA MBONA UTAHAMA TU 😂😂😂
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Күн бұрын
Chama cha domokrasia na maokoto
@jomba6514
@jomba6514 2 күн бұрын
Muacheni msigwa kafanya maamuzi ya maana sana
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Күн бұрын
MBONA WATU NI WAWILI TU NDIO MKUTANO HUO
@anastazialushika
@anastazialushika Күн бұрын
Kwer hiki ni chama cha watoa taarifa
@allywaziri3938
@allywaziri3938 Күн бұрын
Lema unataka waaandamane kwenda wapi
@HOTGOSPELSONGS-gy9ug
@HOTGOSPELSONGS-gy9ug Күн бұрын
kuna haja ya kujitathimini lazima kunakitu hakijakaa sawa humo ndani msilete blaa blaa, me mwenyewe nimeumia sana Msigwa kuhamaaa
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya Күн бұрын
Ahame tu! kwani hujamsikia msukuma? tafuta clip ya msukuma akimwongelea msigwa kwamba alikuwa anapokea pesa kutoka ccm na ikifika mwaka 2024 kabla ya uchaguzi wa mitaa atabeba gitaa begani?
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Күн бұрын
Chdema hawana tofauti na muniki
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 2 күн бұрын
CCM waliwanunua Kina mdee nasali NK lakini mbaka sasa bado wanapumulia gezi kwamziki wachadema uyomsigwa nifala tu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 күн бұрын
CCM imeja viongozi wakutosha kuanzia chipukizi mpaka juu sasa wanunue watu wenu wa nini? Tatizo lenu ni kwamba hamna sera nye ni watoa Tarifa mkisikia leo imetokea jambo mitandaoni nye kesho mnaamka nalo sasa watu wamesha wachoka ndo maana wanahama
@alisalimo2861
@alisalimo2861 Күн бұрын
chama cha kikanda hicho kinaeleweka ww nani uliemuona
@abras3479
@abras3479 2 күн бұрын
Global Acha uchonganishi, wapi wamemsema msigwa? naku-unsubscribe now
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 Күн бұрын
Pumbavu zenu, Magufuli hayupo mnafiwa na chama chenu
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 Күн бұрын
Imekula upande hiyo bado zamu yako kuunga juhudi
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Күн бұрын
mtoa kero kesha lewa pombe ya mnazi
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Күн бұрын
Sakosi katika ubola wake
@yossobenayunkn8942
@yossobenayunkn8942 Күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. BG UP MSIGWA ,,umechagua NA BADO ,,chadema 😁😁😁
@samwelmachaka936
@samwelmachaka936 Күн бұрын
Hamjielewi
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 8 сағат бұрын
Huyu lema anapenda Israel yeye ni mkristo wa yahudi hawamuamini jesus wala ukristo Bible jews sio hawa wazungu ni watoto wa jacob Toa mfano UAE jangwa wanaotesha fruits na vegetable Huko rasalkheima Fujeira Sharjah Alein dubai Hatta wacha kasumba za israel moha mbili israel wanuwa watoto vizee na wanawake South Africa imewashitaki ICU nyie mumelala na kasumba ya chukdren if israel basi sio hawa wazungu wake up
@allywaziri3938
@allywaziri3938 Күн бұрын
Hana kero huyu
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Күн бұрын
MNAWAPANGA WATU WASEME KERO
@HamzaHeri
@HamzaHeri 2 күн бұрын
KIKWAZO KIKUBWA WENGI WATAONDOKA CHADEMA KUTOKANA MBOWE NA LEMA NA LISSU UKABILA UDINI
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 күн бұрын
Utakuwa na govi, maana hiyo akili niya peke yako karne hii
@msabahaali758
@msabahaali758 Күн бұрын
ni propagabda za ccm tu
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 Күн бұрын
Lema magufuri akupe hela ili iweje...yule alikwa hana huo ujinga...nyie hakuna kitu
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Күн бұрын
CCM NI SEHEMU YA MABEBELU NDIO MAANA TAIFA LINATUMBUKIA SHIMON BADO HUJUI WWE NI KUBWA JINGA
@madilisakumi8262
@madilisakumi8262 Күн бұрын
Chadema kama sakosi
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 Күн бұрын
Yaani hili baba lenye jicho moja la kondoo🚮🚮
@user-tu8tl2lg4b
@user-tu8tl2lg4b 10 сағат бұрын
Salami kwanza
@allywaziri3938
@allywaziri3938 Күн бұрын
Msituingize kwenye machafuko mbweha nyie
@khamismohammed7500
@khamismohammed7500 6 сағат бұрын
Wewe.upewe pesa ya nn mpumbavu mmoja wewe
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 2 күн бұрын
Msigwa ndo nani
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 күн бұрын
😂😂😂😂 eti leo Msigwa ni nani si mlikua mnamita kamanda poleni na bado wapo wengi tu wataunga mkono juhudi nye ni watoa Tarifa tu hakuna cha maana
@simonyohana8995
@simonyohana8995 Күн бұрын
Ccm wajinga wewe mwelevu uliye na hakili zisizo na akili utabaki kung'ang'ana na malehem pole yako
@matakamataka9438
@matakamataka9438 Күн бұрын
Halafu mm sasa naelewa kua chadema ndo watekaji ili wafanye siasa lkn ni ujinga uliopitiliza yaan siasa za tzanzania ni zakitoto sana
@kurwanjonge4586
@kurwanjonge4586 Күн бұрын
We fala sana wakati huo serikali Iko wapi sasa
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 Күн бұрын
Toa ushaidi achaekula matangopori ...nyi saccos ya kichaga hiyo​@@kurwanjonge4586
@khamismohammed7500
@khamismohammed7500 6 сағат бұрын
Tatizo hawana mamlaka
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 Күн бұрын
Wanachama wengi wamehama CHADEMA. Doctor Slaa, Zitto kabwa, Halima Mdee, Edward lwaasa, Fredrick Sumaye na wengine wengi. Tuacha kumlaumu Msigwa, tujitathimini wapi tunakosea.
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 2 күн бұрын
Msigwa kashtukia deal maana mwenyekiti tangu sijazaliwa😅😅😅😅😅😅😅😅😅 jamaa atatoleawa kama Kotapini
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Күн бұрын
Wengi wao niwasaliti siku tukipata mtu sahihi kabisa mbowe ataachia Profesa j kama sio kuugua alitakiwa yeyeachukue kiti
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Күн бұрын
Kabuku ni Nguzo ya CCM, MKUTANO UMEOZA
@EliaMarco
@EliaMarco 2 күн бұрын
Ivi mlilipwaga sh ngapi kumsema magufulii
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Күн бұрын
Hata Yesu anasemwa seuze Magufuli !?
@amedeustesha5947
@amedeustesha5947 2 күн бұрын
Watoto wako Mr lema hawako Tanzania kikinuka hapa unakimbilia kanada then unatuambia tuandamane Shame on you
@AdenAdrion
@AdenAdrion Күн бұрын
Toka nipo la saba mbowe ni mwenyekiti chama Cha wahuni hiki
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 28 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
She ruined my dominos! 😭 Cool train tool helps me #gadget
00:40
Go Gizmo!
Рет қаралды 63 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 189 МЛН
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
MSIGWA TENA BUNGENI, AWASHUKIA WANAOISIFIA SERIKALI, JENISTA AMBANA
7:41
Mwananchi Digital
Рет қаралды 18 М.
Arch-Bishop Wang'ombe guthika mum wa Apst John Paul
13:00
Victoriah Waititu
Рет қаралды 689
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 28 МЛН